Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimependa sana upishi wako wa biriyani namna ya upishi wako ni raisi sana kuelewa. Yani nimekuelewa sana. Nimejifunza ❤️
Nimejifunza, na nimekuelewa asante
Hongera
Waoooh mmy nice birian nimeipenda Mungu akuzidishie upendavyo kwenye mambo yako love you
Jaman naombeni mnisaidie hivi mchele unaotumika kuandaa biriyani unaitwaje au ndo huu huu wa kawaida?
Excellent, God bless you 🙏
Yaani dada una ujuzi wa kufunza. Mungu akuzidishie.
MashaAllah chakula kzr but hamjaweka mtindi na viazi kwenye sauce lkn is not bad
Nashukuru sana kwa kutufundisha mapishi ya biriani ya nyama ya ng'ombe kwani nilikuwa sijui jinsi inavyopikwa.
Jamn asanteeee sana maan nilikua cjui jinsi ya kulipika ila kwa dalasa pendwa Aah tayari nmeshakua masta barikiwa mpenz wangu
Thanks so much i get profit for this ussually you are good cooker👍👍
Asante dadangu kwa upishi wako wa uwaminivu Mungu akubariki Sana uendelee na biashara yako
Ipo pwr sana
Mchele unakorogwa huo daah. Huo ni mchuzi sio rojo la biriani mmh kazi iko.
Salam alekum mashaallah hujaweka viazi
Tumia safron badala ya fake colour. Good cooking. I like onions. Lot's of onions is something i have learnt from this upload.
Hii safron inatumika mbadala wa rangi nyingine??
Thank you so much jamn kupitia video yakoo nimeweza kupika birian
Good job
Mashallap
Maa Shaa Allah
Safi Sana tunajifunza na inApendeza
Nimelielew sana hilo somo jmn
Mapishi yamnpndezea.thnks kwa mafunz
Thanks i will try🎉
Woow 👍 very simple method thanks tu sana mpishi now I can try it😃
Ongezeeni huyo jamaa chakula,😂n kitamu but kumemuekea kidogo 😂
Dada upon vizur sana
Hakika nimejifunza asante sana
Mashaallh umewez dad
I like your simple cooking Dada. I don't have to go to the store to get maziwa na kadhalika. God bless you abundantly. You are going far. Keep up!
Meta
Asante kwa darasa zuri. Naomba kuuliza izo njegere zimechemshwa kwanza??
Napenda sana kujua kupika birian
Umejitahd kiasi lakin halijawa kamil
Mm nakusaidia kidogo tu biriani inatiwa mtindi mbatata lakini umejaribu
Daaa leo tarehe 18/07/2021..Nimejifunza kupika wali kupitia mekoni...Daaaa pamoja na kwamba mimi ni Domozege aisee hichi kipindi kinanisaidia sana
Apo iyo rang ni rang ya nn sijaelewa
@@esteralan5241 hiyo rangi ndiyo inayobadilisha wali kuwa rangi uipendayo ya Biriani yako
@@derrikdesertman4564 jmn kuuliza co ujinga kwan kuna rangi za vyakula
@@aisharashid8035 swali gumu. Ila ninavyoelewa kuna rangi za aina tofauti. Hivgo ukiwa na rangi ya njano wali wako utakuwa wa njano. Ukiwa na rangi ya blue biriani yako itakuwa ya blue
@@derrikdesertman4564 kheeee kumbe ina maana ukitaka rangi useme rangi ya chakula
Nimezipenda sana
Asante sana nimeienda saaana
thank you ,but what kind of spices the mixture.i will tryto cook
Dada naomba namba Yako ili Nije unifundishe kupika jmn na una patikana wap
Masha Allah my sister na mm ntaka kujuwa kupka birian
Shadya ❤
😍😍
Mashallah dadangu lakini umesahau plain yoghurt stew ingetosha biriani otherwise uko ajab ubarikiwe.
Nimeipenda hiyo
Nmependa sana biriyan yako very simple
Rangi ziko za chakula na Kuna zaafarani hii ni natural rangi.
Nice cooking
Nimependa
Jman nimependa ni raisi sana ubalikiwe
Naomba tutengeneze darasa nje kwa whatsao
pika kimoja kimoja na useme unapikwa mchele dk ngap
Pls abbreviate your videos isiwe boring... We cannot be watching process ya kumwaga maji kitunguu kikiiva... Really
Kabisa it's soooo boring ila kipindi kizur mashaallah wawe wana edit
Hongera nitajaribu kupika leo
Manshalla
Samahani nimevutiwa sana na hili Briani nampataje huyu mhusika wa mapishi haya
Dada mm mwenzio nataman nifanye kaz na ww ili nijue vingi
Anazinguaa
MashaAllah dada umeweza mungu akuzidishie
good
Nizur sana
Kupika kaz bana hapana biriani hapa kajifunze tena
😂😂😂😂😂
Mie pia sijaona upishi hapa
🤣🤣🤣
sisi wazanzibar biriani hutupiki ivyo kabisaa kwanza haijatimi vifaa
Asante
Hii biryani cjaielewa hata viazi haina wala mtindi hna
haijanikalia vizuri hii..ila poa tu.mtindi na viazi ni muhimu saana
@@errydeo8865 viaz au mayai
❤️❤️
Stew yako hatoshi ya biryani.You should add sour milk or maziwa lala.Do away with hoho and peas
Iraq briand stail
Hakika nilikuwa saijui kabisa
Hujaeka Maziwa Lala na huwa Naona ukiwekwa ama si lazima
Akinimeelewa vizur sana unajua kueleza daa
Sasa iyo rangi ni rangi gani. Samahani unihambiye
Kwa nini HUWA hawajibu comment za watu?? Ndio maana I dont subscribe
Kajifunzetena
Kila mtu ana mapishinyake hata wewe unavyopika mboga si sawa na mimi nimependa ukitaka kuweka mtindi viazi well ni wewe tu
Iyo sosi mbn haina viazi
Mashallah
So nice, jmn 😋😋
Unajua dada
Mbatata hahujaweka.tapeliwewe
Aisha juma
Mbn haukueka maziwa ya mtingi😊
jaman muache ujuaji bhx mnge kuwa live kama wenzenu kutujuza. we umekaa gizani kaz kukosoa watu jaman mtuache
UK vzr dd
Umeeleza vinzuri sn wewe dada nnimejifunza kitu asante
Asante dada umeeleza vizuri sana
Mh ndo mara ya kwanza kuona upishi huu wa biriani
Nimependa sana hata mim napenda Sana kupika
Dada naomba unipe namba yako nipate maelezo zaidi
Biriani gani yenye nyama hazija vurugika,wewe umepika wali was nyama
Nani alikwambia nyama ya biryani lazma ivurugike hee imekuwa bokoboko ilo sasa
Umejitahidi kwa uwezo wako hila bado kwanza umekoroga sn birian halikorogwi bwana na pia ulipochemsha wali hakuweka viungo vizier vizima
Aujui kupika bwn
Waoooo nawez kupat namb zako
ahahh namba tena
Viazi?
🚶♂️🚶♂️asante, biriani lina mapishi mengi sana wenzangu mlo sema siyo hivyo, na hilo ni jina tu. Kuna lingine la ma tabaka.
Taaaam
Kitu sipo nimependa
Jamn mbona najua birian haiwekw hoho je mbona sijaon maziwa mtind kulowekea nyama
Dondoo maandish madogo saan
Hiyo rangi unainunua au unatengeneza mwenyewe
nauza
Swadakta muha
Mmh ametuangusha kwa kweli😖😖😖 huu mchuzi was nyama ,🤣🤣🤣🤣😛
Thank u
Umekosea kuna vitu hukuwrka
na ivo vitung vinakuwje vikish wiva kweny Wali
🙌🙌🙌🙌💥💥
Mbona mtindi sijaona wala viazi
Ok
Nimependa sana upishi wako wa biriyani namna ya upishi wako ni raisi sana kuelewa. Yani nimekuelewa sana. Nimejifunza ❤️
Nimejifunza, na nimekuelewa asante
Hongera
Waoooh mmy nice birian nimeipenda Mungu akuzidishie upendavyo kwenye mambo yako love you
Jaman naombeni mnisaidie hivi mchele unaotumika kuandaa biriyani unaitwaje au ndo huu huu wa kawaida?
Excellent, God bless you 🙏
Yaani dada una ujuzi wa kufunza. Mungu akuzidishie.
MashaAllah chakula kzr but hamjaweka mtindi na viazi kwenye sauce lkn is not bad
Nashukuru sana kwa kutufundisha mapishi ya biriani ya nyama ya ng'ombe kwani nilikuwa sijui jinsi inavyopikwa.
Jamn asanteeee sana maan nilikua cjui jinsi ya kulipika ila kwa dalasa pendwa Aah tayari nmeshakua masta barikiwa mpenz wangu
Thanks so much i get profit for this ussually you are good cooker👍👍
Asante dadangu kwa upishi wako wa uwaminivu Mungu akubariki Sana uendelee na biashara yako
Ipo pwr sana
Mchele unakorogwa huo daah. Huo ni mchuzi sio rojo la biriani mmh kazi iko.
Salam alekum mashaallah hujaweka viazi
Tumia safron badala ya fake colour. Good cooking. I like onions. Lot's of onions is something i have learnt from this upload.
Hii safron inatumika mbadala wa rangi nyingine??
Thank you so much jamn kupitia video yakoo nimeweza kupika birian
Good job
Mashallap
Maa Shaa Allah
Safi Sana tunajifunza na inApendeza
Nimelielew sana hilo somo jmn
Mapishi yamnpndezea.thnks kwa mafunz
Thanks i will try🎉
Woow 👍 very simple method thanks tu sana mpishi now I can try it😃
Ongezeeni huyo jamaa chakula,😂n kitamu but kumemuekea kidogo 😂
Dada upon vizur sana
Hakika nimejifunza asante sana
Mashaallh umewez dad
I like your simple cooking Dada. I don't have to go to the store to get maziwa na kadhalika. God bless you abundantly. You are going far. Keep up!
Meta
Asante kwa darasa zuri. Naomba kuuliza izo njegere zimechemshwa kwanza??
Napenda sana kujua kupika birian
Umejitahd kiasi lakin halijawa kamil
Mm nakusaidia kidogo tu biriani inatiwa mtindi mbatata lakini umejaribu
Daaa leo tarehe 18/07/2021..
Nimejifunza kupika wali kupitia mekoni...
Daaaa pamoja na kwamba mimi ni Domozege aisee hichi kipindi kinanisaidia sana
Apo iyo rang ni rang ya nn sijaelewa
@@esteralan5241 hiyo rangi ndiyo inayobadilisha wali kuwa rangi uipendayo ya Biriani yako
@@derrikdesertman4564 jmn kuuliza co ujinga kwan kuna rangi za vyakula
@@aisharashid8035 swali gumu.
Ila ninavyoelewa kuna rangi za aina tofauti. Hivgo ukiwa na rangi ya njano wali wako utakuwa wa njano. Ukiwa na rangi ya blue biriani yako itakuwa ya blue
@@derrikdesertman4564 kheeee kumbe ina maana ukitaka rangi useme rangi ya chakula
Nimezipenda sana
Asante sana nimeienda saaana
thank you ,but what kind of spices the mixture.i will try
to cook