Mungu weka mkono wako wa baraka kwa @NANGA azidi kuonekan kutuburudisha na kumtimizia ndoto zake kwa hii kazi anayoifanya kwa juhudi hikika ni muda mrefu toka SERIOUS FUNNY mpka now nilikuwa na kiu kubwa ya kuona kuwa anapata nafas nyingine kama hii ya kutuburudisha kwavile upo na MTAALAM #JOTI bas nasisi tupo nyuma yako wanao kutoka #TANGA @KAREEM ❤
Asante kwa kumleta nanga chuma Chao ... Ni🔥 🔥 sana .
YANI SIJAWAHI KUKOMENTI HAPA. Ila asante sana Joti kwa kuwaleta watu wengine muhimu hapa. NANGA ni muigizaji mzuri sana wa Comedy.
Nanga mtu mbad
Sanaaa
Hakika. Kwenye hili kaupiga mwingi mno
Joti Ana mpinzani sema atutaki kukubali tuuu staili zote anacheza
kweli kabisa tena mi ningependa kuona video nyingi akiwepo mna uwezo wake joti akiwepo na huyu jamaa dah..! kiukwel mtuvunja sana mbavu 😂😂😂😂
Kaka joti umejua kujua......nanga ndan ya nyumba 💪💪.....na 2024 mpaka waseme
Mwalimu Mkuu is quite an actor😂😂😂
Umegundua na wewe eeh???😆🤣😆🤣🤣
@@shyfettymtunda4619 Nimekumiss fetty😀
@@fathiyahmuzney7367 Hahaa!!Miss you too kipenzi.Leo waomba like umewasamehe????😆🤣🤣🤣
Mzee mkeka umechana
Joti kumleta huyu mkuu umecheza kama wewe, namuelewa sana huyu jamaa toka enzi za serious funny 😅😅😅 anajua sana huyu jamaa
Nanga namkubali sana, hongera joti kwa kuongeza nguvu kwenye crew yako! 🔥💥🔥
Kabisa kabisa kabisa
Mkuu ni kichwa kingine, true comedian
Mjomba nanga part ya mwalimu mkuu ilivyompendeza hongereni team joti😅😅❤❤❤
Mwalimu Mkuu,umeitendea haki hiyo nafasi.🔥😂🤣
🙏🙏🙏
Nanga ndani ya mjengo,hapa mambo yatakuwa mazuri mno🔥🔥
mwalim Nanga unajua sana, hongera
io kipande ya mkatisho wa bara bara nimeipend..ila mungemuach t andunje ale chuma😂😂
😊
Nimefurahi kumwona nanga.. ameft vzr kabsa 🔥
Huyu nanga ni bonge la msaniii....na nadhani muda wake ni sasa....big up jot kwa kumleta huyu kijana...ni mkali wa wakali
NAMKUBALI SANA NANGA... TANGU ILE CLIP YA "SOLO... PALA" WAKAONA BASTOLA WAKALOA.
Mungu weka mkono wako wa baraka kwa @NANGA azidi kuonekan kutuburudisha na kumtimizia ndoto zake kwa hii kazi anayoifanya kwa juhudi hikika ni muda mrefu toka SERIOUS FUNNY mpka now nilikuwa na kiu kubwa ya kuona kuwa anapata nafas nyingine kama hii ya kutuburudisha kwavile upo na MTAALAM #JOTI bas nasisi tupo nyuma yako wanao kutoka #TANGA @KAREEM ❤
Joti umetisha sana kumuweka huyo Nanga
Piga Kazi Na NANGA Mzee Joti✊🏾🔥
Ila Nangaaa, joti unajua kwenda na bitiii Nangaaaa mtuuuu sanaaaa 😂😂😂😂😂
Nanga ndani ya joti tv anh sio pw😊🎉🎉🎉
Aah😂😂 NANGA kaingia mzigoni😅😅 kivumbi Leo
Joti tz toka original comedy hezi zilee 🎉🎉
Uko vizur broo jot nakubar sana kazi zako🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Naanza mwaka na joti,Like moja kwa JotiTV
Nimekuwa wa 894 kuview
nanga😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Uyu Nanga anajuaaa sana asee 😂😂😂
Like kama unamini joti ni best comedian
Nimefurah kuona maingizo mapya, huyu jamaa namkubali sana
Nanga ni mzuri sana, hongera sana joti kwa hilo
Hahaha eti we Mwl gani unaitwa Nanga, huyu mzee kweli jeuri
Unyama sana chuma kipya ila mlewa asikosekane 🔥🔥🔥💯
Nipooooo
This school now need to be mentioned and if possible shu'd get some funds from Joti TV. 😂😂😂
Nakosa ht Cha kucoment jmn uwii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ hii chemistry Haina mpinzani 😂😂😂😂😂😂😂
Nanga kwenye team 🙌
Safi sana joti kuchukua jembe langu nanga
From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 😃😊
Apo kwananga familia nakubali sana kazi zako broo joti ila ulivyo mleta na nangaaa apo unyama 😂😂
Teacher nanga ishi sana😅😅😅
Uko viziri brooj🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Shule yng nliyosoma jmn Tandale magharibi❤❤
Mi nasubiri miyeyusho na nishai na nanga..
Hongera sana brother kazinzuri 😂
Nangaaa😂😂 bigup joti nanga tunamkubali
Nanga weeee❤
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂😂
Umemchukua nanga safi sana kiufupi jamaa anajua
Atari sana 🔥🔥
Nimemuona Nanga tu nikaanza kucheka 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkono wa mwalimu mkuu 🎉 Njanuary 😎 Nishaiii
Mjomba wa VIGWAZA ndan ya mjengo,,,,,,asee ni bonge la USAJILI💥💥💥💥💥💥
Nanga ndani ya Joti family, mambo shwari
Big up
Mkeka wa milion 5 😂😂😂😂😂
Safi Sana joti Nanga hoyee
Huyo Nanga ni comedy tupu😂😂😂
Nanga the best one..jamaaa anajua mpaka anakera....pamoja na zito
Nanga anajua sana kuigiza yan
Nanga kama nanga❤❤🎉🎉
always from USA 🇺🇸
Daaaah mtaalamu Nanga ndani ya nyumba sasa series itanoga balaa
Nanga awepo mwaka mzima wote huu, tutaburudika
Never disappoint jotiiii 😅😅😂
Wawooo umeongeza kichwa kingine nanga
Nanga hatari
Viktaza ahhh 🔥
Kumekucha kumekucha kumekuchaaaaaaa😂😂😂😂😂😂
Nimependa kumuona nanga
Teacher mkuu katisha sana
Kakupiga na kitu kizito😅😂😂😂😂😂 babaandunje
Jotiii kumuweka huyu jamaa umenifurahishaaa😂
Nangaa🔥🔥🔥 uko vizuri
😂😂 Buenos días,me sacas sonrisas a pesar de las circunstancias difíciles 🕊️💕🙏🇦🇷viajan besos 💋💋💋 Tanzania 🇹🇿 y cariño .😂😂 Humor sano gracias 😊😊
uyu Nanga yuko on fire umetishaaa
Asanteh kwa kumleta nanga kwenye familia
Nanga ni fire😂. Usajili mzuri
Joti mchkue nanga uwe nae in your team he is very talented ❤
Leo wa Kwanza😃
Nanga 🔥🔥🔥🔥
Like za joti kwangu jaman😊😊😊😊
nanga namkubareee
Nanga kazi imeanza
Hum msimtoe nanga namkubali kichiz huy mwamba
Nanga ndani ya nyumba
Nanga we ni fire bhana hakuna ka ww
Nanga 😂😂😂😂😂
Umefanya vizuri kumchukua nanga ni mtu ana kipaji sana
😂 Tayari nakupongeza like 50 000 and 50 000 M view😂
Nanga safi umetuletea uyu mtu safi sans
Leo nimekuwa wa 69 nanga ndani ya joti mwaka na joti LIKE BASI 😂😂😂😂😂
Huuuu mchokocho kichwani mzee wangu nacheka sanaaa😅😅😅😅😅😂😂😂😂
"Nimeview sana status za wazazi" 😁😁😁ametisha apo
Aaaaaaaaa joty umetisha uyu jamaaa anajuaaa
Nanga unajua kaka
Mjomba wa vigwaza ndani ya nyumba
Ila joti huna baya legend😂😂😂
Nanga in the house
Adaaaa
😅😅😅 Dawa kupiga pin tu walimu wasione raha zetu kwenue status zangu 😅😅😅😅😅
Hilo kekaa wakuu mmeliona lakini😂😂😂
Uyu Jamaa nanga namkubali sana majayanti
Good work