Hi Wapenzi pia unaeza kueka harufu ya Vimto nusu kijiko cha chai samahani sana sikuitaja🤣🤣 Nawapenda Mnooo wanawake Tuamkeeeee. Pia usipofata maagizo utapata mabuyu ya rojo🤣🤣🤣 fata maagizo na uwache yakauke kabisaa ama yapoea kabisa 🔥🔥 Lovies pia hapa kuna video ingine nimeifanya 1month ago angalia upate maarifa mengine pia ya mabuyu malainii ua-cam.com/video/ho76boMjdJc/v-deo.html Pls like hii video na pia ushee usisahau kusubscribe 😘
Masha alah nasema tena masha alah mola akulipe wema wako na akupe afya na akuzidishie baraka yarab asanta sana tena sana umetufundisha kwa dhati kwa roho safi sana nakupenda kwa ajili ya allah ♥️💕🌹
Thanks dear for this vedio,imenisaidia kabisa nimejaribu kupika mabuyu na nimefaulu.ni rahisi na inaeleweka. U explain it well ❤️.Allah Akujaalie kila kheri
@@HadijaSheban niliambia ndugu yangu pia yuko huku .leo kuhusu mapishi yako mazuri akaniambia ya mm huwa na muona pia nazijua videos zake mzuri sana mashaallah mm kusema kweli nimeanza kuona leo in Sha Allah tutajifundisha shukran
Hi Wapenzi pia unaeza kueka harufu ya Vimto nusu kijiko cha chai samahani sana sikuitaja🤣🤣 Nawapenda Mnooo wanawake Tuamkeeeee.
Pia usipofata maagizo utapata mabuyu ya rojo🤣🤣🤣 fata maagizo na uwache yakauke kabisaa ama yapoea kabisa 🔥🔥
Lovies pia hapa kuna video ingine nimeifanya 1month ago angalia upate maarifa mengine pia ya mabuyu malainii ua-cam.com/video/ho76boMjdJc/v-deo.html
Pls like hii video na pia ushee usisahau kusubscribe 😘
Shukran Jazakallah khaira habibty
Kiasi gani mabuyu
@@agapejoel7822 nimetaja kipenzi kwa video
unapatikana wapi dada
Wanawake!hata waume pia mimi sai ni mara ya tatu bado sijaweza kuyatoa km hivo ☹️
Mashaallah nimependa nitajaribu na mm pia
Hizi miti za mabuyu zimejaa ukambani. Leo nimelearn kutengeneza mabuyu atleast 💕💕.
Waaah navile watu huziendea shop muna bahati
Allah akubarikie ktk kazi yk,na nakushkuru kwa maelezo yk mazuri bila khiyana,naomba na mm nikifanya yawe km yk,shukran.
@@HadijaSheban How much per kg kwa duka? I want to start this business
Sio hizi miti. Ni hii miti😂😂😂😂😂
I mis mabuyu just remembering my childhood snacks .
Walai enzi za mabuyuuu
Masha alah nasema tena masha alah mola akulipe wema wako na akupe afya na akuzidishie baraka yarab asanta sana tena sana umetufundisha kwa dhati kwa roho safi sana nakupenda kwa ajili ya allah ♥️💕🌹
Nakupenda pia My Love Zaidi na zaidi asante kwa support ❤❤❤
Ameen yarrabal Alameen
Masha Allah Masha Allah 🌹❤️🌹 Shukurani Jazili mum
Barikiwa mnooo yn una moyo wa dhahabu
Ameen my love asante sana
Mashaallah very nice mabuyu Allah Barik
Ameeen my Kipenzi shukran sanaa🥰🥰
Mashaallah nimepata mafunzo zaidi Kuna kitu umeweka sijawahi na Mimi nimpishi wa mabuyu wa siku nyingi
In Shaa Allah nitaanza nextweek hyo biashara naipenda
Thnks for sharing
I'm the one to watch this Chanel
Thank you❤❤
@@HadijaSheban thank you too
Ahsateee Ubarikiwe saaana aaa naulza Unayaacha kwa mda gani ili yapoe vzr
Asante kipenzi 3hours
Ajsat momy
Asante Rukia.Maelezo yako ni.safi kabisa
Waooooh asante sana mngu akuzidishie ujuz
Ameen
@@HadijaSheban Mashallah Mashallah
Mashaallah tabarakallah shukran sana sister Allah akuzidishie
Allahuma ameen darling kwetu sote
Masha Allah kumbe yanatengezwa hivi 😊 shukran saana kipenz Allah akulipe dunian na akheera Kipenz
Ameen yarrabal Alameen kipenzi Nimefurahi kwa kufika kwako..Shukran sanaaa naomba share na wenzako
Unakaukaje siku ngap kukauka au unaweka Juani tupe jibu
Dada rangi zinapatikana wap
Congratulations, nimejua nashukuru
Asante.kwa.elimu.yako.naomba.niurize.sukari.kiro.moja.ubuyu.kiro.ngapi
Maashallah shukran umenilimisha
Nimefurahi sana kipenzi
❤❤❤❤ my mfano kilo moja ya mabuyu unaweka sukar kiasi gn unga kiasi gn
Nimelezea kwa video
Asante daa mungu akubariki kwa somo zuri
Tafadhali share na wengine waweze kufaidika🤝🤝❤
Hongera dada Khadija na Asante nimejifunza vngi
karibu sana kipenzi
Kazi safi sana ...ubarikiwe
Ameen na asante sana
mashaAllah na kama nataka kupika nusu sukari na maji nitapimaje tafadhali
Fuata video nilivyoeleza mpenzi utapata majibu yote kwa kiwango chochote kile
Maaashaaallah Tabarakallah tu nashkur Unty
Bil Afya
Mzuri sana nimependa
Asante sana
Mashaallah barakaallah
Somo nimelipenda my wangu
asante mpendwa,, nimejifuza kitu
Na mm nimefurahi kipenzi
Maa Shaa ALLAH. Shukran Jazeelan
Tabarakallah kipenzi ❤️
Nimependa sanaa dada tunaomba tupikie embe kama unavyo pika ubuyu asante
InshaaAllah mpenzi nikienda nyumbani nitafanya hivyo
This is interesting i didnt know this is how mabuyu are made
Thanks sis
Ninapenda Sana nifanye biashara ya mabuyu lakini sijiu pakupata. Unga,Niko Uganda
Bonda hayo mabuyu yako nitaleta video soon
Uko sawa dadangu mungu akubariki
Ameen shukran kipenzi
Dada u r very generous u help people with they business may Allah swt reward Ameen
Allahuma ameeen❤️❤️ Shukran
Ahsante sana Kipenz Allah azid kukulinda na uzidi kutufunza nimepata faida sana kuitazama hii video Mashallah hukua mchoyo kwa kweli nakupendraaaaaaa!
Karibu love nimeeka video mpya itakusaidia..nakupenda piaaaaa
MashaaAllah wengi wenye hii biashara ya mabuyu n wachoyo
Safi sana mungu akubariki
Ameen atubariki sote kipenzi na ww pia share ujuzi na mwingine afaidike❤
New subbie here from kenya 🇰🇪
Aww thanks soo much my country people🥰🥰🤗
Asate mpenzi nashukuru pia mm nakupenda❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki na asante kwa kufika hapa
Naomba kuanza ,nianze na kiasi gani niko kenya thnax
Anza na kilo moja Ana nusu kilo mpenzi
Nac
Asante kwa maelekezo mazuri Dada.
Karibu sana
Mama asante sana kwa this recipe, nimetamani Sana kujua vile mabuyu hutengenezwa, perfect timing. Baraka sis
Thanks pia sis
Shukran dada Allah akulipe kheir
Ameen kwa sote nimeshkuru
Sukari kilo moja mabuyu debe ngapi daa
Nimeeleza love
nakupenda piaa dada Kwa ajili ya Allah🥰🥰
nimejifunza sanaa yan nmeanza kuuza na mimi ubuyu huku chuoni kwetu
Hongera sana na mungu akubariki
Shukran habibty 🥰
Thanks dear may Almighty God bless you unamoyo Safi sana nimejifunza nitapika NAMI🙏🙏🙏
Welcome kipenzi Ameen mungu atubariki sote❤❤
Mashaallah mashaallah mamy ninzr nimependa sana 😘💖❤🌼
Shukran kipenzi ❤❤
Naomba kufahamu mabuyu kiasi gani ni kilo moja au
mana umesema unga tu nusu
Yes kilo
Masha alah
Hongera sana swty kazi nzr
Asante sana kwa kufika naomba share
Nimependa
Shukran sana karibu
Thanks dear for this vedio,imenisaidia kabisa nimejaribu kupika mabuyu na nimefaulu.ni rahisi na inaeleweka. U explain it well ❤️.Allah Akujaalie kila kheri
Ameen yarrabal Alameen mpenzi niko na hii nyingine angalia utapata ujuzi mara 2 ua-cam.com/video/ho76boMjdJc/v-deo.html
Mashallah khadija Allah ibarik fyk
Tabarakallah kipenzi 🤲🤲
Asante sana kwa kutufunza
Biashara mzuri yenye faida. I'm glad to know how to prepare mabuyu
Asante kipenzi
I love you darling...Allah akulipe
Allahuma ameen my love
Asante mummy
Asanteee nimejifunza nimejua
karibu sana
Maa shaa Allah napenda sana vedeos zako za mapishi
Shukran mpenzi
Mbona mabuyu yangu huwa hayakauki
maybe sukari ilikua haijaiva kipenzi
May Allah bless you my dear for your kindness
Aameen shukran Love for the prayer😍You tooo
Mashallah mabuyu mazuri 👌👌🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤❤❤❤
Asante xana dadangu
Most Welcome dear
Upo vzr mdada
Asante sana
Maashaallah
Asante kipenzi
karibu sana
Asante dada na toka kenya
Awww my babeees thanks sanaa
Asante sana bb khadijaa shabaani
Shukran kipenzi
Asante kwa somo nzuri
Karibu sana please Subscribe❤
Mashaallah Mngu abariki kazi ya mkono wako ya halali big 🤗 from Madrid Spain 🇪🇦
Tabarakallah love Ameen yarrabal Alameen thanks for coming🥰🥰please Subscribe and share shukran
@@HadijaSheban niliambia ndugu yangu pia yuko huku .leo kuhusu mapishi yako mazuri akaniambia ya mm huwa na muona pia nazijua videos zake mzuri sana mashaallah mm kusema kweli nimeanza kuona leo in Sha Allah tutajifundisha shukran
Mashaallah barakaallah Rahman
❤️❤️❤️Shukran 🤲🤲
Hizi mabuyu naeza toa wapi jameni. Nimezimiss. Napenda hii mekundu. Tamu ajabu. Sikujua waongeza unga wa mabuyu
Ukambani wapi pliz
Thanks so much for this.
Most Welcome
Naomba ujaribu kuyaweka maganda ya hilik
Nishajaribu kwa latest video yangu ya mabuyu
Wonderful I love it
Thanks dear
Allah akujaze dada na akufungulie njia zako InshaAllah nimepeta idea ya biashara
Shukran sana Love atujaze sote na kwa support pia nimefurahi sanaa🤲🤲share na wengine
@@HadijaSheban tuwekee namba my tukufuate inbox
Mashallah nimependa nitajaribu
Asante mpenzi
Ni lazima utumie flavour
Unasema baking powder ama soda powder
Baking powder
Sindio yajulikane ladha
Nimejifunza kitu ahsante
Nimefurahi pia kipenzi
MashaAllah babe,Allah Barik🙏🙏🙏🙏
Asante mpenzi
😋😋😋😋😛
Samahani kipenzi naomba unisaidie kipimo cha sado 2 za maubuyu.je maji naweka kiasi gani na sukari ni kiasi gani my wangu.❤
ongeza vipimo vyangu mara 2
andika makini hii recipe ukitaka kupika kidogo au mengi tumia hii recipe
Sawa sana
Asante
Shukurani
Mashallah barakallah ❤
♥️♥️
Good business
Perfect
Me nifanyeje ubuyu wang ukauke
Asante mungu akubariki
Ameen kipenzi ww pia
Looks nice👌
Nashukuru kwa darasa lako nimepata kitu
Karibu sana
Asante kwa ujuzi wako
Karibu babe
Muda ni saa ngapi
Thanks sister your so lovely
Most Welcome dear 😘
Thanks very much my dear.
Karibu sana
Asante sana dada 🤲
Karibu sana
Nzur San ongera 👏
Asante dear
Jamoon kipimo ni kiasi Cha flavour
1 tspn
Asnte Kwa kutupenda,,nmependa video,,,ntajaribu kufanya,,,
Naomba ufanye yaani mimi nilitengeneze jana kupitia video ya huyu bidada uwiii mabuyu yalitoka mwaaaaaa nimefurahi sana ! Thank so much dada
Asanteni sana vipenzi mubarikiwe
Love your explanation. Nimejiona pro kwa kutengeneza mabuyu😂😂😂
Mabuyu yana faida sana
Asante dear wangu
karibu sana