Jinsi ya kupika ubuyu wa vipande

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • bit.ly/3yCPwyq

КОМЕНТАРІ • 34

  • @jiajiritz
    @jiajiritz  Рік тому +1

    Ukitaka kujifunza zaidi njoo Whatsapp
    👇👇👇
    bit.ly/3yCPwyq

  • @AngerinSawe-bm5ic
    @AngerinSawe-bm5ic 9 днів тому

    Kazi nzuri hongera ujasiriamali ni ajira

  • @FrancisProsper-cq8vv
    @FrancisProsper-cq8vv Місяць тому

    Good

  • @Nicecalgarian
    @Nicecalgarian 11 місяців тому

    Asante sana. Sikujua unaweza kutengeneza kashata ya mabuyu. 🇨🇦🙏

  • @user-xo3pk2hm8m
    @user-xo3pk2hm8m Рік тому

    Jmn uwe unasema unga kilo sukari kiac fulan vanilla kiac fulan nasikia sijui na baking powder nimejarivugi mara Tano lakini sifanikiwi nakajuwa Kuna kitu kingine mnaweka ila hamsemi maelezo hayajitoshelezi bhn

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Рік тому

      Pole sana kwa changamoto
      Wanaohitaji kujifunza Zaid wanakuja WhatsApp ndiko wanajifunza baada ya kulipia ada ...mbona kweny hiyo video nimesema kwamba ukihitaji kujifunza Zaid njoo Whatsapp

    • @mumtaaz1888
      @mumtaaz1888 3 місяці тому

      Wanataka uwlipe ndio ufundishwe ndugu

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg Рік тому

    Shukrani kwa mafuzo

  • @rehemaabdullah5649
    @rehemaabdullah5649 3 місяці тому

    Kesho najaribu

  • @zabibumunezero1897
    @zabibumunezero1897 7 місяців тому

    vizur san 😋nifunze na mimi mwalim

  • @munirakombo3503
    @munirakombo3503 10 місяців тому

    Mwlm haliyako naomba kujua iliubuyu uumuke unafanyaje,pia tunafaje tupate unga uio na mchnga

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  10 місяців тому

      Njoo WhatsApp 0653463133

  • @pendocharles3402
    @pendocharles3402 Рік тому

    Vitabu bei gani mwl

  • @marysaimon4063
    @marysaimon4063 9 місяців тому

    Nimependa somo. Lakini kipimo cha maji kwa kilo moja ya sukari naweka kiasi gani?

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  9 місяців тому

      Njoo WhatsApp 0653463133

  • @stellamwaikambo3495
    @stellamwaikambo3495 Рік тому

    Asante kwa mafunzo.naomba kuuliza unakauka kwa muda gani?

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Рік тому

      Dakika 5-15

    • @elionempinga5266
      @elionempinga5266 Рік тому +1

      @@jiajiritz Mimi wangu mbona una nata haujakauka Leo siku ya 3 😭

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  Рік тому

      @@elionempinga5266 njoo Whatsapp 0653463133

    • @eunicejohn5520
      @eunicejohn5520 Рік тому

      @@elionempinga5266 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na mm na kwama sana

  • @HannaelShaban-lt6cy
    @HannaelShaban-lt6cy 8 місяців тому

    Hey! Kaka nipo kwenye darasa lako la ubuyu

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  8 місяців тому

      Wooow hongera sana

  • @user-wj9qg7cj2j
    @user-wj9qg7cj2j 9 місяців тому

    Sukar ya kawaida au ile ya acream

  • @yohanalunene7115
    @yohanalunene7115 Рік тому

    Unga wa ubuyu unapatikana wapi?

  • @user-wj9qg7cj2j
    @user-wj9qg7cj2j 9 місяців тому

    Yaaan mbona wng aui mgumu jamani

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  9 місяців тому

      Njoo WhatsApp 0653463133

  • @rehemaabdullah5649
    @rehemaabdullah5649 3 місяці тому

    Mwalim shila ndo nn

    • @jiajiritz
      @jiajiritz  3 місяці тому

      Mchanganyiko wa maji na sukari

  • @pendotesha6922
    @pendotesha6922 10 місяців тому

    Ada sh.ngap