i really love your voices,dances and the way you add more taste to the popular songs.please come up with lyrics of this song.we i will really appreciate
hahahahahah! hongereni sana! huyu jamaa anayecheza kama kikuracho amenifurahisha sana ! karibuni katika majimboni ili mweze kuhamasishana katika kumtangaza kristo kwanjia ya nyimbo!
NAUPENDA HUU WIMBO "kidole juu" YANI AJABU. NIKATAFUTA VIDEO YAKE USIKU NA MCHANA. LAKINI NILIPOIONA HII VIDEO KWAKWELI MIMI MMENIKWAZA NA NIMEKWAZIKA MNO MUNGU ANISAMEHE. NILITAKA NIONE MAMBO MANNE: 1) utamu wa kondakta anavyo control kwaya yake. 2) mpangilio mtam wa sauti ule wa kwaya Katolic. 3) Utamu wa kinanda katika kusimamia funguo na nota zake ile Kikatoliki. 3) utulivu wa kwaya katika mkao wake sauti nne kinidham kwa kufata kondakta na kinanda ile kikatoliki tunayo ijua. HAYA YOTE YAMEKOSEKANA. MMEZIDI KUWEKA KATIKA STAILI YA MAKANISA YAKI PROTESTANT. HATA MGENI AKISEMA ANATAKA AONE VIDEO YA KWAYA KATOLIKI TUKAMUWEKWA HII MMMM NINYI WENYE MNAJISIKIAJE? AU MMEINGIZA MALENGO MENGINE YAKIBINADAMU KUSHINDANA NA MADHEHEBU MENGINE? MAANA NAHISI KAMA MLITAKA KUONESHA WATU KWAMBA HAKUNA ANACHOFANYA BON MWAITEGE AU ROZ MUHANDO AMBACHO HAMKIJUI? VIDEO IMEPOTEZA KABISA ILE CATHOLIC IDENTITY KABISA KABISA. KULINDA UMAARUFU NA UBORA WENU ACHANENI NA STYLE ZA KIPROTESTANT. NINYI MNATISHA KWA MUZIKI WA KWAYA KATOLIKI WOTE TUNAJUA SASA HAYA SIJUI MMEYATOA WAPI. WAKATOLIKI WENGI WAMEWASIFU HII VIDEO LAKINI WAMEOGOPA KUWAAMBIA UKWELI HII SIO. NAWENGINE HAWAJASEMA KITU ILA HAWAJAPENDA KABISA WATU WANACHEZA MPAKA KARIBU WAVUNJE MIGUU? AAAAA! ALBAM ZENU ZA MWANZO HAMKUFIKIA HATUA HII. SASA IMEKUA BORA AUDIO. KUNA WIMBO WENU Ee Mungu uniokoe maana maji yamwfika mpaka..... UNA KILA KITU CHA KIKATOLIKI. UTULIVU NA YOTE AU AMGALIA HAO MT. TERESIA ARUSHA HIO unaweza Bwana. SAAAAFI. YANI LAITI MGEJUA! SIAEMI SANA ILA BAKINI KIKATOLIKI ILE TUNAYO WAFAM.
#JOJI FRANCIS DONT complain so much hata mimi nilikuwa nimeshidwa about hii song. this people are just copying the song and editing it in their way. check the song in catholic style from the original singers " kwaya ya Mt. Cecilia Arusha, Tanzania. usikasilike sana
Mungu awabariki sana Kwa hizi nyimbo zenu amen
This reminds me on the selflessness of ourselves.
I am blessed with this 🙏 voice God bless you 🙏 all ❤❤
Wah!!!,,, Kapotive your dancers are very sharp and tuff let may Lord strengthen you amen 🙏
...niko tayari kutumwa na Mungu atukuzwe daima
Wmbo mzuri
Utume mwema
Sichoki kuwaskilza jmn ahsant mbalkiwa
Mungu awabariki Sana azid kuwaongoza katika njia yake
amina nawapenda mno
You are such a blessing in Holy Catholic Church,, am in love with your voices,,
Listening from Nyeri Kenya
thanks kapotive .... i still listen this beautfull song 2020 .....god bless you be safe ,stay home Covid-19
i really love your voices,dances and the way you add more taste to the popular songs.please come up with lyrics of this song.we i will really appreciate
IT JUST RAISES MY LOVE FOR JESUS. HONGERENI SANA
these voices wallai,,, Mungu aibariki
This is just wonderful guys,it leaves me wanting more
Iko sawa sana
great voices . you guys are praising GOD. good work. anytime you come to Kenya please inform me i attend our of your performance.
Kenya
Kapotive nawapenda sana natamani sk moja nifike Bukoba
Wooooooooooow!!this is amazing,beautiful voices praising God,,,naamini siku moja ntajiunga nanyi,much love from kenya
hahahahahah! hongereni sana! huyu jamaa anayecheza kama kikuracho amenifurahisha sana ! karibuni katika majimboni ili mweze kuhamasishana katika kumtangaza kristo kwanjia ya nyimbo!
mbarikiwe saana kaportive star singers from bk Tz
GOD WILL REWARD YOU FOR YOUR GOOD SINGING.
woooooow!!!!!! safi sana, love it
Very wonderful
Kidole Juu makes may day. God bless you.
thank you very much indeed for your songs
wee....... iyo sauti ina weza toa nyoka kwa pangi .thanks, cool
am living in Kenya at Kitale Trans Nzoia County
Kidole juu nimeipenda sana, Mungu awabariki kwa utumishi
wimbo uko vzur jaman!
Mbarikiwe sana
ukiwa na bwana raha sana
Nice song jmn
Mungu awabariki saaana
Ameen
very nice song
Who watch this in 2018
Mungu awe nanyi
kidole juu kusudi wanitume mimi
Awesome songs!!
Asante sana, ubarikiwe sana.
Ongera kwakazi nzur
@@KAPOTIVE naomba nikutumie namba yangu ya whatsap mnitumie nyimbo
nice songs!!!!!!!!!!!!:::::::
mungu awabariki sana sana nyimbo zenu napenda sio kidogo
👏👏👏👏🙏🙏🙏🥰🥰
Wema song by medricksanga
Good and romantic song
uimbaji mwema
am in Kenya at Kitale
But the best one is the by Ct Cecelia Arusha, St Thresia Church
wote wanafanya vizuri Mungu awabariki Sana
Hongereni sana
u people sings gud.....nitapata aje CD zenu
Where are you based please?
Amen
Good
You really inspire me
GEOFREY MASINDE Thanx brother, be blessed.
Nawapendeni mno.
Nyimbo zenu nazidaunlodi sana mi ni Eagt. Lkn, napenda sana mpangilio wa sauti zenu.
Naombeni namba yenu. Mi nipo Dar. Krbn sana. Yangu. 0688495227
Actually u attract me. Am attracted by you. I like u.
i just like this song eeh!
gud song
jackxn bayyo Thanx alot for apreciating. Stay blessed.
napenda Sana kujiunga nanyi he inawezekana?
I want to know which country is this q come from.sure i like those song's.
tanzania
Let me have your numbers
where r u
Tanzania
Which one is original? This one or St. Cecilia's? Nevertheless, ts a great song:)))
hakuna hakuna haaaaaa
Lyrics please!!!!!
NAUPENDA HUU WIMBO "kidole juu" YANI AJABU. NIKATAFUTA VIDEO YAKE USIKU NA MCHANA.
LAKINI NILIPOIONA HII VIDEO KWAKWELI MIMI MMENIKWAZA NA NIMEKWAZIKA MNO MUNGU ANISAMEHE. NILITAKA NIONE MAMBO MANNE:
1) utamu wa kondakta anavyo control kwaya yake.
2) mpangilio mtam wa sauti ule wa kwaya Katolic.
3) Utamu wa kinanda katika kusimamia funguo na nota zake ile Kikatoliki.
3) utulivu wa kwaya katika mkao wake sauti nne kinidham kwa kufata kondakta na kinanda ile kikatoliki tunayo ijua.
HAYA YOTE YAMEKOSEKANA.
MMEZIDI KUWEKA KATIKA STAILI YA MAKANISA YAKI PROTESTANT.
HATA MGENI AKISEMA ANATAKA AONE VIDEO YA KWAYA KATOLIKI TUKAMUWEKWA HII MMMM NINYI WENYE MNAJISIKIAJE? AU MMEINGIZA MALENGO MENGINE YAKIBINADAMU KUSHINDANA NA MADHEHEBU MENGINE? MAANA NAHISI KAMA MLITAKA KUONESHA WATU KWAMBA HAKUNA ANACHOFANYA BON MWAITEGE AU ROZ MUHANDO AMBACHO HAMKIJUI?
VIDEO IMEPOTEZA KABISA ILE CATHOLIC IDENTITY KABISA KABISA. KULINDA UMAARUFU NA UBORA WENU ACHANENI NA STYLE ZA KIPROTESTANT. NINYI MNATISHA KWA MUZIKI WA KWAYA KATOLIKI WOTE TUNAJUA SASA HAYA SIJUI MMEYATOA WAPI.
WAKATOLIKI WENGI WAMEWASIFU HII VIDEO LAKINI WAMEOGOPA KUWAAMBIA UKWELI HII SIO. NAWENGINE HAWAJASEMA KITU ILA HAWAJAPENDA KABISA WATU WANACHEZA MPAKA KARIBU WAVUNJE MIGUU? AAAAA! ALBAM ZENU ZA MWANZO HAMKUFIKIA HATUA HII. SASA IMEKUA BORA AUDIO.
KUNA WIMBO WENU Ee Mungu uniokoe maana maji yamwfika mpaka..... UNA KILA KITU CHA KIKATOLIKI. UTULIVU NA YOTE AU AMGALIA HAO MT. TERESIA ARUSHA HIO unaweza Bwana. SAAAAFI. YANI LAITI MGEJUA! SIAEMI SANA ILA BAKINI KIKATOLIKI ILE TUNAYO WAFAM.
#JOJI FRANCIS DONT complain so much hata mimi nilikuwa nimeshidwa about hii song. this people are just copying the song and editing it in their way. check the song in catholic style from the original singers " kwaya ya Mt. Cecilia Arusha, Tanzania. usikasilike sana
wimbo mzuri
Naupenda sana wimbo wakidole juu huwaunanifariji sana hongera kwenu kapotive
i lv u all...u sing more prettier than them ......hw can i get any disk from u guys
Nancy thanks.if I come TZ how can i get both of you??
Kidole juu nimeipenda sana, Mungu awabariki kwa utumishi
Nice song jmn
Amen