Azam FC 0-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League - 26/09/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 384

  • @ShaurPy
    @ShaurPy 3 місяці тому +14

    Naomba like za ateba wapendwa wanasimba

  • @Justin_king_pro
    @Justin_king_pro 3 місяці тому +7

    Mwana Simba like this comment 🇨🇩

  • @Esau-cj6bk
    @Esau-cj6bk 3 місяці тому +18

    Kama unaamin myama atachukua vikombe adi CAF. Like apa ❤❤❤❤

    • @flm1530
      @flm1530 3 місяці тому

      Labd vikombe vya uji😂

    • @faidha23
      @faidha23 3 місяці тому

      😂😂 labda vya chai

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c 3 місяці тому

      Vikombe vyetuuu,yanga wajinyonge wazee hao watashndana na Vijana mfyuuuuuuuuuu

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c 3 місяці тому

      @@flm1530mmmh

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c 3 місяці тому

      @@flm1530bora bay uji tutashiba ,,nyie hamtaambulia ata kijiko

  • @onkemangqwambi6928
    @onkemangqwambi6928 3 місяці тому +7

    Consistent can make this league great in Africa, let them attract sponsors and we will see the best of them🇿🇦

  • @LekshonJulius
    @LekshonJulius 3 місяці тому +2

    Simba mnatupa raha sana msimu huu naipenda sana Timu yangu ❤❤❤❤❤

  • @AloyceMathayo-vj9ws
    @AloyceMathayo-vj9ws 3 місяці тому +2

    Mwagaaahhh makopa❤❤❤❤kw mnyama....❤❤❤❤❤❤

  • @CarlCare-yl4wi
    @CarlCare-yl4wi Місяць тому +16

    Tulio rudi kuchek bada ya yanga kunyukwa tujuane

  • @godfreycharles6322
    @godfreycharles6322 3 місяці тому +3

    Kajiri anakimbiaa kwelii❤❤❤

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 3 місяці тому +16

    Azam Media Mashabiki wa Simba sc tunawapenda sana ila ila Tunaomba Mtangazajiwenu ampe heshima Camara please please hasimuite pimpin huko ni kumvunjia heshima nasisi hatuwezi kuvumilia Hilo yule hafanyi kazi ya uchekeshaji yule ni mchezaji Mpira tena ni Gori keeper hodari mno Sasa hii niyamwisho siwafundishi tena yule Anaitwa SPIDER CAMARA sawa!"

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 3 місяці тому +1

    This is siiiiiiiiiimba ❤️🦁🇹🇿🔥

  • @Skasale
    @Skasale 3 місяці тому +2

    Nguvu Moja naipenda sana Simba ❤❤❤❤

  • @singidaprincetz1883
    @singidaprincetz1883 3 місяці тому +3

    This is Simba brother 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 3 місяці тому +2

    Ubaya ubwela ❤nguvu moja🎉

  • @Daie9Da9322
    @Daie9Da9322 3 місяці тому +1

    Ubayaaa Ubwelaaa Simba Ya Msim Huu Inanipa Rahaaaa ❤❤❤

  • @dominicpallangyo2631
    @dominicpallangyo2631 3 місяці тому +2

    YESU ibariki Simba

  • @ShaurPy
    @ShaurPy 3 місяці тому +125

    Leo nimekuwa wakwanza wapendwa Bwana yesu asifiwe

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 місяці тому +1

    Is is very big and good team with huge fans all over the World

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 3 місяці тому +1

    Huyu mtangazaji...wa 🔥🔥🔥 sana

  • @EdwardPesambili-z1t
    @EdwardPesambili-z1t 3 місяці тому +2

    Ateb
    Apew
    Mauw
    Yak💯👍

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 місяці тому +1

    Mnyamaaa❤

  • @ThabeDamian
    @ThabeDamian 3 місяці тому +3

    Wachambuz wa soka kama crown jesca na wenzake walisema simba anakuja kupoteza hii mechi sasa kesho asubh watatuambia kwann imeshinda . Wachambuz wa soka watanzania ndo wanafanya simba ionekane mbovu❤ much lov for simba🎉

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q 3 місяці тому

      Wao walitoa maoni tu saiv hawaamin macho yao😳😂😂

    • @ThabeDamian
      @ThabeDamian 3 місяці тому

      @@ShamsiMbago-n2q hawa ndo wanavuruga simba leo watakaa kmya ,lkin simba ikipoteza ungeskia

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q 3 місяці тому

      @@ThabeDamian ikipoteza tu haina muunganiko🤣

  • @dbrothers4551
    @dbrothers4551 3 місяці тому +4

    Kibu Dennis nashauri awe anaanza Kila mech anachachu kwenye timu, ANAJUA KUFORCE NA KUTAFUTA MAGOLI

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 3 місяці тому +1

    Waaaaah chama langu likes nyingi kwa wanamsimbazi

  • @salumtitho1407
    @salumtitho1407 3 місяці тому +1

    ❤ this is simba

  • @fredyjoackimu-bk1tf
    @fredyjoackimu-bk1tf 3 місяці тому

    Yes,hiyo ndiyo Simba I ❤❤🎉

  • @EdwardPesambili-z1t
    @EdwardPesambili-z1t 3 місяці тому +2

    Ateb
    Ww
    Fund💯👍

  • @MadalalaPtr
    @MadalalaPtr 3 місяці тому +5

    Utopolo wakutwa chumbani Kwa P Diddy wakiangalia mechi ya Azam na Simba 😂😂😂

  • @JohnZakaria-m3k
    @JohnZakaria-m3k 3 місяці тому

    Wanyamaa simba kazi zuriii ❤❤❤

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 3 місяці тому +1

    Azam tawi la Simba ha😢😢😢😢😢

  • @husseinmahenge3176
    @husseinmahenge3176 3 місяці тому +1

    Simba baba laoo🦁🦁🦁

  • @RamadhanMajebele
    @RamadhanMajebele 3 місяці тому +3

    Ateba noma atujakoseya kusajir Simba tumesajir vijana wabich mungu ibariki simba😅

  • @bahibrahima1268
    @bahibrahima1268 3 місяці тому +1

    Tanzaniens votre championnat est fierte de l'Afrique depuis senegal

  • @Ba63828
    @Ba63828 3 місяці тому +1

    Second goal crystal clear offside

  • @MaryamSaidy12
    @MaryamSaidy12 3 місяці тому +1

    simba rahaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @gladnessmichael9384
    @gladnessmichael9384 3 місяці тому +4

    Atebaaa wewe ni fundi banaaa

  • @GerrardLaizzer
    @GerrardLaizzer 3 місяці тому +2

    Asante mnyama kidogo kidogo mbaka waseme wenyew

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 3 місяці тому +1

    Noma sana ubaya ubwela 😂❤

  • @RahmaJuma-k2u
    @RahmaJuma-k2u 3 місяці тому +1

    Penda sana simba❤

  • @MpechiSaidi
    @MpechiSaidi 3 місяці тому +1

    Yes this is simba

  • @jorammhila2379
    @jorammhila2379 3 місяці тому +1

    🔥🔥🔥

  • @ImmanuelAddero
    @ImmanuelAddero 3 місяці тому +1

    Nguvu moja❤❤❤

  • @mwanaidamasi6516
    @mwanaidamasi6516 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 3 місяці тому +2

    Tumefrai Sana 🦁Camala🤾🔥🔥💯 semaj letu 💯 🔥🔥🔥ubaya ubwela ata Manara alipo anafraa😂

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 3 місяці тому +2

    Alhmdhulillah

  • @mpandujibusalu9854
    @mpandujibusalu9854 3 місяці тому +2

    Ubaya ubweraaaaaa Ateba nomaaaaa

  • @FettyAbuu-k3d
    @FettyAbuu-k3d Місяць тому +3

    Simba tunamashabiki wengi mmetupeleka zanzibar

  • @mwajumamande8477
    @mwajumamande8477 3 місяці тому +5

    Mpira akishaugusa kipa sio offside tena...tujifunze sheria ktk mpira jmn...msiwe mnaongea tuuu😂😂

    • @NemaNema-p4t
      @NemaNema-p4t 3 місяці тому

      Ila alianza kuugusa kibu na alikuwa offside waz waz

  • @MachiyOchu
    @MachiyOchu 3 місяці тому +1

    Mwendo wa ubaya ubwelaa 2❤❤❤ simba

  • @VeronicaJohn-l5s
    @VeronicaJohn-l5s 3 місяці тому +1

    Vizuri sana

  • @Pithecus-b8m
    @Pithecus-b8m 3 місяці тому +1

    🦁🦁🦁🦁

  • @WaziriMussa-x4b
    @WaziriMussa-x4b 3 місяці тому +1

    1:33 kibendera 🤤🤤🤤🤤

  • @EddaSanga-h8m
    @EddaSanga-h8m 3 місяці тому

    Hatriiii simba raha❤❤❤

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 3 місяці тому +3

    Tutafunga mbwa wote kwenye hii ligi hata wale wavaa vitenge 🐸

  • @LenardKisambale
    @LenardKisambale 3 місяці тому

    amakweli ubaya ubwela tuko pamoja sana ❤❤❤❤❤

  • @leeobite2507
    @leeobite2507 3 місяці тому +4

    SIJAWAH KUMWAMIN HERI SASII KWENY DABI HATA SKU1

  • @kidoletv8562
    @kidoletv8562 3 місяці тому +1

    This is simba

  • @bonifacebochela4717
    @bonifacebochela4717 3 місяці тому +1

    Amen

  • @HamzaKaonga
    @HamzaKaonga 3 місяці тому +4

    Simba mna jua kutufulaisha saiz kwel uo ni ubaya ubwela kwel simba guv moja

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 3 місяці тому +1

    Ubaya ubwela😅🔥🔥🔥

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 3 місяці тому +1

    Atakayekatiza tunaye ubaya ubwela🎉🎉🎉

  • @EmerithaJoseph
    @EmerithaJoseph 3 місяці тому

    Safi sana Simba mechi tatu magoli Tisa 9

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 3 місяці тому +2

    ila haribu mzinga iko vzr kaka mauw yko upewe kama ww si no moja hpa tz bs ni no 2

  • @favourpendael770
    @favourpendael770 3 місяці тому

    Simba 🦁🦁🦁🦁🦁

  • @ngulamaselemhamezoeamnohar1948
    @ngulamaselemhamezoeamnohar1948 3 місяці тому +3

    Ata mm nashauli kibu awr anaanza Kila mechi

  • @MiriamHaule-no5fl
    @MiriamHaule-no5fl 3 місяці тому

    Amina

  • @paulmaganga250
    @paulmaganga250 3 місяці тому +3

    Simba wamejipata

  • @msaefuofficial3196
    @msaefuofficial3196 13 днів тому

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 3 місяці тому +5

    Hivo mbona mnapotaka kuongwea ujinga mnaanza Mimi ni shabiki wa Simba sisi tunakuamini vp hakuna shabiki wa Simba anaeweza kuongwea hivo kimsingi mwaka huu mtasema yote nabaado hamjasema kama TFF ni Simba subiri kidogo mda utasema

  • @isunga1964
    @isunga1964 3 місяці тому +1

    Dakika 8 kweli hii sio poa Azam

  • @VicentKisonga-v1e
    @VicentKisonga-v1e 3 місяці тому

    Huyu mzinga moto moto ❤ 😂😂😂😂😂😂😂

  • @WemaMbwilo
    @WemaMbwilo 3 місяці тому

    Asante Sana simba Wa AZAMU mpo jamani pore sana

  • @kilongolajuma6224
    @kilongolajuma6224 3 місяці тому +1

    Another assist for ahua

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 3 місяці тому +5

    Tusiongee majungu.Yanga kwa Simba hii tuna kazi.Hiyo derby ya nne,Simba atakuwa hakubali kufungwa. Yanga itakalia.Simba sasa hivi wamejipata.

    • @annajuma2259
      @annajuma2259 3 місяці тому +1

      Unaongea ukiwa wap ??naomba unywe soda Kwa mangi ntalipa na ntakusafurisha uende japo Dubai uka enjoy siku mbili tatu afu urudi😊😊😊😊

    • @vincenzo6055
      @vincenzo6055 3 місяці тому +1

      Kwa simba y magoli y offside 😂 mnajifarijiii mpira sio maneno jombac😅 subir m3chi ifike

    • @salimuathumani4810
      @salimuathumani4810 3 місяці тому

      Izo offside kwa diara unaondoka na majeraha

    • @madigiezekiel8516
      @madigiezekiel8516 3 місяці тому

      Wewe ni kolo 😂😂😂😂😂 usijifiche kwenye kivuli Cha yanga tarehe 19 syo mbali​@@annajuma2259

    • @madigiezekiel8516
      @madigiezekiel8516 3 місяці тому

      ​@@vincenzo6055kwenye kivuli Cha yanga tarehe 19 syo mbaliWewe ni kolo 😂😂😂😂😂 usijifiche

  • @MwendegeEliudi
    @MwendegeEliudi 3 місяці тому +1

    tuwapetu pole ndugu zetu jaman

  • @NeemaDenja
    @NeemaDenja 3 місяці тому

    Nimefulahi sana kuona Simba tuzindi kuwa na matokeo mazuri

  • @upendokasagala4035
    @upendokasagala4035 3 місяці тому

    Ubaya ubwela ❤

  • @Elizaberth-k4h
    @Elizaberth-k4h 3 місяці тому +1

    Leo mtani follow

  • @abelyjoseph3440
    @abelyjoseph3440 3 місяці тому +2

    Hahahaha jamaa kanifulahisha kasema usimjalibu bwana MUNGU wako 😂😂😂😂😂😂😂

  • @bonifacekomba7060
    @bonifacekomba7060 3 місяці тому +1

    Simba yangu ya moto watakufa wengi

  • @mwajumamande8477
    @mwajumamande8477 3 місяці тому +3

    Wana Simba tumevumilia maumivu sana,,,acheni tuenjoy jmn...MUNGU AMESEMA UKITAKA MAFANIKIO LAZIMA UWE NA SUBRA PIA UJITUME...Sasa tunaenjoy MUNGU IBARIKI SIMBA DAIMA TUSIJE TETEREKA TENE

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs 3 місяці тому

    Ubaya ubwela gari limewaka 👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @YohanaKivuyo-u3w
    @YohanaKivuyo-u3w 3 місяці тому +1

    💯💯💯💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉🎉🎉💕💕💕💕💕🤔🤔

  • @LeapChunky
    @LeapChunky 3 місяці тому +1

    Nani anakwosha na Simba kama me

  • @GodfreyJustine-x5p
    @GodfreyJustine-x5p 3 місяці тому +1

    Ateba nomasana msimuhuu Simba niyamoto

  • @SaliminiMnongane
    @SaliminiMnongane 3 місяці тому

    Lazma kabsa amn kipingamiz❤

  • @amanimakame6902
    @amanimakame6902 3 місяці тому +1

    Mpazu coming soon. Jitarisheni

  • @faidha23
    @faidha23 3 місяці тому +1

    Ivi fei uwaga anakamiag saba yanga leo vip baba

  • @KennyAlly-b3w
    @KennyAlly-b3w 2 місяці тому +2

    yesu ndo njia ya wote bila yy amna unacho fanya

  • @MwanaishaHussein-di2ty
    @MwanaishaHussein-di2ty 3 місяці тому

    Round ya nne?

  • @KennyAlly-b3w
    @KennyAlly-b3w 2 місяці тому

    amen

  • @dbrothers4551
    @dbrothers4551 3 місяці тому

    Ila feisal noma sanaaaa

    • @EvansTz
      @EvansTz 3 місяці тому

      😅😅😅😅😅😅 boys

  • @BugumbaMakolo
    @BugumbaMakolo 3 місяці тому

    🎤saut inatosha hii ndo Simba brother

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 3 місяці тому +2

    Simba bado inajitafuta bwetekeni mtajikuta wanachukua kikombe

  • @RenadNathan
    @RenadNathan 3 місяці тому

    Siy ling kuu had bondasiliqa watachuktuwa❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @justinemasweta2877
    @justinemasweta2877 3 місяці тому +2

    Wale tunaowasikitikia simba wamavojifariji tujuane😂😂😂

  • @YasserShaaban-xz3ck
    @YasserShaaban-xz3ck 3 місяці тому +1

    Faisal salum uje msimbazi kaka

  • @MashakaRashidi-kh2hw
    @MashakaRashidi-kh2hw 3 місяці тому

    Huyo god Nimsenge

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g 3 місяці тому

    😊😊😊
    😊😊😊😊😊

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 3 місяці тому +1

    Kwa hii SANDA wote wataivaa , kuikwepa sanda ni kuikimbia Ligi kuu tu. Mathalani team inashiriki ligi kuu ya NBC Mauti iko palepale.😂😂😂

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 3 місяці тому +1

    Kocha wa Azam kaulizwa maswali magum sana