Wanawake wanao kujifanya expensive wanapata mtu km huyu😂😂😂😂😂😂😂🇬🇧 anamsifu kisha nyumbani anamfanyia tofauti. Mtt wa wenyewe anaumia 😢😢😢😢 km ana shari na diva wetu mungu amnusuru❤❤😢😢
Nimefurahi alivyojishusha na nimeumia alivolalamika kuhusu rose kuwa anapata faraja akipewa mana anaona kama amefarijiwa na mama ake mana ni jina la mama ake.
Lkn diva inatakiwa akuwe kwa kweli sasa mauwa yatamfanya nn ndoa ina mambo mengi lazima apige moyo konde mambo yaende mbele tumo kwenye ndoa miaka 27 kwenye ndoa ata sikumbuki lini nimepewa zawadi kila kitu najifanyia mwenyewe unashukuru tu umepata wa kukikidhi haja zako Alhamdulilah
Mi nishsmuelew uyu kaka nishafahamu diva ndio alielikoroga hakupaswa kuchukua maamuz ya kuolewa maisha ya diva na huyu kaka ni vitu viwil tofaut diva anatak penzi la huyu kaka wanapendana life style ndo panamtihan
Huyu mwanaume hayuko na mapenzi ya kweli naye he just pretend tu kwa ajili ya manufaa yake diva she is going real had to him diva walk away dear love you mwanamke mwenzangu, hakuna kitu vibaya kama mtu ku pretend kukujali mbele ya watu but ndani ni fofauti ni mabaya sana huyu kaka ni muongo ata ongea yake na pia ni binafsi na dharau juu eti ni sheik mmmh 😂😂😂
Wewe na Divah wote akili hamna, huyo Kaka hana mapenzi na Diva yuko kwaajili ya kumtumia, Mwanaume hamtunzi yuko kazi kumdhalilisha tu na hamuachi Divah mpk atimize malengo yake, anakula bure anakaa bure na kashajua udhaifu wa mkewe 🤣 kuomba msamaha tu kidogo kalegea looh wakt linamdhalilisha kila siku, et wanaume wote wako hivyo hyo mentality sijui mnatoa wapi
@@LeeLian95kweli kabisa huyu mwanaume ni tapeli anamtumia tu huyo diva. Na huyo diva since hajapata upendo tangu akiwa mtoto ndo kaangukia kwa huyo tapeli
Nimecheka mimi dah!🤣🤣 kwa ndoa gani sasa ya kupigwa vita. It's official hawa ni Mr& Mrs. Delulu yaani wamekutana full kujiongopea,kuongopea watu na kuongopeana wenyewe............
Like for real wabongo wanapenda sana Kiki jamaniii hamuwezo kuishi in reality life izi Kiki zitawafikisha wapi? At the end of the day hizi Kiki za kijinga zitakuja kuwa cost 😂😂
🤣😂🤣Kwa Nini Alikimbia kutompeleka wife fake Zanzibar Kwa Valentine day ???kumbe umepona Na kuja studio🤣😂🤣😂Uliishiwa pesa Ustadh? Au Wife namba two Alikukatazaaaa🤣😂🤣🥳🥳🥳🥳Diva kaingia choo cha wastadhi atadata Divaaaa😏😏
Nanyie mnaependa umaarufu nakujikuta mnaoa mastaa ndio hyo yanawatokea puani.Heshma inashuka,Matokeo yke unatumia nguvu nyingi kujielezea.Hya sasa mwishoe nihyo
Wewee akipata mimba ikifika miezi 3 ashonwe zikibaki Wiki 2 kujifungua nyuzi inatolewa anazaa hii niifanya kwa mtt wangu wa kwanza na sasa ana 14yrs lkni ilikuwa south Africa sasa dola elfu 5 kwa nyumba akajitibu apate mtt wake
Hapo pa familia yake diva una wazimu. Wewe mke tuu leo ana wewe kesho ana mwengine, familia yake ndio muhimu daima ataishi nayo ukipenda usipende. Usilete fitna
Apo matapeli wawili Wana mfaidisha shekhe mansuri.wanauza utu wao,alafu huyu jamaa ni kama juisi ya miwa tu hata ikitiwa limau ndimu tangawizi haichachuki
Wanawake wana masimango sana hata akikusaidia 100 tu atasema milioni ..Mimi nikioa lazima mwanamke aje kwangu si kwake pumbavu kabisa ..Nikuishi nao kwa akiri sana hawa viumbe 😂😂
I feel sorry for diva kwa kwl hapa hakuna mwanaume 😭🙌ruuuuun
Mtoto ni maajaliwa ya mungu sio sisi binaadamu acheni hayo masuali
Diva maskin hata hana makuu huyu mume tuu sie 😢
Wanawake wanao kujifanya expensive wanapata mtu km huyu😂😂😂😂😂😂😂🇬🇧 anamsifu kisha nyumbani anamfanyia tofauti. Mtt wa wenyewe anaumia 😢😢😢😢 km ana shari na diva wetu mungu amnusuru❤❤😢😢
😂😂
Shehe mchawi 😂😂😂,
Amerogwa
@user-gj2mm3ko8m anerogwa. Anam ogelesha loving in social media reality anataka akae maid . Allah amsaidie Diva rehana 🥺🥺
@@firdaussheikh4817 😁😁
He will never change
Razaq kidume MA Sha Allah
Iwe funzo kwa wengine mana mnachezea wanawake sana acha Diva amnyooshe na usheikh wake I love u Diva
Diva ukija kustuka ni too late . Umeolewa na tapeli wa kimataifa
Shekhe tapeli namba moja
Wewe namba mbili
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂hata ongea yke ya mchongo mchongo😂😂utapel mtupu hpa tumepigwa😂😂😂
@@aishaarusha894, 🤪🤪🤪, Aisha namba 3
🤗🤗🤗🤗🤗
love you diva respect.....lady
Shehk uko vizuri nakuelewa sanaaa😊
Na bado hajaeleweka acha anyooshwe anamletea Diva ufuska wake hapa, love u Diva
NYIE WATU MNAPENDANA SANA ,DIVA NA ABDUL❤❤❤ PENDA SANA NYIE.
😂WAO,DIVA SO MCH LOVE FOR U CC❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤SO BRIGHT,INTELLIGENT AND TOO BLESSED SISTER!LOVE FRM THE OTHERSIDE,here Malawi🎉🎉
Uyo shekh amekomaa sana kiakili.
Leo Wasafi mtakoma mliyataka wenyewe😂😂
BIG LAIR
Hta ma-King of love ❤wanasumbuliwa na mapenzi
😂😂😂😂😂 ni shida
Tena Hawa ndio wananyooshwa hasa 😂
Namuelews sana diva anayopitia ki kweli
Diva kiukweli unampenda sana mumeo safi sana ❤
Wa nje wa ndani no no Anajifanya anaswali na anazinii kweli mpaka wafanyakazi analala nao, diva should move on
Allah awaondoshee tofauti inshallah
Usithubutu kuolewa namganga kuachana mpaka atake
@@leaherasto929 wew mpuuz umenichekesha 😅😅
😂😂Yani hapa Diva umepigwa na kitu Kizito,Yani umeolewa na Bluetooth! Huyu ni hatari! Jamaa anaongea mpk hata anapoteza ladha ya kuwa mwanaume
Eti Bluetooth
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
This was more than a HOLLYWOOD MOVIE….DAMN!!!! 🥵🥹🙌🏽
😅😅😅😅
This guy is intelligent upstairs. Though ni tapeli wa mapenzi.
Nimefurahi alivyojishusha na nimeumia alivolalamika kuhusu rose kuwa anapata faraja akipewa mana anaona kama amefarijiwa na mama ake mana ni jina la mama ake.
Aisee dunia ina watu😂huyu kaka anaongea kwa confidence as if he has sense
😂😂😂😂😂😂😂
While he is nonsense 😂😂😂😂
Uyu mwanaume mkimuona wanawake mpitien mbali hafai aisee😊😊😊😊😊
Toa sababu
Dive anafa
It’s ommy with dang dang dang for me 😂😂😂
Yan ananiboa 😂😂😂😂
Utaskia okee oyeee 😂😂😂🙌
Mm Usthi Adully nakuelewa sana hao W/ wke hao tuwe nao walicho pewa N Mungu hakiwatoshi ,utampa nn au utafany nn Aridhike hyo😊🎉
Mtangazaji: mlisolve vip??
Shekhe:Alitembea😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Abdul yuko vizuri kabisa
Unajitahidi sana kumuelewa mke wako na kujaribu kumtetea kama mke, safi sana.
Lakn lmke lenyewe tahira
Uyu kaka namwelewa sana lkn mke ndo mtihani
We usinidanganye hawa wote na mkewe wanatuvuruga...ni majipu...ndio maana huyu anakimbiliaga kucheat
Lkn diva inatakiwa akuwe kwa kweli sasa mauwa yatamfanya nn ndoa ina mambo mengi lazima apige moyo konde mambo yaende mbele tumo kwenye ndoa miaka 27 kwenye ndoa ata sikumbuki lini nimepewa zawadi kila kitu najifanyia mwenyewe unashukuru tu umepata wa kukikidhi haja zako Alhamdulilah
Hongera
Hongera mwayaa maana kiukweli huu ndo uhalisia wa maisha ya wanawake wengi diva siyo mwanamke ni binti
Nimemskiliza diva kwa makin sana diva mkweli sana
Uyu jamaa ni kiboko😂😂😂❤
Haloooooh hatariii na nusuu tupe ubuyu baba😂😂
Ni mepends Aya mazungumzo😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤adi rahaaa
Mi nishsmuelew uyu kaka nishafahamu diva ndio alielikoroga hakupaswa kuchukua maamuz ya kuolewa maisha ya diva na huyu kaka ni vitu viwil tofaut diva anatak penzi la huyu kaka wanapendana life style ndo panamtihan
Huyu kaka ukimdifia tu Anakuomba picha akuone na anataka kukuoa😅😅😅
Huyuu kaka ni msanii sana loooh hakuna mume hapa
Na mke hapana apo
Kama wewe shehe mbona mke wako anavaa hovyo
Huyu mwanaume hayuko na mapenzi ya kweli naye he just pretend tu kwa ajili ya manufaa yake diva she is going real had to him diva walk away dear love you mwanamke mwenzangu, hakuna kitu vibaya kama mtu ku pretend kukujali mbele ya watu but ndani ni fofauti ni mabaya sana huyu kaka ni muongo ata ongea yake na pia ni binafsi na dharau juu eti ni sheik mmmh 😂😂😂
Dawa zake alizomroga amuoe imeisha 😂😂😂😂
Umeshaeleweka Dr.. Diva ni mke wako milele..
Sheikh WA mchongo muongo maskini diva huyu NDIOumepanga nyumba Juu anakutomba jamani?umerogwa😢😢😢Pole diva
Manshallah,napenda kuombwa msamaha namume,Alhamdulillah,diva ishike ndoa yako,wanaume wote ndio wako hivyo
Wewe na Divah wote akili hamna, huyo Kaka hana mapenzi na Diva yuko kwaajili ya kumtumia, Mwanaume hamtunzi yuko kazi kumdhalilisha tu na hamuachi Divah mpk atimize malengo yake, anakula bure anakaa bure na kashajua udhaifu wa mkewe 🤣 kuomba msamaha tu kidogo kalegea looh wakt linamdhalilisha kila siku, et wanaume wote wako hivyo hyo mentality sijui mnatoa wapi
@@LeeLian95asante nimecopy na kupaste hii comment yako
Sio wote
@@LeeLian95kweli kabisa huyu mwanaume ni tapeli anamtumia tu huyo diva. Na huyo diva since hajapata upendo tangu akiwa mtoto ndo kaangukia kwa huyo tapeli
@@LeeLian95wanaume wa hivi hawatoi talaka wanavyo penda kitonga 😅😅😅😅
Nimecheka mimi dah!🤣🤣 kwa ndoa gani sasa ya kupigwa vita. It's official hawa ni Mr& Mrs. Delulu yaani wamekutana full kujiongopea,kuongopea watu na kuongopeana wenyewe............
Sheikh gani huyu Masheikh wakina Othman Maalim, Nurden Kishki awache kujiita Sheikh anatufanya hatuijui Nyeusi na Nyeupe!
ww unalipwa ulivowafanyia wanawake wako wamwanzo ss baki uteseke na wao wanacheka saiv
Jamani mbona kuaibishana hvi 😢
Eti mtu analipa milioni5 kwa mwezi wakati hata kiwanja hana 😂 pumbavu zao lazima mfe masikini
Wamerogwa wasanii😂
Diva unashida pole diva pole sn hapo hakuna mtuuu hapo
Hahaha ila uyu sheikh anajua kupanga maneno😂😂😂😂😂😂
Huyu ni konk master hakuna anaemuweza atapangua maswali yote
Matapeli ndo wako hivyo wanakupa maneno kweli
Mungu ndio atawajalia
Like for real wabongo wanapenda sana Kiki jamaniii hamuwezo kuishi in reality life izi Kiki zitawafikisha wapi? At the end of the day hizi Kiki za kijinga zitakuja kuwa cost 😂😂
Mmh anaushekhe gan nae huyoo😂😂😂hovyoo we shekhe au shekhena 😂😂kwendraa huwez kuwa shaikh ww😅shekhe gn mkeo anavaa mawig anaogaje janaba km siouchafu,
Swadakta ukhtii
Uyuu bab ayukoo sw
Tanzania ina urithi mkubwa wa watu😂😂😂. Wasafi Leo mmeyakanya
😅😅😅huyu msanii shekhe ubwabwa huyu😂😂😂😂..kwanza atoe hiyo miwani bibie kasha mwambukiza
😂😂😂😂 na yeye ni diva 😂😂😂😂
Dah siri zote nje,kumbe Kuna siku sheikh alipaka maji akambandika bibie😢😢😢
😅😅😅😅😅
Ati mwanamke akija kwako lazima azae kwaiyo huitaji uwezo wa mungu alaf wajiita sheikh labda sheikh ukwaju
😂😂😂😂 sheikh ukwaju
🤣😂🤣Kwa Nini Alikimbia kutompeleka wife fake Zanzibar Kwa Valentine day ???kumbe umepona Na kuja studio🤣😂🤣😂Uliishiwa pesa Ustadh? Au Wife namba two Alikukatazaaaa🤣😂🤣🥳🥳🥳🥳Diva kaingia choo cha wastadhi atadata Divaaaa😏😏
pengine tatizo pesa kipindi kizito hichii
Tapeli jamaniii khaaah
Ukiona mtu anaongea na akimaliza anagongeana na mwenzake hvy kuna namna
Lazima atajijitea ila hyo jamaa nitapeli sana hawezi kubali but nitapeli yeye na diva wote wakora
Abdul anampenda xna mke wake..,lakin mke mwenyewe ako na mambo mengi xna
Nyie nimecheka sana diva unashida 😂😂
yani uyu kk ana taka diva awe wake milele
Huyu mjinga kwenye kujieleza, yuko vizuri
Ila Tapelin Daaah 😅😅😅😅
Unauhakika au umesikia?
😂😂
Mtihani tuu mtu wa sura zake elfu Mia kakutana na Babu ya Tapeli yani Diva hapa alijilidhalilisha sana !Mganga ndiii😂😂😂
Tena ndii..ndii...ndii...😅
SHE IS A LOT BROH MIMI NAKUELEWA😂
Diva tu aimes vraiment ton mari très propre à😂😂
He doesn't care haueleweki...
Shekhar anajua kumzungusha akili diva nahivi diva mwenyewe Hana akili ndio basi
Huyu jamaa kwa sie akili zetu timamu kwanza muongo then anaongea sana then ushekh sio dizaini hiyo huyu ni fake love period
Kimekonda ki Ustadh chetu😂
Dawa zinechuja tenaaa kwa divaa
Nanyie mnaependa umaarufu nakujikuta mnaoa mastaa ndio hyo yanawatokea puani.Heshma inashuka,Matokeo yke unatumia nguvu nyingi kujielezea.Hya sasa mwishoe nihyo
Diva mwenyewe analalamika kwa ajili yako sema tu nimefurahia unavomtetea
Huyu jamaa Ni mtu wa sifa sana😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 wamekutana
Mm naona Haina sababu ya kuzungumzia mahisiano yaliyo Kisha kuvunjika kweye mitandao
Wewee akipata mimba ikifika miezi 3 ashonwe zikibaki Wiki 2 kujifungua nyuzi inatolewa anazaa hii niifanya kwa mtt wangu wa kwanza na sasa ana 14yrs lkni ilikuwa south Africa sasa dola elfu 5 kwa nyumba akajitibu apate mtt wake
Hawashoni wanafunga
Muongo huyu bwana sana kaweka hata kitanda office yake akipata mwanake tu analala naye hapo akiulizwa anasema anapumzika yeye
Kwani kunashida gani akilelewa""guys yr attacking this man too much
Hapo pa familia yake diva una wazimu. Wewe mke tuu leo ana wewe kesho ana mwengine, familia yake ndio muhimu daima ataishi nayo ukipenda usipende. Usilete fitna
Apo matapeli wawili Wana mfaidisha shekhe mansuri.wanauza utu wao,alafu huyu jamaa ni kama juisi ya miwa tu hata ikitiwa limau ndimu tangawizi haichachuki
Wanawake wana masimango sana hata akikusaidia 100 tu atasema milioni ..Mimi nikioa lazima mwanamke aje kwangu si kwake pumbavu kabisa ..Nikuishi nao kwa akiri sana hawa viumbe 😂😂
Afu huyu dogo mnamfanya ajione mwambaaaaa nameno yake hayo km chochoro za wame 😅😅😅
Mmmh Shikamoo Mahusiano.
Nyie waandishi wa Habari ndio mnaketa unafiki maana mnauliza masuali ya undani
Uyu Jamaa ostaz ni muongo mbona amevaa miwani
Hawa wamekutana visoda😂😂
😂😂😂visoda vya bia😂😂
mganga amekwama kwa diva ajiwezi😂😂😂
Nchi ya hovyo sana ... Mpaka mambo ya ndoa yanaongelewa ktk radio tena mpaka jinsi ya tendo kenge nyie 😏
Shekhe unaongea kama unapigana agh tapeli wa taifa wewe 😂😂😂
Diva hana akili kweli
ANAMUHABISHA SANA MUME WAKE JAMANI
THE GUY KNOWS WANT HE WANTS , NA PIA MAISHA NI MAKUBALIANO KAMA WAMEKUBALIANA WENYEWE ITS 50/50 WAACHENI
We muongo bwana tena wa hali ya juuu😂😂😂
Waache Kiki wote ni wababaishaji diva akipotea mitandaoni anazua ishu ili azungumziwe. Tumewaxhoka
Diva mpaka akuue walahi! Nakuona km mwanaume na nusu walahi vile!
Huyu kaka nimuongosana
Uyo mwanamme anaropoka tu naye muongo hana ata aibu sifa ndo zake
Mauwa tu yanamtoa roho mtu 😂😂😂
Acha kadhalilisha ma sheikh zetu we ni muhuni tu
Kwa asie muelewa huyu kaka ata darasani alikuwa ziro yuko sasa Diva anapenda mambo makubwa
Huyu kaka muongo jamani kaah