Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Watching from Saudi Arabia 🇰🇪🇸🇦
Nashukuru kwa mahubiri yako Mtumishi wa Mungu, ukweli kabisa amboho wakristu hawawezi kubali 🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇬🇧
Mungu aendelee Kukufunulia zaidi Mtumishi.Nimefurahia mahubiri Yako🙏
Ameni mungu akubaliki sana mtumishi wamungu tuko pamoja twambie tupone
Nakufuatilia nikiwa tunduma momba songwe mtumishi ubarikiwe kwa ukweri wa neno la mungu ila sisi wafrika kichwa ngumu we piga neno tu
mungu akubariki IPM ume nifundisha mengi🙏
Mungu akupe miaka buku baba unatufumbuwa macho jaman
Pamoja sana ipm mwamba nakufatilia sana
asante baba nakufatiliya saaana baba kabisa kwa maana miye tangu nilipo Anna kufatiliya sija wai ku jutiya kukutanana naweye kwenye njia yangu
Mahubiri ya ipm ni mahubiri mazuri sana,na fwatilia sana nikiwa Kenya,na ipo siku nitafika Tanzania kwa achili yake,God is good 🎉🎉🎉🎉
IPM ❤❤ sasa boro nimekija mala Moja hapoo kanisani nashidwa kuja kila JP changamoto ni umbali mungu hakubaliki❤🙏🙏🙏
Nakuelewa sana
Ata isiwe kesho wala kesho yake bado ninaimani ipo siku nitafika kanisani kwako Mungu akubariki sana
Kbs❤🎉🎉
Nakufatilia kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, IPM hubiri baba huo ndio ukweli
Nakufuatlia sana
ipm hakika uko sawa saruti
Nakupata Nikiwa Bongo
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅junior
Imeandikwa wapo kutuhudumia!!! Ebr.1:13-14
Nakufatilia ipm
Bado nakufuatilia toka Chemba Dodoma.....Ni yeye yule, Jana, leo na hata milele!.
❤❤❤❤❤
Unasema kweri ushangani tuna shinja wayama mbuzi watatu kwa mtu moja unasemakweri
Nakufatilia kutoka tarime. Musoma
Tikiti la upako 😅😅😅😅
Unani gusa mshungaji
Kwa kweli Prophet umenifungua na mengi sana kuhusu mambo uliyo ndani ya biblia. mengi tumefishwa ila bado hajakua retard.
Nafutulia kutoka nairobi nafuria mahubiri yako
🙏