Huyu n mtanzania mwenzetu lakini maisha yake anaishi lifestyle ya nje so kwetu tunashangaa coz our country ipo chini kwa hayo maisha ya kigeni en way mimi nampenda saaaaan ngazi ya juu
She is cute and delusional at the time and i like it 😂😂😂. Alafu i think we use this word celebrity very loosely to me she is just an influencer not a celebrity
@@marlonstudios4408 Yeah but kina kadarshians at least they are popular. Huyu mdada she is not that popular mm ndio kwanza nimemjua leo. Kim is hella famous so she is a celebrity to me
@@ikentertainment3145 sema wewe ndo ulikua humjui lakini usiseme sio popular… mbona tunamjua kitambo uyo sishkikii… lakini ni kweli sio maarufu sana na hii ni kutokana na tabia yake ya kuwa private… but ki celebrity wa kitambo sana uyo
@@marlonstudios4408kim is an influencer yeye na dada zake wote.. celebrity ni kina matt damon, will smith, lauren hill .. hao ndo celebs.. kibongo bongo celebrity ni kama diamond na kina navy kenzo.. influencer ni kina hamisa mobetto, karen bujulu, sarahbgoya.. influencers are famous for being famous.. celebrities usually have some kind of reputation thing they’re known for
Huyu n mtanzania mwenzetu lakini maisha yake anaishi lifestyle ya nje so kwetu tunashangaa coz our country ipo chini kwa hayo maisha ya kigeni en way mimi nampenda saaaaan ngazi ya juu
Iko beg nimelisearch ni 60$😂😂🤣🤣🤣uyu demu kavuta shisha Tena lakijamaika 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@@mwaminishakalili4120quality tu… zina tofautiana quality tu
@@mwaminishakalili4120😂😂
@@mwaminishakalili4120😂😂😂😂😂
Me nampenda sishkiki😍😍😍😍😍😍😍kawazidi kila kitu nyie watangazaji wadada, Kwahiyo tulieni tuu
😂😂😂💔…… i wanted to control my self from commenting ila nimeshindwa…. Aaliyah, ananichekesha. The reaction is priceless😂😂😂😂😂😂
Mdada mzuriiii
The girl is nice and exquisite i like her❤
She is cute and delusional at the time and i like it 😂😂😂. Alafu i think we use this word celebrity very loosely to me she is just an influencer not a celebrity
Ni celebrity tu… kama venyewe mbele wanao wa kina kardashian
@@marlonstudios4408 Yeah but kina kadarshians at least they are popular. Huyu mdada she is not that popular mm ndio kwanza nimemjua leo. Kim is hella famous so she is a celebrity to me
@@ikentertainment3145 sema wewe ndo ulikua humjui lakini usiseme sio popular… mbona tunamjua kitambo uyo sishkikii… lakini ni kweli sio maarufu sana na hii ni kutokana na tabia yake ya kuwa private… but ki celebrity wa kitambo sana uyo
@@ikentertainment3145wewe ndiyo ulikuwa humjui ila anajulikana sana tuu
@@marlonstudios4408kim is an influencer yeye na dada zake wote.. celebrity ni kina matt damon, will smith, lauren hill .. hao ndo celebs.. kibongo bongo celebrity ni kama diamond na kina navy kenzo.. influencer ni kina hamisa mobetto, karen bujulu, sarahbgoya.. influencers are famous for being famous.. celebrities usually have some kind of reputation thing they’re known for
Aliya nimrembooo sanaa ❤❤❤
Niko nacheka hawo watangazaji wa kike endeleeni kutulia tuuu yaani tulieni tuuu mjambishwe😂😂😂😂😂 si mumeamua kumuita
Mzuri eti chini ananukia chocolate 😅
Mungu wajalie hao wadada, tujalie na sisi tuweze kulive our lives🙏🥰🥲
yani Aliyah kachoka adi kukaaa awezi
Mlembo kweli
hii intavyuu halia mmepiga za uso yani hana anacho elewa
Interview la kibabe sanaa
Kqbisq😊❤
MZEE YUSUPH😂😢
Si mumemuita😂😂😂 acha awanyooshe mubaki mmeduwaa
Yani Aliya kachoka yuko hoi
Aaliyah haelewi😂😂😂😂
Watu wanalalamika sijui anatumia hela vibaya. Sasa mlitaka awaambie hatumii hela na nyie ndiyo mumemuuliza?
Sasa sishki hutaki tumbo, sasa ukija kujifungua itakuaje? Au huyajifungua?
Mhhh huyo ata kwa ps yangu hagus ata kidogo
Safiiii sishkiki📌😍🙌
Ishuuuu ni mubaba tupoo hapa mamubaba
Classic chic😋😋😋😋 nmeipenda😊
Hahaha tutfute hela jamani kumbe hata ruhusa wanaombaga na camera unawez kuwaekea
Namuona kama vile Niki MINAJj
Yaani wadada hao watangazaji wanaonesha wana wivuu waziwazi
Mzee Yusufu😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mmeishiwa maswali au??
Huyu hadanganyi kasema ukweli kwao kuna hela na pia katafuta mtu mwenywe hela so sioni maajabu
Apo diamond anakunyanganya kilakitu 😂😂😂labda utachomoka nasimu iPhone14 promax
Et ndio maaan maskin yani anawaza haiwezekaniki kwa wabongo si tunajuana😅
Uongo bola wolp malamia aunandy
Jamani huyu atuelimishe personal hygiene!
Me namtamania jamani Mungu nijalie tu na mimi. Ila mimi unipe mume ndiyo awe ananifanyia hivo na niendelee na kazi yangu
Huyo mubaba ni mzee au mubaba kijana??😂 tueleweshane jamani
😅😅😅
Kujisifia tu kuoga aaaaaaaah 😂😂
I thought mmengehoji from backgrpund aliyetokea….🤕
Mind that "the switch"
😂😂😂Mzee Yusuf
Aaliyah is so interested with her
Nimekapenda
😂😂😂😂😂
😂😂
😂
Aaliyahh😂😂😂😂😂😂😂😂
Crown habari ya mjini
Unge subsclib uko mwaya ni apa apa aya uku tupushe
Umefwata nini hapa kama sio narcistic mavi tu
@@BerthaModestangefanyaje😂😂😂
Waada