ViwandaBiashara TV
ViwandaBiashara TV
  • 340
  • 78 528

Відео

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Manongi ajibu...
Переглядів 382 місяці тому
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Manongi ajibu...
Mhe.Balozi Dkt.John Simbachawene akizungumza na waandishi wa Habari Oktoba 25, 2024 Jijini Arusha.
Переглядів 1962 місяці тому
Mhe.Balozi Dkt.John Simbachawene akizungumza na waandishi wa Habari Oktoba 25, 2024 Jijini Arusha.
*TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KURAHISISHA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO*
Переглядів 2,1 тис.3 місяці тому
*TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KURAHISISHA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO*
SERIKALI imetoa wiki tatu TANESCO kupeleka Transfoma katika Kiwanda cha Lodhia.
Переглядів 1,5 тис.3 місяці тому
SERIKALI imetoa wiki tatu TANESCO kupeleka Transfoma katika Kiwanda cha Lodhia.
MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO ATUMA SALAM...
Переглядів 1123 місяці тому
MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO ATUMA SALAM...
Ziara Maalum ya Waziri wa Viwanda na Biashara mkoani Lindi yaleta matumaini mapya kwa wananchi.
Переглядів 773 місяці тому
Ziara Maalum ya Waziri wa Viwanda na Biashara mkoani Lindi yaleta matumaini mapya kwa wananchi.
"Lindi jipangeni kupata gridi ya maji"
Переглядів 2073 місяці тому
"Lindi jipangeni kupata gridi ya maji"
"...Lindi, pelekeni watoto wenye uhitaji maalum shuleni..." Mhe. Dkt. Jafo
Переглядів 673 місяці тому
"...Lindi, pelekeni watoto wenye uhitaji maalum shuleni..." Mhe. Dkt. Jafo
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt.Selemani Jafo aelezea faida mtambo wa kupembua mazao ghalani
Переглядів 773 місяці тому
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt.Selemani Jafo aelezea faida mtambo wa kupembua mazao ghalani
"Lindi, kamilisheni miradi ya Maendeleo". Mhe. Dkt. Selemani Jafo
Переглядів 393 місяці тому
"Lindi, kamilisheni miradi ya Maendeleo". Mhe. Dkt. Selemani Jafo
Ziara Maalum katika Mkoa wa Lindi inayolenga kukagua utekelezaji wa Miradi ya maendeleo
Переглядів 523 місяці тому
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameongozana na Viongozi wa Chama na Serikali wakati wa akihitimisha Ziara Maalum katika Mkoa wa Lindi inayolenga kukagua utekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone".
19 September 2024
Переглядів 363 місяці тому
19 September 2024
Mhe. Selemani azindua Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Kilwa na kufanya mikutano ya hadhara.
Переглядів 2153 місяці тому
Mhe. Selemani azindua Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Kilwa na kufanya mikutano ya hadhara.
Mhe. Jafo azindua miradi mkoani Lindi chini ya Kauli mbiu "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone"
Переглядів 1803 місяці тому
Mhe. Jafo azindua miradi mkoani Lindi chini ya Kauli mbiu "Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone"
19 September 2024
Переглядів 823 місяці тому
19 September 2024
Mhe. Jafo awahakikishia Watanzania kuwa na sukari ya kutosha.
Переглядів 3104 місяці тому
Mhe. Jafo awahakikishia Watanzania kuwa na sukari ya kutosha.
Mhe. Jafo awaasa Wananchi kuendelea kutumia bidhaa zinazozalishwa na Viwanda vya Tanzania.
Переглядів 1514 місяці тому
Mhe. Jafo awaasa Wananchi kuendelea kutumia bidhaa zinazozalishwa na Viwanda vya Tanzania.
Mhe. Jafo awafunda watumishi, upendo ndio siri ya mafanikio kazini...
Переглядів 1274 місяці тому
Mhe. Jafo awafunda watumishi, upendo ndio siri ya mafanikio kazini...
Mhe. Jafo afanya ziara Bandari ya Dar na kubaini ukweli....
Переглядів 9134 місяці тому
Mhe. Jafo afanya ziara Bandari ya Dar na kubaini ukweli....
Mhe. Selemani Jafo akagua ofisi za BRELA na kuwapongeza vijana walioajiriwa
Переглядів 1014 місяці тому
Mhe. Selemani Jafo akagua ofisi za BRELA na kuwapongeza vijana walioajiriwa
Mhe. Selemani Jafo atinga Bandarí ya Dar es Salaam kukagua mita za mafuta.
Переглядів 1904 місяці тому
Mhe. Selemani Jafo atinga Bandarí ya Dar es Salaam kukagua mita za mafuta.
MHE. SELEMANI JAFO AJIBU MASWALI BUNGENI JUU YA SHERIA Na.8 YA MWAKA 2003
Переглядів 2,7 тис.4 місяці тому
MHE. SELEMANI JAFO AJIBU MASWALI BUNGENI JUU YA SHERIA Na.8 YA MWAKA 2003
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameagiza Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara.
Переглядів 1004 місяці тому
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameagiza Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara.
Mhe.Dkt.Jafo AZITEMBELEA TAASISI NA MASHIRIKA YALIYO CHINI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
Переглядів 235 місяців тому
Mhe.Dkt.Jafo AZITEMBELEA TAASISI NA MASHIRIKA YALIYO CHINI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
WAZIRI JAFO AWASHUKIA NDC KIMKAKATI ZAIDI
Переглядів 7185 місяців тому
WAZIRI JAFO AWASHUKIA NDC KIMKAKATI ZAIDI
WAZIRI JAFO AELEZEA FAIDA ZA SERA YA TAIFA YA BIASHARA 2003 TOLEO LA 2023
Переглядів 1415 місяців тому
WAZIRI JAFO AELEZEA FAIDA ZA SERA YA TAIFA YA BIASHARA 2003 TOLEO LA 2023
WAZIRI JAFO AKIELEZEA UMUHIMU NA MALENGO YA SERA MPYA YA BIASHARA
Переглядів 665 місяців тому
WAZIRI JAFO AKIELEZEA UMUHIMU NA MALENGO YA SERA MPYA YA BIASHARA
MAONESHO YA SABASABA 2024
Переглядів 195 місяців тому
MAONESHO YA SABASABA 2024
MAONESHO YA SABASABA 2024
Переглядів 275 місяців тому
MAONESHO YA SABASABA 2024

КОМЕНТАРІ

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 днів тому

    Kuna siku nili jiuliza kwanini viwanda vingi vina feli ,policy ya wizara wizara ya viwanda inatakiwa kwenda sawa na tech hapo tutakua na viwanda vikubwa kila mahala ,

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 днів тому

    HII WIZARA INATAKIWA INATAKIWA ISAMBARATISHWEEEE KABISAA KUWE NA WIZARA MBILI BIASHARA IWE KWENYE FEDHA , NA VIWANDA IWE KWENYE TECHNOLOGY ILI UFANISI UWE JUUU ,BIASHARA NA FEDHA WA FACILITATE PATO ,, HUKU VIWANDA NA TECH WABORESHEE VIWANDA KUTOKA LOCAL TO ADVANCED

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 днів тому

    TANZANIA UWA TUNA JISIFIA UJINGA SANA ,ILITAKIWA HAPA WAJISIFIEE TUNA VIWANDA VITANO VYA AINA HIII ,TANZANIAA NIPANA SANA MAENEO YALIO WAZI NI MAKUBWA SANA ,KODI NAYO IPUNGUZWEE KWA ,KENYA WANA 15% NA WAKO JUU KIUCHUMI KWASABABU WANA MZUNGUKO MKALI WA BIASHARA

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 8 днів тому

    TRA SHUSHENI KODI TANZANIA ILISHEE IZI NCHI ZOTE WASIFATE MZIGO CHINA AU DUBAI TANZANIA INAMAENEO MAKUBWA SANA KODI IWE 10% WAISHUSHE KIDOGO KIDOGO KILA MWAKA HATA 1.5% MINAIMANI NCHI ITAFUNGUKA ,NA MMBADILISHE DOCUMNT ZIWE ELECTRIC MTU ANAONYESHA TINI DOC ZOTE ZIPO HUMO MIFUMO INAWEZA

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 11 днів тому

    Zambia imefanya Uchaguzi wa HAKI na HURU. Je TANZANIA imekubali kufanya Uchaguzi wa HAKI na HURU bila ya kuingiliwa na mapolisi na chama cha mapinduzi?

  • @haroungwiyamabuzohera-jk3vl
    @haroungwiyamabuzohera-jk3vl 17 днів тому

    WATANZANIA tuwe macho na wasikivu ili kupata maendeleo. Nchi yetu imebahatika kuwapata wanaanchi wenye maksudi ya kupata maendeleo. Mawazo yangu kwa serikali Sasa ni kuitaka serikali kuanzisha na kusimamia AGRICULTURAL BYELAWS NA KUWAGAWIA ARDHI wanaanchi ili waendeleze kilimo cha biashara. Hii iwe pamoja na KUWAGAWIA eka 5 kwa kila family ya watu 5. Kumbuka ardhi ni Mali ya umma. Hii itakuwa MKOMBOZI ili mradi wanufaika walime mazao ya biashara. Inawezekana tutimize wajibu wetu. [ IT CAN BE DONE: PLAY YOUR PART]

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 23 дні тому

    Hivyo viwanda kama hivyo vingekuwa kila mko hasa mikoa ambayo ina mari gafi , wataramu wetu amukeni basi ,tusingekuwa tuaomba mikopo nyenye liba kubwa .

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k Місяць тому

    Tuwe na viwanda vya kuchakatà madini Tanzania

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k Місяць тому

    Bila waarabu na wahind bc Tanzania haiwez kufika mbali tuache ubaguz tuwakaribishe waarabu wawekeze

  • @zuhuramniwasa1063
    @zuhuramniwasa1063 Місяць тому

    Hichi kiwanda kipo mbele ya nymba yangu, mita kama 50, Original plant ambacho kiwananda dada kinachotengeneza cement ya Diamond ilikuwa kama mita 200 kutoka makazi ya watu, na huko ndani kuna kimto unaokusanya maji ya mvua, wakaja kununua hizo mita 200, wakajenga Ukuta na wameziba mitaro yote iliyokuwa inapeleka maji ya mvua kwenye mto, Sasa mvua ikinyesha maji hayana kwa kwenda ninapata shida sana jamani na hakuna anayetusikiliza, sina shida na kiwanda lakini watengeneze mifereji ya maji ya mvua kuondaka kwenye makazi ya nyumba zetu

  • @agneskayange2804
    @agneskayange2804 Місяць тому

    👋👋👋🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Місяць тому

    Hivi tunakwamia wapi kuwa na kiwanda kikubwa Sanaa cha nchi raw materials zipo lakini tumipigwa ganzi !!!!!!!!?

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Місяць тому

    🇹🇿China yetu ita kuwa Zambia na Magendo mpakani kwa bithaa zinazo pitishwa hapa hapa Bandarini Zambia ita ondoa ushuru wa foroza ili ziingie kwao kisha zirudi kwa njia za panya 🇹🇿🔥

    • @kaaakwakutuliaa5179
      @kaaakwakutuliaa5179 8 днів тому

      TRA IANGALIEE UWEZEKANO WAKUTUPUNGUZIA USHURU IZI NCHII TUNA UWEZO WA KUZILISHAAA

  • @JovinusMuchunguzi
    @JovinusMuchunguzi Місяць тому

    Cement

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t Місяць тому

    Viongozi wa nchi hii wanakimbia mno na magali

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 Місяць тому

    Aisee hii nimeilewa

  • @OnesmoSanga-j2f
    @OnesmoSanga-j2f Місяць тому

    Saruji I cement

  • @OukoCliff-h4x
    @OukoCliff-h4x Місяць тому

    Saruji ni nini

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin Місяць тому

      Siment tunayotumia kujenga nyumba

  • @boychidu
    @boychidu 2 місяці тому

    Naungana na wewe mheshimiwa 🎉🎉

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 2 місяці тому

    Hamna jipya hapo ni maongezeko ya urasimu tu

  • @edmondlalika-m7i
    @edmondlalika-m7i 2 місяці тому

    kiongozi wawatu

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson 2 місяці тому

    Jamani hii spidi mbona kubwa mtatuuwa sasa

  • @RichardGhatiOjina
    @RichardGhatiOjina 2 місяці тому

    Hi

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 2 місяці тому

    Mitano tena ❤❤

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 місяці тому

    Wangeweza kuwekeza hivyo vitu vyote miaka mingi sana iliyopita, tatizo tumejaza wajinga tuu na wezi , sijui kwanini hawajifunzi namna ya kuongeza ufanisi, na sio bandari tuu, mashirika yote ya serikali yanaweza kujifunza na kuweka mifumo kuboresha maisha na mapato ya Taifa lote, sisi sio maskini, shida tunaongozwa na wajinga watupu, God help us

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 3 місяці тому

    Haya ni maendeleo

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому

    Toeni fursa mikoa yote bila hujuma sio watu wote kurundikana Dar na uzuri Tanzania inawezekana kila mkoa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 5 місяців тому

    Hilo ni wazo zuri kwani watu watajufunza mbinu za biashara hakika zamani kulikuwa na wafanya biashara wa kihindi tu yani biashara kubwa leo wabongo wote wanafanya biashara kubwa lazima watu wajifunze kwa wengine

  • @maggie658
    @maggie658 5 місяців тому

    Hongereni sana

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 5 місяців тому

    Oooh allah jaalia amani na ulinzi na usiri wa hali ua juu kwa waumini😅

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 5 місяців тому

    🎉❤

  • @MpandujiNdassa
    @MpandujiNdassa 6 місяців тому

    mko wapi

  • @rubenlengai7195
    @rubenlengai7195 6 місяців тому

    Jina la kiwanda linatisha ikiwezeka wabadilishe jina

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 8 місяців тому

    Machinga tatizo majiko matilie ovyo kabisa nchi inaendeshwa na sela sela zitu ni tatu wakulima wafanyakazi wafanya biashara Siya machinga machinga ni sela ipi

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 8 місяців тому

    Wanaopanda biashara barabarani kaliakoo watoke machinga watafutiwe pakwenda

  • @abdonrichard3055
    @abdonrichard3055 8 місяців тому

    Serikali yetu nia yake ni njema kabisa katika kukuza maendeleo ya biashara, viwanda na uwekezaji ndani ya nchi. Lakini ikumbukwe mji haujengwi na wazawa tyu. Lazima turuhusu lakini uku tukiangalie namna nzuri ya kunufaika na huu mwingiliano wa watu kutoka nje katika nyanja hii ya biashara, viwanda na uwekezaji.

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 8 місяців тому

    Usumbufu mkubwa hamkuugusa ni kero ya tra kukamata kusumbua mitaani na kutaka rushwaaaaa

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 8 місяців тому

    Wizara isaidie wafanyabiashara kunyanyaswa na tra na police hasa kariakoo ni kero na rushwa hurrasment Kwa wadau wake

  • @ChristopherGambi
    @ChristopherGambi 11 місяців тому

    Asante sana

  • @ChristopherGambi
    @ChristopherGambi 11 місяців тому

    Asante sana mama

  • @issajuma8791
    @issajuma8791 Рік тому

    Naam Mazingira Rafiki kwa Wafanya Biashara Kazi Kazi Mhe. Waziri Sis Tunakuelewa

  • @mkayamkaya9257
    @mkayamkaya9257 Рік тому

    ua-cam.com/video/JvuWgeCwbbA/v-deo.html

  • @cornelmassawe856
    @cornelmassawe856 Рік тому

    Mimi ni mfanya biashara wa kariakoo Hili suala la wawekezaji kuondoka ni kweli. Na Wala tusiunde tume Tafadhali wafanyabiashara tupo tyari kuwaambia tunayo pitia, changamoto zimekuwa nyingi sana 1. Kamata kamata ya TRA Hii ndio kero namba Moja unakuta mteja katoka nchi jirani kanunua mzigo mkubwa alafu anakamatwa eti kwamba risiti hazijitoshelezi wanawapeleka kwenye vituo vya polisi wanawapiga fine ya 3-6M Nimepoteza potential customers Tunapoteza mitaji Tunauza bidhaa zetu kwa Bei ya hasara maana mizigo tuliyo nayo inakuwa outdated, bidhaa nyingine Zina expire Ukweli ni kwamba serikali haiwezi kutanuaa wigo wa kukusanya Kodi kwa kukamata na kusumbua wafanyabiashara haswa wateja. Mkitaka kujua angalieni mzunguko wa biashara kabla na baada ya kuanzishwa hii operation ya kukamata watu. Biashara inakufa mnajitahidi kututangaza huko nje na kuhamasisha wageni waje kuwekeza Ila Sheria zenu na strategies Zina warudisha nyuma sana. Mnawaza kuchukua Hela za wafanyabiashara na mnasahau kwamba mnatakiwa kuwa Linda Ili kesho na kesho kutwa mpate Kodi nzuri. Ushauri wangu ni mmoja tuu. Acheni kukamata wateja. Mizigo inavo ingia bandarini inalipiwa Kodi zote. Watu wenye maduka pia Wana makadirio walio fanyiwa wanalipa Kodi. Angalieni mizigo ikisha ingia sokoni acheni wafanyabiashara waenjoy acheni tufanye kazi. Tunahangaika kutafuta wateja tunawapata alafu nyie mnakuja kuwakera. Mf. Mmewahi sikia mzigo wa mtanzania umekamatwa china??

  • @eliasmollel8017
    @eliasmollel8017 Рік тому

    Yes we can, Wizara ya Uwekezaji hoyee.

  • @mehboobkarmali5211
    @mehboobkarmali5211 Рік тому

    Well done

  • @hidayabomani401
    @hidayabomani401 Рік тому

    Napenda Kukupa Hongera Waziri ila tuna changa Moto Kubwa Huku Kwetu Kurasini Mivinjeni Kinajengwa Viwanda Na Bado Kuna Makazi ya Watu Je Waziri Mnatutendea Haki Wakazi Wa Mivinjeni Tunakuomba Waziri Kutembelea Uje Uone Mazingira Yalivyo Tunakuomba Sana Wakazi Wa Mivinjeni

    • @hidayabomani401
      @hidayabomani401 Рік тому

      Tunakuomba Tena Jitahidi Uje Uone mwenyewe Je Viwanda Na Makazi Na Viwanda Vinakubalika Kisheria

  • @hidayabomani401
    @hidayabomani401 2 роки тому

    Nakuomba Waziri waweke Wazi Wawekezaji wa Kurasini Mivinjeni Wanakosa ushirikiano na Watendaji tupo Hatarini Matank ya Mafuta tunayo jirani sana ni Hatari sana Mfikishie Taarifa Hizi Rais Wetu Mpendwa Mama Yetu Mama Zakia Suluhu Vikwanzo ni vingi Sana Hapa Kurasini Mivinjeni

  • @adelickinyasi8972
    @adelickinyasi8972 2 роки тому

    Ongera sana Tanzania juu juu sana

  • @sakinachamshama1398
    @sakinachamshama1398 2 роки тому

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @charlesishara7083
    @charlesishara7083 2 роки тому

    Hongera kwa hatua nzuri wizara ya UWEKEZAJI viwanda na biashara