DR ELIE / LILLIAN MWASHA: MWANAMKE KUTOKA KWENYE NDOA NI SAWA NA KUJIUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @GODisable7573
    @GODisable7573 День тому +2

    Asante sana kwa somo. Tafadhali tunaomba utuwekee muendelezo wa somo🙏🏾🙏🏾

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 День тому +3

    Dada Lillian hongera dadangu, law upendo wako,ila Kweeli mimi ninatafuta no zako niwasiliane tu kidogo na wewe.God BLESS you much

  • @sifunisamwel8830
    @sifunisamwel8830 День тому +10

    Wapo wanaume wengi zaidi ya wanawake wanaokufa kutokana na wanawake kwa kupata presha ila ni vile wanaume hawana kusemasema ovyo. Na kwa hizi sheria zisipoangalia kizazi kijacho wanaume watawakimbia wanawake.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio День тому +2

    Dr. Ellie , ubarikiwe Sana ! Unaishi vile unavyoamini, Amini kuwa ndoa ni tamu❤

  • @jennymabula6812
    @jennymabula6812 День тому +2

    Da lili asnte sn .
    Kweli wanawake Mungu anatulinda .
    Da lili naomba no zako pls.🙏

  • @MasiRose
    @MasiRose 16 годин тому

    Asnte sana dada lilian mfumo wa wanaume unatumalize
    Wanawake tuzidi kujitokeza katika semina

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 День тому +5

    Tena wanawake wanauwawa sanaaaa ndani ya ndoa

  • @Tonga994
    @Tonga994 15 годин тому

    Mmmmh aiseee,Mungu tufunulie haya tuweze kuelewa na kuyaishi

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 День тому +1

    Shukran sana funzo nutrition sana aliokuwa na mashikio atafaidika ❤❤❤❤

  • @SoleilNdayizeye
    @SoleilNdayizeye День тому +1

    Asante sana Mungu awabaliki

  • @NJIASALAMATV-r3z
    @NJIASALAMATV-r3z 23 години тому +2

    Bali pasipokuzaliwa mara ya pili kwa yaaani kuongoka kwa wanandoa wote hamuwezipata amani, upendo ni tunda la Roho!

  • @EverineCuthbert
    @EverineCuthbert День тому +1

    Be blessed Mpendwa Lillian

  • @Masokabya08
    @Masokabya08 День тому +1

    ubarikiwe sana Dr 🎉

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 14 годин тому +3

    Wanawake acheni kuvumilia upumbavu wa aina yoyote.
    Beba begi lako sepa na kijiji..its 2024 huna faida na mume,umepewa maisha yafaidi acha kujinyima furaha ya kuenjoy maisha sbb unavumilia ujinga.
    Tatizo mmefanya ndoa mitaji hamna mwelekeo inabidi mkae ili mpate ugali.
    Women lets love ourselves and be self reliant..ukiwa na pesa yako utaelewa hujawahi penda ata mara moja,ilkw njaa tu

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 14 годин тому

    DOCTOR MIE NAOGOPA 🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @IsayaMorange-wb5ek
    @IsayaMorange-wb5ek 2 дні тому +1

    Love you Liliani mwasha, kwa upendo wako

    • @fora2009
      @fora2009 2 дні тому

      Lilian mungu akulinde na vizazi vyako❤❤❤

  • @elishapembese1963
    @elishapembese1963 День тому +1

    Aisee. Hii Shule imeshiba Sana

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 19 годин тому

    Huyo mama mwenye wigi mpeni godoro jamani 😂😂

  • @AngelineSaidi
    @AngelineSaidi День тому +1

    Da Liliane ubarikie kwaswali hilo mana wanawake twa teseka sana

  • @SaidaEgwaga
    @SaidaEgwaga День тому

    Ahsante sana

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 20 годин тому

    Huyo mwanamke hapo tangu mwanzo wa seminar analala hadi anaboa

  • @stellahmsoma7461
    @stellahmsoma7461 День тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NJIASALAMATV-r3z
    @NJIASALAMATV-r3z 23 години тому

    Msizitumainie akili zene wenyewe,bali muongozwe na Roho mtakatifu!

  • @deniskimario9288
    @deniskimario9288 День тому +1

    Njaa hufanya chakula kiwe na utamu.

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 День тому +1

    Mwanamke mnyenyekevu kamwe hawezi pigwa na mume...,

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 15 годин тому +1

      Hujui unachoongea wewe

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 14 годин тому +1

      Wewe ndo wale wale,unajua kama kuna wanaume wako na trauma wanapiga wanawake bila sababu,je unajua unaweza ukawa mpole na ukamuuliza jambo mwanaume au mtu yeyote mwenye trauma na akaibua hasira kutokana na majanga aliyopitia huko,sasa mwanaume wa hivi hata apate mwanamke malaika atamuabuse tu. Vingine msiongee tu sababu mnataka kuongea.....

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 15 годин тому

    Ni 2024 wanawake fungukeni akili,kwanza ndoa haina faida yoyote kwa mwanamke karne hii ...faida ni ya mwanaume tu..anaishi kama mfalme wewe kama mtumwa na bado umstareheshe. .ila kwakuwa wanawake tunahis ndoa ndo purpose yao watafika wamechoka sana.
    Ushawah skia mume kamvumulia mwanamke kwa kosa lolote?wao wanajiweka kwanza,sasa wewe baki apo umevumilia ujinga ...unamskiliza huyu baba asiyejua alisemalo amezaliwa mwaka 1800 amejaa mfumo dume ..ni yeye ndo hana akili

    • @barakaboaz
      @barakaboaz 13 годин тому

      kwahyo watoke ili wakazini au achakupotosha watu

    • @jameslyatuu95
      @jameslyatuu95 10 годин тому

      Wewe ni nani unaepingana na Mwenyezi Mungu? Maana Ndoa ni maagizo ya mwenyezi Mungu wewe kama nani unasema ndoa haina maana?

  • @abulfuluss8739
    @abulfuluss8739 19 годин тому

    Lilian samahani hii haijakamilika kama kipo kipande kimebakia tueke tafadhali

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 День тому +1

    Uongo we nae dini zote zina bifu iyo vipi labda dini yenu

  • @TheresiafaustineMeela
    @TheresiafaustineMeela День тому

    😮

  • @ananiamoses3922
    @ananiamoses3922 День тому +1

    P