Our problem is not even the taxes because we have been paying them since then.We have issues with how this money is being used.We are only after accountability and good leadership free from corruption and political gains
ndio Africa mashariki Kenya inaongoza Kwa usomi Tena baadhi Yao wamesomea Sheria...mi nawafatilia Sana mtandaoni wengi wao wanasema haitawezekana walikolonaizi baba Yao na wanataka ku kolonaizi vijana hiyo haitawezekana
Safi Sana Kenya Maandamano yao ni ya wananchi wenyewe sio propaganda za wanasiasa wameamua kutojana kupanda garama za Maisha hasa vitu Muhimu vya Kila siku na vinavyowagusa wananchi hasa wa Hali ya chini Hilo hata Mimi nakubaliana nao Raila alianzisha Maandamano yalifeli kwa sababu ni kwa Maslahi ya kisiasa haya ya wananchi wenyewe Kila Mtu anaguswa sio siasa ni uhakisia sio kwa sbb ya chama au watu kuwaweka Madarakani Safi kabisa
I honestly don't know where these Tanzanians got the notion that we want Uhuru back. WE DON'T! He can't even come back but even if he were to, we wouldn't want him back. He is the architect of everything wrong today...the stole a lot of money in Uhuru's last days. The man we would all want back is Mwai Kibaki. May he rest in peace. He is the architect of modern Kenya and our economy as it is today. God bless his soul.
Nani kawadanganya kuwa Wakenya wanamtaka Uhuru K. arudi madarakani? Uhuru ni miongoni wa marais walioidumbukiza hii nchi kwenye shimo la madeni makubwa mno. Gen Z, wanachotaka ni huyu zakayo muongo kung'atuka madarakani.
Ruto's Brain is divided into two parts, LEFT and RIGHT. On the LEFT side of his brain, nothing is right, and on the RIGHT side of his brain, nothing is left.
Good observation from our Tanzanian people.... Kenya is an expensive country to live in...kwa hivyo bei yoyote ikiongezeka tu hata peni moja....the people take notice upesi sana! Mimi kama mkenya sipendi huu upuzi wa hii serikali yetu! Wanatenga hela za miradi wakiiba tu! Ndiyo maana tunawatembelea MPs manyumbani kwao.
ukisema wanawake wakenya ni ngumu kuishi nao.. ukweli wanawake wengi wa kenya ni wazuri sana. they tell the truth as it is na ni watu mtajenga boma nao.. watz, warwanda, waganda na waburundi, mwanamke atakuchekea tu kumbe huko njee anakupangia kenyan women, any day - they are honest, hardworking and loving
Ila ushuru,kodi na ufisadi uliokithiri kwenye halmashauri mbali mbali ,pamoja na wakurugenzi wa yale makampuni ya kiserikali ni majipu tu,yafaa tuyatoboe yote!
Tuna wafanyi kazi wa serikali wazembe sana. Hawana binu mpya za kufufua uchumi or all they know is increments of taxes. Instead of allowing and helping local citizen import heavy and light machinary tax free. How much taxes would government be collecting if the unemployment rate down to 3to5,% . Government should invest in energy production and good policies.
Matatizo ya Kenya Yana mizizi mirefu ya kihistoria. misingi ya uchumi ya Kenya ni tofauti sana na Tanzania. hicho mnachokiita " ujamaa" sera ambayo nchi hii imeumizwa sana kusimamia. mnajua tuliwekewa vikwazo hapa kutetea huo ujamaa? Kenya waluchagua ubepari na ubeberu! sera ambayo imewafikisha hapo!
Hamna msukumo kutoka popote. Msukumo ni hasira ya WaKenya kutokana na upumbavu wa serikali ambayo sio halali - serikali ya wizi na kimabavu ya huyu mpumbavu, akili mboga ruto na wezi wake. Gen. Z wakaamua ku lead WaKenya. Huo ndiyo msukumo. Siyo wabeberu kama Marekani ambao ruto yumo kitandani nao.
Let us not ashame ourselves.We do speak Kiswahili .More than 54 million Kenyans have been taught Kiswahili in schools.Let us encourage the use of kiswahili
Kisha taxes zoote zime elekezwa kwa wanawake raundi hii.last year taxes ziliongezwa kwa nywele,mafuta.ya kujipaka basically all beauty products.kisha sasa pads diapers za watoto what's wrong with this govt.mbona wa target group kubeba mzigo mkubwa hivi?
Kwanza kabisa huyu jamaa ni moja katika mawili ni mjinga au ni mtu mwenye kufuata mihemko na maslahi Maandamano hayajawahi kuwa njia wala haitatokea yawe njia ya kusuluhisha changamoto zinazolikumba taifa lolote bali mara zote yamekua yakileta machafuko na kuvuruga amani ambayo ndio ufunguo wa mafanikio yoyote katika mifumo inayoiendesha huu ulimwengu bali ni watu wangapi ambao wamefanya maandamano na ikawa ni chanzo cha majuto yao leo....! Watanzania tusipumbazwe na mawazo ya baadhi ya watu wasioolewa maana ya amani Taratibu za kuishauri mamlaka zipo na zifuatwe na hio tu ndio namna ya kuliendeleza taifa letu.
Maandamano huku haina kiongozi
Then hii Gen Z hatuna ukabila
We reject finance bill 2024
And Ruto must Go
Our problem is not even the taxes because we have been paying them since then.We have issues with how this money is being used.We are only after accountability and good leadership free from corruption and political gains
Very true
Wakenya Sisi tunaipenda sana nchi yetu.Tunaipigania kwa damu na jasho
WaTz nyie endeleeni kuongelea Mpira tuu asubui mpaka jioni, endeleeni kumshangaa Chris Brown kucheza Komosava, Endeleeni kumsifia Mama anaupiga mwingi wakat hali mtaani sio poa 😅😂
Komosava tena😂😂😂😂
@@FM-ir2nq kwan hauoni? 😅🤣🤣
Kaka uko sawa sana sana
@@Hamad10Salafi 😂😂😂😂😂
We zombie haujui
Hio ndio kenya hatuogopi .one nation one blood ❤
Sure
Mm kama Gen Z wa 🇰🇪🇰🇪nafikiri,,,africa yote we need to start afresh....au vipi...
Kbsa
Issue kubwa ni kuwa mwananchi wa chini anakaza mshipi ili kumudu gharama ya maisha lakini kwa walio serikalini its directly opposite .
Wakenya wamesoma
ndio Africa mashariki Kenya inaongoza Kwa usomi Tena baadhi Yao wamesomea Sheria...mi nawafatilia Sana mtandaoni wengi wao wanasema haitawezekana walikolonaizi baba Yao na wanataka ku kolonaizi vijana hiyo haitawezekana
Please read the Bill first. This is not true
Wana akili
@@ekesaaustin9202 like you've read it? Really.. wacha utani..
Safi Sana Kenya Maandamano yao ni ya wananchi wenyewe sio propaganda za wanasiasa wameamua kutojana kupanda garama za Maisha hasa vitu Muhimu vya Kila siku na vinavyowagusa wananchi hasa wa Hali ya chini Hilo hata Mimi nakubaliana nao Raila alianzisha Maandamano yalifeli kwa sababu ni kwa Maslahi ya kisiasa haya ya wananchi wenyewe Kila Mtu anaguswa sio siasa ni uhakisia sio kwa sbb ya chama au watu kuwaweka Madarakani Safi kabisa
...and the people shall!!! Underline the word shall mandatory ✊️🇰🇪
The power belongs to the people,🇰🇪
Jamaa ako spot on! Alafu hio swa, bruh!! 👌🏾🇰🇪
Nobody wants Uhuru back!
We don't want tyrants and/or any corrupt current or former politician.
I honestly don't know where these Tanzanians got the notion that we want Uhuru back.
WE DON'T!
He can't even come back but even if he were to, we wouldn't want him back. He is the architect of everything wrong today...the stole a lot of money in Uhuru's last days.
The man we would all want back is Mwai Kibaki.
May he rest in peace.
He is the architect of modern Kenya and our economy as it is today. God bless his soul.
Nani kawadanganya kuwa Wakenya wanamtaka Uhuru K. arudi madarakani? Uhuru ni miongoni wa marais walioidumbukiza hii nchi kwenye shimo la madeni makubwa mno. Gen Z, wanachotaka ni huyu zakayo muongo kung'atuka madarakani.
Nashindwa hatumtaki kabisa
Umeongea vizuri sana brother.. comment ikufikie one love
#SISI KWA SISI
Intelligent,courageous,hard working,smart,Pioneer, kin
# HEBREWS
Ruto's Brain is divided into two parts, LEFT and RIGHT. On the LEFT side of his brain, nothing is right, and on the RIGHT side of his brain, nothing is left.
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 you’ve murdered me
@@jcobnyamweya8464did you know that’s how brain works.the left side controls the right side 😂
Amna sister ujui kenya wew point zako zipo down to xana kenya are the best in africa sis waoga bro ndo ameongea true
Good observation from our Tanzanian people.... Kenya is an expensive country to live in...kwa hivyo bei yoyote ikiongezeka tu hata peni moja....the people take notice upesi sana! Mimi kama mkenya sipendi huu upuzi wa hii serikali yetu! Wanatenga hela za miradi wakiiba tu! Ndiyo maana tunawatembelea MPs manyumbani kwao.
Thanks for this ...
Ruto must go
Mm mwenyew ni mtanzania wanao msifia samia wanapewa pesa wasifie ujinga amearibu uchumi ya tz
Wameharibu uchumi gani uchumi upi bora uliokuepo ukaharibiwa sisi watanzania hatujitambui hatujui huo uchum ninini
Just stand up fight for your rights
Ni ukweli kbs bro
Heshimu nchi yetu babalevo ana AKILI Gani ya kuzungumzia kenya
Nairobi ni shamba la Mawe,not for the faint hearted
Very much on point...
Kenya 🇰🇪. Ni nchi ya mashujaa. Hatuna mchezo.
Mtanzania anafinywa halafu baadae anasema anataka amani...Kenya we know our rights for sure..
Ata uhuru kenyatta hatumtaki, waende wote.
Kabisa ✊
Afadhali Uhuru mara Mia moja
@@monicamwaura399 tafadhali tafadhali,hii mikora yote iende nyumbani
@@monicamwaura399yeye ndiye aliye anzisha haya maisha ngumu aende kabisa
Mama samia pia mwambien ukweli Tanzania pia hali cshwar fitu fimepanda bei san azijidanganye kwanza hajui kuokoza
well explained.
Kenya nchi yangu 🥰🥰🥰
Tanzania mmekaliwa 😅tena na mumama💔😅mchangamke
Chura hajali
😂
Ya Kenya hamuiwezi, waachieni tu wao. Shugulikieni ya kwenu
Can you please speak English I don't understand broken Kiswahili😢😢😢😢
😂😂😂
Inchi zote inatakiwa tupiganiye haki zetu hao watu waserekalini wanaiba pesa sn za wanainchi
Twapenda inch yetu
"Miamara" ni nini
wa TZ mnafaa kuelewa kuna africa na tena kuna Kenya
🇰🇪 mko vizuri sisi wa bongo niwaoga saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
Kwel kabisaa
Reject finance bill
Msiingilie mambo yetu!
Wakenya ni wapambanaji hatarr
Nchi yeyote imeendelea maisha yanakuwa Magumu
Kwa hivyo...
@@briindiana7306Kwa hivyo make kwenu muache maisha ya hapa America 😒😒Hapa ndio ulaya kwenu😒😒
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ruto must go hatumtaki🎉🎉🎉
Wa Tz sisi ni literate and concerned about us
This is rude and prejudice, have you been to Tanzania?
@@Allpro007 Yeah some of you are good bt Kenya is most of us
I have been there thrice and let me tell you Maina 😂😂😂@@Allpro007
ukisema wanawake wakenya ni ngumu kuishi nao.. ukweli wanawake wengi wa kenya ni wazuri sana. they tell the truth as it is na ni watu mtajenga boma nao.. watz, warwanda, waganda na waburundi, mwanamke atakuchekea tu kumbe huko njee anakupangia
kenyan women, any day - they are honest, hardworking and loving
Thank you sister❤❤
Tudumishe umoja wa Africa Mashariki
Kabisaaa
Ukiishi Kenya unauwezo wakuishi mahali popote Dunia nzima.
Ila ushuru,kodi na ufisadi uliokithiri kwenye halmashauri mbali mbali ,pamoja na wakurugenzi wa yale makampuni ya kiserikali ni majipu tu,yafaa tuyatoboe yote!
Nairobi shamba la mawe
Uhuru ndie alileta shida zote hizo kwa kufuja pesa ya uma
🇰🇪 sisi dio Gen z
Tuna wafanyi kazi wa serikali wazembe sana. Hawana binu mpya za kufufua uchumi or all they know is increments of taxes. Instead of allowing and helping local citizen import heavy and light machinary tax free. How much taxes would government be collecting if the unemployment rate down to 3to5,% . Government should invest in energy production and good policies.
Tz endeleni kulalanika mkiwa chini ya kitanda
ongeleni mpira ....ndio issue na kubet.
KE is the place to be
Ruto we endelea kukaa statehouse huku inje sifa ni kwetu tunakutimbwa
Matatizo ya Kenya Yana mizizi mirefu ya kihistoria. misingi ya uchumi ya Kenya ni tofauti sana na Tanzania. hicho mnachokiita " ujamaa" sera ambayo nchi hii imeumizwa sana kusimamia. mnajua tuliwekewa vikwazo hapa kutetea huo ujamaa? Kenya waluchagua ubepari na ubeberu! sera ambayo imewafikisha hapo!
Umesahau kutaja kubwa Kenya inayo katiba inayowawezesha kushurutisha serkali kufanya wanavyotaka
Na sisi one day tutachukua hatua, maana kuchoka tumechoka kweli kweli
Watanzania nyinyi mna suluhu,hamna haja ya nyinyi kuandamana
Waambie wanajitambua, lakini naiona Libya ikitokea Kenya
Kenya my mother land we are the Gen Z
Hamjue mnaongea Tanzania ni waoga ,sema katiba yao inawalinda si Kama ya hapa kwetu,
Sana askari akicheza ana fungwa ama ana poteza kazi, wanaogopa sana sheria
Nairobi akuna cha shangazi wala mjomba, ni utoboe kimwanaume ama urudi kijijini
Mchambuzi uko sawa,yani ni kama ushaishi huku muda mrefu
Kenya vijana wanajitambua
Wichi mins Tanzania hatujitambui mnaamanisha hivyo kuweni wazi😢
Tumekuwa hatujitambui since 1970s
Nikweli kwani uwongo
Which means sio wichi mins
Piganieni katiba yenu tz sio comosava mara madevu mara baba levo mara umeupiga mwingi ss Kenya station zetu uwezi pata upuzi kama huo
@@jumamohamed102😂😂Wiich miins unamkosoa😂😂
Kenya wamefika mwisho wakukopa if they don't get the money kupitia tax, wamekwisha huo ndio ukweli.
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu,Haki iwe ngao na mlinzi…🇰🇪
Cha msingi kwetu ni umoja,,mpaka rais aelewe kwamba hatufanyi mzaha ila twahitaji kuskilizwa na matakwa yetu kuafikiwa
Afrika tuamke🎉
Tanzania waoga.
Tz Malala maskini naamka tajiri siyo kama kenyaa
@@robertalphan5533Tanzania ipi🤔🤔Hii tu moja mnanunua mkate moja elfu tano😢😢
Hayo yote ni Kwa sababu Ruto kajichanganya Kwa Mmarekani. Hizo Chaos zote Huenda Kuna Msukumo wa Mmarekani Behind the Scene.
Hamna msukumo kutoka popote. Msukumo ni hasira ya WaKenya kutokana na upumbavu wa serikali ambayo sio halali - serikali ya wizi na kimabavu ya huyu mpumbavu, akili mboga ruto na wezi wake. Gen. Z wakaamua ku lead WaKenya. Huo ndiyo msukumo. Siyo wabeberu kama Marekani ambao ruto yumo kitandani nao.
Wacha uwongoo😅😅😅
Me mkenya, Ni ukweli mtupu! Kama wewe sio mkenya na haujui NYAMAZISHA KIDOMO@@yahyaisamil6921
hapo Kuna Ukweli #Rejectfinancebill2024
Acha uongo
umeigonga ndipo. Je vijana wa TZ wataichukua funzo?
Thansk for speaking about Kenya, but please use English, we cant understand you guys 😊
Let us not ashame ourselves.We do speak Kiswahili .More than 54 million Kenyans have been taught Kiswahili in schools.Let us encourage the use of kiswahili
Wacha mzaha, wakenya wanaelewa kiswahili, lugha inafunzwa shuleni. Wacha upuzi wako, labda matumizi ya misamiati na maneno hapa na pale.
Ni aibu kujifanya Huelewi kiswahili na unatoka Nyeri , meno yenyewe yana rangi ya mahindi ya kukaaangwa, stop being stupidly arrogant
Maandamano hii tumechochewa na utawala mbaya tangu enzi ya moi na usaliti kwa wabunge na mawakili.twampenda raila kwa kutufumbua macho
Ona Hawa nugu MAKENDE hizi hamna kazi ya kufanya
Mwaambaje wa Tanzania mandugu zetu .....tunawapenda....mmeamka lakini?🤔
Bora huyu mwizi akomolewe
Tumeapa Ruto asipo jiuzulu tunarudi msituni kupigania Uhuru wa Taifa letu
Dogo nimekukubali sisi amani ikowapi ccm tuteseni tu tungejitambua covidi 19 wangekuwepo
Huku ugali upo kama wote ndo maana hakuna hiyo kitu siku njaa ikiingia bongo mtaipata fresh nipo pale dar siku ikifika mtanibia
Ww wafikiriq kula tuh...kuna vitu muhimu zaidi ya izo...
I should vacate to TZ 🇹🇿🇹🇿 my second home
Kenya mbele kabisa
Who are you to advice us do you need a strike
tunapenda kusumbua bana uku kenya😅
Kenya haina shida yoyote..nyinyi ni muziki tu...masomo hakuna tz...acheni midomo wakenya tunajielewa
Kenya and India ain't for beginners 😂
Watanzania endeleeni kujipimanisha na mziki tu wakati sisi tunangangania uchumi😂😂😂😂
Kisha taxes zoote zime elekezwa kwa wanawake raundi hii.last year taxes ziliongezwa kwa nywele,mafuta.ya kujipaka basically all beauty products.kisha sasa pads diapers za watoto what's wrong with this govt.mbona wa target group kubeba mzigo mkubwa hivi?
Ni shamba la mawe
Anguka nayo
Wakenya sio wapuzi kila mtu amesoma
Watanzania siku tukiamka hakuna atakae wazuia me nakwambieni
Sio hiyo tu shamba yenu mulease kwa serikali uilipie ushuru ukishindwa wana chukua
Kwanza kabisa huyu jamaa ni moja katika mawili ni mjinga au ni mtu mwenye kufuata mihemko na maslahi
Maandamano hayajawahi kuwa njia wala haitatokea yawe njia ya kusuluhisha changamoto zinazolikumba taifa lolote bali mara zote yamekua yakileta machafuko na kuvuruga amani ambayo ndio ufunguo wa mafanikio yoyote katika mifumo inayoiendesha huu ulimwengu bali ni watu wangapi ambao wamefanya maandamano na ikawa ni chanzo cha majuto yao leo....! Watanzania tusipumbazwe na mawazo ya baadhi ya watu wasioolewa maana ya amani
Taratibu za kuishauri mamlaka zipo na zifuatwe na hio tu ndio namna ya kuliendeleza taifa letu.
watanzania. wanaogopa sisis
Watanzania hawajaerevuka,kazi yao ni mpira na usanii tu!
Tanzania endeleeni kufocus na simba la masimba Dangote😅, we zombie haujui
Baada mzungumzie ya kwenu luku kupanda bei nyie mko busy na kenya