Ee Mungu naomba unipe hekima na kibali chako, nami kwa nguvu yako niugeuze moyo wa mume wangu nae akujue wewe Mungu wa kweli na kukukiri wewe kuwa Bwana na mwaokozi wa maisha yake.
Watching from Germany. I’m blessed by your preaching. Unfortunately I cannot understand all the words you are preaching but picking some and I’m touched by the little I get. Please is there a possibility of an English translator??? Please. Thanks ok Servant of God for your word
Jee yesu wa ukweli ni yupi cz mimi nilipata kimuota kwa ndoto,na nilikua napitia kipindi kigumu,ila hii njozi iliponipita kuna baraka nilizipata ,jee alikua sio yesu,mmmh nimetatizika
Mungu wa mahali hapa kaniinua sana❤
Ubarikiwe sana kwa maneno mazuri
Ee Mungu naomba unipe hekima na kibali chako, nami kwa nguvu yako niugeuze moyo wa mume wangu nae akujue wewe Mungu wa kweli na kukukiri wewe kuwa Bwana na mwaokozi wa maisha yake.
Amen from your mouth to God's ear
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa somo la uzima
Mungu naomba uwepo wako uandamane nami kila mara,, niwe na moyo wa kusamehe,,,, nilitukuze Yesu pekee ,,, Ahsante kwa mafunzo mema,,, kutoka 🇰🇪🇰🇪
Mungu wambinguni akutunze mtumishi wa Mungu ❤❤❤
Amen mtumishi lnocent umenibadilisha sana nilikua naelekea anguko nasema mungu akwinuea kufika mbali
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏 bila wewe mungu wangu siezi lolote Wewe ni kilakitu kwangu
Hakika mtumishi wa Mungu,endelea kutujenga kwa neno la uzima,Leo nimejifunza mengi kupitia somo lako,barikiwa mno.
Asante sana mtumishi kwa hilo neno la mungu hakika mungu amezumgumza nami🙏🏽
Emwenyenzi mungu Nina omba neema nzako nabaraka nzako unipatiemtu aliye sahihi katika maishayangu anae wenzakunitunza mm nafamiliya yangu Amina🙏
Asante sana kwa mafundiso mazuri may God bless you too
Mungu awakinge wote wanaosikia neno n'a kumuweka kwanza kwa nafasi ya mabadiliko.
Ee Bwana Yesu naomba uwatunze watoto wangu waliotoka kwenye kiuno changu na uovu wa kila namna kwa jina la Yesu ,amina
AMEEN MKUBWA
Namshukuru Mungu kuniongoza kukutana na mtumishi wa Mungu, kuna jambo jipya limefanyika kwangu!
Ameen Ameen msaada wangu u katika Bwana
Hakika mtumishi ,wangu ,umenifumbua mengi,na umenifunza mengi ,,yaani nimefrahi kwa mafunzo Yako ,Mungu akutunze mtumishi wangu,🙏
Eeeh mungu nawomba nipe kibal na hekima yakuwomba ipasavyo
Amina mtumishi mungu azidi kuku inua zaidi unafundisha neno lillilobeba nguvu za mungu
Ameeeeeeen ameeeen ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa MUNGU kwa somo nzuri sanaaa
Ameen ameeen
Mafundisho mazuri mnoo 👏🥰 nabarikiwa sana mtumishi. Bwana Mungu azidi kukutumia kutulisha Neno lake.
Amina mtumishi neno limenichoma tujitafakari kwa mahubiri haya
Thank you Jesus nimejafuza kitu leo
Amen 🙏🙏
Mungu wa Amani akubariki.....
Eeeh mwenyewezi mungu nifanye nikujue wewe zaid niepushe na miungu mingine nisafishe nafs yangu nikujue wewe zaid na kukuwaza wewe zaid yaliyo mabaya yote yasinipate mim nibariki zaid na zaid unipe neno la kilisito nimushinde shetani nipe macho nione yes balaka zinifuate daima pia mbaliki anaesoma komenti hii 🙏🙏🙏
Amen
Glory glory to the lord
Na kufuatilia Sana Mungu akubariki
Ubarikiwe sana tena sana bwana akakuongezee maisha marefu roho mtakatifu ajaee ndani yako na azidi kuyafunuwa mengi ili tufamikishwe
Ameen Ameen mtumishi kwa neno zuri sana.
Amina sana, nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor nilikuwa mchanga sana kwenye imani ila najiona nikizidi kukua siku hadi siku
Nmekuelewa sana Mtumishi.Mungu wa Mbingu na Nchi akubariki sana.
HALLELUYA HALLELUYA HALLELUYA
Amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Naomba kibali chako Mungu
Ubarikiwe mtumishi Mungu azidi kukutumia
Ameeen pasta ubarikiwe sana tena zaidi ya sana Mungu naomba usome nikujue ww
Barìkiwa mutumishi nabarikiwa sana mm ameni ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kiukweli mungu akubariki Sana Sana pastor 🙏🙏Asante Sana kwa mafundisho haya na maombi haya ameen
Amena mutumishi wamungu❤❤❤❤
Mungu akubariki
Amen 🙏. Asante Mtumishi kwa neno la Mungu. Uzidi kubarikiwa.
Ameen
Ubarikiwe pia
Eee Mungu nifanye nikujue wewe pekee yako
Nimebarikiwa sana mtumishi
Ameeen
Amen nimebarikiwa MUNGu akutunze sana mtumishi wa MUNGu
Ameen
Amen Amen Asante Bwana Yesu kwa neno lako
Na kama umeolewa na mwislamu na anataka kubadikika kua mkristo ni vyema mtumishi wa mungu
Watching from Germany. I’m blessed by your preaching. Unfortunately I cannot understand all the words you are preaching but picking some and I’m touched by the little I get. Please is there a possibility of an English translator??? Please. Thanks ok Servant of God for your word
Use UA-cam subtitle on your settings
Asante mtumichi mungu akuongezee
Walikuwa sana kwa neno unanitia nguvu
Ameen Ameen
Nimebarikiwa sana na somo hilli
Namtukuza Mungu wa mbinguni kwa neno hili alilokufunulia mtumishi wa Mungu.
Ameen
Amen mtumishi ubarikiwe sana🙏🙏
Amen mtumishi wa Mungu 🙏
🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi
Ameen
Amen amen
Amene ❤❤❤❤❤
Glory be to God 🙏
Glory to God,pastor unafundisha vizuri nabarikiwa sana
Ameen ameeen. Utukufu kwa Yesu Kristo
Ameen 🙏
Amené
Amen. Amen..
hili kanisa liko wapi
Amina
🙏🙏🙏
Simu simu ni miungi naishindwe
Jee yesu wa ukweli ni yupi cz mimi nilipata kimuota kwa ndoto,na nilikua napitia kipindi kigumu,ila hii njozi iliponipita kuna baraka nilizipata ,jee alikua sio yesu,mmmh nimetatizika
Usiwe tomaso roho wamungu akijifunua kwako utayaona mambo mema nakama niadui unaharibikiwa
Ameni ❤❤❤
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏