Ahsante dada Mungu wa mbinguni akubarki mnooo kwa elimu nzur kiukweli nimejifunza vitu vingi sana sana kupititia hapa pia naomba kujua rangi ya ubuyu naweka kiasi gani🙏🙏
Looks so tempting! I will definitely give it a try. Thank you! Could you please share the recipe for seedless mabuyu balls and mabuyu bars? Thank you again
Unga wa Mabuyu Recipe
ua-cam.com/users/shortsjju8TGJOf-w?si=ylSRgRRA5SuN24NT
Nisaidie vipimo
Tunaomba recipe ya kashata za ubuyu please☺️
😊😊 i got ue
Ma Shaa Allah Mpak umenitamanisha mtamu,
Nipo morogoro nimejifunza vizuri kabisa ntaifanyia kazi....mtu alitaka
Akitaka kuagiza je...unauzaje
kipenzi kwa kenya itakusumbua
MashaAllah may Allah bless the work of your hand 👌 Dada ❤
Asante kea elimu ya mabuyu❤❤
karibu sana❤️
Ubarikiwe mnoo
Ameen my love
Unaweza mashallah all the way from Tanzania
Asante aunty Kwa darasa ♥️♥️
The best mabuyu video I have ever watched
woow thanks
Maa shaa ALLAH
Tabarakallah
Allahubarik
Asante tena kwa kutuonyesha kutengeneza mabuyu, nashukuru sana.
Asante my ❤❤❤
karibu❤️
Asante dada
Thanku so much for perfect recipe, very well explained..
karibu sana
MashaAllah.
Tabarakallah
Upishi wako smart na simple thank u
Shukran sanaa
Nimejaribu yaani kiukweli ubuyu ilikua mtamu ajabu, hauchubui mdomo. Asante sana na Mungu abariki kazi ya mikono yako.❤
Ameeen my love nakupenda sanaaaa na hongera kwa kujaribu♥️
5kg maji vikombe ngapi na sugari
Masha Allah yummy yummy mabuyu nitajaribu na mm
utapenda babes
Unafundisha vema c* God bless you mejifunza vizur many thanks to you
Ameen darling ♥️
I hardly comment...u r the best chef dida🎉
awww shukran Darling ♥️♥️Be commenting pls
MashAllah❤ mombasa mvita
MashaAllah nafurah kuskia karibu sana
😮Nimejifuza nashukuru nipo mbeya Tanzania
MashaaAllah yametoka ajab
na matamu sana
Asantee
karibi sana
waooooh mabuyu yametoka na lang ya kipekee
Asante sana love
Npo dar shukran 🙏
karibu sana kipenzi
Hellow Bi Hadja mm npo Singida ahsante sana kwa elimu nzuri lkn nataka kujua ni kikombe saiz gan Cha maji busy lta au Cha chai robo lta?
Dada Asante sanaa Kwa maarifa, but me natamn kujua na ubuyu wa vipande
Looks really good better than what you get from the streets
za street sio mabuyu babees🤣🤣🤣
Mashallah yavutia mabuyu yenu...❤..mm niko yemen nimejifunza vizuri dear .
Nafurah sana kuskia umejifunza love share na wengine
@@HadijaSheban usijali dear
Tufundishe na ubuyu wa vipande
sawa nimeskia
Ahsante nimependa ila je hayo maji vkombe vtatu vya nusu Lita au Lita moja
sio lita moja nikama lita kupungua kikombe kimoja
Mashallah didah they look yummy mpka nijaribu 😅
asante sana love
How do you sell in whole sale
Ahsante dada Mungu wa mbinguni akubarki mnooo kwa elimu nzur kiukweli nimejifunza vitu vingi sana sana kupititia hapa pia naomba kujua rangi ya ubuyu naweka kiasi gani🙏🙏
Ameen my love weka kijiko kimoja cha chai kama haijatokea vizuri ongeza usieke nyimgi sana itakua uchungu
Tamu sana.Tunangoja jinsi ya kutengeneza unga wa mabuyu.
okey babe
Hujb
Inshallah na mm nitajaribu mana siku zote nikipika unakuwa mbaya au sababu naukorogea kwenye jiko
ooh kila la kheri babe
MashaAllah dada, please weka recipe ya huo unga Sasa... Looks very yummy ❤😍😍😍😍
Hey love nishaeka kwa short
Asante dada nipo pemba umenifunza vzuri ila nataaka kujua ubuyu wako hukuutwanga twanga hata kidogo?
Aslaam alaykum naomba kujua ni kikombe cha size gani ulichopimia maji shukran kwa sadaka hii Allah akuzidishie❤
waalykhm mussalam ameen tumia tu the normal cup ile kikombe haikosekani nyumba zote
Naomba kujua Ni kikombe gani hicho ambacho hakikosekani kwa nyumba zote😅
😂😂😂😂😂😂
Da hadija hivi baking soda kwny ubuyu unasababisha mabuyu kubadilika rangi
Looks so tempting! I will definitely give it a try. Thank you! Could you please share the recipe for seedless mabuyu balls and mabuyu bars? Thank you again
Hey love yes i had shared it already check my shorts
Thank you. However, I couldn't find it in the shorts. If you don't mind, could you share the link here please. Thanks again.
Hi rangi ni gani dear n pls share the each package na prices
Naanagalia nikiwa Malawi 🥰
Asante sana
Co nilitengeneza mabuyu yalikuwa red nikaweka kikopo kimoja after 2weeks nimekuta mabuyu ni light red au pink hii ni kwa sababu ya baking soda???????
Dada menilijalibu ila kaukuusawa maana ndani ulikua badomweupe ukaivajuuu tu ukila unauchachu ubuyu mgumu sana nisaidie nifanyaje
Asante dada je kindoo kidogo sukar ni kiasi gani?
Dada naomba utufundishe namnan ya kutendeneza ubuyu wa vipande(kashata)
nitajaribu siku moja love
Yakiwa meusi hayana neno ama hayatumiki
😂 j 3 fikq mapema niende kilombero nianze biashara nipate ela yavikundi mie
Nifanye nn mabuyu yangu yakaukee😢
Naangalia nikiwa Mbeya, naomba namba yako
Nifurahi kuona hayo mapishi ya mabuyu naagalia video hii kutoka majengo kanamai
woow asante sana love
Dada didah. Naomba uweke receipts za crunchy food pls. Tofauti na bites. Mfano kuku au nyama ya n'gombe
yaani kuku crunchy?
@@HadijaSheban Ndio
Mtu akihitaji contact yako inakuaje au kuna masharti🙏🙏
nambie baby niko haoa
bikabonet unatumia ipi
Mi najaribu unakuwa haukaiki
Waooo tuandikie recipies hapo chini
ok
Hiyo ni food color ?
yes
Nimetengeneza Ila mabuyu yakawa makavu hayakiwa na unyevu je nilikosea wapi?msada samahani.
Mtu yuaezaje kupata ya kuuza dadangu niko nairobi pliz
nairobi islii yako pia love
Naangalia nikiwa Tanga mjini
Nisalimie ndugu zetu wa Tanga♥️
sijaona rangi ilivowekwa
ok
MIMI NINA ANGALIYA NIKO MOMBASA
Asante sana
Unafanya delivery?
yes uko?
How much is a kg of mabuyu
inategemea
Baada ya kumaliza
Unaweka kwa masaa 2/3 ukiwa umeyafunika?
unaacha wazi
Naangalia nikiwa singida Tanzania nitajaribu na kuleta mrejesho dada
karibu
Mashallah 😢😢
Tabarakallah
Maji kikombe cha robo au
ndio
Habari Dada naomba namba yako
Pia baking soda unaweka mara mbili? Kwenye unga & na kwenye rojo baada ya kuepua ina maana kwa vipimo hivyo baking soda ni kijiko kimoja kikubwa?
yes
Baking soda inasaidia ubuyu kuwaje?@@HadijaSheban
Nakufata tokeya DRC ila sasa kwetu huku haya mambo hayapo kiukweli sijuwi mabuyu ni nini
Mabuyu ni baobab
@@fatmatiro3362 baobab si mti?
asante
Sorry dada, nimejaribu kufuata vipimo hivyo lkn ubuyu wangu haukauki na haujiachii kutoa ungaunga. Je nitakuwa nakosea wapi??
sukari yako haijaiva
Mabuyu ni nini kwa English
Baobao seed
Lazma njsrb jmn