Inshallah Part 2 - Madebe Lidai & Havit Makoti (Official Bongo Movie)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Inshallah Part 2 (Madebe Lidai, Havit Makoti) Nabii Mswahili Madebe Lidai
    Watch Part 1 Here: • Inshallah Part 1 - Mad...
    CAST: Madebe Lidai, Havit Makoti, Hidaya Shomar, Nasoro Thomas
    STORY: Madebe Lidai
    DIRECTOR: Madebe Lidai
    Subscribe to Africa Movies on UA-cam here: bit.ly/AfrichaM... #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #MadebeLidai

КОМЕНТАРІ • 478

  • @lusungukiswaga7640
    @lusungukiswaga7640 6 років тому +7

    Ninacho kupendea Madebe move zako zinawezekana kuangaliwa na watu wa rika zote hata wakiwa wamekaa pamoja. Tofauti na movie nyingine ukiwa na watoto au watu wa heshima inakuwa vigumu kuvumilika,inalazimika vipande vingine kuvirusha. big up sana MADEBE.

  • @nasashashabaani598
    @nasashashabaani598 6 років тому +88

    Kama unamkubal madebe na kazi zake like hapa na ucoment chochote kuhusu moves zake madebe lidai noma sana nanikiboko maastaa bongo

    • @eugenhusen8154
      @eugenhusen8154 6 років тому

      Unajitahidi Kama move ya msungo

    • @asiaiddy7181
      @asiaiddy7181 6 років тому

      Salut sana kaka kazi nzur

    • @nestamganwa8554
      @nestamganwa8554 5 років тому

      Nasasha shabaani namkubali madebe kwa misamiati yake

    • @AMZASAIDEofficialm6332
      @AMZASAIDEofficialm6332 5 років тому

      Nasasha shabaani jama noma madebe lide

    • @rhamaomari3282
      @rhamaomari3282 5 років тому +1

      Madebe fundi ndio mtanzania pekee anae nishawishi kucheck move zakibongo

  • @mordally
    @mordally 6 років тому +32

    Hapa ndio husema Madebe is the current best actor, anayesema vinginevyo huyo ana interest nyingine, location mpangilio ni mzuri sana, wasiomkubali waache tu, Movie zake unaweza kuangalia na mtu yeyote mkiwa pamoja, kuna busara nyingi sana ila tu labda uwe huelewi. tunaomba movie ziwe ndefu kidogo ili kupata maana halisi na kuhusha na kuwafa ya watu wengine waelewe zaidi, All in All BIG UP

  • @dottosamweli2364
    @dottosamweli2364 6 років тому +14

    Asante sana, brother Madebe lidai kwa movie nzuri na yenye mafundisho, mungu abariki Kazi ya mikono yako

  • @mishijuma6326
    @mishijuma6326 6 років тому +79

    Kwamtazamo wangu MADEBE ndiye mtunzi bora Africa mashariki.

  • @piuskelvin5414
    @piuskelvin5414 3 роки тому +2

    Huwezi kupendwa na kila MTU kwasababu we sio pesa madebe salute

  • @mengiruhotola4566
    @mengiruhotola4566 6 років тому +22

    Kazi nzuri sana congratulations to you @madebeLidai👍

  • @abubakariyusuph7270
    @abubakariyusuph7270 6 років тому +8

    mhhhh we na gabo hamna mpinzani Tanzania hii nawaelewa sana

  • @listentoquranandmawaidhach4992
    @listentoquranandmawaidhach4992 4 роки тому +5

    Masha Allah tamthilia za Madebe zote zina mafunzo ya kutosha,Shukran Madebe🙌

  • @selemaninahimani820
    @selemaninahimani820 5 років тому +3

    Madebe hitimisho ya movie hii, imebeba ujumbe wa maana sana na mazingatio, Mungu akupe afya ya kutuelisha kwa busara.

  • @bashirabdallah1146
    @bashirabdallah1146 6 років тому +9

    Mashaallah nami nitowe pongezi zangu za dhati kwa madebe lidai kwa kazi nzuri
    Napenda busara na hekima zako.
    Ipo siku watakuelewa.
    Inshaallah

  • @costacosta3247
    @costacosta3247 6 років тому +2

    Usikubali kufundwa na kungwi aliyeachika!!! Hiv kweli kama alishindwa kuishi na mme wewe atakufundisha nn kuachika pia!!!! Big up madebe!!!

  • @msafiriiddy3135
    @msafiriiddy3135 6 років тому +5

    nafikiri madebe akifakiwa kujiweka na kujua jinsi ya kuonekana na kueleweka kimataifa atateka sehemu kubwa ya Afrika na sio tu Tanzania

  • @babdan904
    @babdan904 6 років тому +3

    Huyu ndie msanini naweza kuangalia moving zake mda wowote good luck madebe

  • @shonelyzbeth4028
    @shonelyzbeth4028 5 років тому +4

    Madebe Lidai Fundi.
    .wewe jamaa unajua mpaka unapitiliza..Inshalah ...nimsanii pekee anaeuonyexha umma kuwa hata bila magari nyumba za kifahari unaweza onyexha movie bomba kabixa

  • @khadijahussen2763
    @khadijahussen2763 6 років тому +18

    Mashaallah Ongera sana madebe lidai kwa movie Nzur

  • @fanuelysebestianfanuelyseb7957
    @fanuelysebestianfanuelyseb7957 6 років тому +12

    hongera sana Madebe lidai unaweza sana kabisa

  • @stamuujumajuma.4181
    @stamuujumajuma.4181 6 років тому +5

    bonge moja ala story mungu azdi kukupgania ktk kupaji chako baba madebe uzdi kutupa vtu vitamuuuuu kama hiki ,,,,,inshaa,allah,,,,

  • @zuhrakhamisi8335
    @zuhrakhamisi8335 4 роки тому +2

    Movie iko bomba ila kidini nivyema alipo jiua mwnyw kwasababu mzinifu anatakiwa apigwe mawe mpaka kufa so cha msingi nikujielewa unafanya nini kabla ya kutenda big up baba mzazi kwa msimamo wako naamini vijana wengi watajifunza kwahili nawasichana wenzangu pindi mkiona hamuwezi tena kustahamili nivyema tu kusema ili upate halali kuliko haram

  • @belathomgaya4803
    @belathomgaya4803 6 років тому +11

    Hiyo nondo wapatikane watano kama madebe ⭐️

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +2

    Manshaallah madebe nipo nje ya nchi yangu najifariji nafurahia mno

  • @ngolosangyanundu9510
    @ngolosangyanundu9510 6 років тому +4

    Bora Ukahishi Ukijua Kuwa Jana Nilikuwaje! LEO Nikoje! NA Kesho Nitakuwaje! Hongera Saaana Filamu Utafahamu Palipo Na Ukweli🤔😍😐

  • @mejumaamwachirero3659
    @mejumaamwachirero3659 3 роки тому +4

    Napenda sana kazi yako kaka unatia vitu vya maana vinavyotufundisha. Halafu pia napenda mavazi yaheshima mnajielewa kwa kweli shukran 💯

  • @sifamassmo1994
    @sifamassmo1994 6 років тому +6

    Daaa kz zko nzuri babaa madebe endelea na jitihada hzo...

  • @antonytimotheo8984
    @antonytimotheo8984 6 років тому +3

    mama m nakuomba ukienda kusal usimuombe mungu chochote ispokua muombe mungu busara na hekma ili viandane na saiz ako mana utakua huna tofaut na watot

  • @kaccmoviebankmovie6692
    @kaccmoviebankmovie6692 4 роки тому +2

    Leo ni mejua mahana ya madebe lidai na movie ya ishaallah

  • @mfungwahuru
    @mfungwahuru 6 років тому +5

    Mashallah,,, madebe hii movie kali sana,,, Endelea kaka

  • @boikamoha2227
    @boikamoha2227 6 років тому +5

    Penda sanaa iko sawaa.
    Nikitambo nitizame video's zako ila hii nimeitizama online bila net kusumbua.
    Nimeipenda sana na kisa hikii kimenilenga sana ingali X wangu hajakufa na mm nipo hai.
    Naitwa Mohammed/ jina la kugiza filamu natumia MAGOBOLO....
    FROM KENYA MOMBASA RAHAA,
    KITAA CHA KONGOWEA AU KONGOZAIREE.
    THANKS GUYS..

  • @mr.headboy3398
    @mr.headboy3398 6 років тому +35

    Movie zaa Madebe lazima niko na Kalamu na kakitabu..
    misemo hii lazima nitinge kitabu nikauze tzd. 🙋👌

  • @halimajuma9524
    @halimajuma9524 6 років тому +15

    Maa Shaa ALLAH Madebe..

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Рік тому

    Nimetizama Mpka Nimejikuta Nimesinzia Na Baada Kuamka Aki Imenibidi Nirudi Nyuma Nijue Kilichoendelea Ongereni Sana Mliyo Shiriki❤❤❤❤❤

  • @amirdingu8039
    @amirdingu8039 5 років тому +4

    Madebe lidai ww ni wa Tanzania nakupa 100%

  • @troubleabhat2190
    @troubleabhat2190 6 років тому +2

    Madebe uko top Allah akuzidishie kipaji chako usifike kote ulimwenguni na mafunzo yako bora

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 6 років тому +12

    napenda sana movie zako kaka upo juu

  • @allychaye3446
    @allychaye3446 6 років тому +20

    Madebe unaweza sana hayupo wakukufikia kuigiza

  • @aishaaisha3722
    @aishaaisha3722 6 років тому +7

    Masha Allah madebe

  • @diamondplatnumz8462
    @diamondplatnumz8462 6 років тому +8

    Madebe kawa #Pasua-kichwa👏👍
    Congrats

  • @ZingoSports
    @ZingoSports 6 років тому +2

    Dah big up sana kwako kaka Madebe UHAKIKA najifunza vitu vingi sana kupitia wew

  • @thobiasmikaniko8348
    @thobiasmikaniko8348 5 років тому +3

    Wangap tunaangalia huku machozi ya kimutoka😢😢😢😢

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 Рік тому

    Mtoto wa Madebe ndiye aliyenitia huzuni....Hongerani Sana Madebe na Team yako, jamii ya Africa Mashariki na kati inahitaji mafunzo mfano wa haya....Baba Shida big up sana kwa kuvaa uasilia wa Mababa wasokubaliana na mibadiliko haali.. Shukran sana

  • @adamali438
    @adamali438 6 років тому +1

    Madebe lidai shukrani sana kwa movie zako Mungu akujalie maisha marefu uzidi kutufurahisha na kutuelimisha asanteni sana wahusika nyote

  • @ElvisMumbere
    @ElvisMumbere 4 місяці тому +1

    Tiiii 2024 from congo

  • @rashidyhassan4679
    @rashidyhassan4679 6 років тому +13

    ukweli ni kwamba unaelimisha sana, madhaif ya sheria, ukosefu wa busara juu ya utatuzi jambo hilo. kiufupi nimekuelewa.

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 5 років тому

      Yaani ukiangalia moves za Madebe hukosi funzo kwakweli

  • @furahakhamiisi5130
    @furahakhamiisi5130 6 років тому +2

    Movie nzuri nimeipenda bure Asante kwa wote mlioshiriki kwa movie hi!😘😘😘

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 6 років тому +12

    Big up madebe unastory nzur sna

  • @chelimovictor1817
    @chelimovictor1817 6 років тому +7

    Always the best Swahili movies....watching from Kenya i wish ungekua huku singekosa any episode uploaded

  • @maxphitina6212
    @maxphitina6212 5 років тому +1

    Hapo Mzazi nimekuerewa bila kuisahau Msungo umetisha kinoma kaza bunti usiyumbe ili kusudi ufike mbari zaidi

  • @abdallahmuhammad4729
    @abdallahmuhammad4729 6 років тому +3

    majuto ni mjukuu huja baada ya jambo.pole sana bba Shida

  • @rehemarajabu3590
    @rehemarajabu3590 6 років тому +1

    masha_allah hongera san madebe mov zako hazichoshi...zinafundisha nakuelemisha...asant san

  • @bosiabu6607
    @bosiabu6607 6 років тому +15

    many many thanks for the movie I'm getting you from saudiArabia

  • @dennisjuma1196
    @dennisjuma1196 2 роки тому

    hongera sana nabii Kwa filamu ya ushauri

  • @salimshalifu9293
    @salimshalifu9293 6 років тому +3

    huwa sipendelei move za kwetu ila za madebe kila inayo toka lazima niwe nayo coz kama unaakili analemga kila sehem hazina mapenzi bali zina uhalisia wa maisha dah anajua sana

  • @MohamedAhmed-yu1lu
    @MohamedAhmed-yu1lu 6 років тому +2

    Madebe nakukubali bro movie zako zote kiboko mafunzo tele na entertainment bora kabisa. Endelea hivyo hivyo.

  • @MohamedAli-mr8oj
    @MohamedAli-mr8oj 4 роки тому +3

    Madeebeee! You're always killing ot at every given moment..🤗

  • @eddiezunda1066
    @eddiezunda1066 4 роки тому

    madebe uko juu sana niko kenya naangalia sana story zako zina mafundisho makubwa. mie ni mtanzania na mwalimu wa kiswahili huku kenya, misemo yako naikubali sana.... kazana kijana

  • @mwarabubaraka2420
    @mwarabubaraka2420 3 роки тому +1

    Hongera sana madebe hakuna zaida y ww

  • @خديجها-ه9ق
    @خديجها-ه9ق 6 років тому +4

    Uyu mze nomaa sana anakosa kamba na mbunzi loho mbaya tu Sasa anafaidika nini duuhhhh

  • @mayeleamisi9483
    @mayeleamisi9483 6 років тому +8

    Heri huwe Nama haduwi wengi kuliko Kuwa Nama Rafiki wengi😟😟😟😟😟😟

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 років тому +1

    Mashaallah madebe, mwenyezi mungu atakujalia ufike mbali

  • @jimmymusti165
    @jimmymusti165 6 років тому +1

    Aaaaaahhh Madebe we unajua, we ni bonge la actor babaake!!

  • @al_huda_theguidance5034
    @al_huda_theguidance5034 4 роки тому

    Hizi movie za madebe zimenipa fundisho kubwa Sana, nazipenda kweli, big up madebe

  • @hadija846
    @hadija846 4 роки тому +1

    Madebe wangu unapo lia unaniliza bwana noma noma😘💕😍pamoja sana wakati wote kwa kazi mzuri🙏🏼

  • @HalimaHalima-tq5jw
    @HalimaHalima-tq5jw 3 роки тому

    Mashaallah madebe Allah akupe umri na cnema zako za mafunz zinatufunza Wallah nakukubali ALLAH akubarik amiin 👏👂🙏✌️🤝💪👊💐🤗

  • @eliaspunga1997
    @eliaspunga1997 4 роки тому

    Madebe lidai is true actor from tz and out of tz big up lidai and god you are blessing work of your hand

  • @jumahsuleyman3681
    @jumahsuleyman3681 4 роки тому +1

    Mm natokea njini Kenya namkubali sana lidai

  • @hassansaid2518
    @hassansaid2518 6 років тому +1

    Mashaallah Madebe, kitumie sna kipaji icho.!

  • @mgl_africa
    @mgl_africa 3 роки тому

    Madebe utofauti wako na waigizaji wengine katika movie zako wewe unajua kumaliza movie na ikaeleweka tofauti na wasanii wengine wanashindwa kabisaaaa kumaliza story ikaeleweka

  • @MrSam-vx7vl
    @MrSam-vx7vl 2 роки тому +1

    Daa hili janga linawakumba wengi sana, 30yrs😥😥

  • @neemakanzo3702
    @neemakanzo3702 6 років тому +3

    madebe wewe noma 👍👍👌👌👌👏👏👏💓💓💓💓

  • @yusuframadhani444
    @yusuframadhani444 4 роки тому

    hongera sana Madebe mungu akuzidishie kwenye kazi zako, jamani hizi filamu nyengine ukijiachia kidogo mara unatoa chozi😥

  • @zubeidahtamaratamara9382
    @zubeidahtamaratamara9382 6 років тому +5

    In sha Allah thank u for loving story appreciate

  • @jumajuma2726
    @jumajuma2726 5 років тому

    Sipend bongo movie sababu awajui kuigiza vitu vya maana kama HV madebe hakika Allah akuifadhi sana

  • @edwinwaithera8805
    @edwinwaithera8805 6 років тому +1

    madebe lidai mashaili yako vizuri nakukubali.

  • @moudjunior3458
    @moudjunior3458 6 років тому +2

    Sio kila mzee ana busara! ukijifanya mwanasheria sana kuhukumu wenzio ili kuiridhisha nafsi yako utafeli! Mtoto uliye mtegemea leo akufute machozi kesho anakuja kukupa majonzi makubwa na usijaribu kuchora ramani ya Afrika kama mwanzo wake huujui

    • @majomolaikanda9754
      @majomolaikanda9754 2 роки тому

      Aise madebe mungu akupe maisha marefu ili uifundishe jamii

  • @hijafadhili6143
    @hijafadhili6143 5 років тому +3

    ukweli ubakie usifiwe ....madebe nidhahabu ya mswahili hata uchukieee

  • @wahindiakwembe8066
    @wahindiakwembe8066 6 років тому +1

    Madebe mungu azidi kukulinda tunapenda sana movies zako

  • @sadikkahindi8416
    @sadikkahindi8416 6 років тому +1

    lidai the best actor for now

  • @hashimrashidy3532
    @hashimrashidy3532 5 років тому +1

    jitaidi kubadilisha mavazi msuli una

  • @cameramaisha750
    @cameramaisha750 5 років тому +1

    mungu akupe haya na mengne mauri inshaa allah, madebe safi sana

  • @magrethandrew8014
    @magrethandrew8014 2 роки тому

    Aise mungu akuongezee iman brother made be

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 5 років тому +1

    Innalilah wainnaileyhi rajiun ewe mola tujaribu kuepuka balaa na maamuzi mabaya

  • @jumajuma2726
    @jumajuma2726 5 років тому +1

    Hii movie baada ya kuifurahia naichukia sasa maana inanitoa machozi hakika Allah akuifadhi madebe

  • @smrmb76
    @smrmb76 6 років тому +1

    Congratulations lidai you are on top of the game.

  • @juniorleonard9140
    @juniorleonard9140 6 років тому +1

    Safi sana kaka mkubwa thamila ya ni nzuri sana

  • @agustinoandrew1200
    @agustinoandrew1200 6 років тому +3

    Hongera sana Madebe, kazi nzuri....!

    • @obbymasinjisa4100
      @obbymasinjisa4100 5 років тому

      Daaaah. Kweli wee ni Mwalim tosha wa jamii hongera sana kaka, by Oby Masinjisa

  • @isaactsongo664
    @isaactsongo664 3 роки тому +1

    Iyo sehemu ya pili ina nipa fundisho y'a kweli

  • @irakozeasia7780
    @irakozeasia7780 4 роки тому

    Mungu wangu kwakweli ma baba kama hawa wapo pole sana daa shida

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 років тому +1

    Uko sahihi sana mzee , mimba za ototoni Tanzania zimezidi sana

  • @eliudchubwa6277
    @eliudchubwa6277 5 років тому +5

    Duuuh! Hakuna movies iliyowahi kunitoa machozi ila hii!!! Inshallah.

  • @خديجها-ه9ق
    @خديجها-ه9ق 6 років тому +4

    Nice movies 😘😘😘😘 inshaAllah

  • @abubakarysaid93
    @abubakarysaid93 5 років тому +2

    kwa mara ya kwanza naangalia movi ya kibongo natoa chozi hongera kwako kaka MADEBE THE KING OF BONGO MOVIE

  • @yussufhimid5676
    @yussufhimid5676 6 років тому +9

    Five stars ⭐️

  • @elishaemmanueli2768
    @elishaemmanueli2768 5 років тому +1

    nothing to say but take this 💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @rayanjoseck4458
    @rayanjoseck4458 6 років тому +4

    Congratulations brother you really improved on character voice

  • @ashuraommy2216
    @ashuraommy2216 4 роки тому

    Napenda sana muvi za madebe na huwa nafuatilia kila muvi inayotoka 😘😘😘

  • @mfungwahuru
    @mfungwahuru 6 років тому +1

    Imenifunza Sana Licha kwamba umenitoa machozi

  • @allengeorge5032
    @allengeorge5032 6 років тому +10

    Madebe mm ni xhabiki ako mkubwaaa

  • @habibtalib5100
    @habibtalib5100 6 років тому +9

    mchezo ni mzuri ila ukifika mwisho usiweke iyo BEHIND THE SCIENE kwasababu inakua inatoa ile hamu yote kma mtu alisikitika yan huzun inatoka anaona kma kawaida tuu.

  • @kelvinmamba3551
    @kelvinmamba3551 6 років тому

    kaka wew mkali sana asie zielewa movie zake basi huyo analake jambo

  • @mgosiasambaa8746
    @mgosiasambaa8746 6 років тому +2

    Ahsanyeni sana kwakutuwekea sehemu ya 2