Sijafanikiwa kuwa wanajesh japo nilitamani nasasa umri haunipi matumain yakuwa tena mwanajesh,nikiwaangalia wanajesh nabubujikwa rohoni uanajeshi ni kazi inayoanzia rohoni maranyingi wanajesh niwenye mioyo safi tukiacha wale watoto wa wakubwa ambao niwatukutu mabedui majambaz waliowashinda wazazi wanaiba hawana pakuwapeleka na kuwapa jeshin hawa ndio waharibifu wa sifa za wanajesh,huna moyo wakijesh jeshini hukai utanikuta kipindi cha amani tu!
Usijali hii ni kazi ya heshima zaidi hapa duniani kufa kwajili ya wenzako ndio kitu pekee ambacho sio Cha kawaida jeshini umeapa kufa hivyo kitu bora liombee jeshi lako wapo maeneo mbali mbali wakilinda nchi ytu ni jambo jema kwamba unatambua nafasi Yao
MUNGU Libaliki jwtz Mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🙏🙏 ipo siku ata watoto wangu watatimiza ndoto yangu ya kulinda taifa retu nimeishia kuwa Asikali mgambo Mungu alitie nguvu jeshi retu
Mama samia tusaidiane tuilinde amani yetu,hakuna chathamani duniani kama amani hata hiyo gwanda imekupendeza sana mama yangu jemedari wangu tukiilinda amani sisi ni matajiri
@@Behd145 sio eti mmevuka, ni uhuru hamna wa kuandamana. Kumbuka Kenya tuna uchumi mkubwa zaidi East na Central Africa na kwa hio ni upumbavu kwako kusema mna maisha mazuri kuliko sisi Wakenya.
Asante Sana pongezi kwa jeshi la akiba ilaitapendeza Sana kamawatapewa ajira yakudum serikarini
Wana kiherehere sana so wasipewetu😅😅
Sio te kama unavo fikilia @@ElibarikiMathayo-um5hq
Sijafanikiwa kuwa wanajesh japo nilitamani nasasa umri haunipi matumain yakuwa tena mwanajesh,nikiwaangalia wanajesh nabubujikwa rohoni uanajeshi ni kazi inayoanzia rohoni maranyingi wanajesh niwenye mioyo safi tukiacha wale watoto wa wakubwa ambao niwatukutu mabedui majambaz waliowashinda wazazi wanaiba hawana pakuwapeleka na kuwapa jeshin hawa ndio waharibifu wa sifa za wanajesh,huna moyo wakijesh jeshini hukai utanikuta kipindi cha amani tu!
Asante Sana hata Kwa uzalendo
#Tanzania
Naamini ktk uzao wako atatokea mwanajeshi hata kama ni kizazi Cha nne na Tano kutoka kwako.I salute you Sir!
Usijali hii ni kazi ya heshima zaidi hapa duniani kufa kwajili ya wenzako ndio kitu pekee ambacho sio Cha kawaida jeshini umeapa kufa hivyo kitu bora liombee jeshi lako wapo maeneo mbali mbali wakilinda nchi ytu ni jambo jema kwamba unatambua nafasi Yao
Unaweza kua mgambo pia kuonyesha uzalendo
Ongela sana mama kweri ww amiri jeshi mkuu nawaona jeshi la akiba mwenyezi mungu awatie nguvu mulitumikie taifa lenu kama mulivyo apa
Nafurahia sana national wanawake walivyoamka na kuwa wanajesh wakakamavu mungu awabariki
MUNGU Libaliki jwtz Mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🙏🙏 ipo siku ata watoto wangu watatimiza ndoto yangu ya kulinda taifa retu nimeishia kuwa Asikali mgambo Mungu alitie nguvu jeshi retu
Leo mama umetisha sana salute kama zote kwel ww amiri jeshi kwel kwel
Watazania muwe nashukuru
Maman Samia IKO vizuri
au sio man😂
Mungu akuzunguke kotekote mama Samia kama ulivyozungukwa na wanajeshi
Mungu aendelee kulipa jeshiletu nguvu
Mungu ibariki Tanzania nawatuwake❤❤❤❤❤
Huwa nasikia aman saana ❤❤❤
Masha-allah wanawake ❤
Mungu awe nanyi walizi wetu wa Tanznia
Napenda sana kuwa askari wa jwtz, ila Mwenyezi Mungu awape moyo sana tena sana majeshi yote ya ulinzi ya tanzania
I'm very good Tanzania ❤ wone
Natamani sana kazi ya keshi na napenda sana kutoka moyoni
😂😂😂we ulidanganywa na delilaaa 😂 hapakufaiii utatoaa Siri wewe
Colourful Ceremony. A Happy Independence to all Tanzanians
Maman Samia👍mupenzi wa🇷🇼
Umoja
Hongera jwtz kwa kuboresha bunduki za askari
Mama samia tusaidiane tuilinde amani yetu,hakuna chathamani duniani kama amani hata hiyo gwanda imekupendeza sana mama yangu jemedari wangu tukiilinda amani sisi ni matajiri
God blessed our army tz
Happy birthday jwatz asante kwa utayari wenu
Hongela jeshi LA taifa
Nakupenda Tanzania
Good fani hiyo❤
Good jobu
Kazi ninayoipenda since nikiwa mtoto but so sad sijabahatika kupata fursa ya kujiunga
Nguvu kama kawaida nawapata tokea south africa 🇿🇦
Nashindwa kuelewa yule nyundo na ukipisi wake alimuhonga Nani ili aingie jeshini wakati hapo naona ni mijamaa mirefu tu.
hahaha
❤❤❤❤❤❤❤
Nikiona hivyi sjui kwa nini nskia kulia😂😂😂
Unauzalendo na uchungu na taifa iyo ni saf sanaaa
Ulitakiwa kuwa mjeshi
Ukiingia huko ndio utalia zaidi bora ukaushe tu.
@@israeltemu356 Jeshi siliwezi nilishaenda ni kugumu mno we waone tu wamesimama apo
Wewe ni mwanajeshi uliyekwepa
Yes
❤🎉🎉🎉
Uraaa tanzania
Ila usijali tuko na mama
wazee wangetakiwa wastafuu tuingie sisi vijana😅😅😅😅
Mashaka ya roho2
Nyimbo nzuri sana zakuhamasisha ulimzi wa nchi
Lakin kitu kinaniumiza kwanini jeshi mnaacha nchi inaporwa rasilimali jamani naumia sana a
Ni utawala wal sio jeshi ss tulaum itawala
THE MAASAI SHALL BE FREE FROM ARAB ENSALVEMENT SPONSORED BY samia!
😂Wuee Tz mpaka kwa jeshi mko na kina Zuchu na mondi. 😂😂
Pambania mnjiako kaka
Wananikumbusha nilipokuwa maramba jkt
Mm nikiona ivi lazima nimkumbuke
Tz yetu mtomto wanan inatunyima fulusa nyingi mno ss ambao wazaz wetu atakwenye kata awjulikani kuingia kwenye sector kamaizi ni mipango yamungu
Mondo akiona hii😭
Sio polisi wezi utasema hawana mshahara
Hawa mbwa vita bado wanamakosa kindogo tafauti tafauti
Kwanini nilikataa kuwa mjeshi, ni kati ya kitu najilaumu sana
Tulienda kuangalia wakatufukuza😂
Mama upewe maua yk
Kwakuwa huku hauitaji kucrow wala kushika bunduki hii ministry inakufaa mwisho wa kunukuu
Nikwa ajili ya kukumbuka raisiwetu kipenzi magu ndiomaana unajisikia kulia
Usijali mtoto au mjukuu atakuepo
Kikokotoo konawasubiri mungu ilinde tz
Kikokotooo akiwahusu wanajeshi kenge wew
Watanzanyuma kujeni KENYA muone maana ya a vifaa halisi😊
Kenya ambao muna andamaana sababu mkate na unga .,Tz tushavuka hatuna ujinga huo.
@@Behd145 sio eti mmevuka, ni uhuru hamna wa kuandamana. Kumbuka Kenya tuna uchumi mkubwa zaidi East na Central Africa na kwa hio ni upumbavu kwako kusema mna maisha mazuri kuliko sisi Wakenya.
@Aquapalooza kwama mna maisha mazur mbona muandamanie sima aibu
.
@@fatmafatu1128 kwa sababu tunataka yawe mazuri zaidi ya yalivyo sasa
@@Aquapalooza. Wajadiliana na mjinga. Watanzania wengi wako hivyo, waona Wakenya kuandamana ni shida, njaa..., hawajui ni uhuru!
Mnaalibu uwanja tu uyo mama ajuwi lolote
Nawaona mgambo
hamna mgambo hapo... hao ni jwtz wote ila wamevaa sare ya jkt kuwakilisha jkt.. sababu jkt ipo chini ya jwtz
Amri jeshi nae anapinga suluti
Hakuna mkubwa Kwa Tanzania
🤝🙏