KIHORO | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | ADAM LEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Kijana Adam ambaye ni dereva boda boda anajikuta katika matatizo baada ya kufumaniwa na mke wa jirani yake Abdallah, ambapo baada ya fumanizi hilo, Abdallah alimuachia bila kumfanya chochote na kumruhusu aondoke kwa sharti la jambo hilo kubaki kuwa siri ya watu watatu, Je, Adam ataweza kubaki na KIHORO hiko kinachomtesa ndani ya moyo wake bila kumwambia mtu? Fuatilia...
    .
    Filamu hii Imeandikwa na kuongozwa na ADAM LEO
    Kwa mazungumzo yoyote ya kibiashara wasiliana nasi kwa simu namba 0652393960.
    .
    Usisahau ku SUBSCRIBE ili usipitwe na kazi zote tunazoziweka kila mwezi.

КОМЕНТАРІ • 992

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  Рік тому +18

    Tazama vituko vya dogo aliyezubaa baada ya kutafutiwa mke na mjomba wake😂😂Komedi ya kuchekesha👇👇
    ua-cam.com/video/Fu1K5aTTj10/v-deo.html

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 9 місяців тому +5

    Mke wa mtu tutututuu sumu 😅 Adamu kimekukuta kitu 😂😂😂 Haki movie zako ni nzuri na zina uhalisia ,wahusika wanajua kutumia vizuri nafasi wanazo pewa na zinafundisha sana, Mungu akuongoze kwenye njia ya mafanikio 🙏🏻

  • @ROSSMUCH-kr3xn
    @ROSSMUCH-kr3xn 9 місяців тому +9

    ❤❤❤❤🎉🎉🤝🤗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪aky hii movie inamafunzo mazuri sana nani pitia hapa

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 2 роки тому +54

    Wapi like za wakenya

  • @bongotamu8758
    @bongotamu8758 2 роки тому +37

    Waliomuonea huruma Adam baada ya kufa, gonga like hapa

  • @saidinijimbere4622
    @saidinijimbere4622 9 місяців тому +3

    Adam nakubal Sana kwenye move zako unacheza vizur

  • @SalumNgulya
    @SalumNgulya Місяць тому +1

    Adam umeyatimba mke wa mtu sum 🎉🎉kiukweli movie nzuri na Inamafunzo makubwa sana

  • @raymondkanyama1660
    @raymondkanyama1660 Рік тому +6

    Katika movie zimebeba uhalisia ni hii Adam. Safi sana,Keep up the good work. Nimependa kila sehemu hasa wahusika wote walivyobeba uhalisia, kwa kutoa machozi, that was great!

  • @user-fp6jp1mk2v
    @user-fp6jp1mk2v 9 місяців тому +3

    Hongera sana Adam kwa kutuburidisha unaweza big apu

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому +4

    Mashallah hongera sana Adam leo group mnaweza sana zaidi ya sana🔥🔥🔥🔥

  • @mamaaanmar1261
    @mamaaanmar1261 8 місяців тому +2

    Jaman. Adam. iviukiwa nawifi. inakuje. Maana. Sokwasauti. Hiyo. Daaah. Yote kwayote. Movie. Zako. Tamu balaaaaa. Nakupenda. Mungu akupe hitaji la moyowako. Inshaalh. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-xk6ig4ft8t
    @user-xk6ig4ft8t 7 місяців тому +3

    Adam nakukunali sana umetupa funzo kubwa sana kwa sisi wanawake

  • @abdulmajidkarama6469
    @abdulmajidkarama6469 Рік тому +3

    Adam mdogo wangu nimeona movie zako nyingi tu lakini hii kali sana yaani Adam nimelia sana. Adam Nakuombea Mungu sana akuzidishie katika talent zako. Uko juu mdogo wangu.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 9 місяців тому +3

    Pongezi sana kwenu, filam nzuri sana, ina mafunzo mengi, hasa Adam unaweza sana nawapenda. 09.11.23.

  • @user-kr3sn9tk9k
    @user-kr3sn9tk9k 7 місяців тому +1

    Adamu umetisha sana yani umeweza

  • @adijaabubakari4220
    @adijaabubakari4220 2 роки тому +7

    Jamani Adam pole kwa kufumaniwa na mke wa mtu 😭💖🌹😭😭😂ila hongera sana kwa kazi nzuri💖💖🌹🌹💪.

  • @milkamakena3914
    @milkamakena3914 Рік тому +5

    Kazi nzuri bro keep moving...i pray God to protect you 🙏🙏🙏kweli kaka angu movie zako zanifunza kitu keep moving bro tusha pata the next Stephen kanumba

  • @rosemaryolesi5768
    @rosemaryolesi5768 9 місяців тому +4

    Hii movie imeniliza kikweli yaani nairudia tenaa,likes za kenyan

  • @vivianmwenda9729
    @vivianmwenda9729 2 роки тому +5

    Jamani wanawake turidhike na waume zetu, watching from kenya

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 Рік тому +5

    Broo Adam uko makini sana na ector zako nakukubali kinoma pia na mafunzo ndani yake..bodaboda pia waache tabia mbaya kama hizi

  • @user-zj1hk5oq1n
    @user-zj1hk5oq1n 8 місяців тому +1

    Hii move imenipa simansi,,hongereni washiriki

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 10 місяців тому +3

    Waaah Adam uko vizuri kwenye movie zako sihami ❤❤❤❤🎉

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 7 місяців тому +2

    Tumpe hongera huyu kaka Adam maana kazi zake ni nzur na zinamafunzu aki.

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 2 роки тому +6

    Huyu jamaa anajuaa balaa uktizama movies zake huboeki kwa kweli unatamani usiishe 😍

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Shukrani sana, kazi zake zote zinapatikana hapa🙏🙏🙏

  • @guyngstonnyembo1101
    @guyngstonnyembo1101 2 роки тому +3

    Ongera kabisa 🤙 brother director adam leo ♌ kazi tunafuata toka apa katanga Lubumbashi ☑️✅ napenda sana movie

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Shukrani, hongera zako zimefika🙏🙏🙏

  • @user-jn6ld8hy5s
    @user-jn6ld8hy5s 6 місяців тому +1

    Kwel ni Adam Leo na kihoro kweli kazi nzuri hongera. Nimepend una reply cmnt za mashabik zak. Barikiwa sana

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 2 роки тому +7

    Yani sio movie tu! Hadi mafunzo ndani ..hujawai niangusha damu yngu adamu😁💥💯🙏🏾🏁 hakuna anaejutia bando lake humu bloody ..mungu akuongoze na kazi zako kaka #StayBlessed

  • @jumamwaro3555
    @jumamwaro3555 Рік тому +2

    Nakubal Adam kwa kazi yko ila yataka moyo pia yatupa fundisho kwetu sisi kizazi cha sahii bigup my brother may Lord God bless you

  • @abdoulmwadjuma2556
    @abdoulmwadjuma2556 2 роки тому +6

    Nawafatiliya 10/10 toka drc congo

    • @mwakyomatz5569
      @mwakyomatz5569 2 роки тому +1

      asante sana kutoka dc

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana sana, u got love from us🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 9 місяців тому +1

    Yani hii picha ni funzo nimeipenda sana

  • @jumajumanne1455
    @jumajumanne1455 2 роки тому +5

    Nakubl kz nzur

  • @user-sq3rt6qz5n
    @user-sq3rt6qz5n 10 місяців тому +2

    Da ilih nifunzo tosha❤

  • @ramadhanramadhan5051
    @ramadhanramadhan5051 2 роки тому +4

    mpo vizuri adam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Shukrani, usiache Ku subscribe ili usipitwe na kazi zijazo.

  • @user-rz1tk8ni3f
    @user-rz1tk8ni3f Рік тому +2

    Good job penda sana adam

  • @bosskimarotv1252
    @bosskimarotv1252 2 роки тому +5

    Hatari sanaaaaaa. Wadau si ya kukosa hii. Waambieni na wenzenuuu.

  • @Neema-qy3hw
    @Neema-qy3hw Рік тому +1

    Hongera.sana.adam

  • @khadijaali4989
    @khadijaali4989 2 роки тому +5

    Shikamoo Adam😂😂😂asalam alaykum warhamtullah wabarakatul Abdallah 🤣🤣🤣🤣.

  • @bethamoses837
    @bethamoses837 2 роки тому +2

    Yan mnajua kuigiza ad raha😘😘😘😘bigup

  • @jangamefilms
    @jangamefilms 2 роки тому +7

    Asanteni nyote. Nawapenda sana🙏🙏🙏

  • @Xialover2
    @Xialover2 9 місяців тому +2

    Movie nzur sana kaka Adam 🥰 barikiwa

  • @adijaabubakari4220
    @adijaabubakari4220 2 роки тому +3

    Hongera sana Adam love you💖💖🌹

  • @user-ug8et6qo6j
    @user-ug8et6qo6j 5 місяців тому +1

    Please nazipenda sana movie ya Sabi iko na mafunzo but pia na penda movie zako Adam leo

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 2 роки тому +6

    Hongera adamu unalia kama kweli bana hii movie namini ndio the best qwa sasa

  • @mwanamwinyi3372
    @mwanamwinyi3372 8 місяців тому +1

    Tangu nimeanza kufuatilia move sana hujawahi niangusha piga kazi kijana .,.....

  • @Raz254vicky
    @Raz254vicky Рік тому +4

    Waaa kali hii movie iko n mafunzo vizuri adam wanawake tutulie tu n waume zete.... lkn mwisho imenitoa machozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Nashukuru asante, comment yako imenipa nguvu ya kuendelea mbele zaidi. Asante sana!

    • @Damacline4004
      @Damacline4004 7 місяців тому

      Hadi huluma 😢dah tutulie kwakweli na waume zetu jamani....ila hongera sana kaka Adam na washira wote mumejua kutumia huusika vizuri keep it up ❤❤❤ wapi like za wakenya jamani

  • @user-ib7kn6fs4x
    @user-ib7kn6fs4x 7 місяців тому +1

    Ila dullah anajuwa sana tujifunze Kwa dulah na adam

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 2 роки тому +4

    Unafundisha kabisa. Big up Adam!

  • @user-nd2yf7vi8f
    @user-nd2yf7vi8f 8 місяців тому +1

    Leo hongera sana

  • @user-jg5et8uh9z
    @user-jg5et8uh9z Рік тому +5

    Alaa why Adam made me cry sorry honey 😂😂

  • @pilly238
    @pilly238 9 місяців тому +1

    Kaka Adam nimekupenda bure umeigiza vzr ongera yako lete chuma kingine

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +5

    Nimecheka hapo kwenye kula yaani jamaa aliemfumania adam ako serious. Eti akuetee pilipili😂😂😂😂 adam derea

  • @oswardmsigwa5728
    @oswardmsigwa5728 9 місяців тому +1

    Kaz nzur sana

  • @rhoidakalinga3043
    @rhoidakalinga3043 2 роки тому +3

    Safiii adamu big up broooo

  • @mbwanangare3233
    @mbwanangare3233 8 місяців тому +1

    Jamani. Adamu. Movi imeniliza

  • @abdoulmwadjuma2556
    @abdoulmwadjuma2556 2 роки тому +3

    Filamu nzuri sana hongereni sana adam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Asante sana, nitahakikisha naleta filamu nzuri kila kukicha, usiache ku Subscribe ili usipitwe tu.

  • @mbwanangare3233
    @mbwanangare3233 8 місяців тому +1

    Nzr. Sana mashallah. Kaka. Abdallh upo. Vzr. Nakupenda. Sana. Jinsi. Ulivyo

  • @bongotamu8758
    @bongotamu8758 2 роки тому +4

    Kihoro bonge moja la funzo, nimekukubali adam na washiriki wote, filamu nzuri sna

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990

    Duuh,nimejikuta nalia,ila nimejifunza mengi kupitia move zako adam,mungu akubariki,😭😭

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 2 роки тому +6

    Adam dar zamani sana mpaka nime miss Enzi zetu za kwa chuzy days kihangara😂😂 kazi nzuri sana ndugu balikiwa sana 🙏

  • @user-gd6ur5bg5s
    @user-gd6ur5bg5s 9 місяців тому +1

    Adam umepatikana leo funzo hilo wanaume na wanawake mm nimejifunza kiti asanteni sana wapendwa

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 2 роки тому +3

    Nakupenda Adam

  • @hasinamwako4589
    @hasinamwako4589 2 роки тому +2

    Mafunzoo mazurii Sanaa San subraaa muhimuu sanaa ktk hii dunia

  • @adijaabubakari4220
    @adijaabubakari4220 2 роки тому +3

    Wapili leo Adam keep going 💖💖

  • @ahmedksa6442
    @ahmedksa6442 Місяць тому +1

    Adam kazi nzuri

  • @evolathamachaki4585
    @evolathamachaki4585 2 роки тому +9

    The ending made me cry😭 so sad😪..!! I love u Adam

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Pole, mimi pia nililia.😁 nitajitahidi kufanya filamu zinazogusa hisia za watu, usiache ku Subscribe ili usipitwe.

    • @Janetkerry32
      @Janetkerry32 2 роки тому +1

      Adam wee eti pia ww ulilia hivyo tuendelee kulia tu

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Hahahah jamani hayaa, ngoja niendelee kulia.

  • @user-zj1hk5oq1n
    @user-zj1hk5oq1n 8 місяців тому +1

    Adamu pozi lakulia umetisha,nakupa tuzi

  • @halimaomar2986
    @halimaomar2986 2 роки тому +5

    Kuna wanawake wengine..na wanaume wengine sijui wakoje..awatosheki..ata uwafanyie nni..watachepuka tu 😭😭😭.. shikamoo mapenzi...mi Niko single naejoy 🤣

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 8 місяців тому +1

    Nimependa mnaweza ongereni jmn

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +3

    Mguu wangu mguu wako na huyo rafki yako mpka kwa huyo baba,ah mm kule hapana siezi kwenda,na ulpoenda kuyafanya....😅😅😅🤣🤣

  • @user-uz7uq5lj5w
    @user-uz7uq5lj5w Місяць тому +1

    Nawakubali sana yani Adam nguho imemcheya kama kweli sura ilibadirika kama kweli kabisa mmetisha kinoma eti kula usipige chega😂😂😂Adam 😂chepuka tena Adam rizika na mkeo kime kukuta leo.

  • @japhetadelard9465
    @japhetadelard9465 2 роки тому +3

    Wa pili Leo🤓💪

  • @ayshanani
    @ayshanani Рік тому +1

    Duh filamu kali ama kweli kimya kiko na mshindo Adam kajiuwa mwenyewe na uoga

  • @paschaljuma3414
    @paschaljuma3414 2 роки тому +5

    Kanyimbo kazur cjuih nan alieimba

  • @Felista_tz
    @Felista_tz 9 місяців тому +1

    Ha😅😅😅😅😅😅 mme enjoy vle unalia uache kuchepukaaaaaaaaa

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 роки тому +4

    Ebnaa adamu eeee mi nishapiga mke wa mtu lakin kwangu na nilifunga mpka milango ya choooo la kwa move hiii nafuta namba sasa hivi 🤣🤣🤣

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Hahahah futa kaka, wanachota unyayo siku hizi... wanaua kimya kimya hawakupigi tena.🤣

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 2 роки тому +1

      @@AdamLeoStudios ebnaa ni hatar sana sasa kwa hiyo adamu ndo umekufa mtu wangu 🤣

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Adam Kwishney..

  • @zulekhaabdallah2966
    @zulekhaabdallah2966 8 місяців тому +1

    Daaah Kali sana haki ya mungu kihoro kinaweza kuua

  • @emmykisigelile4412
    @emmykisigelile4412 2 роки тому +5

    Sna cha kusema nikimimwonaga Adam tu najua movie nzur sina shaka nae

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Basi hakika hutojutia na hapa utazipata kazi zote za Adam Leo🙏🙏usiache ku Subscribe na kubonyeza alama ya kengele ili usipitwe na kazi mpya kila tunapoziweka.

  • @elieniyonzima1074
    @elieniyonzima1074 Рік тому +2

    Vijana ambao wanajifanya ni maziwa watulie waache kutembea nama sumu, Love from 🇧🇮

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  Рік тому

      Umeeoonnaaa, sumu ya mke wa mtu kali kuliko maziwa yaliyopo ghetoni kwao.

  • @djchgxfdudvg2860
    @djchgxfdudvg2860 2 роки тому +3

    Huna mbaya broo Safi Sana hii kitu

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Shukrani sana mkuu, tuisambaze ili ujumbe uwafikie watu wengi..

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt 6 місяців тому

    Daaaaah funzo nzuri sanaaaa kaka daaaah

  • @angeladorrell9454
    @angeladorrell9454 2 роки тому +3

    You have good and seductive movies thnkx 4 everyone who participated in it wish you all the best 🥰🥰🙏

  • @user-gb8wb3wt2l
    @user-gb8wb3wt2l Місяць тому +1

    Hahahaha😂😂😂😂😂 Adam leo jamani upewe maua yko🤣🤣

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 2 роки тому +3

    Hahha adamu umenichekesha hp 🤣sina mbavu kwa kucheka

  • @user-ki9lz5sr4d
    @user-ki9lz5sr4d 8 місяців тому +1

    Adam umetisha kaka umefanya vizuri kwl ila mbn umekuwa moga sana hivo😂😂

  • @octavianmasala3862
    @octavianmasala3862 2 роки тому +3

    Mwamba anajua aisee salute🙌

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Shukrani sana, tuisambaze ili ujumbe uwafikie watu wengi.

  • @user-kf1jv2nm1l
    @user-kf1jv2nm1l 3 місяці тому +1

    Asnt Adam leo umenifurahisha unavojitetea 😂😂😂

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 2 роки тому +5

    Adam hayo macho basi.sura km kalamba limao

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Ogopa kifo, hakina uzuri wa sura ukikishuhudia ndiyo utaelewa mwanadamu anaonekanaje.

    • @nativeinfotv9620
      @nativeinfotv9620 2 роки тому +1

      ADAMUUUU.UNATISHA KWAKUJUA KUTONGOZA HUJAMBO.WEWE NA WANAWAKE TU.

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому

      Msiige vijana hizi movie tu.

  • @bongotamu8758
    @bongotamu8758 2 роки тому +2

    Binafsi filamu akishakuwepo Adam Leo tu huwa siachi kuangalia sababu najua ni nzuri, hongera sana adam

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 роки тому +5

    Sasa wewe adamu mtu wangu unakula mzigo wa mlinzi unajisahau hata kufunga .mlango basi ??

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  2 роки тому +1

      Nilinogewa na siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

  • @AminaYazidu
    @AminaYazidu Місяць тому +1

    Unajaua saan babaaa 😢😢 mke wa mtu sum pole sana sio kwa kulia huko asee na sisi wanawake turidhike na waume zetu jamn maan si ndo vyanzo wa matatz😢😢

  • @Ligobatov
    @Ligobatov Рік тому +6

    Dada wa Adamu kaenda kuomba msamaha kwa Dullah kutoka kwa Dullah mpka kwa Adam ni mtaa wa4, Dullah rafiki ake walikutana kujadili swala la Adamu, and Adamu alipigiwa simu kwenda Ubungo maziwa ili Dullah aweze kuchota mchanga, Dullah alifanikiwa kuchota mchanga na Adamu alirudi home umauti ukamfika wakati huo dada ake aliye toka mtaa wa4 hajafikaa😂😂 inachanganya sana kwakwelii, Adamu yupo kitandani anaugulia maumivu ya mkono aliwezaje kuendesha boda mpaka Ubungo maziwa?? I think ilipaswa kuwa hata baada ya siku4/5 mbele

  • @niyongabojonas4760
    @niyongabojonas4760 9 місяців тому +2

    Haya, nilichelewa kuipata. Lakini nzuri sana, uhalisia wa Maisha. Mtu anayekushika kwa kosa halafu akunyamazie huyo amekuweza kweli kweli.
    Ila Adam, umechapia kidogo tu, HEROES DON'T DYE IN A MOVIE 🎦

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  9 місяців тому +1

      Hahahah Movie ni maisha yetu halisi, na kila m1 wetu ndiyo HERO kwenye hadithi yake mwenyewe lakini mwisho wetu sote ni UMAUTI. 😊

    • @Damacline4004
      @Damacline4004 7 місяців тому

      Kwakweli​@@AdamLeoStudios

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 2 роки тому +4

    Adam usilie nyamaza tu.usiwaze

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h 4 місяці тому +1

    Mashaallah jaman mung awabarik san kaz mzr san🎉🎉🎉🎉🎉

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 2 роки тому +4

    Hahahaha adamu we mshenzi wewe yani mmi nkiangalia movie yako hua natamani hata isishe brow uko juu haya angalia tv mbn unaogopa

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 6 місяців тому +1

    Nakubali 😂❤❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️❤️❤️

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 2 роки тому +3

    Wakwaza Leo na kuku bari Adam Leo nikikuonaga kwenye kava mapema tu naingia kucheki dubwana

  • @EshsRashid
    @EshsRashid Місяць тому +1

    😢😢😢story nzuri sanaa yenye mafunzo

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 2 роки тому +4

    Adamu kula ubwabwa uwo acha uoga jamaa mkarimu huyo

  • @ikramjackson3912
    @ikramjackson3912 5 місяців тому +1

    Movie kali sana na unajua kuwapatia wahusika nakubali sanaa adam❤