NEW‼️ MABUYU MATAMU SANA YA BIASHARA NA YENYE FAIDA KUBWA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 219

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban  2 роки тому +16

    Hi Lovies
    Nimesahau kuwambia kipimo cha chumvi weka nusu kijiko cha chai..pia kama wataka mabuyu yakuwasha sana ongeza pilipili manga kama hutaki yakuwasha usiweke..Please Subscribe na pia share na wengine Nawapenda sana watu wangu wanguvu❤️❤️❤️

  • @NuriyaAbukar
    @NuriyaAbukar 4 місяці тому +1

    Mashallah tabarakaAllah nakushukuru sana nimejua kupika sahii nafanya zangu biashara yanisaidia mungu atakulipa inshallah nimeona afadhali nirudii kutoa shukurani video zako zanisaidia sana

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 2 роки тому +2

    Mashaallah Allah akutiliye barka

  • @هليلالحضري
    @هليلالحضري 2 роки тому +4

    Nimependa recipe yako masha'Allah Mungu akubariki

  • @bossladynaz2213
    @bossladynaz2213 2 роки тому +2

    I tried this today for my business thank you may Allah bless your hustle

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Allahuma Ameen Darling ❤️❤️❤️

  • @zainabadam8992
    @zainabadam8992 2 роки тому +4

    Nimekupenda bure dada 🇹🇿

  • @husnaarajab1505
    @husnaarajab1505 Рік тому

    . mashaallah nakupenda sna we dada unafunza vizuri sna huna choyo wallah Yani hakuna kitu nimeangalia kwenye recipe zako nikapika kikawa kibaya mungu akupe afya njema furaha na amni ndani ya Moyo wako kwani naami kwamba furaha yako ni yetu pia dada angu mi penda Shana ww

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Рік тому

      nakupenda pia babyy yees najitahidi sanaa kuleta recipe za uhakika na tunazozihitaji majumbali dua tu muzidishe♥️

  • @veronicakanini2996
    @veronicakanini2996 2 роки тому +2

    Kazi nzuri sana mungu akubariki

  • @aminahismail9022
    @aminahismail9022 2 роки тому +2

    Shukran Sana habbty na dua njema nakuombea Allah akujaalie kila la kher akuepushe na shar zote habbty

  • @angelnatalia600
    @angelnatalia600 Рік тому +1

    Asanteeee sana nmeupenda na nmeangalia mara3 hope sitakosea Leo najarb

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Рік тому

      utaweza muhimu tu ukishajiamini umefaulu

  • @MwanaharusiMustapha
    @MwanaharusiMustapha 7 місяців тому

    M/Mungu akutunze dada ❤

  • @johnmalusha2292
    @johnmalusha2292 3 місяці тому

    Congratulations 👏 pia mi nimejifunza

  • @ziadamyombe2843
    @ziadamyombe2843 2 роки тому +1

    Asante sana dada angu nimepika na umetoka vizuli sana shida hiyo kalatas sijui nitaipata wap🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salamaaziz144
    @salamaaziz144 2 роки тому +2

    Aaaaai wewee 😋😋😋MashaAllah TabarakaAllah mumeweza wapenzi thanks kwa ujuzi buyu na unga santa

  • @fahimahajji3544
    @fahimahajji3544 2 роки тому +2

    Want to try thissssssssss,,,,,Inn shaa Allahh..ManshaAllah dearr pambeee

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      All the best lovie🥰🥰🥰shukran

  • @aminamwinyi2455
    @aminamwinyi2455 Рік тому

    Shukran kwa receip naomba uniambie maji natia kiasi gani ntaka kuanza hii biashara yarrabi nifanye wepesi iende

  • @aminakassim7741
    @aminakassim7741 2 роки тому +8

    Don't mind the sufuria ,zingatia unachofundishwa...... Ila hadija nimecheeeeka Allah bless you habibty

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Ameen my love sindio hayo mpenzi..nimefurahi umecheka

  • @kasherikiama412
    @kasherikiama412 2 роки тому +1

    Asante kwa mafunzo..mungu akubariki

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Karibu kipenzi Ameen mungu atubariki sote

  • @princessmj4004
    @princessmj4004 2 роки тому +3

    Ndo maana I love you walai😍😍😍😘💖... Mungu akubariki🙏🤗

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Ameen darling i love you tooo usisahau kushare🥰

    • @princessmj4004
      @princessmj4004 2 роки тому

      I already did💖.... Naomba vipimo vya labania za njugu ya biashara...

  • @waridihusein1794
    @waridihusein1794 2 роки тому +1

    Thanks M/Mungu akubarik

  • @Salmarajabu-kn4
    @Salmarajabu-kn4 4 місяці тому

    Asante dear

  • @shariffahassan9399
    @shariffahassan9399 2 роки тому

    Assalaamu aleikum dada mashaAllah nmejaribu na nmeweza shukran sanaaa Allah akubarikii

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому +1

      Waaleykhm mussalam my love soo happy for you

  • @abdirashidabdi4126
    @abdirashidabdi4126 2 роки тому +1

    Masha alah good nice

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому +2

    Asante sana nimependa hiyo biashara ya ubuyu

  • @salojaanbaloch
    @salojaanbaloch 5 місяців тому

    Mashallah za look tasty

  • @shebanishebe7866
    @shebanishebe7866 2 роки тому +1

    Recipe nzuri maa shaa ALLAH

  • @sarahbuhoma7050
    @sarahbuhoma7050 2 роки тому +1

    Nimejaribu na yametoka vzur mm nimefanya mabuyu kilo mbili wateja wameyashambulia Asante

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Awwww karibu sana darling mungu akubariki

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +2

    Shukran sister mashallah 🥰🥰🥰🇴🇲🌹

  • @aishasarab9377
    @aishasarab9377 Рік тому +1

    شكرا حبيبتي عجبني طريقة عمل المابويو ❤❤❤

  • @shemsanassor-j1e
    @shemsanassor-j1e Рік тому

    shukraan dada nimejaribu yamekua matam mashallah

  • @kaonekaashura4024
    @kaonekaashura4024 6 місяців тому

    Naingia kazini kesho inshaallah

  • @marthamalashishilangila5204
    @marthamalashishilangila5204 9 місяців тому

    Nimeipenda. sana

  • @MohammadMahmood-b3o
    @MohammadMahmood-b3o Рік тому

    shukran sana,ila nmepka mabuyu lkn hayakauki, nmkosea wap!

  • @norenemuoki2130
    @norenemuoki2130 2 місяці тому

    Wafungaje hivo vifuko dada

  • @Rehema-f4j
    @Rehema-f4j 2 місяці тому

    Dada rangi za ubuyu zinapatikana maduka ya kawaida au super maket

  • @zedpineaple7824
    @zedpineaple7824 Рік тому

    Nimependa

  • @MarryMponzi-r4d
    @MarryMponzi-r4d Рік тому

    Nitajaribu😂 kuyapika hongera sana

  • @biijahamisi7541
    @biijahamisi7541 2 роки тому +1

    Mashallah mi pia hupika kama hivyo

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Aww nimefurahi mpenzi kuskia hivyo

  • @salamakhamis154
    @salamakhamis154 2 роки тому +2

    Mashallah mbona mm nikipika rangi sipati nyekundu kama hivi sababu ni nini

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Mpenzi labda rangi unayopata sio nzuri

  • @aishachande8612
    @aishachande8612 11 місяців тому

    Asante sana🙏🙏

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 Рік тому

    Asante sana

  • @felisternjoroge922
    @felisternjoroge922 2 роки тому +3

    Hae dear, I love your content please how much water should I use kama natengeneza mabuyu mingi

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Mabuyu ukifanya mchezo unaenda hasra fuata hivi vipimo kama mengi double the amount usichoke thanks

  • @hawamasita6301
    @hawamasita6301 2 роки тому +1

    Habibty I love this receipt ila unaayacha MDA gani ndio yaanze kuachana ndio nifunge

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  Рік тому

      Asante unayaacha mpaka yashikane like 2hours

  • @nafisaakberali1700
    @nafisaakberali1700 6 місяців тому

    I made today ,itcame yummy

  • @joycesteven4803
    @joycesteven4803 2 роки тому +1

    Jmn au npike upya sukari iliiva sana sielew ,ninunue ingne maana sielew nisaidie madam

  • @dorothyfondo2703
    @dorothyfondo2703 2 роки тому

    Wah!mate tu....nkirud msa icho ndo kitu cha kwanza.
    Io roll ya pakiti ntatoa wap

  • @DorcasRaphael-tm7of
    @DorcasRaphael-tm7of Рік тому

    Mbona me haukauki kwa halaka jmn😢😢😢

  • @hudaahmed9668
    @hudaahmed9668 2 роки тому +3

    Asalaam aleykom w. W
    Hiyo baking soda ulotia kazi yake nini kwenye ubuyu.
    Na ahsanteni Sana kwa mapishi yko mazuri mungu akubarik❤️

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Waaleykhm mussalam inasaidia kulainisha na kujaza mabuyu yajae unga😋

    • @HalimaMusa-e3k
      @HalimaMusa-e3k Рік тому

      Mashallah mapish Yako mazuri

    • @HalimaMusa-e3k
      @HalimaMusa-e3k Рік тому

      Natajaribu InshaAllah

  • @lindaariwo2770
    @lindaariwo2770 5 місяців тому

    ❤❤kwa hiyo umeongeza baking soda mara mbili? Kwenye sufuria na besheni?

  • @nafisaakberali1700
    @nafisaakberali1700 Місяць тому

    Hello can I use healto syurp

  • @johnkenga187
    @johnkenga187 2 роки тому

    Nimependa hiii biashara aky Na soon nitaianzaa

  • @mohammedhanif4383
    @mohammedhanif4383 2 роки тому

    Asante sana dada kwa nini una weka baiking soda ina sadiya nini

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Karibu kulainisha ubuyu na pia kuongeza unga kwa video nimesema

  • @dorcasndolo302
    @dorcasndolo302 2 роки тому

    Asante kwa hii video. MTU akipeleka kwa maduka modogo madogo labda huwa wanataka kulipwa vipi ndio wakuuzie mabuyu? Ningependa kujaribu hii biashara

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому +1

      Karibu unampatia like kwa kila 100 unampa 20

    • @dorcasndolo302
      @dorcasndolo302 2 роки тому

      Nilijaribu four times sasa nimekuwa expert wa mabuyu.. na juzi nilifaulu kuyauza kwa duka moja. Nashkuru sana, God bless you much more!!

  • @puritywanjiru5372
    @puritywanjiru5372 2 роки тому +2

    Napenda recipe yako, Haya mabuyu nitapata wapi? Mimi Niko Eldoret. Nielekeze vile nitayapata mabuyu.

  • @rizzy4604
    @rizzy4604 2 роки тому

    Nataka kujiunga mm jameni...napenda kupika ila hua nakosea

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Darasa sio la.mabuyu lovee

    • @rizzy4604
      @rizzy4604 2 роки тому

      @@HadijaSheban mm nata ka kujua kupika snaks

  • @munirakombo3503
    @munirakombo3503 Рік тому

    Naomba kujua ubuyu wa vipande tafadhali

  • @doriceasiko9723
    @doriceasiko9723 2 роки тому

    Love your content! Naeza pata connection ya mabuyu raw nitumiwe huku bara nianze biashara? Please guide.

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Hallo love hapana kwasasa mabuyu ni shida sana maybe time yakiweko dear mengi na pia nisharudi zangu nai

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 2 роки тому +2

    😋😋😋😋

  • @joshmaina4662
    @joshmaina4662 Рік тому

    Asante kwa recipe nzuri sana. Kikombe cha maji ulichotumia ni cha kipimo kipi?

  • @umhusseisofiamnassar
    @umhusseisofiamnassar 13 днів тому

    A.Aleykum habbty nikuulize munayafinika mabuyu yenu paka yakauke au yabakia wazi yakauke yenyewe

  • @FarhaSwaleh
    @FarhaSwaleh Рік тому

    Hadija nko malindi pia unga wa mabuyu ntapata wap😢

  • @BOKAYOSARITE
    @BOKAYOSARITE 5 місяців тому

    Yangu aikauki pliz

  • @hazelbrown9299
    @hazelbrown9299 2 дні тому

    Maji kiasi gani? Na mbona huwa huandiki Recipe kwa Discretion Box?

  • @MarryMponzi-r4d
    @MarryMponzi-r4d Рік тому

    Nitajaribu😂

  • @salmakadernani2295
    @salmakadernani2295 2 роки тому

    N7ce

  • @MwashambaVuaiSaleh
    @MwashambaVuaiSaleh Рік тому

    Skari kilo Moja na robo Kwa ubuyu kilo ngap

  • @FaibeSimfukwe
    @FaibeSimfukwe 4 місяці тому

    Jaman ni lang zp ama ni zile tunazotengenezea kacholi au kuna rang special?

  • @fardahhassanially7033
    @fardahhassanially7033 2 роки тому

    Tam kabla haijaisha kutengenedhwa

  • @alisymwadime6852
    @alisymwadime6852 5 місяців тому

    Hii roll unapata duka gani mld

  • @fardahhassanially7033
    @fardahhassanially7033 2 роки тому +1

    😋

  • @nafisaakberali1700
    @nafisaakberali1700 6 місяців тому

    Hello

  • @lilahamadi9659
    @lilahamadi9659 Рік тому

    km sina unga wa ubuyu je nafanyaje 😊

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  11 місяців тому

      lazima unga angalia shorts zangu nshafanya jinsi yakupata unga

  • @mishimwinyi3
    @mishimwinyi3 2 роки тому +1

    Want some am in Nairobi

  • @zaharangalima7599
    @zaharangalima7599 Рік тому

    Nilipitia sehem nyingi ila hii ndio iliyonifanya napika ubuyu vzr sasahv hadi siamini kma ni mm asant kwa ujuz

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Рік тому

    nimejifunza,yanakaa mda gani jiko?ili uweze kuipua

  • @saideloto7489
    @saideloto7489 4 місяці тому

    Soko ya mabuyu inapatikana wapi

  • @qmaalim1687
    @qmaalim1687 2 роки тому +1

    Asalam alaykum dear Vipi ww na mtoto

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Waaleykhm mussalam Alhamdullillah hatujambo sijui na ww

  • @bossladynaz2213
    @bossladynaz2213 2 роки тому +1

    I'm preparing 2kgs today should I double the ingredients?

  • @carolineowino5091
    @carolineowino5091 3 місяці тому

    nili jribu ile receipe ya kwanza na mwishowe unga ulio baki ilikuwa kama 400g yanni mingi sana nilikosea wapi?

  • @SalomeSiwila-mm1yo
    @SalomeSiwila-mm1yo 9 місяців тому

    Mummy kama nime changanya shilayang ikiwa motoni aipandi Yan ailet mapov meng

  • @joycesteven4803
    @joycesteven4803 2 роки тому

    Madam nisaidie wangu haukauki jmn naomben kujuzwa nifanyaje plz yn sna Raha 🙆umerojeka yn Leo sjui nmefeli wap

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Hata sielewi umekosea wapi jaribu kuyatandaza mahali kwa sinia ili yapoe mpaka kesho uangalie yasiposhikana basi itabidi ufanye mengine

    • @joycesteven4803
      @joycesteven4803 2 роки тому

      Amina ♥️🙏🥰 Asantee sana

  • @JudithMinja-q1h
    @JudithMinja-q1h 5 місяців тому

    unafanyaje ili yasivunde??

  • @thehabiba2697
    @thehabiba2697 6 місяців тому

    Hio roll ya plastic paper inapatikana wapi sis ?

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 місяців тому

      maduka ya wasomali ya wholsale

  • @ndegeapetro
    @ndegeapetro Рік тому

    Naitaji viungo nipo mkowani

  • @RahmaMwakatalima
    @RahmaMwakatalima 7 місяців тому

    Samhn n kikomb cha rob nd umepimia maji

  • @kaonekaashura4024
    @kaonekaashura4024 6 місяців тому

    Baking soda ni ipi?

  • @goldknows167
    @goldknows167 2 роки тому +1

    Baking soda inalainisha mabuyu au?

  • @liliankarembo6736
    @liliankarembo6736 Рік тому

    Niko Malindi daa wapatikana wapi please

  • @beckahekimambogela4838
    @beckahekimambogela4838 2 роки тому

    Dada uko wap unisaidie namna ya kupata kalatas hio

  • @christinammasy4115
    @christinammasy4115 2 роки тому +5

    Jamani mabuyu yameonekana kama rojo rojo lakini imekauka na kuchambuka!Mimi nafeli wapi maana hayakauki na huganda hayachambuki hivyo. Tunakutafutaje rasmi weka mawasiliano dear

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      0720581168 ila siko free sana

    • @joycesteven4803
      @joycesteven4803 2 роки тому

      Jmn namm nmeshndwa chakufanya mabuyu hayajakauka sjui nmekosea wp sjui Shira imeiva mda mrefu sielew yn haukauki ni upo TU nasjawh toa hvo msaada jmn nafanyaje ili urudi kawaida😭

    • @SmilingBinaryCode-zr6yu
      @SmilingBinaryCode-zr6yu Рік тому

      Sukar ya keikei nikipikia hinafaa

    • @halimaado8685
      @halimaado8685 8 місяців тому

      Sukari ijaiva vizuri yaani ijakua nzito vizuri

    • @SHILECKIZACHARIA
      @SHILECKIZACHARIA 6 місяців тому

      Mimi nilifeli mar 2 dia! Ila jana uwiii niliweza aa usikate tamaa dia jaribu tena na tenaaaa ytawezaa

  • @murabuchizi1306
    @murabuchizi1306 2 роки тому +1

    Yalichikua mda gani kukauka

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Like an hour

    • @epifaniashayo6162
      @epifaniashayo6162 Рік тому

      Huu ndio ubuyu ninaoupenda sasa wenye unga yaani dada hapa biashara tushindwe wenyewe asante sana ♥️

  • @gladyspeter5362
    @gladyspeter5362 3 місяці тому

    Niko Nairobi naenza pata mabuyu wapi?

  • @winniemigot7895
    @winniemigot7895 2 роки тому +1

    unga wa mabuyu Naeza pata wapi Nairobi

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Huko siwezi juwa but kama una mabuyu bonda tu mabuyu ujitokee unga

    • @winniemigot7895
      @winniemigot7895 2 роки тому

      thanks nilipata Eastleigh

    • @lovineachieng7835
      @lovineachieng7835 Рік тому

      ​@@winniemigot7895 Hi love ulipata Eastleigh wapi na Ubuyu zenyewe?

  • @kavita1550
    @kavita1550 Рік тому

    Na buy mabuyu wapi niko ....makueni county

  • @luciacostantine1714
    @luciacostantine1714 2 роки тому

    Jmn unga wa mabuyu una michanga mnisaidie namna ya kuondoa

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  2 роки тому

      Umeingiaje michanga?Pole sana kwakweli sina tip labda ujaribu kuchuja

    • @luciacostantine1714
      @luciacostantine1714 2 роки тому

      @@HadijaSheban Asantee, unga nimeununua sokoni sikujua Kama unamchanga lkn baada ya kuuweka kwenye mabuyu ni unamchanga balaa, nilitaka nitengeneze ubuyu wa vipande lkn nimeshindwa

  • @FatumaRamadhan-j6y
    @FatumaRamadhan-j6y 6 місяців тому

    Yangu napika bt kukauka yanachukua muda shida ni nn huwa

    • @HadijaSheban
      @HadijaSheban  6 місяців тому

      hakikisha sukari imeiva vizuri sana

  • @SalhaAmiri-wj4bm
    @SalhaAmiri-wj4bm 5 місяців тому

    Kama mabuyu kilomoja maji kiasigani naunga wa mabuyu kiasi gani

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Рік тому

    yanakaa mda gani jikon?

  • @definningmoments7751
    @definningmoments7751 2 роки тому

    Can you please put the ingredients and the measurements, I dont understand anything that you are saying

  • @seifjuma3471
    @seifjuma3471 2 роки тому

    Miatano ya Kenya Tanzania ni shilingi ngapi?