🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 220

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  18 днів тому +12

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 18 днів тому +16

    Mh Lisu ana Nguvu kuliko wew mbowe mipango Yako ni ya zaman sana ata mim naweza kuongoza chadema kuliko mifumo Yako ya sasa

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 17 днів тому +3

    Mbowe mungu akubarik baba nakumbuka jinsi ulivyompambania lisu alivyopigwa na magufuli mpaka ulimpeleka nje ili akatibiwe lkn leo hii ameungana na wasaliti wa chadema. Kukusimanga na kukuchafua kweli shukrani za punda ni mateke na binadamu tunajisahau

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 17 днів тому +3

    Achia ngazi bro

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 18 днів тому +3

    Umepaniki Mzee Hufai Kuakiongozi

  • @PaschalBoi-z8h
    @PaschalBoi-z8h 17 днів тому +2

    Tumpe tu lisu atakivusha vzr chama

  • @LoverboyzKenya
    @LoverboyzKenya 12 днів тому +3

    Siasa za chuki sasa MAGU katokea wapi😢😢😢

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 18 днів тому +16

    Mzee kwamuda huu twende na lisu ume fanya mazuri ila wakati huu mwache lisu

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 18 днів тому +8

    Nimeanza kumkubari lisu kabisaaaaaaaaa

  • @StephenNjau-y4y
    @StephenNjau-y4y 18 днів тому +4

    Mkuu ni wakati pia wa kuachia wengine waoneshe strategic zao

  • @TomassJaphethAndrea
    @TomassJaphethAndrea 18 днів тому +8

    Hutashinda Kwa jina la yesu Mimi mwanachadema sitaki uwe mwenyekiti,mungu sikua maonbi yetu tuwekee lisu msema kweri

  • @TomassJaphethAndrea
    @TomassJaphethAndrea 18 днів тому +8

    Atakapo enda lisu namimi nipo,

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 18 днів тому +6

    Mbowe uko vizuri, kua makini sana wasiwabague kwenye chama chenu, kuna watu wanataka mfarakane wao wafurahi. Tundu lisu ni bora pia kwenye chama cha chadema.

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 18 днів тому +2

    Majura nimekuelewa saaanaa👏👏👏👏

  • @MussaGodfrey-s7k
    @MussaGodfrey-s7k 17 днів тому +2

    Ila viongozi wa chadema tujifunze tusijiaminishe kuwa bila ww hakuna chadema ni kosa kubwa sana tuna kizorotesha chama kwa mfano siku mwenyezi mungu amekupenda zaidi jibu ni hakuna chadema

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 16 днів тому

      Hapo ndipo inatakiwa kutengenezwa mipango ya chama kujitengenezea pesa chenyewe,,, Sababu mpaka sasa Mbowe anatumia sana pesa yake kwa kukisaidia chama na Amepoteza/ kunyang'anywa mali zake nyingi sana ili kudhoofisha chama ' Sababu magufuli alijua mbowe ni tajiri na akiona anataifishwa mali zake anaweza kujitoa kwenye Siasa, na hapo Chadema itadhoofika sababu watahitaji msaada mwingi toka serikalini, ili serikali Iwachomeke vikada wake ndani ya chadema kwa ajili ya kuiba siri za ndani ya chama na kuwapilelekea wao """ Wapo watu wenye uwezo wa kukisimamia Chama bila mbowe ila Uadilifu/ Uwazi na mifumo ya kujiingizia mapato ndio kinachotakiwa kabla ya mbowe kujiuzulu

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 12 днів тому

      Ni kweli maana hii ni mojawapo ya arguments upinzani ulikuwa unatumia wakati Bunge lilipotaka ikiwezekana Raisi Magufuli aongezewe muda kikatiba maana bila yeye hakuna mwingine wa kuiongoza nchi. Hizi ni arguments za kujenga tabia ya udikteta. Mbowe aonyeshe mfano wa kujenga tabia ari nia na uthubutu wa kung'atuka pale inaonyesha ishara za nyakati zinahitaji mabadiliko. Kung'ang'ania madarakani wakati mtu amekaa humo miaka 20+ sio busara nzuri ktk uongozi na ktk ujenzi wa demokrasia.

  • @miccashilla791
    @miccashilla791 18 днів тому +1

    Excellent

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 18 днів тому +7

    Hilo zee linang'ang'ania halina fact limejaa unafiki

  • @CostarbatoniMwaleleka
    @CostarbatoniMwaleleka 6 годин тому

    Lissu lissu

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 17 днів тому +1

    Mbowe ataiua chadema maana anatamaa sanaa

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 18 днів тому +9

    Mbowe sio binadam wa kawaida ata aibu hana mshenzi cnaaa atumtaki kashatajirika mchumia tumbo mbowe

  • @IlalioMbunju-hv7kw
    @IlalioMbunju-hv7kw 18 днів тому

    Mwenyekiti hakuna anayekupongeza kwa kazi uliyofanya nadhani unajifunga mwenyewe huna mbunge, diwani na wenye viti, sasa kunahaja gani kuendelea kuwa kiongozi, pole sana

  • @MkuuKimaro
    @MkuuKimaro 18 днів тому +1

    Kabisa

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye 18 днів тому +1

    Kwa kweli Lisu ni mbinafsi na mtaka madaraka na. tamaa ya madaraka Mbowe kamwachia kugombea urais mara mbili na ameshindwa kupata urais kwa kweli Mbowe ni muungwana sana na ana Busara sana na una uwezo sana

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 18 днів тому

      Kagombea urais mara moja bhn sio mbili

    • @PhillyAmbilikile
      @PhillyAmbilikile 18 днів тому

      Kwani yeye alikatazwa kugombea uraisi? Wewe mwenyewe huna hoja jifunze kuelewa demokrasia inataka Nini 😂😂😂

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 17 днів тому

    Mheshimiwa Freeman Ekael Mbowe ukishinda uenyekiti utakuwa rasmi umeuwa chadema staafu kwa heshima ndio demokrasia achia mawazo mapya wakisukume chama kisonge mbele

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 7 днів тому

    Lisu akisepa na sisi tunasepa maana huna mvuto ushawishi

  • @BarakaJohnNdaisaba-bk3nv
    @BarakaJohnNdaisaba-bk3nv 18 днів тому

    Kiukwel hatamim nakpenda cna mbowe mwenyekit wangu ila sikutegemea Kama utarudia kugombea niliwaza kwamoyo mkujufu ungemuachia tundu lisu lakin kwahicho ulichofanya nimeumia tena nimejeruhika kuona makamanda naowategemea kupambana wenyewe kwawenyewe imeniuma hapo hekima haijatumika kwel nimeamin pesa mbele sivingnevo

  • @SalimMshihiri-g9d
    @SalimMshihiri-g9d День тому

    Ukihama chama uta muambiaje baba mkwe muambie aka muombe mzee mtei lizaa

  • @yonagreen1605
    @yonagreen1605 2 дні тому

    Mbowe ukishinda wanachama wengi awata piga kula tena achia madalaka

  • @kisokimhagama9526
    @kisokimhagama9526 14 днів тому

    Mbowe ana Hekima kuliko Majeruhi

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 18 днів тому +8

    Hoja za Mbowe kusema wenyeviti waliotangulia Mtei na Makani waliondoka kwenye kiti wakiwa na umri mkubwa hiyo siyo Katiba na ni mtazamo potofu.

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 17 днів тому

    Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe , mbowe is the best na ndye mwenyekiti aliye kiongoza chama cha chadema kwa mafanikio makubwa haswaa

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 18 днів тому +4

    Bora kusikiliza holiday ya Simba kuliko kusikiliza ugaigai huu

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 3 дні тому

    Nimegundua Lissu akishinda chadema haitashiriki kwenye uchaguzi mkuu,ila Mbowe akishinda, chadema itashiriki uchaguzi mkuu

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 13 днів тому +1

    Tumemchoka aende zake

  • @joshjoackimjacksonkisoso2914
    @joshjoackimjacksonkisoso2914 18 днів тому +4

    Mbowe kazingua sana

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 18 днів тому

    Umsema vema=maisha hayana mwamana=

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 7 днів тому

    Shindwa

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 18 днів тому +2

    Mlafi wa madaraka

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 2 дні тому

    Eh!! Hiki ni Kichwa

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 18 днів тому +1

    TUVUSHE MWAMBAA TUVUSHEEEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ❤❤❤ ✌✌✌.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 18 днів тому +2

    Ulisema ugombei tena sasa leo unasema unagombea tena duh.

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 18 днів тому

    Umejibu kwa hasira sana ilo swali juu ya pesa........itakuwa linaukweli?

  • @PaschalBoi-z8h
    @PaschalBoi-z8h 17 днів тому

    Mpishe lisu achukue uenykt nakuomba mbowe

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 18 днів тому +2

    ungejiondoa usingekashifiwa hivyo vumilia maswali ulikuwa tajir wa ndani na nje si ukae uwe mwanachama wa kawaida ukabidhi kijiti vumilia maswali usikasilike

  • @VictoraloyceIsaya
    @VictoraloyceIsaya 18 днів тому +3

    Kupitia wew nimechukia chadema mbowe ovyooo

  • @ojmang6505
    @ojmang6505 10 днів тому

    Akipita mbowe mi najivua uongozi na yeyote asiniulize nikwanini nimejivua tumejinyima kula tumeshinda njaaa tumetoa michango yetu Kwa ajili ya chama nawengine tumepoteza Mali zetu tumefilisika Kwa ajili ya chama ombi langu tumchague mh Tundu lisu Kwa maslahi mapana ya chama chetu bila shaka chama chetu kinataka mabadiliko

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 18 днів тому +3

    Ivi Bila kumtaja taja magufuli uwaga hamjisikii raha kbs yan

    • @MaikoRashku
      @MaikoRashku 18 днів тому

      Hilo li jpm lilikuwa dictator ndio maana Kila muda wanalitaja

    • @mwanagwakyala3213
      @mwanagwakyala3213 18 днів тому

      mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe ,waache wakichoka wataacha

    • @MaikoRashku
      @MaikoRashku 18 днів тому

      @mwanagwakyala3213 sio Kila mti unawo pigwa mawe una matunda, wakati mwingine Kuna nyoka juu ya huwo mti

  • @GloryJosephMosiyoka
    @GloryJosephMosiyoka 18 днів тому +1

    Demokrasia ipi wakati unang'ang'ania madaraka, achia nafasi uone na wengine watakuja na mbinu gani mpya kuendeleza chama, muhimu ni chama kusonga mbele,mimi nakuomba na ninakushauri pumzika kwasasa,kama ni kusudi la Mungu urudi kuwa mwenyekiti ni sawa, na kama siyo kusudi la Mungu, usije lalamika baada ya kushindwa kwenye uchaguzi mana kura ndo zitaamua,nawatakia uchaguzi mwema

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 17 днів тому

    Tanaimani na mbowe ndio maana bado ni wanachama wa cdm

  • @evelina9621
    @evelina9621 6 годин тому

    Ngekuwa.mbowe.ngesema.basi.kila.amtu.amsaidia.hikichama.hata.wanawasaidia.ww.mwenyewe.usingeweza.achia.ngaziwengi.wamekuwa.vingozi.muda.umefika.kula.matunda

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 15 годин тому

    Kugombea ni usaliti kumbe , mimi kilaza sikujua !

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m 18 днів тому

    Hakika Mh. Mbowe ni mkweli sio mbabaishaji ni hazina yetu kubwa ya chama.

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 18 днів тому +3

    Kustaafu na kushindwa ni mambo mawili tofauti ukishindwa hiyo hadhi ya kustaafu hunayo.
    Usipogombea hapo itakuwa umestaafu

  • @ojmang6505
    @ojmang6505 10 днів тому

    Kama viongozi wa Chadema tunang'ang'ania madalaka Bado hatujawa tayari kuchukua Dola Bali tumejipanga kushindikiza ccm kubaki madalakani maana demokrasia haipo Tena na tunakwenda kukiua chapa ccm endeleeni kupeta kuupiga mwingi mama Samia saafiiii safi saaanaaaaas

  • @CLEMENTNDOLE
    @CLEMENTNDOLE 18 днів тому

    Nakupa kongole mwenyekiti kwa jibu lako la swali la kwanza.

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 18 днів тому

    Lisu jiandae kwenda act wazalendo

  • @joshjoackimjacksonkisoso2914
    @joshjoackimjacksonkisoso2914 18 днів тому

    Staafu sasa

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 День тому

    Ccm wanaenda kushinda kirahisi yani nyie mshatawanyika goli la mkono kwa ccm😂😂😂

  • @samwelyesaya1202
    @samwelyesaya1202 18 днів тому +1

    Kapumzike inatosha kwa yale yote uliyoyafanya ukifanya hivyo tutakukumbuka na kukuheshimu

  • @siaralomayan
    @siaralomayan 18 днів тому +3

    Mzee,una uchu wa madaraka, miaka zaidi ya 20 haikutoshi?

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 16 днів тому

      Angekuwa na Uchu wa Madaraka asingekuwa anawaachia wengine ndio wagombanie Uraisi,,, ila anajua mipango ya Siasa chafu,, wengi wanadhani Siasa ni Ulimi mtamu wa kuzungumza na kujitia unyonge ili update huruma ya Watu""" Awajui wasiasa wajivisha ngozi ya mbuzi kumbe ndani ni Mamba "" na wana nia chafu ambayo wengi wetu atuwezi jua. Mpaka wakipata hio chance wakaanza kukigawa chama kidogo kidogo ndio mnakuja kuwaka kuwa alikuwa kibaraka tu kachomekwa kuua chama

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 18 днів тому

    Kuchunga na kulea chama ,ni kazi ya mchungaji Mbowe.
    Uinjilisti wa kuweka uelewa ndani ya vichwa vya watu ni lissu .
    Chama kilelewe na M/kiti Mbowe.
    Elimu iendelee kutolewa na Lissu.

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 18 днів тому +1

    Haufai hata kua kiongozi nilisha wahi kukukubari hapo kitambo kipindi kile mwanakotide aliwafanyia kazi nzuri saaana lakini mwisho wa siku mkamtupa Nini mlimfaanyia zitto na dactari slaa ,lisu ndio habari ya tz

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 18 днів тому

    Tatizo Unapenda Cheo Si huwaachie wenzio.

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 18 днів тому +4

    Lisu ajipange kuhama au kupigwa na kuzushiwa kama engine

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 18 днів тому +1

    Hilo ni swaliiiiii au maelezo ya umbeya

  • @GeraldMuhina
    @GeraldMuhina 13 днів тому

    Wachoko 2:21 nonzi

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 18 днів тому +1

    Kijasho kinakutoka cha aibu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 18 днів тому +7

    Mbowe sikiliza ushauri wa wachache usishupaze.. shingo

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 17 днів тому

    Tunakuombea baba ushinde uenyekiti na mwaka 2025 ugombee urais mbowe unafaa kuiongoza nchi hii na unafaa baba

  • @SystematicSolutions
    @SystematicSolutions 11 днів тому

    Uenyekiti wa Taifa ni ngazi ya juu sana inahitaji kichwa chenye mikakati ya maendeleo, hekima na kuweka watu kwa pqmoja, sio kichwa chenye kelele tu kukashifu wenzako tena bila ushahidi thabiti ni huleta mgawanyiko ndani ya chams.

  • @joshjoackimjacksonkisoso2914
    @joshjoackimjacksonkisoso2914 18 днів тому

    Mahakama za magufuli au za samia

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 17 днів тому

    Hivi kweli Chama kilichonania ya kuongoza nchi hata Mike na speaker mnashindwa kurekebisha afu mnasema mko makini kweli, hata Mwijaku anawazidi kuandaa Press, inasikitisha sana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 15 днів тому

    SASA CHAMA CHAKUCHUKUWA PESA ZA WAFANYA BIASHARA WA KENYA KITATUSAIDIA WATANZANIA AU MADINI YETU YATAHAMISHIWA KENYA NA MLIMA WETU UTAFAIDISHA KENYA .....? WAFANYA BIASHARA WA KENYA MMEKUBALIANANAO VIPI KUHUSU KUPATA PESA ZAO WANAZOWAPA KAMA CHAMA ..... JE KWAO KENYA WANASAIDIA PIA UPINZANI ?

  • @NadirOmar-et9yc
    @NadirOmar-et9yc 2 дні тому

    mbona mweshimiwa anatoka jasho

  • @khalfannahayimbekwa1440
    @khalfannahayimbekwa1440 18 днів тому +1

    Embu twendeni na history fupi tu ya Tundu lissu katika kugombea Rais wa nchi Marra mbili km Mwenyekiti mbowe angekuwa mbabe angeruhusu Acheni visingizio mbowe ni muungwana kutupeleka miaka mitano ulizoahidi,

    • @PhillyAmbilikile
      @PhillyAmbilikile 18 днів тому

      Hana uwezo uyo lisu ana nguvu sana 😂😂😂 umetanguliza hisia kuliko hoja kwani uraisi Kuna aliyekatazwa

    • @dicksonrweyemamu4070
      @dicksonrweyemamu4070 17 днів тому

      Lissu aligombea Urais mara mbili mwaka gani na mwaka gani? Ebu taja.

  • @JohnValle-xn1dx
    @JohnValle-xn1dx 18 днів тому +2

    Hiki chama kitakufa kwadababu ya tamaa za huyu jamaa

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 18 днів тому +1

    Naona wengi wanacoment vibaya lakin hamjui kuna kupiga kura kwani siwanapiga kura kumchagua mtu wake

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 18 днів тому +1

    Huyo mzee apumzike anatuchosha

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale 18 днів тому +1

    mbowe hata hivyo maic haikutaki ona inavyokoloma ondoka hatukutaki na chawa wako wenye maswali ya kuuliza umbeya

  • @bakarikimea4711
    @bakarikimea4711 16 днів тому

    CHADEMA MCHAGUENI LISU ATAWAOKOA HUYU MWAMBA SIASA SANA

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 12 днів тому

    Kama unaandaa viongozi basi ngatuka kama baba wa taifa alivyofanya. Onyesha mfano Mzee. Unaheshimika sana. Achana na Wapambe wanakuharibia Mzee Mbowe

  • @madegezakayo3232
    @madegezakayo3232 18 днів тому

    Hizo mike zinaumiza

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 18 днів тому +1

    Mbona inatumika nguvu kubwa kutafuta uenyekiti kuna nini humo

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u 18 днів тому +1

    Haya wapeni nchi hao

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 18 днів тому

    Katika watu waliotajirika na CHADEMA ni huyu, cha kwanza a aona CHADEMA ni chama chake kwakuwa ye ndo mwanzolishi, sio chama cha wananchi,
    Ni kama mchungaji kuona hella zote za kanisa ni Zake

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 17 днів тому

    Sauti ya busara na nidhamu

  • @FutiweloMwamlima
    @FutiweloMwamlima 13 днів тому

    Mbowe nenda nawakati acha kung,Ang,ania

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli 18 днів тому +1

    Akina zitto nawapongeza hiki siyo chama cha siasa

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli 18 днів тому +2

    Kumbe chadema hamna mpango wakuchukua nchi Kwa mpango huu

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 17 днів тому

    Mbowe muheshimiwa nakukubali sana na kura yangu utapata

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 18 днів тому

    Mbowe ameheshimika sana na kwa muda mrefu ila anaivunja heshima yake mwenyewe kwa kung'ang'ania madaraka

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 18 днів тому +4

    Mbowe ni muhuni kabisa,hafai tena kuongoza chama chetu kabisa😮😮

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 18 днів тому

    WALAFI WA KWA WALAFI ..MBOWE MLAFI WA MADARAKA LISSU MLAFI ..HAWA WATAUANA

  • @robertmkony5712
    @robertmkony5712 18 днів тому +1

    Nimegundua ukiwa mfanya biashara halafu mwanasiasa wa upinzani uwoga unatawala ukihofia kuhatarisha biashara zako. Hiyo inaonyesha wazi ukiwa mbali na biashara utakuwa mkweli bila woga.

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 18 днів тому +5

    Kazi.yako mbowe sio mbaya ira kua.mshauri kaa pembeni kidogo kaka au pesa ya mama.abduli za moto zinakuunguza

  • @ADAMHENDRY-c3w
    @ADAMHENDRY-c3w День тому

    MBOWE YUKO SAWA KABISA! KINACHOTAFUTWA NI KUIVURUGA CHADEMA, NA LISU NA WENZAKE INAEZEKANA WASHADAKA, KWENYE HUU MCHEZO WAKO WENGI" WALIO NDANI NA WALIO NJE "CCM"

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 18 днів тому

    Hella za CHADEMA ulikuwa unapeleka wapi, Kwann Donation pekee ndo zilikuwa zinaendesha Chama

  • @deogratiasmanyanda-qr2oc
    @deogratiasmanyanda-qr2oc 17 днів тому

    mbowe nakukubali san lkn ungemuachia lisu umekuwa mwenyekt miaka zaid ya 20 bado unataka tu kwel?

  • @1stladyafrica402
    @1stladyafrica402 18 днів тому

    Huna mbunge hata mmoja,huna diwani hata mmoja,huna mwenyekiti serikali ya mtaa hata mmoja ,na bado unataka uenyekiti ulete mabadiliko

  • @eliahmwakibolwa4516
    @eliahmwakibolwa4516 18 днів тому

    Ongea habari zako na Akina Lissu, usijisifananishe na Magufuli wewe huoni hata aibu, waachie wenzako nao wale, kwani chama hicho ukoo wako