JINSI ya kupika SAMAKI Sangara wabichi na kupata mchuzi MZITO na MTAMU | PIKA NA BABYSKY (New)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2020
  • Kama wanawake wengi walivyo, Babysky hupenda sana kupika. Kwa muda mrefu amekuwa akitamani kuonesha mapishi yake hapa SnS na mwaka huu ameamua kuanza rasmi kwa kuja na show yake, #PikanaBabysky. Kwenye sehemu hii, anaonesha namna ya kupika samaki wabichi aina ya Sangara ili kupata mchuzi mzito na mtamu na kuifanya familia yako ifurahie chakula.. Fuatana naye
  • Навчання та стиль

КОМЕНТАРІ • 323