MAHUSIANO BILA KUMSHIRIKISHA MUNGU YANAKUUA HIVI HIVI, MTOTO WA BILIONE NCHINI AMBAE ANAMILIKI KAMPUNI ZA USAFIR WA MAJINI, NA KAMPUNI MBALIMBALI ZA VYAKULA PAMOJA NA TIMU YA MPIRA ALIVYOFANYA UMAFIA NA KUMPORA MCHUMBA KIJANA HUYU ALIYEMPENDA KUPITA KITUCHOCHOTE. NI TUKIO LA KUSISIMUA SANA NA LENYE MAFUNDISHO SANA HASA KWA VIJANA MNAOINGIA KWENYE MAHUSIANO TAMBUA KUBWA HUYO ULIYE NAE HUENDA SIO ADAMA WAKO AU HAWA WAKO. TAZAMA VIDEO HII HADI MWISHO, UNAWEZA KUWASILIANA NA CHUMBA CHETU CHA HABARI KWA SIMU NAMBA +255713575718. ua-cam.com/video/1kw7AfLe3tg/v-deo.html
Eti .....madirisha ya mbinguni...hata nikose pa kuweka. Pa kuweka??? Katika Nchi yao wanamiliki/watamiliki mara dufu; Kristo alikuwa maskini ingawa.... Ili SISI... Eti vyote ni vyenu......Vipo chini ya miguu ya Kristo .....How? Iliwezekanaje kwa Obadiah manabii....kila pango. Agano la kale; Leo?
Kati ya wachungaji wenye akili nyingi na walio tumwa na mungu basi ni wewe na haukuna mwingine yoyote hapa tanzania hakuna kabisa maana wewe unatufundisha imani ya kweli na sio ile ya nadharia
Ndugu yangu IPM; hayo yooote nayaamini na nimekuwa na maswali mengi!!! Malaika wamewahi kunisaidia. Lakini?!! Kama vile waliamua tu; grantee nao sina. How?
Amen 🙏
amina baba
Nashukuru kwa mafundisho aya ubarikiwe na Mungu
Mungu azidi kukupa kibali chake ili wanaho kukufatiliya wapate faida nyingi sana kupitiya wewe nabii.🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾
MAHUSIANO BILA KUMSHIRIKISHA MUNGU YANAKUUA HIVI HIVI, MTOTO WA BILIONE NCHINI AMBAE ANAMILIKI KAMPUNI ZA USAFIR WA MAJINI, NA KAMPUNI MBALIMBALI ZA VYAKULA PAMOJA NA TIMU YA MPIRA ALIVYOFANYA UMAFIA NA KUMPORA MCHUMBA KIJANA HUYU ALIYEMPENDA KUPITA KITUCHOCHOTE.
NI TUKIO LA KUSISIMUA SANA NA LENYE MAFUNDISHO SANA HASA KWA VIJANA MNAOINGIA KWENYE MAHUSIANO TAMBUA KUBWA HUYO ULIYE NAE HUENDA SIO ADAMA WAKO AU HAWA WAKO.
TAZAMA VIDEO HII HADI MWISHO, UNAWEZA KUWASILIANA NA CHUMBA CHETU CHA HABARI KWA SIMU NAMBA +255713575718.
ua-cam.com/video/1kw7AfLe3tg/v-deo.html
Emungu anissidie nijue jinsi ya kuchinja nikiwa kwangu
Ameen🙏🙏🙏🙏one day I wish to meet you
Nimekiri sana Kaka kwa kusimamia maandiko! Bado nimekuwa kama nabahatisha tu; NIPE KANUNI PLEASE.
Tunaweza kutumia malaika anje ?
❤❤❤MUNGU MUWEWEZA AKUBARIKI
Okay sasa nakuelewa
❤❤❤❤
Hata sihitaji iyo "vorg" only NISSAN DOUBLE CABIN
Umenivunja moyo IPM, masaa mawili nakusikiliza lkn hujafundisha ulichoandika kabisa.
Eti .....madirisha ya mbinguni...hata nikose pa kuweka. Pa kuweka??? Katika Nchi yao wanamiliki/watamiliki mara dufu; Kristo alikuwa maskini ingawa.... Ili SISI... Eti vyote ni vyenu......Vipo chini ya miguu ya Kristo .....How? Iliwezekanaje kwa Obadiah manabii....kila pango. Agano la kale; Leo?
Kati ya wachungaji wenye akili nyingi na walio tumwa na mungu basi ni wewe na haukuna mwingine yoyote hapa tanzania hakuna kabisa maana wewe unatufundisha imani ya kweli na sio ile ya nadharia
Ndugu yangu IPM; hayo yooote nayaamini na nimekuwa na maswali mengi!!! Malaika wamewahi kunisaidia. Lakini?!! Kama vile waliamua tu; grantee nao sina. How?
H😂😂😂😂 ipm
Please, please, please. Nasubiri mada jinsi ya kuwatumia malaika. Siku ukinisaidia nikamuona MUNGU ninayemsoma kwenye Biblia; NITAMWISHIA.
😂 Mbona mada imesha elezewa