HII ITAKUWA NI INDUSTRIAL PARK YAKWANZA AFRIKA NZIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 10

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 2 роки тому +6

    Umeme unakatika Mara kwa Mara kwanini wakati wa Magu haikuwa hivyo? siwaelewi hawa wanasiasa wa nyakati hizi waziri wa nishati ni nani?

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 роки тому +1

    Uwekeni mukataba huwo wazi Watanzania wauone. Kuna uwekezaji wa Kigamboni uliughalimu Watanzania fedha nyingi na ukafa. Mpaka tuone kwa macho yetu.

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 2 роки тому +2

    Muwe makini mnapofanya mikataba na hawa watu msije mkauza nchi.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 2 роки тому +1

    Kama tusipoangalia wakoloni wetu watarudi kama Wawekezaji. Hapa tunadanganywa kama dili ya Kigamboni. Nchi haina hata umeme wa kutosha. Wizi kila kona, sheria hazifuwatwi, ufisadi na rushwa kwenye viongozi. Tunauzwa muchana kweupe. Hata muchina kaisha fundishwa kuimba serikari awamu ya sita. Mama Ana kiu ya sifa. Bila kupigana na ufisadi ni watu wachache tu watajirika kwa jasho la wengi.

  • @guzomc255
    @guzomc255 2 роки тому +1

    Ninachokipenda mimi na watanzania walio wengi ni kuona serikali yetu au watanzania wenzetu kuwekeza katka secta ya viwanda na sio kusikia watu wa nje kuja kuwekeza kwa sababu walio wengi huja kutunyonya na si kingine wanakuja na zaidi ya malengo serikali yetu inabidi kuwa makini sana na hili tunao umia ni sisi wananchi..

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 роки тому

    .

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 2 роки тому +1

    Nina imani binge litahusika kujadili na kuafiki mikataba hii! Hatukatai maendeleo; tunakataa upigaji na ubabaishaji na hatimaye kuangamiza nchi na watu wake

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 2 роки тому

    Hii mikataba hii tutakukaja kulia. We ngoja tu. Wachiinaaaa we ngoja madhara yakija tokea itakuwa too late, too late.