LUSINDE AWAPA ONYO CHADEMA, "JICHO LA VIONGOZ WA NCHI HII YANAMTAZAMA MSIGWA, ATAJITAFUTIA MATATIZO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @allanmoshiro123
    @allanmoshiro123 3 місяці тому +1

    ccm wamewalipa watu Fulani, kakundi kwa ajili ya kushangilia tu. MACHAW

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 3 місяці тому +2

    Siasa za Tanzania ni za ovyo. Wananchi tunayafuatilia sana.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому +1

    Chadema mnakijua kinawatisha ndo maana mna sema muda wote chadema tu.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 місяці тому

    Teknolojia tu hiyo

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 місяці тому +2

    Kazi ya mafisi ni kununua watu kwa kodi zetu huo ni ukweli usiopingika

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому

    Kumbe ukitaka kuonekana cheza chedema.lazima uwonekane.basi msigwa hupo sahii.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому

    Hulipokua chadema hulikua mbwa sasa leo umekuja kwetu umekua mtu safi.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 3 місяці тому +1

    KWa pesa za wizi mnaweza kuwa dunia nzima. Ufisadi wa mali za wananchi hizo. Inakuja siku. Na nyinyi vitisho vya nini. Ni nyinyi ndo mnawatishia wananchi. Tunahitaji tüme huru na Katiba mpya ya wananchi. Si ombi ni haki yetu. Yaani Msigwa kumbe ni muhimu na maarufu sana kwa ccm kuliko wote wa ccm. Kumbe hamna wenye kuona mbali huko.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 місяці тому

    Matusi ndiyo hoja .!!Muwe na kauli njema Mnaona kenya hata Tanzania inaweza kuingia kwenye vurugu .

  • @boniphaceedward3185
    @boniphaceedward3185 3 місяці тому

    Sasa hiyo inasaidiaje? Maish ya Wananchi? Mbona siasa zetu mnaitaja CHADEMA tu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому

    Wakamtongoza leo.mmemtongoza nyinyi linatongozwa tu

  • @StanleyShoo-x7u
    @StanleyShoo-x7u 3 місяці тому

    Inapendeza bila kutaja chadema akuna usingizi

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому

    Nchi hii haiko huko.msilete ujanja wenu.mkaja mkafanya yenu mkasema ni chama kile.kumbe

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 місяці тому

    Keisha taaaaa

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 3 місяці тому

    Kashindwa uenyekiti kanda ndo amehama

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 2 місяці тому

    Lusinde Kiboko

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 3 місяці тому

    Wanahutubia watoto tu hakuna mwenye akili timamu akawasikiliza Hawa inzi wa kijani

  • @michaelchombo8956
    @michaelchombo8956 3 місяці тому

    Ccm imechokwa na watanzania ndo maana uchaguzi mnatumia mabavu

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 3 місяці тому

    Watu wa iringa wamechukia

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 місяці тому

    Asante sana ccm ,ndio chama sahihi

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 3 місяці тому

    Siasa za majungu zipo Tanzania , Kenya wanasimamia siasa halisi

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 місяці тому

      Hamia Kenya Fala wewe,hujui yanayoendelea Kenya kwakuwa huna akili

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 3 місяці тому

      @@walidmgonja3644 ukweli unauma sana 🤣🤣

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 місяці тому

      Kwahiyo kuvunja maduka na kuiba ndio siasa halisi?

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 3 місяці тому

    Ongea poiti mzee mzingwa ndye nn umekuwa wimbo

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому

    Sio kweli hakumanisha hicho.mmekata maneno.hiyo wizi wakuls walimwibia nan.namzurumati wajinga ndo.mnawambia hayo maneno.yeye kazurum nini magum yapi mbona haligombea hskashindwa.hasingeshindwa hangeama.

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 3 місяці тому +2

    Mccm bhana ,Yani sijui wanaona watanzania Bado ni wajinga???

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 3 місяці тому +2

    None sense

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 3 місяці тому

    Sio, ccm hii ya majizi

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 3 місяці тому

    Kumbe mzigwa amezoleka kutongozwa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 3 місяці тому

    Acha tamaa wewesi chadema?

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 3 місяці тому

    Wewe kibajaji una ngumu gani wewe kujifanya mjanjaaa