X KARUDI (PART 1) | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лют 2023
  • Baada ya Adam kumfukuza aliyekuwa mpenzi wake (Anita) baada ya wiki kadhaa Anita anajigundua kuwa ni mjamzito na wakati huo tayari Adam tayari akiwa amemrudisha mama mtoto wake nyumbani kwake.
    Mama yake Anita hakubali suala la binti yake kubaki nyumbani anaamua kumpambani ili arudi nyumbani kwake akaishi na Adam na hapa ndipo vita inapoanzia.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 607

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +17

    Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @rachelmwakajila145
    @rachelmwakajila145 Рік тому +27

    Dah nimekusubiri sana Adam, bonge la filamu, Yani tangu nianze kukufuatilia hujawahi niangusha, filamu zako ni shule tosha, jamani tushee kazi za huyu kijana afike mbali... Nipeni likes zangu🤪🤪🤪

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990

    Wanaomkubali kazi za Adam tujuane,

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante mnoo🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @VALENTINEMKENDA-kz8qo
    @VALENTINEMKENDA-kz8qo Рік тому +3

    Adam wewe ni muigizaji Bora Sana upo vizuri keep it up kaka!!!!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Shukrani sana aisee, 🙏🙏Asante kwa kutazama pia.

  • @khalidimzamiru9406
    @khalidimzamiru9406 Рік тому +1

    Hunaga kazi mbovu kaka saf san mungu akunyanyue ndug yang

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Рік тому +6

    Part 2 plz Adam kazi nzuri Sana pia shadia nampenda sana huyu dada anajua kuact vizur namkubal Sana Sana nawakubal wote type part 2

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Asante sana, part 2 soon naiweka, hivyo usiache ku subscribe.

    • @athumanomary2508
      @athumanomary2508 Рік тому

      Kusab sklibe kitambo mbona sema party 2 iwahi kak mkubw

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @rebeccakadzo8057
    @rebeccakadzo8057 Рік тому +4

    Adam nakubali Kaz Yako, movie nzuri sana yenye mafunzo 🥰💪🔥🔥🔥

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana nashukuru, nitaendelea kufanya kwa ubora kila kukicha.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @sidemjapan-1941
    @sidemjapan-1941 Рік тому +1

    Kiukwel mgangaa unatishaaa nimekubali kaziii

  • @vxp5228
    @vxp5228 8 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana adam napenda sana movie zako❤❤❤

  • @MercyEditha
    @MercyEditha 7 місяців тому +1

    Adamu.....unafanya vizuri sana kazi zako...🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +8

    Jamani mambo mazuri nimewawekea kwenye GROUP LANGU LA WHATSAPP ili kujiunga bonyeza link hii litakupeleka moja kwa moja kwenye WHATSAPP GROUP langu uweze kufurahia kazi zangu nyingi..
    chat.whatsapp.com/JAVGpA3xKfVAUKHCGxsVHt

  • @kadkadzo7543
    @kadkadzo7543 Рік тому +5

    Congratulations 👏 Adam Leo movies zenu ni nzuri napenda sana 🥰

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Shukrani sanq

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @AffectionateDachshund-do5ty
    @AffectionateDachshund-do5ty 6 місяців тому +1

    Nakukubari sana adam ukovizuri sana kistor

  • @user-mr3zn3hw4w
    @user-mr3zn3hw4w 8 місяців тому +2

    Nimefuatilia movie zako bro ziko sawa sana nikiwa mombasa uku good work bro

  • @mpmp3195
    @mpmp3195 Рік тому +4

    Kwl brother umeni furahisha.sana kwamovi zako
    Alfuni kwambie Adamu.wafanana sana 🦋 namupenzi wangu yani nimuku bwa namu do go🦋🦋🎉

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @witabashurleen
    @witabashurleen 8 місяців тому +2

    Naeza mpataje huyu mama mzuri jamani 😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 місяців тому +1

      Utampata tu

    • @witabashurleen
      @witabashurleen 8 місяців тому

      Episodes zanibamba naziwatch ka zote from kenya 💝💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому +3

    Muko sawa kabisa ❤keep going

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 Рік тому +3

    Mama nmekupenda bure❤❤❤😅

  • @khadijaali4989
    @khadijaali4989 Рік тому +4

    Wow😘😘😘iko poa hatari 😍😍

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Shukrani sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 Рік тому +2

    Congratulation, huna mbaya broo Adam , Mungu akusimamie ❤

  • @zamzamhaji1229
    @zamzamhaji1229 Рік тому +4

    Yaani adam unavo igiza kwa hisia Hadi Raha unatukosha roho wadada kwakweli ☺️🥰
    Movie zako nazipenda tena na tena ❤️‍🔥❤️‍🔥💯

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

    • @kaliojeusi-uv1vf
      @kaliojeusi-uv1vf Рік тому +1

      Ongera kk umetisha

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante Kalio

    • @emillyajiambo4703
      @emillyajiambo4703 8 місяців тому

      Asante kwa kazi nzuri Adam keep it up bro ❤❤❤

  • @user-gd6ur5bg5s
    @user-gd6ur5bg5s 7 місяців тому +1

    Kazi nzuri sana adam kutokeya nianze kufatiliya fulam zako kiukweli nimejifunda mambo mengu sana ubarikiwe sana na mungu azidi kukupanguvu na kiukweli watu wengi wanajifunza vitu vingi mno ❤❤❤

  • @johnlukumwaisvisanmaguvuli4885

    adamu wew ni mwanaume ambaye unatoa mvi ambaye unavundisha ulimwengu mungu akulinde

  • @scolanicholas5986
    @scolanicholas5986 8 місяців тому +1

    Kazi nzur Adam

  • @AbdallahMwanga
    @AbdallahMwanga 7 місяців тому +1

    Kaka Adamu habar zasiku broo

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +4

    Hatimaye umerejea,binafsi nilisubiri kwahamu kubwa sana,asante sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Karibu sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @mwanalimasaid2368
    @mwanalimasaid2368 Рік тому +4

    Mapema ndo best🥰🥰

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Thanks a lot...!!!🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @clemomwangi1945
    @clemomwangi1945 Рік тому +3

    Adam keep up good work naeza kujoin am interested in acting bongo movie's kama ile ya kinyozi n malezi ya ovyo I like it bro

  • @user-fm4tc6eh8g
    @user-fm4tc6eh8g 7 місяців тому +1

    Nice brother good working

  • @totooz5853
    @totooz5853 Рік тому +4

    NINACHO MPNDEA ADAM NI VERY ROMANTIC🥰🥰UNGEKUA KENYA NINGEKUTAFUTA KWA UDI😂😂😂TATIZO TZ SINA MWENYEZI😀😀😀😀😀good work Adam🇰🇪🇰🇪

  • @evansdarreyn2517
    @evansdarreyn2517 Рік тому +4

    Kazi nzuri broh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana,

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 Рік тому +3

    Kabisa mimi pia nimefurai sana kumuona

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Shukrani sana🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 Рік тому +3

    Kazi nzuri hongereni wahusika wote

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Nashukuru sana kiukweli.🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @samuelnzaro6029
    @samuelnzaro6029 8 місяців тому +1

    Adam nakubali filamu zako

  • @mweroruwa6339
    @mweroruwa6339 Рік тому +3

    Adam wa Leo mkongwe wa hizi kazi big sanaaaaaa bro

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana kaka usiache ku subscribe.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 8 місяців тому +1

    Adam ubarikiwe sana kakaa yan movie zoko nzuri mkapa bc tu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-md4lp4qq2z
    @user-md4lp4qq2z Рік тому +1

    Nimefurahi sana IME nipamafunzo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana endelea kuburudika na kazi zetu.

  • @mattarthanny1344
    @mattarthanny1344 Рік тому +1

    ,,,,, yeah,uliadimika mda

  • @halimamwakizondo8712
    @halimamwakizondo8712 Рік тому +3

    Movie nzuri sana mashallah kaka adamu leo mungu akujalie tena na tena unajua jamani

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana!!!🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 Рік тому +4

    Wow , nice movie yenye mafunzo pongezi Adam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana aiseee... endelea kutazama filamu zetu.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @neemajohn-ob3gd
    @neemajohn-ob3gd Рік тому +4

    Filamu Kali sana hii, Adam unajua sana kuigiza😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @patriciaange7021
    @patriciaange7021 Рік тому +4

    Jamani Adam Nawapenda Nikiwa DRC 🇨🇩 Yani napenda sana filamu zako kaka yangu

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana aisee.🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @costabanzi1692
    @costabanzi1692 Рік тому +3

    nakubali sana kazi zako bloo nikeangalia na enjoy mungu akulinde

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Amen, nashukuru kwa kutazama kazi zangu.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @faridaali2820
    @faridaali2820 Рік тому +1

    Nakubali kaka Adam Hii umeweza

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Uje ulipiee bhaaanaa

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @eslaesla1545
    @eslaesla1545 Рік тому +3

    Kaka hongera kazi yako nzuri aki ningekua karibu nawe ninge kupa zawadi kubwa saana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Bado unaweza kutuma na ikafika.🤣🤣🤣nikupe namba.?

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @user-xf5vr4vr8p
    @user-xf5vr4vr8p 6 місяців тому +1

    Nakukubar sn mr Adam

  • @user-mp3rd1ii3g
    @user-mp3rd1ii3g 8 місяців тому +1

    vzl sana kaka Adam

  • @mamu1155
    @mamu1155 Рік тому +3

    Wow hujawai kunibwaga Adam sema long time sijakuona ...nakupenda bure

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Nakupenda pia

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @sofia-es3dm
    @sofia-es3dm 9 місяців тому +1

    Kazi nzur sana adam napenda move zako❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kettymaggie5202
    @kettymaggie5202 Рік тому +4

    Kwa kweli io dawa ni Kali 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Ni noma dawa kali mnooo...

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @user-fy3zy6wc2q
    @user-fy3zy6wc2q 4 місяці тому +1

    Ongera adam

  • @josephineminanisalma3792
    @josephineminanisalma3792 Рік тому +3

    Adam macho yameishia njiani 👀 sijaona parti 2

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Soon tunaiweka.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 Рік тому +3

    Wee Adam mtu kakusamehe unataka akuonyeshe nn sasa ama unamambo yako😂😂😂😂😂😂

  • @gseh9277
    @gseh9277 Рік тому +2

    Nilikuwa nakuwaza ww mbona upo kimya huleti mambo matamu jamn nimefrahi ahsant sana 😘😘😘😘😘bado kidigo tu nikunununie😀😀😀😀😀

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahaha usinunee bhanaa, tupo pamoja.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 Рік тому +3

    Asante kwa movie mzuriiii sana hongera yaani movie zako unatoa zenye funzo tosha Mungu akubariki na washiriki woote

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana, muendelee kutuombea tuendelee kufanya kazi zenye ubora.

    • @nazomohammed185
      @nazomohammed185 Рік тому +1

      Nice 👍

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @mwanashasuleiman7156
    @mwanashasuleiman7156 Рік тому +2

    Adam njoo unipe mbegu yako ntalea mwenywe 😊

  • @milcahwangura4234
    @milcahwangura4234 Рік тому +1

    😂 😂 😂 😂 Acha nicheke Adam eti maisha yako nikupanda tu pia mbegu unajua kupanda Sasa subiri kushuka ❤

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 Рік тому +4

    Adam movie zako zinabamba sana,zinamafunzo sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante mno🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @carolinegalaxy7188
    @carolinegalaxy7188 Рік тому +3

    Movie nzuri sana tuletee part 2 plz

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Soon tunaiweka namba 2 bila shida jamani.

    • @carolinegalaxy7188
      @carolinegalaxy7188 Рік тому +1

      @@AdamLeoStudios lini aki nko n ham sana aki

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Soon tu naiweka.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @umaima1178
    @umaima1178 10 місяців тому +1

    Fanyeni haraka shadiya asione 😂😂😂😂

  • @grice2075
    @grice2075 Рік тому +2

    Safi sana bro movie juri sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani mno

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @GeraldMmekhwa-sb5gh
    @GeraldMmekhwa-sb5gh 10 місяців тому +1

    Nzuri sana hii endeleeni kuelimisha jamami yetu.

  • @user-ko4in4uy1u
    @user-ko4in4uy1u 7 місяців тому +1

    Maman Muzuli Sana❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦

  • @atijatuaha1865
    @atijatuaha1865 Рік тому +3

    Kaz mzur from msumbiji 🤏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому +2

    Saw br adam movie zako tamu san n zafundish mungu akubark

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Amen🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 21 день тому +1

    😢😢😢yarrabiii uchawi upo kweli😢😢

  • @hildaedison2469
    @hildaedison2469 Рік тому +2

    Hongera adam Kwa Kazi nzuri

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Asante sana aisee, barikiwa sana.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @rudekhan893
    @rudekhan893 Рік тому +3

    Adam uyo mganga ametukosea Wana songea 😂😂😂 ety anamambo mazito katoka songea 😂 uongo bhana 😂

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 Рік тому +3

    Shukran sana washiriki

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana Hamida.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому +3

    Adam 🔥🔥🔥🔥mnaweza sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @wstaramohammed3689
    @wstaramohammed3689 Рік тому +4

    😂😂😂 naanza nakucheka kabla ya kuiyangalia muvi yenyewe.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Enjoy tu jamani

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @user-ll7np8td7x
    @user-ll7np8td7x 6 місяців тому +1

    Kazi mnzuri mashaailah mashaailah

  • @somas1170
    @somas1170 Рік тому +2

    Nakubali adam kazi yako tupe part 2

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Soon naiweka namba 2 usijali.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 Рік тому +3

    ❤♥❤♥♥♥❤♥CONGRATULATIONS BROTHER ADAM LEO❤❤♥♥

  • @milkamakena3914
    @milkamakena3914 Рік тому +2

    Pongesi sana kwako kaka angu kazi nzuri niruhusu nikirudi kenya tufanye moja sasa jamani katika movie zako zote kihoro na karudi zimemeniteka

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana, karibu katika group langu la whatsapp pia.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

    • @milkamakena3914
      @milkamakena3914 Рік тому +1

      Niko ndani najiita nadia

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      🙏🌹

  • @fridamnyazi7276
    @fridamnyazi7276 Рік тому +1

    Adam ukuje kenya kunichukua juu filam zako zanivutia walai

  • @LusanaTimotheo-mf1nn
    @LusanaTimotheo-mf1nn 10 місяців тому +1

    Adam 🎉nakukubali sana kwa filam zako

  • @glaysuneytvkenyansingulf7818
    @glaysuneytvkenyansingulf7818 Рік тому +3

    Big up bro🥰🥰💪🔥

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Thanks 🔥

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @user-nc9qq6em4k
    @user-nc9qq6em4k 4 місяці тому +1

    Hii move ni motoo

  • @naomisamwel18
    @naomisamwel18 Рік тому +1

    Leo nmefany kaz y ku-like tu😆 mpendw Adam thnx kw movie nzur

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani njoo whatsapp upate namba 2

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @fredandrew7757
    @fredandrew7757 Рік тому +1

    Bonge la filamu kazi nzuri sana

  • @tato8979
    @tato8979 Рік тому +2

    Kazi nzuri kaka Adam 🤗🤗

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Shukrani sana aisee.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @adijaabubakari4220
    @adijaabubakari4220 Рік тому +4

    Jamani Adam sijuwi niseme nini mimi yani movie nzuri 🎉❤❤I can’t wait for part two ❤❤usichelewe basi tafadhali❤😊🎉🎉

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante part 2 ipo tayari hivi karibuni nitawapa utaratibu wa kuiangalia.🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @gersonissa9124
    @gersonissa9124 Рік тому +6

    Vous êtes les meilleurs mes très chers auditeurs ✊✊✊

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Asante sana🙏

    • @gersonissa9124
      @gersonissa9124 Рік тому +1

      @@AdamLeoStudios je vous en prie mes boss

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @athumanomary2508
    @athumanomary2508 Рік тому +3

    Unachelewa tatizooooo jamaniiiii

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Pole ni bajeti ila tutajitahidi kuwahi

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 6 місяців тому +1

    Mganga huyu balaaaaaa

  • @mahijamohamed2106
    @mahijamohamed2106 Рік тому +2

    Woow movie nzurii mashallah

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Asante sana, karibu.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @leviathaleopord9134
    @leviathaleopord9134 Рік тому +3

    Nilikuwa naisubiria kwa hamu hii movie 😍

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Shukrani, hiyo hapo Enjoy aisee.!!!

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 Рік тому +2

    Adamu bana mashetani ya kizingua na kingoni hahahhaha umenichekesha

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Hahahaha si wajua mi mzigua tena...

    • @evansdarreyn2517
      @evansdarreyn2517 Рік тому +1

      @@AdamLeoStudios good work adam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Asante sana🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @user-ii9uo6oh5v
    @user-ii9uo6oh5v 9 місяців тому

    Aaaaaah jaman hii filam nimeeeielewa vibaya nikupe tu ❤❤❤❤

  • @mariammaku7418
    @mariammaku7418 Рік тому +3

    Nmecheka apo kwa kupanda milima na hushuki 🤣🤣🤣🤣, Longtime Adam ...haya part 2 isichelewe

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Sawa sichelewi jamani🙏🙏🙏

    • @mariammaku7418
      @mariammaku7418 Рік тому +1

      @@AdamLeoStudios wee n mkali kwakwel,KAZI yako ipo vzr sana

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Shukrani sana🙏🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @ramaali7511
    @ramaali7511 Рік тому +2

    Kazi nzur bro nasbr part2

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Soon tunaiweka.🙏🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 Рік тому +2

    Usiicheleweshe part 2 plz 💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sawa soon tunaiweka.🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @PhabianMichael-vt9vj
    @PhabianMichael-vt9vj Рік тому +1

    Mh ajitahidi zaidi

  • @PeterOletibili
    @PeterOletibili 8 місяців тому +1

    Move nzuri mno 🥰❤️

  • @ErickNisha-mf4fd
    @ErickNisha-mf4fd Рік тому

    Uko vizuri kk natamani nige kusmulia historia ya maisha yangu ukatoa fundisho kwa jamii nakukubari Adam

  • @josephineminanisalma3792
    @josephineminanisalma3792 Рік тому +2

    Manshallah nzuri sana 🔥👌😂

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu Рік тому +1

    Nawakubari saan❤tuu

  • @isayamgallah9294
    @isayamgallah9294 Рік тому +3

    Dog upo vizr nakufuatilia sanaa chapchap 5 hizo

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sawa mkuu🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Sasa unaweza kutuchangia kwa kutazama filamu ya X KARUDI PART 2 kwa kuilipia sh. 1000 tu ya Kitanzania! Kwa maelezo zaidi tuandikie ujumbe whatsapp kwa namba yetu +255 652 393 960 au 0652 393 960! Asante mchango wako wa kununua filamu hii utatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine, ASANTE🙏

  • @gersonissa9124
    @gersonissa9124 Рік тому +3

    Lik from DR Congo 🇨🇩🇨🇩

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому +1

      Thanks a lot🙏🙏