Hapa Ndipo Wanapozikwa Watu Maarufu Marekani | Gharama Za Mazishi Huku USA Ni $38,000....!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Nilitembelea Hollywood Forever Cemetery iliyopo Los Angeles, California. Ni Full-service funeral home, Crematory, Cemetery & Events center. Pia nilipata nafasi ya kupata information kuhusu gharama za mazishi maeneo haya. Tazama video hii ili ujionee yaliyojiri hapa Hollywood Forever Cemetery.
    Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
    My previous video;
    • Beach MAARUFU Inayopen...
    🔸FOLLOW ME ON;
    INSTAGRAM: / jacchalz
    TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz
    My Other Channel: / @jackchalz
    #hukuyues #losangeles #mtaani

КОМЕНТАРІ • 306

  • @jackwausa
    @jackwausa  11 місяців тому +2

    Please SUPPORT me by joining here;
    patreon.com/JackWaUSA

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 Рік тому +7

    The way unavyomshirikisha Mungu katika kazi zako you real inspire me🇹🇿

  • @allfootballscoreliveworld8055
    @allfootballscoreliveworld8055 Рік тому +9

    Kiboko ya afrika Allah akupe umri mulefu kaka kazi nzuri maisha popote kambi

  • @jumakauli
    @jumakauli Рік тому +26

    Sijambo. Haujambo? Mr. Jack, Hii video ni kazi nzuri. Kwani umetukumbusha kifo kipo kwetu sote. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому +2

      Sijambo pia, namshukuru Mungu. Mungu awabariki!

    • @petermakubi
      @petermakubi Рік тому

      Oya, let's make a video about applying for a visa to live there and the job opportunities available there.

  • @jackwausa
    @jackwausa  Рік тому +18

    Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️
    youtube.com/@Jackchalz

    • @denistimoth7843
      @denistimoth7843 Рік тому +1

      Ok

    • @gadesbaba
      @gadesbaba Рік тому

      Kwani una channel ngapi tena?

    • @kingstalents3769
      @kingstalents3769 Рік тому +1

      NATAMANI SANA NIWE KAMA WEWE BROTHER 🙏😭🙏

    • @petermakubi
      @petermakubi Рік тому +1

      Hey tengeneza video ya njisi ya ku apply visa na fursa zilizopo huko bro.

    • @rashidkachaa3666
      @rashidkachaa3666 Рік тому +1

      Ebu tuambie na namuna ya kufika huko na gharama zake

  • @frankmpembu
    @frankmpembu Рік тому +7

    Nakukubali sana brother, unajiamimi ile mbaya hivyo ndivyo mtoto wa kiume unatakiwa uwe. Ongera sana brother Mungu akubariki sana.

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Рік тому

      inabid tuwa raise our kids wawe wana jiamin kwenye maisha yetu. ya siku zote tusiwatie uoga hii yote ni juhudi za wazazi wa jack kumraise ili awe hapo alipo

  • @johnkiriko7353
    @johnkiriko7353 Рік тому +10

    Am a Kenyan i appreciates your work bro....these are the contents we need now....kudos!!!!

  • @almuhtaramzamil
    @almuhtaramzamil Рік тому +4

    Sisi Waislamu mtu akifa anatakiwa afanyiwe mambo yafuatayo haraka sana:
    1.Aoshwe
    2.Akafiniwe (Avishwe Sanda)
    3.Aswaliwe (Swala ya Maiti) na
    4.Azikwe

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 Рік тому +2

    Waafrica huwa tunajituma kufanya vitu ughaibuni ambavyo Mzyungu hawezi kuja kuchambua graves za kinondoni wala kusema nqmnagani Tanzania wana party. Asante kwa kazi ya uchambuzi wa marekani.

  • @dionesebutoyi7256
    @dionesebutoyi7256 Рік тому +5

    I follow you from burundi🇧🇮 bro i can't stop telling you that your works are the most apreciated.Umetisha kinoma bro thant you s much🙏🙏

  • @richiemakini
    @richiemakini Рік тому +7

    Napenda kazi na unavyozidi kutupa moyo na kututia nguvu,,mola akuzidishie mengi maishani mwako

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 Рік тому +5

    Umetisha sana jamaa! Nilipenda ile tour ya st. Monica beach

  • @tumainimchwa2773
    @tumainimchwa2773 Рік тому +3

    Umefanya kazi nzuri sana kamanda kutupa elimu ya namna wenzetu wanavyo ishi na hata baada ya kifo na garama za mazishi"Bg up sana

  • @JovinBrighton-ci3ji
    @JovinBrighton-ci3ji Рік тому +2

    Brother be blessed for your work. Ofcourse you make us to keep in learning alot of things in USA

  • @jeremiahsumbuka1995
    @jeremiahsumbuka1995 Рік тому +5

    Jack unafanya vzr kazi yako i hop mda si mrefu you will get huge development nakuombea, my opinion, wape mbinu vijana wenye ndoto za kutengeneza settlement huko,hatua kwa hatua utaratibu wa kuja huko,vibali au uraia,na namna ya kutengeneza makazi na ajira, ili wasipatwe na risk yoyote kama kuwa homless au jobless huko usa

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому +1

      Asante. Pia nitalifanyia kazi hilo suala na kupost video itakayotoa maelezo yote!

    • @jeremiahsumbuka1995
      @jeremiahsumbuka1995 Рік тому +1

      Itakuwa vyema kaka.

    • @carloskato1088
      @carloskato1088 Рік тому +1

      Nipende kukazia aliyosema brother Jeremiah Naona utakuwa umetupa mwanga kwenye angle Hiyo maana living in US is a dream for some of us.apart from that Good work brother jack.

    • @jeremiahsumbuka1995
      @jeremiahsumbuka1995 Рік тому +1

      Absollutely, Video Ya Vibali Alitoa But Bado Masuala ya nauli, Na namna Ya Kufit Mazingira Ya Us Kama Mgeni.

  • @Team-t6k
    @Team-t6k Рік тому +3

    AFRICAN kwetu tuna neema nyingi saana na piya katika Uwislam piya tuna neema nyingi saana Alhamdulillah to born Muslim so big up kijana kwa kazi yako na Allah akufanyiye wepesi kunako uzito 🤲

    • @mushken65
      @mushken65 Рік тому

      Dini sikitu cha kujivunia. Dini ni vitu kaundwa na binadamu. It's not an achievement to be Muslim or Christian. Heri hata unelikywa unaabudu mlima kilimanjaro hiyo ingelikuwa kitu cha kujivunia. Tafakari hayo 🇰🇪

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому

      @@mushken65 Tatizo sio dini Tatizo hujapewa hekima ya kuelewa lolote so huwezi kuwa na iyo level ya ufahamu

  • @patrickmwaniki3835
    @patrickmwaniki3835 Рік тому +1

    I really appreciate your work, very educative. Nairobi Kenya.

  • @habib514
    @habib514 Рік тому +7

    You don't quit when you're tired, u quit when ur done...Thank u Brother

  • @azizsaid6177
    @azizsaid6177 Рік тому +2

    Wangu kazi nzuri, many peoples d'nt knows the situations in Us. From you, now they get an image. Why didnt u go to Pac's cementary? I expected it

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 Рік тому +2

    We upo vizuri aisee umetufumbua macho big up

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +4

    So educative!!! Thank you brother!

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 Рік тому +2

    Bro.hiyo camera 🙌.wanaotupostia video wengi video zao haziko na quality nzuri.hungera bro.good job.
    Thanks jack.

  • @piusundisputed
    @piusundisputed Рік тому +2

    Unafanya kazi nzuri sana brother,keep it up!!

  • @omarimustapha796
    @omarimustapha796 Рік тому +2

    Salute bro...Allah bless you🙏

  • @salmaseifu4775
    @salmaseifu4775 Рік тому +2

    Amina kaka unaishi malekani hila nampenda sana imani yako ya kimungu

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 Рік тому +2

    sauti yako jack inafanana na richi mitindo hongera kwa kazi zuri

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 Рік тому +1

    Jack hongera sana umekuwa muhimu sana asante asante na nipejifunza mbo makubwa sana

  • @Coleunlimited1
    @Coleunlimited1 Рік тому +2

    Nice content Mr Jack💪🏽

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 Рік тому +2

    Mungu akubariki bro kuna vitu vingi tunajifunza kutoka kwako

  • @egkisini5753
    @egkisini5753 Рік тому +2

    I like your speech at end God bless you kweli don't give up cos bado unaishi

  • @faridakinyaga8179
    @faridakinyaga8179 Рік тому +3

    Hakika pumzi haiuzwi God I'm so grateful for my life

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 Рік тому +2

    tunajifunza mengi keep going kazi nzuri

  • @starjay3052
    @starjay3052 Рік тому +3

    💪 safi sana broo

  • @GracieTyno
    @GracieTyno Рік тому +2

    Aisee!
    Ahsante sana jack,next naomba uende desney land please!

  • @coasterherman
    @coasterherman Рік тому +2

    Kazi nzuri jacki unajitaid sana 💯

  • @vickyshangwe7339
    @vickyshangwe7339 Рік тому +4

    This is incredible work! Adventure at my own coach 😉😃
    Your character and your work, perfect match!! 👌

  • @samtandarus7458
    @samtandarus7458 Рік тому +4

    Nimeioenda hii quotation... You don't quit when you are tired, You quit when you done

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому

      Yeah, keep moving untill you make it!

  • @ngaboespoir4580
    @ngaboespoir4580 Рік тому +2

    Keep keep pushing brz

  • @Kengele
    @Kengele Рік тому +1

    FIRST TIME HERE FROM KENYA #KENGELE

  • @richardscofeld9136
    @richardscofeld9136 Рік тому +2

    Appreciate sir 👍 thanks so much for this content

  • @daktariwakienyeji
    @daktariwakienyeji Рік тому +2

    Great work Mheshimiwa 👍

  • @Maulambo
    @Maulambo Рік тому +5

    Marekani kila kitu gharama kweli sio poa

  • @musaguga
    @musaguga Рік тому +4

    We jamaa Leo umeamua kutukumbusha kifo, well well well

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 Рік тому +1

    Pamoja brother

  • @ramaboy2390
    @ramaboy2390 Рік тому +1

    Big up bro that why I love from Mombasa Kenya Tuko pamoja

  • @zamberimturi5593
    @zamberimturi5593 Рік тому +2

    Good bro nakufatilia kwa makini sana bampa2bampa

  • @Vees12
    @Vees12 Рік тому +2

    Umetisha sana

  • @onesmomasawe3331
    @onesmomasawe3331 Рік тому +1

    Nakukubali kaka napia unatufundisha vitu vingi sana good work

  • @judywaciuri6278
    @judywaciuri6278 Рік тому +1

    Thanks Jack for educating us

  • @sadockmganga4630
    @sadockmganga4630 Рік тому +1

    Mimi ni sadock wa ubungo nimependa injli ya kutukumbusha wajibu wetu barikiwa bro.

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 Рік тому +2

    Brother unatupa madini mengi mazuri toka huko USA TANZANIA TUNAKUKUBALI SANA KAKA KWA KAZI ZAKO GOD BLESS YOU WITH YOUR ALL THINGS YOU DOING

  • @Bachubazonlinetv
    @Bachubazonlinetv Рік тому +2

    Kazi nzuri sana kaka

  • @victorchris5144
    @victorchris5144 Рік тому +2

    Maneno ya mwisho mwisho kwenye video yamekuwa zaidi ya somo kwenye maisha yetu ya kila siku, keep it up Jack … I really appreciate what you do 🫡

  • @bitecastory2137
    @bitecastory2137 Рік тому +2

    Mungu akubariki sana kakaangu jack

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +2

    Kinacho mata ni umefanya nn ulipo kua hai. Uzuri wa kaburi hauna maana yoyote, hata liwe limejengwa kwa dhahabu tupu.

  • @nizigiyimanalongin7011
    @nizigiyimanalongin7011 Рік тому +1

    keep up brother. kazi safi sana

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 Рік тому +2

    Safi mkali, USA hakuna ubabaifu yani na mambo sio ya kubahatisha,,unaingia upatakapo sio kama huku unaenda sehemu unakua na hofu sana a lot of questions wakat hatuko duniani

  • @christianmtexas556
    @christianmtexas556 Рік тому +1

    Upo njema sana chief

  • @happykimaya6631
    @happykimaya6631 Рік тому +2

    Asante Jack

  • @joleal7941
    @joleal7941 Рік тому +1

    Courage kaka kwa kutupa habari za marekani

  • @myhlmn3701
    @myhlmn3701 Рік тому +1

    Tunakubali saf1i sana big up tunatembea na ww mbona

  • @johnkeya3293
    @johnkeya3293 Рік тому +2

    Good job

  • @mirajiboe6133
    @mirajiboe6133 Рік тому +3

    Jack kaz yko nailewa kinoma an

  • @taifocuscompany9246
    @taifocuscompany9246 Рік тому +1

    Safi sana kiongozi kwa taarifa

  • @kulwanzobe7657
    @kulwanzobe7657 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana mwamba

  • @boazkofficial2247
    @boazkofficial2247 Рік тому +1

    good job brother worching from Kenya bro

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 Рік тому

    Asante Sana

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 Рік тому +1

    Safii sana mtz mwezetu unatutoa ushamba

  • @tumainimchwa2773
    @tumainimchwa2773 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana kamanda

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 12 днів тому

    kazi nzuri

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 Рік тому +2

    safi sana

  • @angelasenga796
    @angelasenga796 Рік тому +1

    Daah barikiwa mno

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Рік тому +1

    Good work brotha!

  • @ibrashani8012
    @ibrashani8012 Рік тому +1

    Big up jack

  • @dionesebutoyi7256
    @dionesebutoyi7256 Рік тому +4

    I follow you from burundi bro i can't stop telling you that your works are the most apreciated.

  • @waltersesuru43
    @waltersesuru43 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana.mungu akupe maisha malefu

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому

      Amina na Asante. Ubarikiwe pia!

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому +3

    Utatokewa na mazombi ya thriller ndugu

  • @kingtabley3405
    @kingtabley3405 Рік тому +2

    Upo makin bro

  • @fallykhan2383
    @fallykhan2383 Рік тому

    Kwa uku tz vijijini gharama ni sanda tu ambayo inakost tsh 5500. Geneza lipo msikitini. Hii ni kwa waislamu tu'

  • @MJM52
    @MJM52 Рік тому +1

    Mwamba umetisha sana

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +1

    UBARIKIWE...Kaka Mr Jack..🙏

  • @official_gakankara
    @official_gakankara Рік тому +1

    Mwanang nipenda sana channel yako 💪💪💪

    • @jackwausa
      @jackwausa  Рік тому +1

      Asante na karibu sana katika channel yangu!

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 Рік тому +1

    Kazi nzuri Kaka

  • @yohanaalimosa332
    @yohanaalimosa332 Рік тому +1

    Barikiwa Bro

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 Рік тому +1

    Nakuelewa sana ndugu

  • @rizikiramadhani7986
    @rizikiramadhani7986 Рік тому +2

    DA JACK UMETISHA SANA MWANA YANI MAREKANI NIKIWA NA BANDO TU NAIONA YOTE SABABU YAKO BOY

  • @fatmasaid4381
    @fatmasaid4381 Рік тому +2

    Well said tuko. Pamoja from Mombasa Kenya...

  • @NuruHasa-zp6cn
    @NuruHasa-zp6cn Рік тому

    Ohoo safi Iv ukitaka mtu akutumie mzigo kutoka uko marekani utaratibu ukoje na ndugu yangu uko ila yeye ajui anitumie vipi

  • @pastitutamogaka7776
    @pastitutamogaka7776 Рік тому +1

    God bless you kwa kazi unayofanya bro really i can't say anything

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 Рік тому +2

    Leo ndugu umenifundisha kitu uwa naangalia filamu za kikorea naona wanakumbukumbu hizo za kuweka kwenye vikabati na picha za marehemu kumbe uwa kunakuwa na majivu pale ya marehemu

  • @salomeyuvenali3700
    @salomeyuvenali3700 Рік тому +1

    🙏🙏🇹🇿big up my bro'

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Рік тому +2

    Nimeipenda sana video yako, na pia mazingira yalivyo ,ya usafi na pia mpangilio wake, kwani ndivyo inavyotakiwa kumthamini mtu hadi alipolazwa bado pana thamani inabaki kumbukumbu daima, waendelee kupumzika kwa amani. 22.02.23.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому +1

      Kumthamini mtu Kwa kumchoma?

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 Рік тому

      @@jumakapilima7295 nimesema yale mazingira yalivyo pale walipozikwa ni mazuri wamezika kwa mpangilio na pia ni pasafi, ndio maana nikasema wanawathamini marehemu wao. sasa hayo ya kuwachoma umesema wewe. na pia kuchoma inakuwaga ni agizo la mtu, kuwa nikifa nichomwe.

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 Рік тому +1

    One love aoo tausi wanarangi ya Tanzania tuletee aoo wa kwetu

  • @mirajiboe6133
    @mirajiboe6133 Рік тому +3

    But next month natak utulushe mpaka new york bloo

  • @zainakapenda2486
    @zainakapenda2486 Рік тому +1

    Nimeipenda sana

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Рік тому +1

    Ninakata tamaa ya kuja YuES maana vijana mpo busy na UA-cam Tu amsemi kipi cha maana munafanya kutu inspire

  • @cooler3263
    @cooler3263 Рік тому +1

    Noma sana

  • @tplatnumz
    @tplatnumz Рік тому +1

    Unyama Saana

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Рік тому +4

    Daah kweli Mungu alituweza 😭😭

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 Рік тому

      Ndio unasikiya tukisema hakuna wakufananishwa na MUNGU au hakuna mwenye Nguvu kama MUNGU.

  • @bekereomari
    @bekereomari Рік тому +1

    Tutafutiye makaburi ya waisalm. Kazi nzuri sana