MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 691

  • @user-rl2bp8re9c
    @user-rl2bp8re9c 3 місяці тому +26

    Jamn ila mchepuko ana sauti nzuri😂😂🙌

  • @neliciousmtata5309
    @neliciousmtata5309 3 місяці тому +81

    kwaaakili zangu chache zinazonisaidia kuvuka barabara ni hiv...... mke ndo chanzo cha mwanaume kutoka ..... nawasilisha mada 🙏

  • @divadivana368
    @divadivana368 3 місяці тому +18

    Huyooooo mkee Anaonekanaaa shangingiii saaaaana yaaaaan😅😅😅😅😅😅utasema yeye ndio mchepuko na Huendaa Analelewaa huyooo ndioo maaana

    • @user-qe5wc3mj6b
      @user-qe5wc3mj6b 3 місяці тому

      shangingi lkn a cheat angemuacha tu kwanza kabla ya kuanz mahusiano

  • @aminamohamed8969
    @aminamohamed8969 Місяць тому +7

    Mumewangu simpeleki mtandaoni hata nimuone kafanya dhambi gani😂😂😂😂😂 Tutamalizana tu huku kudhalilika huku

  • @user-no7pz1bz4y
    @user-no7pz1bz4y 3 місяці тому +15

    Hata mm mwanaume wangu alikuwa anaongea siri za mkewe zote,😅😅😅 na mm nikawa nazdsha mahaba nyie🙌🏻🙌🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻 hadi tukaowana, we huwogop?

    • @neytasteven3851
      @neytasteven3851 3 місяці тому +2

      The next is you babe usifirahie mwanaume kama anaweza kuongea vitu vya mkewe bas na wew zako zitaongelewa

    • @IrakozeSandra-di1co
      @IrakozeSandra-di1co 3 місяці тому +1

      Basi mpenz zamu yako iko kikubw umeingiy kweny ule mtego wa ndoa 😂😂😂 bora ungebak mchepuk 😀 na ww unajisif eti hauogop wakati akitok anakuw sio mme wak ila akirud ndio mme wako,malipo ni hapa hapa duniani ndugu yang, zamu yako iko tuuuuu 🤣😀usifurahiy yalio mkuta mwenzak

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 3 місяці тому

      ​@@neytasteven3851na ndivyo itakavyokuwa

    • @LindaSalumu-yw9hq
      @LindaSalumu-yw9hq 2 місяці тому

      Usiogope tumia fursa

  • @TiffahMody
    @TiffahMody Місяць тому +1

    Afu kaka mwenyewe sasa hendsome mpka basi afu limama alina adabu ajui kuongea lazima atafute pakuzizimishwa roho❤😂

  • @RehemaAgai
    @RehemaAgai 2 місяці тому +2

    Sawa mume anauma,ndio umpige mbele ya watu jamn , pole Shem

  • @ZennaSamson
    @ZennaSamson 3 місяці тому +8

    Ila mchepuko ni mzuri 😂

  • @Sweetnaah
    @Sweetnaah 2 місяці тому +8

    Mke anashamra shamra hadi raha nimepentraaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-uk3vr1oi9m
    @user-uk3vr1oi9m 2 місяці тому +1

    Hahahahahaahha jamani mke mbona ni jambazi sasa mbele za watu ndo kama ivyo tumejionea veep asitaft demmu mwenye bsara jmn atali sanaa kwa Hali hi nabado tunasalitiwa tu kwa jruri zetu

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 3 місяці тому +19

    Huyo mkee tuu akionekana ni wamambo mengi umalaya mtuupu umemjaa

    • @nasrinassor9178
      @nasrinassor9178 3 місяці тому

      Unauhakika gan 😅😅😅

    • @user-wz2fw9od4g
      @user-wz2fw9od4g 3 місяці тому

      kweli kabisa

    • @zuberympulo6564
      @zuberympulo6564 3 місяці тому

      Kwa muonekano tu. Mh. Ka..kweli vile Ajatulia 😂😂😂😂😂😂

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 3 місяці тому +1

      Kweli kabisaa....sura na anavoongea mambo mengi😅😅😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 місяці тому +1

      MIMI NAVYO MUONA JISURA KAMA LINAKUNYA 😂😂😂😂

  • @naimakhalid7798
    @naimakhalid7798 3 місяці тому +5

    Picha linaanza mke hamuheshim mumewe 😂😂..ndio mume kakosea lkn huwez mtolea maneno ya ajab hvyo mbele ya watu..angekua mstarab km huyo mcheps mke angependeza zaid

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 3 місяці тому +10

    Huyo dada alochukua mume wa mtu nimependa kwakweli wallah ni mstalabu sana huyo wa mume anahasila wakati yeye ndo kaitamkutano😅😅😅😅😅😅 sasa vinamtoa jasho

  • @Jahariyashum
    @Jahariyashum 3 місяці тому +6

    Kwani niwakwako pekeyak wew dad unachekesh san alokwambia mwanaum niwaumoj kak wew 😂😂😂😂

  • @NeemamussaMaitale
    @NeemamussaMaitale 3 місяці тому +7

    Hapo ndoa kazi mke mwenye ndiy huyo

  • @benithashayo7749
    @benithashayo7749 3 місяці тому +2

    Mhuuuuuuu mchepuko mwenyewe hata alipi sura mbovu kam yangu alafu kanajikuta mstarabu byokooooi

  • @gracemwailima1780
    @gracemwailima1780 3 місяці тому +3

    Mmmh kaka umeoa mshangaziii hahahhaa et nyokooo hahhahahaha

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 3 місяці тому +3

    Mr UK munafikii San wahiziii mambo 😂😂😂😂😂 semaa flesh San mzee baba 🙌 😀 kwanzaa hilo jimama miyeyusho san 😀

  • @user-wq5hz1vf4w
    @user-wq5hz1vf4w 3 місяці тому +4

    😂😂uwiii mchepuko anasifa wallah

  • @catherinedaniel2265
    @catherinedaniel2265 3 місяці тому +1

    Huyu mchepuko na yeye mjinga 7bu km mtu anataka kumuaacha mkewe kwanini anakuficha Si.,,ujingaa huo jmn ila wanaume 🙌🙌🙌🙌

  • @nuruanaelisha8731
    @nuruanaelisha8731 3 місяці тому +5

    Nilichoona hapa za wanawake ni nyuso zao na ngozi za mwili ni tofauti, murky TU ndio ana rangi Moja,

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 місяці тому

      😊we hujui wamepaka makeup au unataka na me uk apake makeup

    • @mwalagomwanaisha
      @mwalagomwanaisha Місяць тому

      ​@@nancyg8664Alafu huo mkono mweupe sio wa Mary Hakuonyeshwa sura

  • @JanethFrida
    @JanethFrida Місяць тому +3

    😂😂😂😂mniue sisemi

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 3 місяці тому +4

    Wakati mwingine wanawake wakishaipata ndoa wanajisahau sanaaaaaa!! Unaeza ukawa mzuri ukajipodoa kweli lkn ulimi wako ukakuponza.

  • @user-rq1hn1xx9x
    @user-rq1hn1xx9x 3 місяці тому +3

    Nilichogundua kwann mme amechepuka ni pale alivyoambiwa atambae na wakati ana mkimbiza ndipo nilipomuoana vzr kwa makini mchepuko ana sababu zilizopelekea jamaa kuchepuka😂😂😂

  • @user-wr6uz1rx1o
    @user-wr6uz1rx1o 3 місяці тому +19

    Ayoo mavazi tu umalaya mtupu

  • @ZuwenaMohammed-fp4yv
    @ZuwenaMohammed-fp4yv 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂oyoooo ngoja nizeekee tu huku gulf maaan siwez kugombania mwanaume aise 😂😂nilishayaacha kitambo sana 😂😂

    • @NajmaSelemani
      @NajmaSelemani 3 місяці тому

      Kwer my tupigane na vyombo2 vya waarabu😂😂😂😂😂😂

    • @ZuwenaMohammed-fp4yv
      @ZuwenaMohammed-fp4yv 3 місяці тому

      @@NajmaSelemani yaan apo ndo uhakika mapenzi tuwaachie wahind 🤣🤣🤣

    • @jokhajj
      @jokhajj 3 місяці тому +1

      Kwakwel tuoshe vyoo tu 😂😂

    • @ZuwenaMohammed-fp4yv
      @ZuwenaMohammed-fp4yv 3 місяці тому

      @@jokhajj kabisa mamy

  • @zamdasalum3154
    @zamdasalum3154 3 місяці тому +13

    Mchepuko ni mstaarabu kulikon mke

    • @mariaernest671
      @mariaernest671 3 місяці тому

      Kabisa ndio maana salum anasepa kwa merry

    • @AngelBoniface-oe8ug
      @AngelBoniface-oe8ug 3 місяці тому

      Ndo maana wanaume wanachepuka midomo yetu

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 2 місяці тому

      ​@@AngelBoniface-oe8ug hapa nimejifuza smropokei tena hubby wan

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 місяці тому +1

    Hii ya myamwezi nimeipenda mtani wangu duu punguza hasila

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 3 місяці тому +1

    Yaan huyo babi sijui ni nani hajui kutangaza hata kidogo 😩na hivyo vingereza mchwara sana 😂🙌

  • @gracemwailima1780
    @gracemwailima1780 3 місяці тому +3

    Hahahhaha mm siwez ningekurukia hapohapo na kwenda police sitakagi dharau mm hasira ingeniponza walah.lakin pia mchepuko duuuu unajiamin sana na nimekupenda bute

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 2 місяці тому +4

    Kabisaa mwenye kosa ni mwanaume

  • @brightnessmmbando3458
    @brightnessmmbando3458 3 місяці тому +3

    Bora hata uyo dada anajua kuropoka anatoa sumu moyoni😂💔 maan unaweza kufa

  • @SamraAlly-kj5in
    @SamraAlly-kj5in 2 місяці тому +1

    Nmekapenda kamchepuko kaporeeee kama mimi😂😂😂

  • @KhadijaShabani-iv4zl
    @KhadijaShabani-iv4zl 3 місяці тому +5

    Mume anauma nyie acheni hayajawakuta,mimi yamenikuta na stasahau,mchepu anajiamini kushida mwenye ndoa😢😢😢

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 3 місяці тому +2

      Alafu Kuna mengine yapo kumkashifu mke halal, nafikiri ni michepuko pia wao au hayajawakuta lakini mwenye yashamkuta anaelewa mke halal anavyosikia

    • @KhadijaShabani-iv4zl
      @KhadijaShabani-iv4zl 3 місяці тому

      @@chunaabdullah1333 mimi alikua akiniambia simuachi ndo nishampenda kama huwezi kukaa ondoka,ni ndoa na nina watoto

  • @faudhiaadam6773
    @faudhiaadam6773 3 місяці тому +5

    😂😂😂mbona mwanaume anapigwa kama mtoto jamani

    • @user-fc9cx8qg4d
      @user-fc9cx8qg4d Місяць тому +1

      Ndo tunataka tujadiliane tumpe Mr UK jeshi la ulinzi na uokozi😂😂😂😂

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 3 місяці тому +11

    Huyo dada kwa hali hiyo lazima mwanaume achepuke..dada amejichubua kama shetani..mdomo sasa😅😅😅merry huyo mchukue moja kwa moja pumbavu

  • @DoreenNyange
    @DoreenNyange Місяць тому +1

    😂😂😂Mwanaume amekalishwa chini😂😂

  • @scolasticanalle9105
    @scolasticanalle9105 3 місяці тому +5

    Mke ana mdomo kama kitu gani.,😁😁😁😁😁Ila mary anajiamini sana khaaa.......

  • @somoonlinetv.6461
    @somoonlinetv.6461 10 днів тому

    Wanaume tunahitaji utulivu, kudekezwa kupetiwa petiwa, mke bondia Kam huyo aisee hata Mie tungeshindwana aisee😂 unakuaje na mke evanda Holly field😅

  • @MerinaMihayo
    @MerinaMihayo 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂nimecheka kwanguvu mie jmn😂😂😂 mke ni chizi😂😂😂 mchepuko ametulia

  • @AgnesJohn-vn7gk
    @AgnesJohn-vn7gk 3 місяці тому +2

    Shikamoo mijanaume 😂😂,mchepuko nae anakosa la kutembea na mume wa mwenzie wakati anamjua kabisa

  • @MariaPeter-kv3qk
    @MariaPeter-kv3qk 3 місяці тому +1

    Hahhahaah ndo maana hurefuki ila ndoa chunguu mume anauma jamani

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 3 місяці тому +1

    😅😅😅😅😅huo mwenye mume mkali njo maana mwanaume katoka kwake ukibaki hivo anatafuta nawengine

  • @PhoibeSadoki
    @PhoibeSadoki 12 днів тому

    😂😂😂mungu wangu

  • @user-tr5ld8sv8i
    @user-tr5ld8sv8i 3 місяці тому

    Mwanamke enyewe mbaya kaka mzuriii😂😂😂

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 3 місяці тому +4

    😂😂😂mume wa mtu nipo nae ninatamba nae😂😂😂😂

    • @user-rf9ip9bc5d
      @user-rf9ip9bc5d 3 місяці тому

      Km ni mume wangu nakutoa busha lakisimi

    • @beatricesway5782
      @beatricesway5782 3 місяці тому +1

      @@user-rf9ip9bc5d yanii mume wa mtu anajalii weee😀😀kama ni wako utanisameh shoga angu

    • @user-fm3zv3ok3p
      @user-fm3zv3ok3p 3 місяці тому

      Nasemajeee kama ni wangu nakutoa mkia kwenye tundu la mkundu yani natafuta jina lako tuu afu chamoto utaenda kusimulia kwenuu​@@beatricesway5782

    • @user-jj7lw9nr3p
      @user-jj7lw9nr3p 3 місяці тому +1

      Oyaaaa kumekucha hbu sbr nicheke kwnz 😂😂😂😂

    • @IrakozeSandra-di1co
      @IrakozeSandra-di1co 3 місяці тому +1

      Zamu yako iko dada, malip ni hapa hapa Duniani jinsi wanavy sema tutaonj umauti na jinsi utaonja ulichomfanyia mwenzak na unalip mara mbili yake

  • @SimonBinde
    @SimonBinde 3 місяці тому +4

    Mume au mke haibiwi-
    Siyo vzr kusema mtu mwenye akili zake timamu kaibiwa

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 3 місяці тому +2

    Saaa kumbe mume wenyewe sio age yao😂😂😂

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 3 місяці тому

      Age ndio nn ss, au ujui ni no tu. Kama umuislamu utaelewa hata mtume wetu mkewe alikua na miaka ngapi bi khadija kwa iyo jiongeze

    • @BintRasheed1999
      @BintRasheed1999 3 місяці тому

      Yan wamezeeka😂

    • @hanifahkhamiss8485
      @hanifahkhamiss8485 3 місяці тому

      @@chunaabdullah1333 ni mtume sio vijana wasasa....mtume usimfananishe na vijana wa hovyo wasasa🙏🙏🙏

  • @user-oo5sj8hb5m
    @user-oo5sj8hb5m 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂 Mwanamke mbabe ningekuwa mm mchepuko nishakimbia

  • @bibitititv9333
    @bibitititv9333 2 місяці тому +1

    Mke ni mbabe sn, na haipendezi mwanamke kuwa mbabe mbabe, na hapo ndipo tunapoharibu sisi wanawake, Tazama alivyomkalisha kwenye kiti ni ubabe ambao hauna maana yoyote, kufanya hivyo ni kumdhalilisha mume ya kuwa unamuwezaaa sn, hata uwe mzuri wa kiasi Gani tabia mbaya zitakushusha na kuonenaka wa hivyo kbsaaa, arudi kwako miezi 3 km si 6 akajifunze namna na kuishi na mume

  • @irenesanga9839
    @irenesanga9839 3 місяці тому +36

    Mume anauma sana jamani namuelewa uyu dada

    • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
      @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 3 місяці тому +1

      Mimi sisemi yaliyonikuta nimakubwa sana nasiwataki Tena wanaume

    • @maimunaulotu2075
      @maimunaulotu2075 3 місяці тому +1

      Mm sijaolewa.....ila namuelewa mke😂😂😂😂😂

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 3 місяці тому

      @@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct usifanye ivo

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 3 місяці тому

      @@maimunaulotu2075 😅😅😅 hujui lakn amemfanya nn huyo jamaa mpk akaamua ivo

    • @MaryOman-tc1nt
      @MaryOman-tc1nt 3 місяці тому

      Mmmh acheniii jaman

  • @NeemaIbrahimu-c2l
    @NeemaIbrahimu-c2l Місяць тому +1

    Namtaka hapa😂😂

  • @JafaryNambilo
    @JafaryNambilo 2 місяці тому

    Mishangazi ya bongo bana Dah kweli bongo wanaume wachache ila mishangazi mh😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣ila tutafute ela tafuteni pesa mapenzi yapo2

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 3 місяці тому +1

    Kwakweli kwahali nlioiona mke ndo sababu yamumewe kutoka nje mdomo na ubabe wakishamba😂😂😂😂😂😂 ataibiwa sana

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 2 місяці тому +1

    Nimeona kwanin huyu mwamba anataka kukimbia mahusiano😂 sio kwahio vitaa

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 3 місяці тому +10

    Mume anauma jamaniiii uwiiii, mume Mume Mume nyie wanaume nyie Mungu avilaze hivyo mnavyoringia

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 3 місяці тому

      Mbona hasira ivo jaman

    • @franciscakija1702
      @franciscakija1702 3 місяці тому +1

      @@user-vz4xv7lg3x yaani wanaume mnaboa sana, mnasababisha hata sisi tuchepuke

    • @user-vz4xv7lg3x
      @user-vz4xv7lg3x 3 місяці тому +1

      @@franciscakija1702 nyie ndo chanzo...hb angalia huyo mwanamke anavong'aka hapo...hamna mwanaume anavumilia hiyo kelele

    • @franciscakija1702
      @franciscakija1702 3 місяці тому

      @@user-vz4xv7lg3x hapana kwani kilichowafanya utoke ni kelele au nin! Maana hizo kelele ni baada ya kuona hilo tukio

    • @JulianaNicholasi
      @JulianaNicholasi 3 місяці тому +1

      😂😂😂 kwakweli

  • @user-qb8fv6mf2b
    @user-qb8fv6mf2b 11 днів тому

    Mchepuko anamsambwanda 😂😂😂😂

  • @DavidChilongola
    @DavidChilongola 3 місяці тому +1

    Uyo mke mbovu kisenge hahahahaha Sura BAYA

  • @Mrsmasandunje
    @Mrsmasandunje 3 місяці тому +1

    Leo mmenoga kwa sababu tumewaoona wore, au mnasemaje wadau😅😅

  • @fidonsostenes
    @fidonsostenes 3 місяці тому +1

    Jamaa kawachanga sema mbona Kama yote mishangazi kwake 😂😂😂

  • @user-rl2bp8re9c
    @user-rl2bp8re9c 3 місяці тому +2

    We kuwezaa😂😂

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂kumbe mke ndo yupo hivyo sikuon😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechek kwa saut

  • @JasmineRashidi
    @JasmineRashidi 3 місяці тому +2

    Mimi natangaza atakaetoka na mume Wangu mti wa sehemu zasiri unamuusu siwez kuumia mwenyeww

  • @EnjooHamiss-sg3nx
    @EnjooHamiss-sg3nx 3 місяці тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hadi nimecheka uyo mwenye mume ni kichaa kapagawa

  • @JamilaAbdallah-dp2nx
    @JamilaAbdallah-dp2nx 3 місяці тому +3

    😂😂😂nacheka kama mazuri dahaa

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 3 місяці тому +1

    Naombeni mwendelezo😂😂😂😂😂😂

  • @brianosiemo86x4
    @brianosiemo86x4 3 місяці тому +1

    Ak macho kama ya chui nimeona leo 😂😂😂

  • @MariaFrances-xf1iw
    @MariaFrances-xf1iw 3 місяці тому +5

    😂😂😂😂😂alivyokalishwa jamn mm hoi 😂😂

  • @flavianaephraim1521
    @flavianaephraim1521 3 місяці тому +5

    Aiseee, adui wa mwanamke n mwanamke mwenzie

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 3 місяці тому +2

    Mm mwanaume.nipo kwenye ndoa wanaume wengi tunakosa furaha kwenye ndoa zetu,
    Wanawake wengi walio olewa first huwa wanajisahau ndio maana wanaume wanatafuta sehem yakupoza moyo🎉 ila huyo mke wa jamaa hafai kuwa naye nashaur aachane naye abaki na mke mtarajiwa tuuu😮

    • @nadyajuma381
      @nadyajuma381 3 місяці тому

      Anza kumuacha ww mke wako bc km taamu,

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 3 місяці тому

      Umalaya TU umewajaa na kuanza kuwalaumu wanawake

    • @stellawatison7426
      @stellawatison7426 3 місяці тому

      MKE KUNAMUDA INATAKIWA HEKIMA TU NA SIO HASILA JAPO ROHO INAUMA MKE MATUSI YA NINI SASA

    • @aminamloka7545
      @aminamloka7545 3 місяці тому

      Kwahyo na mke akikosa furaha aende wapi!!??? Au mnadhani muda wote wao wanafuraha but they hold on to little love and happiness you shared au mnadhani ndoa Ni furaha tu milele?????

  • @nawarbreezy5943
    @nawarbreezy5943 3 місяці тому +2

    Mr Uky ety merry mke wake mtarajiwa tena anacheka Uk mnafik😅😅😅

  • @MysaraMysaraabdul
    @MysaraMysaraabdul 3 місяці тому +2

    yan hawa kuwaweka nanasi chini😢😢 mume wangu unijibu jeuri😏😏

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 3 місяці тому +1

    Lakini uyu dada mwingine mweusi ana akili jamani eti alisema atamuacha mkewe hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣😂😂 ili akuoe hahaha hahaha 😂😂😂😂🤣😂😂

    • @moreenkasekwa9737
      @moreenkasekwa9737 3 місяці тому

      Awajui wanaume huyo asubili siku naye atakapoacha aolewe na mwingine haipendez wanawake kufanyiana ubaya

  • @somoyagama6629
    @somoyagama6629 3 місяці тому +2

    Mke kapata 😆😆🤣🤣🤣

  • @AdellahJulius-gd6km
    @AdellahJulius-gd6km 3 місяці тому +1

    Hahaha dada anavunja ndoa yake kwa mikono yake Yan inaonekana ata anampiga mume wake

  • @kuruthumumussa
    @kuruthumumussa 3 місяці тому +3

    😅😂etiii ndio Mary kapatikana😅😅😅

  • @felicianboss6953
    @felicianboss6953 3 місяці тому +5

    Nimerudia kuangalia huku mwishoni°°😂😂😂😂😂😂😂😂jaman sio kwa mbio hizo

    • @jairatu688
      @jairatu688 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂haki ya mungu nimecheka kama mazuri

    • @SafiunaMmary
      @SafiunaMmary 3 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 3 місяці тому

    Mme anahaki ya kuchepika mke ana mpiga mme weweeee ata ndo mm nigekuwa mwanaume 😂😂😂😂

  • @ElizabethThomas-og1es
    @ElizabethThomas-og1es 3 місяці тому +1

    ❤dah jamn halafu kijana bado mdogo

    • @fidonsostenes
      @fidonsostenes 3 місяці тому

      Mishangazi inamshobokea ata huyo mke wake anaonekana wazi ni mkubwa kwake 😮

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 3 місяці тому +2

    Huyo cheupe ata mimi simuwezii 😂😂😂😂

    • @user-fc9cx8qg4d
      @user-fc9cx8qg4d Місяць тому

      Cheupe yupi mm naona ndizi za kuchoma tu hapo🙌😂😂😊

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 3 місяці тому +7

    Mnaosema mke ana mdomo jaman hata kama huna mdomo kuna wakati unapokuwa na hasira unaweza kufanya kitu kisicho sahihi mume anauma

  • @ShaelKimaro
    @ShaelKimaro 3 місяці тому +2

    Mume anauma ila wote wazinifuuuui ata mavazi sio ya wake za watu nimavazi ya mchepuko

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 13 днів тому

    Huyo mke kwa mdomi huo llazima mwanaume atafute pakupumnzikia

  • @stanslaustwanje7543
    @stanslaustwanje7543 3 місяці тому +1

    Ushaambjwa kaa hapa 🤣😂🙌😁

  • @JamalKhan-le9ud
    @JamalKhan-le9ud 2 місяці тому +2

    Huyu mwanamke wake anaonekana mdomo mwingi sana ndio maana mume wake
    Amfata huyu mwingine mstarabu mkewe sio mstarabu atakama mume wake anamakosa sio hivo

    • @user-fc9cx8qg4d
      @user-fc9cx8qg4d Місяць тому

      Jamal jina limekumbusha mbali😂😂hadi nimelia😂

  • @janethjerald1737
    @janethjerald1737 3 місяці тому +3

    Huyooo anaenda kulogwa..maana sio kwa alivyosisitiza utaonaa

    • @neemakassan6538
      @neemakassan6538 3 місяці тому

      Umeona eeh mnyamwezi msikie tu atafanywa kitu hata kaa asahau mume ana uma bora usiwakute wote halafu mie kaniudhi pale anampigia simu baby mbele ya mke wake eti nakupenda sijuwi anajiamini nn vile

  • @MaryOman-tc1nt
    @MaryOman-tc1nt 3 місяці тому +1

    Mm jaman mwanamke alizaa na mume wangu akaja kuniomba matumiz mm kisa hampat mumewe wee ila mm ndoaa apanaaaa zipiteee kuleeee

  • @user-dn5mq3fw5s
    @user-dn5mq3fw5s 3 місяці тому +5

    kweli mume ndio mwenye makosa

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 2 місяці тому +1

    Mwanaume usiwe mtu wa kukubali kila kitu Kwa mwanamke hata Kama unampenda kiyas gan hamjapanga kukutana unapigiwa ghafra unaenda dahhh huu ni uzembe mkubwa Sana

  • @aishahamad7923
    @aishahamad7923 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mke anq hasiraa😂😂😂

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 3 місяці тому +1

    Dada anajiamini😂😂😂😂unaweza uliwa hivihvi

  • @user-rf8gi8vh2w
    @user-rf8gi8vh2w 3 місяці тому +1

    😂😂😂 hii dunia inafurahisha sana 😂😂

  • @user-ls2nq2eq3l
    @user-ls2nq2eq3l 3 місяці тому +1

    Wewe na uyo mbwa mwenzio🤣🤣🤣

  • @evafungo6606
    @evafungo6606 3 місяці тому

    Sasa mbonaa mmekata utamuuu😂😂😂😂😂😂😂 ilaaa shangaziii kayatibuaaaa mwenyewe alichooo kitafutaa amekipataaaa

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZawadiMwabadilanga
    @ZawadiMwabadilanga 3 місяці тому

    Uuyu muchepuko hana aiibu hana aibu muuzi Ana subiri nini kupata mwana ume wake kusumbuwa watu na ndoa yao ipo siku muta lipa hiki mungu Ana jua

  • @AishaKhamis-gs6qc
    @AishaKhamis-gs6qc Місяць тому

    Iyo ndoshda ya mishangazi🤣🤣🤣🤣

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 3 місяці тому +1

    Kila cku mnagombea hawa viumbe hivi c muwe na akili kama yangu aysee mapenz hayana maana kwangu tangu niko singo sion lililobadilika em jikubalini bwana mnalia lia tuu kitu gan

  • @SiasSam
    @SiasSam 3 місяці тому +1

    Hahaha Hahaha mke msengeeee😂😂😂😂😂😂

  • @user-vs5zg7ex2k
    @user-vs5zg7ex2k 2 місяці тому

    Oyaa tambaaaaaaaaa😂😂😂😂 iyo imeendaaaaa

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 16 днів тому

    huyu mke nikichefu chefu hana nidhamu hana hekma hana heshima limejichubua mavidole yamejaa sugu midomo imejaa malipstiki hamuheshimu mumewe