Daah aisee naangalia hii muvie had machozi yanayotok hapa maana hata mimi ni dadah wa kazi naomba sana MUNGU atusaidie sis wadada wa kazi maana sio kwamba tunapenda ila daah.Naomba kila dada wa kazi anayesoma hii comment MUNGU amsaidie apate mume bora na maisha mazuri.
Mimi nimechoka adi na marafiki kwenye WhatsApp, Facebook na ata tiktok so UA-cam is the best💃💃 for now team strong wap likes jameni joto n kali 🙆♀️🙆♀️
😢Mh! Dhambi kubwa na VIBAYA KUMUOMBA binadamu MWENZIO hv km alivyosema huyu dada kumwambia dada wa KAZI kua hatokuja kuionja ndoa km yeye ndo MUNGU! Japo ni KUINGIZA lkn kihaliaia tucje fanya hv mana wapo wanaoiga kupitia movie.
Daaaaah😢😢😢hadi nimedodoka chozi... Jamani tuwe na heshima kwa kila mtu yule... Mdogo, mkubwa, maskini, tajiri..... Heshima tafadhali... You never know the plan of God 🙏
Mungu akubariki sana dada wa kaz Yan umetisha sana zuena wangu classmate wangu unajua ad kwigiza vizur hivo Wana mpuguso secondary oyeeeeeeeeee ❤❤❤ nakupenda sana best tukuyu Moja ushirika Moja move Kari sanaaaaaaaaa❤❤
@@busatitvno bro a'm seriously Wala sijambo langu mim niuhalisiya wangu nipo ready kufika sehem hiyo hata iwe naumbali kuasi gani so please let me know when they're 🙏🙏🤦🤦
Bonyeza link kujiunga group la WhatsApp
chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0
❤kaz Zuri sana
Asante sana
Tunaomba muendelezo nizur cn
Honger cn umefanya vizur cn
Kazi nzuri sana twasubiri muendelezo msicheleweshe pls 🙏
Tuilotoka TikTok Tujuane hapaa 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Mliotoka Tik Tok karibuni sana kwenye familia ya BUSATI TV
Aloo tupo wengi
Tupo😂😂😂😂 kwaajili ya Cady
ahahahahaha | ila baba revo
Nipo
Daah aisee naangalia hii muvie had machozi yanayotok hapa maana hata mimi ni dadah wa kazi naomba sana MUNGU atusaidie sis wadada wa kazi maana sio kwamba tunapenda ila daah.Naomba kila dada wa kazi anayesoma hii comment MUNGU amsaidie apate mume bora na maisha mazuri.
Pole habibty hata mm n mfanyakazi lakin nipo oman kaza moyo 😢😢
Kucha zabandia hatali sana😭😭😭😭😭
Pole da da a unaitwa nan tujuane apa
Ata mimi ni mdada wakazi Ila kazi bana inaitaji subra😢😢😢
Nimetoka mbali kweli mpaka kufika huku kuja kuiona iyo movi ya zuu ilivyozur 🔥
Asante sana na karibu mnoo
Kama mimi tu dah
Nand
Kuna mahali house garl mazoea na boss yamezidi[baba mwenye nyumba]
Mimi nimechoka adi na marafiki kwenye WhatsApp, Facebook na ata tiktok so UA-cam is the best💃💃 for now team strong wap likes jameni joto n kali 🙆♀️🙆♀️
Nani mwengine tiktok imemleta huku😂
Mjuane Kabisaaa
Niko hapaaaa
Mimi hapa😂😂
Niko hapa 😂😂
Mimi hapa😂😂
This will be one of the best series in Tanzania. It has a lot of life lessons. BIG UP guys
Thanks so much
True ❤
Bonge la move aisee nimependa mdada wa kazi heshima kwake jamani daaah!! 🌹🌹🌹yake
Kabisaaa
Apewe maua yake
God be with you l see
Movies with a lot of life lessons are the movies we would wish to watch, am impressed guys. Am your fun from KENYA.
We Love You 😘😘
Good work my dear friends. God the bless you
Asante sana
tuko hpa nampenda sana zuu
Jaman eshimuni waume zenu ❤❤❤❤❤❤❤,utalaumu ooo bwanangu ameenda na msichana wakaz 😂penda bire nyote
Umeona eeeh
huyu dada boss yani kuiiigiisa bado sana yani kelele tu..
🤣🤣🤣🤣
Nkweli😂 Yuko Bado sana
Daa Zuu kweli wastahili kuwa mke wa boss wako nidhamu nzuri sana
Kabisaa 🙏🙏
Hii Kali kuliko daa inatufaa siye wafanyakazi wa warabuni daaa mh Hadi chupi zandani Yani hivo hivo hhhhhhh Yani mmenifurahisha Leo sana keyi
Daaah poleni sana 🥰🥰
Ok
Mwisho ataachwa tu aolewe dada wa kazi🎉🎉🎉🎉
🤣🤣🤣
Dah vijana kuweni makini sana msikosee kuona maana huu ndo uhalisia wawake wasku iz❤❤❤❤❤❤❤
Kabisaaa
💖💖💖💖🙏🙏🙏
Nuebdjgue mdhfithfgbckgiry🎉hdbxcw❤ehdgbxgdgeywbz@@busatitv
Mnxkdirybdglajdgeitjfhsbzxv❤lkdnxvdheworlawp
Zmnxvorjfhsnxkepqjdbxv❤kruegdksbxceotuehs
Wow nzuri sana zuu ni mke na nusu kweli
Asantee
Kila kitu zuu ,kila kitu zuu aisse hi movie inafindisha
Asante sana aisee !! Kuna baadhi ya Maboss ni shida
Waarabu ndo tabia yao hio aki hii movie kali sn
Wallai@@priscilladama8686
Niko hapa kuhudhuria ndoa ya zuu na bosi sio jingine kama haipo mnijulishe ila naiona mbeleeeni
Movie tam ajabuuu... hongereni sanaaaaaaa, kila mtu ka play vzr part yake
Asante sanaaa
Tunawapenda sana sna sana kaz nzuri Allah awasimamie🎉
Asante sana🙏
Safi xn wana busati Masha'Allah kitu kizito iki cha msingi apa nmejifunza kua heshima kitu muhimu hata kam mtu humjui asnteni xn mzidi kutufunza❤❤
Asante sana kwa kujifunza
Heshima nikitu Cha muhimu sana
Mmeweza sana aiseee....kazi nzuri mnooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanamke mjinga asiye fahamu umuhim wa Mme wake
Nakubali
Hatari sana
Hii ni ng'ombe tu
Kwani kila wakati ni zuu zuu zuu,,, ningekua zuu ningenyorosha aka kamama ki kweli kweli na nikatoe izo kucha
😅😅😅😅hatari sana
Wow n nzur san💯 n kuna wengine tutajifunza kitu apa✅️🎉🎉
Aminaaa
Imeanza moto🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Asante sanaaa
😢Mh! Dhambi kubwa na VIBAYA KUMUOMBA binadamu MWENZIO hv km alivyosema huyu dada kumwambia dada wa KAZI kua hatokuja kuionja ndoa km yeye ndo MUNGU!
Japo ni KUINGIZA lkn kihaliaia tucje fanya hv mana wapo wanaoiga kupitia movie.
Mamb ni 🔥🔥🔥busat nawaaminia kadri siku zinavyozid kwenda mnazid kutisha mashaallah
Asante sana 🙏🙏
Jmn jmn waooo busati tunashukuru kwakutuletea ktu kizur sana pongez sana busati tv
Asante sanaaaa
🎉
Wap bust tv na kazi zako zuri San np hap kutoka omani waif zabure za warabu lete vitu una baya dj wetu huu 🔥🔥🔥🔥🔥 busat
Asante sana Tunakupenda mno
@@busatitv saw mwendelezo bas usitucheleweshe bas
😆😆😆 ety lete vit dj
@@SamouOman au nimekosea
Ujakosea
Huuuu nzuri san afu uyo mkeee laaa uuuu
🙏🙏🙏
Muendelezo jamani kazi zuri sana nawapenda sana
Asante sana 🙏🙏
Duh inauma sana aisee dada wa kazi jamn😢😢
Makopa kopa kwa busati tv❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤
Wewe ati hutakuja kuonja ndoa nni kasema
Kazi nzuri hatar ❤❤ila kaka mke hakufai🎉🎉🎉
🤣🤣🤣
@@busatitv mhh 🤭🤣🤣haya maliza kicheko halafu uniambie part 4ikowap
Kweli hii kali kabisaa,, imebidi nije huku baada ya kutoka tiktok
Hii muvi nzuri sana makopa menginengi kwako muandaaji♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Asante sanaaa
Asante sana ubarikiwe
Dhaa iMovie kila siku nilikua naipita kumbe kali ivi kanzi nzuri Sana❤❤
Tunaomba mwendelezo jamni nzr inafundisha Sana Kwa Sisi wadada wa kazi
Asante sana inakujaaa
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ kanzi nzuri sana❤❤❤❤🎉🎉
🙏🙏🥰🥰
Kalii sna muendelezo usichelew jamn
Inakujaa
Kuna wanawake natunamke hhhhhhhhhh😂😂😂 Ila kendy bana ajuwi mazingira ya mume😂😂😂
Ivo ivo kwenye sim nakuitwa kama sio binadam alafu kila saa kwenye sim wawo siye shida maneno mongi jamani wallahi nimeipenda sana hii mie
Asante sana Karibu Tunakupenda mno
Hizi ndio muvie za kupewa tuzo, muvi inafundisha inatoa funzo, hongera sana mtunzi
Mwanamke mnyanyasaji ameweza
Asante sana
😂😂😂😂❤❤❤❤❤ heshima si utumwa unaheshimiwa unaringa watu wengine bana
Yani hana adabu
Daaaaah😢😢😢hadi nimedodoka chozi... Jamani tuwe na heshima kwa kila mtu yule... Mdogo, mkubwa, maskini, tajiri..... Heshima tafadhali... You never know the plan of God 🙏
Asante sana kama umeliona hili 🙏🙏
Nawapewa wote😢🥰🥰
Nime tok mbalii tangu tikitok 😮 weeee achaa tu juanee humuu
Ayise hiiii movie nimeipenda ety dakika ngapotu nimeipenda ety
Asante sanaa 🙏🙏🙏
Kali ak nimeangalia mara mbilimbili ❤❤❤❤❤❤
Asante sana
Mungu akubariki sana dada wa kaz Yan umetisha sana zuena wangu classmate wangu unajua ad kwigiza vizur hivo Wana mpuguso secondary oyeeeeeeeeee ❤❤❤ nakupenda sana best tukuyu Moja ushirika Moja move Kari sanaaaaaaaaa❤❤
Watu wa Tukuyu oyeeeeee
Ndomana nasema mbn kadada kaheshma kumbe n ss wa tukuyu aiseeh muje muoeee
🎉🎉🎉🎉🎉muvi Kali sana
Asante sana
Nimeipenda ni move nzuri
Asante sana🙏
Seen nzuli sana ii heshi kwako dada wakazi
Asante sana🙏
Movie nzuri sana ila huyo mke kai uuuuwiiiiiii hatari 😂😂😂maneno ya mtiririka kama upepo busati hambahatishi ❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sanaaa 🙏🙏🥰🥰🥰
Ni zur sana tuna subr ya 2❤❤
Itakujaa 🙏🙏
Wow nzuri sana lakini huyo mke sio kabisa
Asante sana
Nzuriii sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😍😍🥰🥰
Wakwaza nimewahi 🎉🎉🎉🎉
Hongera sana
@@busatitv Asante alafu huyo mzee mwafanana ywaka kama babako for real
Mashanllah mashanllah mashanllah kazi ya moto
Asanteee
Inshallah
Hii kali sana inaenda 💯
Asante sana
Hongera zu
❤❤❤❤
Pat 2
Iyi nayo ni moto 👌👌❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Asante sana🙏
Mwarabu uyu madam 😂😂😂😂
Shoga angu we achatu😂😂😂
Huyu dada jau kweli😂😂😂
Dahhhhhh huyo mwanamke anadarau sana ningekuwa mimi ningemuoa mfanyi kazi
🤣🤣🤣
Ako na roho chafu
Wanajifanya Hawajui majukumu yao kila kitu dada wa kaz na dharau pia ila watu km Hawa wapo wengi sana na hii hizi tabia zitaadhibu mbele ya mungu
Nime MPEND dada wakazin❤❤❤❤❤❤❤❤
Daaah nimejifunza kitu hapa jmn
Asante sana kwa kijifunza
Duuuuh 😢😢huyu mama mwenye nyumba ajielewi yaani nguo za mumeo zandani azifue mdada wa kazi mmmmh. Muda wote na sim
Safii imetishaaa
🙏🙏🙏
Movie nzuri sana nmeipenda mno ❤❤❤❤
Hii nayo ni tamu sana msichelewe na next part
Episode ya pili tumeshapost
nzuri sanaaa jamani 😊❤ nawapenda sanaaa ❤❤❤
🥰🥰🥰
Nnahitaji kufaham Kabila yahuyu dada wakazi tafadhalini nnawaombeni🙏🙏 please 😅
🤣🤣🤣 una jambo lako eeeh
@@busatitvno bro a'm seriously Wala sijambo langu mim niuhalisiya wangu nipo ready kufika sehem hiyo hata iwe naumbali kuasi gani so please let me know when they're 🙏🙏🤦🤦
Mbeya Girl@@Jishushe.na.ujikute5789
Mbeya girl wte tukuje uku jmn
Madam wa zuu hongera upo Sirius na kazi yako napenda maneno yako tuuuuuu and zuuu hongera yako upewe kwa heshima yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zuu n bonge la mwanamke kwnz anaheshima, pia yupo vzr, karembo kanashepu,
Asante sana🙏🙏
Hana huruma2
Dada wa kazi anaheshima kweli hongera
Kaka mnzr sana huyu, lkn mke n bonge la jnga,
🥰🥰🥰
Ajaiva bado
Move hii nzuri jaman❤❤❤
Asante sana 🙏🙏
Madam wa namna hii lazima nikukomeshe lazima nipite na boss❤❤😂😂😂😂
🥰🥰🥰🤣🤣🤣
Yn umewaz kama mimi huyu na mkomesha mchana kweupe na makope yake kama fagio chelew
😮😂😂😂😂😂😂😂
Tena boss unampa mahaba yote😅😅😅😅
Hlabxhdirebdkdhriwnewpryxvajdglavzbdgfkr@@AnithaMwijonge
❤❤❤❤❤❤❤ nmeipenda buree
❤🥰🥰
Dada wa kazi Masha Allah ❤❤❤ apewe boss bila tafrani
Leteni episode ya 2 haraka inside ikaisha utamu jamani wapi maua ya dada wa kazi❤❤❤❤❤❤❤from 🇰🇪
Episode ya pili tayari tumepost
Mambo pambe jmn so poa wadada wa kaz tunpitia magum sana
Kumekuchaa
Mashallah congratulations kazi nzur sana much love from saudia Arabia
Asante sanaa
Mmh Kweli Ndoa Ndoano🙌🏾🥺
🙏🙏🙏
Mko vizur sana kongole mama mwenye nyumba katenda haki kwenye party yake
Dada wa kazi ameolewa jamni mbona mim namtaka
🤣
Mimi hatakama mke nichizi ntamla ivoivo
@@MaryManyuka hahahaaa
Kazi zuri sana❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Hii jamaa imevumilia kwa kipindi kikubwa huu ni ujunga. Huyu jamaa ange chukua huyu dada akamfanya mke wa nyumba
🤣🤣🤣
Niko upande wako
Hapo nikuandalie Chai au kahawa boss tunae kwa badae tutatamba nae😂😂😂
Boss kashatekwa daaah
Yann mke kama huyu mm lazima niwenamyoa nywele kwajemb dah
Move nzury San Ila tatizo mke ndio shida
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
nice movie makopa mengi kwa house girl❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani tunatoa Waume zetu wenyewe eti mumeo afuliwe Nguo za ndani na house girl weee dada wewe
Umeona eeeeh
Kazi Nzuri sana hii
Asante sana
Move inafundisha Yani na ashum kama kwl
Asante sana
Hongereni wazee mmetisha dada zuu umeupiga mwing saf sana
Mkibiwa wanaume mwaza kulalamika majukumu yakupka nakumuandalia mume
Mumewatakiwa umfulie mwenyewe why
Umwona wwwh
Iyi movie ninziza cyane ❤️❤️❤️❤️
Kwan huyo dada hawez kuongea taratibu😂😂😂😂
🤣🤣
😂😂😂,