Hjui kupika sivooo mm napika every day nnawafunzii tele kama nn njoo kwenye darasa langu hjatia pilipi boga bilingani huna ujualooo shira au shilaaaa ujue kama huna ujalooo
Huo ubuyu ukisha nunua utie sehemu unaweza kuuponda halafu chagua kamba kamba uzitupe uwe safi sasa unatoa uhuyu weka kando na unga wake utapata unapotoa ubuyu hivyo ndio huwa na fanya mie
@@selinealbert7880 shira ni sukari ambayo ina chemshwa ikiiva huwa ina nata ukiishika kui test kama is ready kuepua msikize vizuri kipimo cha maji na cha. Sukari akichanganya kuchemsha sawa dear
Hili pishi nimelielewa. Asante sana.
Asante sana nimejaribu kupika imetoka rangi haijakolea kama Yako na ukila mwishoni nakutana na uchachu wa ubuyu
Umefundisha vizuri na unamtia moyo mtazamaji kwa kukazia kuwa ni rahisi sana nimependa
Asante sana mpendwa wangu
😜😜😜😜😜 mzuriiiiii acheni wivuuuuu
Vizur sn
Nzuri Sana Asante kwa mafunzo ngoja tukapige pesa sasa
Ame
Nependa pia nimejifunza nashukuru sana
💕💕💕
Thank you very much 😊😘❤️
Ur welcome dear
Linafaa
Asante dadah
Abdallah Mboga kribu
Mashaalah.M/MUNGU atakulipa ujilah wako kwa mafunzo aya.
Asante sana dear
😋😋😋😋
Ika Malle ooooh legend thank you so much for subscribe my channel 🥰🥰
pro trick: you can watch series at Flixzone. Been using it for watching lots of of movies these days.
@Hayes Abdullah yup, I have been watching on Flixzone for since november myself :D
Nahitaji kujifunza mwalimu
Ubarikiwe ngoja nik ajaribuu
Karibu
Asantee ubarikiwe my
Hasina Rashid ur welcome
Hasina Rashid ur welcome
Namelipenda somo na Mimi nataka nifanye biashara hiyo
Iliubuyu wako uwe na chenga nyingi unafanyaje
Mashaallah
Asante
Asante nimejua mengi
Karibu
Wao wanakausha na mashine lakn awasemi kama una mashine kausha na jua my dear
Kiswahili cha kenya bara
Kujua kiwango Cha maji ubuyu na sukari
Y
Dada uounga unautoa wapi au mabuyu unayatwanga kwenye kinu
Dada namba
Tengeneza vijitabu vya mapishi tutavinunuaa
😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋🤔
Utafanyeje ili ubuyu mwingine usiwe mweupe
Mm unakuwa mkavu kwann?
Maji kikombe cha kiasi gani
Umeukosea
oky nekupata vip namba yako.haujaweka.hewani
Ubuyu usipokauka inakua umekosea nini
Jaman me nakwama wap mbona kila nkitengeneza naharib
Jaribu kila mara
Nimejaribu kupika ila ubuy unakua mgumu naitaji uwe lain niweke nn
Hajib maswali muhim mbn
Fata recipe kama hiyo ubuyu wako utakuwa sawa umeoika Shira kupiliza
Niunga gani uyo umetumia
Unga wa ubuyu
Asante Mwalimu. Maji kikombe cha ukubwa gani?
Ata cha chupa
@@CarosKitchen jamani mbona sukari yako nyeupe jamani dada
Ipo mbn
Ivyo vikombo 2 nivya robo robo au nusu nusu au cha kilo
Robo
Mbona unaonekana mweupe
ashura haonga ni mwekundu
Ubuyu upo mweupe na upo usio kuwa mweupe uko tu colour ya kiza kidogo sawa dear
Umeweka sukari gani ya kawaida au ile ya icrem
Ya kawaida
Shila ndo nn jmn umeniacha hapo
Sukari na maji
@@CarosKitchen sante
Nahitaji wa biashara
Unaeza kutengeneza dear
huu unga wa ubuyu unautoa wap!!!?
Unaweka ubuyu wako kweny kiroba unaupiga kwa mti utapata ubuyu na unga wake,kama mabuyu utaenda kuyanunua dukani bas nunua na unga wa ubuyu
Yaaan dada mm Kila nikijaribuuu ubuyu unashikana mnooo na mwingne unakuwa mweupe
Linqueen Herman Herman pole dear jaribu kuweka unga wa ubuyu mwingi na shira iwe yakutosha
Hauna group la what's app ili iwe rahis plz my
Linqueen Herman Herman nichek instagram dm caro’’s kitchen
Nitafute no 0789902906
@@CarosKitchen naomba jina la rangi ya ubuyu
Hjui kupika sivooo mm napika every day nnawafunzii tele kama nn njoo kwenye darasa langu hjatia pilipi boga bilingani huna ujualooo shira au shilaaaa ujue kama huna ujalooo
Asante kwa kuangalia
Acha wivu
Umeitwa kujikunza
Na mie nataka niwe mwanafunzi wako
Nashida.nahuo.ubuyu.reja.reja.bei.gani.najumla.bei.gani.tafadhali.nijuze.
huwezi ubuyu wa zenji labda wa kizaramu huo
Asante kwakuangalia
Kwan wa zenji ukoje mambo ni viungo tu
Huo unga tunaupataje au nao unauzwa sehem ubuyu unaponunuliwa?
Huo ubuyu ukisha nunua utie sehemu unaweza kuuponda halafu chagua kamba kamba uzitupe uwe safi sasa unatoa uhuyu weka kando na unga wake utapata unapotoa ubuyu hivyo ndio huwa na fanya mie
@@rehemashebanikasenge5138 sasa hyo shira ndo nn me kila nkitengeneza ladha haifanani na hyo
@@selinealbert7880 shira ni sukari ambayo ina chemshwa ikiiva huwa ina nata ukiishika kui test kama is ready kuepua msikize vizuri kipimo cha maji na cha. Sukari akichanganya kuchemsha sawa dear
@@rehemashebanikasenge5138 hey
Hapana huo sio ubuyu wa Zanzibar umekosea shoga
Huo unga dada ni ngano au wa mahindi
Unga wa ubuyu
@@CarosKitchen Asante
Niwa huo ubuyu mwaya unauponda ubuyu wako then unatoa ubuyu unsalia unga chini sio uponde saana
@@rehemashebanikasenge5138 asante mpenz nimeelewa
Mimi nataka nijue jinsi y kupk ubuyu ule wa machenga kokwa zisigandane
Tawhida Mohd nitaweka video dear please subscribe