Singida Big Stars 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 08/10/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Simba SC imeendeleza ushindi katika mchezo wa tano mfululizo, ikiitandika Singida Big Stars mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Liti, mkoani Singida.
    Magoli ya Simba yametoka kwa Saidi ntibazonkiza dakika ya 26 na Moses Phiri dakika ya 83 huku goli la Singida likitokea kwa Deus Kaseke dakika ya 52.

КОМЕНТАРІ • 151

  • @nkosiyabomasuku1795
    @nkosiyabomasuku1795 Рік тому +7

    Wa kwanza leo. Naomba like zangu

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 Рік тому +2

    Iyo inaitwa bunduki ya Ntibazong 🔥🔥💪❤

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 Рік тому +1

    Unyama ni mwingi mnyama 💪🔥

  • @humphreyemmanuel781
    @humphreyemmanuel781 Рік тому +3

    daah ii dunia leo beno kama hautujui ...ila amekubali🦁🦁🦁🦁

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Рік тому +1

    Asante mungu Kwa ushind wa leo

  • @barackkandolo1779
    @barackkandolo1779 Рік тому +3

    Wapili leo ctaomba like kwa leo😂

  • @paris_tz
    @paris_tz Рік тому +8

    Kam singid wamefungik vzr hv cdhan Kam Kuna mtu atatok xalammbele yetu

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому

    Wakwanza leooo unyamaa ni mwingi 🦁🦁

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому +1

    This is simba sio hao wabadilisha Jina kila mwaka Jina jipya😂😂

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому +3

    Na Bado hamjasema nyinyi Yanga mpira ulikuwa unashikwa nje ya box unawekwa penat Kwa sabb tumewafunga wadogo zenu ndio midomo juuuuuuu

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Рік тому

    Duuh Ila SAIDOO bwanaa jamaa linazeeka na talent matata kabisa

  • @ErnestMoyo-fd6el
    @ErnestMoyo-fd6el Рік тому +4

    Marefa wa bongo sahauni kuchezesha game za caf

  • @mwanajumaraso4637
    @mwanajumaraso4637 Рік тому +1

    Alhmdhulillah

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 Рік тому +1

    @ Azam tunaomba muwe mnaweka video za mpira ndefu kama zaman sasa saiv video dakka 8 Au 4 Hazinogi bora dakka 40 Au 38

  • @urinzwenimanaildephonse45
    @urinzwenimanaildephonse45 Рік тому +1

    Mbona sioni Onana? Wapi yupo?

  • @twahaibrahim2767
    @twahaibrahim2767 Рік тому +3

    Huyu kibu Denis huyu

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 Рік тому +3

    Hii team ina waxhamba wengi jaman bondi ya ligi kuna siri ngani hapa kila mechi za hawa mabwana wamzi wanakuwa mademu tu why????

  • @yusuphbahath9300
    @yusuphbahath9300 Рік тому +1

    Mwamuz katudanganya mnooo doo

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому +3

    Ww umeona goli tu hata ile ya Kibu ilikuwa Red card Kwa sabb alikuwa mtu wa mwisho abebwae hujikaza

  • @Mo_Blaze
    @Mo_Blaze Рік тому

    Fair Game

  • @DJTALENTTZ-md9tm
    @DJTALENTTZ-md9tm Рік тому +5

    Jamani che maline mtu na nusu

  • @Emmanuellobelo
    @Emmanuellobelo Рік тому +2

    Ipo siku hawa marefa uchwara watapigwa uwanjani na wachezaji

  • @tashmaorg4734
    @tashmaorg4734 Рік тому

    Jaman azam tuoneshen robat akishangiria❤❤😂😂😂

  • @kingcole60
    @kingcole60 Рік тому

    🦁🦁🦁

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt Рік тому +2

    Goli la pili la Simba ni offside 😢😢 goli la singida lilokataliwa halikuwa offside 😢😢

    • @kelvinwilfred-p2e
      @kelvinwilfred-p2e Рік тому +1

      mh nini maana ya offside jaman mbona watu hawajui mpira tena wana yanga wao ni ofside ofside hujui bana mjinga wew

    • @HuseinLamadhan
      @HuseinLamadhan Рік тому

      Angalia vizur kabla mpila aujafik kwa gadier mfungaj alikuw wap

    • @Uwesu-rh2vb
      @Uwesu-rh2vb Рік тому

      Hamna offside pale mabeki walishaiua simba wakubebwa tu

    • @gilbertmwanilwa8846
      @gilbertmwanilwa8846 Рік тому

      Check vizuri sheria mpya ya offside...Ile ni clear offside...

    • @RehemaGAbriel-o8y
      @RehemaGAbriel-o8y Рік тому

      Mjinga wewe ndiyo maana hata hapo kwenye picture yako ume save hao wadudu na ndiyo maana akili yako ni mbovu.

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi Рік тому

    Yanga wanaogopa sana

  • @Tanza24
    @Tanza24 Рік тому +2

    Mpenz mtazamaji sema Unaumia ukiwa wap

  • @amolonyogea8686
    @amolonyogea8686 Рік тому +7

    Ujinga ni kila ichezapo Simba wanao lalamika ni yanga DAAAH😂

    • @MsamariaRoges-rg4zu
      @MsamariaRoges-rg4zu Рік тому +1

      Migisson Janna akawakela washabiki wasimba kukosa goli lawazi kbx

  • @richardarord8344
    @richardarord8344 Рік тому +2

    Dah mpira wa leo vichekesho lefa na washika vibendela wote ushabiki wa simba umewajaa

  • @abbycool5446
    @abbycool5446 Рік тому +2

    uyu kibu anawalambisha nyasi tu😂😂😂😂😂😂

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 Рік тому

    Papatu papatu Fc kwa mbinde

  • @JoshuaHamissi
    @JoshuaHamissi Рік тому +1

    Mh,,malefa wa nchi yetu tuwazoee tu

  • @khalidsaid796
    @khalidsaid796 Рік тому +1

    mtangazaji kufananisha mpira ulopigwa na mchezaji sawa na kombora la hamas ni kukosea,huko hamas kuna watu wengi wanakufa ,inaweza kudhaniwa kwamba tunachukuliwa utani.Japo ni katika kufurahisha

  • @PoliteKind-df8kw
    @PoliteKind-df8kw Рік тому

    Kawape mjinga mmoja weye

  • @nassallybakar4346
    @nassallybakar4346 Рік тому +1

    Duuu huyu miqson sio ofside

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 Рік тому +2

    Mbili Moya

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 Рік тому

    Hata mkimfungia refa ndio nn sasa na matokeo nayo mbona hamuyatengui🤣🤣 timu hizi mbili bana 😭😭

  • @EmilianJoseph-u5b
    @EmilianJoseph-u5b Рік тому +8

    Ila mm ni Simba goli la big stars ni halali tufurah tu😢

    • @HawaArkam
      @HawaArkam Рік тому

      Yani hapo bado mpk mseme

    • @AyubuNgubi
      @AyubuNgubi Рік тому +1

      Uko sawa naungana naww ni gol kabisa sema tu mkubwa hakosi kupewa heshima hata kama anaelekea kudharilika

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 Рік тому +2

      Mnaumia mkiwa wapiiii😅😂😂😂
      Kachezesheni mpira nyinyi basi mnaojuaa 😂😂😂😂😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 Рік тому +1

      ​@@AyubuNgubibado hamjasema na mtasema

    • @silvamsophe4392
      @silvamsophe4392 Рік тому +1

      Utopolo wewe acha zako tumeshinda usijiite simba na wewe ni Utopolo this is simba😊

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Haya Yatakwisha Tuu.

  • @Emmanuellobelo
    @Emmanuellobelo Рік тому +1

    Refa anaibeba timu mpaka anaonyesha live

  • @gregorysixmund2020
    @gregorysixmund2020 Рік тому +4

    Ujinga mtupuuu.... offside ya mchongo 😡😡
    Jirekebisheni

    • @gilbertmwanilwa8846
      @gilbertmwanilwa8846 Рік тому

      Jirekebishe wewe Kwa kurejea video vizuri... Wakati mpira unapigwa kichwa mfungaji alikua wapi...halafu pitia sheria inasemaje???

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Рік тому

    Hawa waamuzi itabidi madunduka wafanye kila linalowezena kuhakikisha kwamba wote wanachezesha mechi yao na El Ahaly -- wakifanywa hivyo ninahakika mambo yao yatawanyookea,vinginevyo ! Niko paleee ! ! !

  • @farajimgunya6468
    @farajimgunya6468 Рік тому

    Ukiangalia miguu ya straika wa singida fountain gate utagundua kitu maan mwili wake na beki wa mwisho vipo Sawa lakini kitendo cha kutanua miguu Tu mguu wake wa kulia umeingia offside kama unajua unajua tu

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 Рік тому

    Hakuna offside anaweka offside wanawake bana

  • @nelsonlukule9506
    @nelsonlukule9506 Рік тому

    Hakuna refa humo, goli la halali la singida limekataliwa

  • @googleus4903
    @googleus4903 Рік тому +5

    GOLI LA PILI LA SINGIDA ALIYEZIDI NANI PALE😢😮🤦MADUNDUKA KILA MECHI YENU TUKIO TU...MPIRA PAPATU PAPATU MPAKA MAGOLI NAYO😂😂😂
    HAWA MAREFA LABDA TUKIWA WENYEJI WA AFCON HIYO 2027 WAFANYWE BALL BOYS

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 Рік тому +2

      Singida wamepokwa goli halali na kuwatoa mchezoni.

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce Рік тому +1

      Bado hamjasema mpaka mseme

    • @googleus4903
      @googleus4903 Рік тому

      @@EzzyEddy-il3ce WEWE MUIMBA TAARABU NA MVAA VIJORA, SIO MSHABIKI WA MPIRA.

    • @kelvinwilfred-p2e
      @kelvinwilfred-p2e Рік тому +1

      WEW NDO MUIMBA TAARABU ILI MUONE MPIRA NI HALALI MNATAKA SIMBA APOTEZE KISA YANGA YUPO NYUMA LAKINI MPIRA HAUPO HIVO SINGIDA WAMEFUNGWA MPIRA HALALI KABISAAA ACHA WENGE KAA UKISUBIRI DAWA IKUINGIE@@googleus4903

    • @gilbertmwanilwa8846
      @gilbertmwanilwa8846 Рік тому

      Ushabiki bila kujua mpira na sheria zake ni hatari sana offside ya wazi kabisa Utopolo mailalamikia... Kweli mpira Sayansi....

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Рік тому +1

    Refa pumbavu kbs mtu anakatwa unaona watu wanalalamika unawapa card hovyo kbs

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 Рік тому +2

    Wazee wa papatu papatu Fc (simba) ushind kwa mbinde na mbeleko

    • @abduldjay3034
      @abduldjay3034 Рік тому

      Ndo tunaipenda hyo papatu halafu tunashinda 😊

    • @tawakalimankasim82
      @tawakalimankasim82 Рік тому

      Msipanik watani ni utani wa jadi tu mungu azisaidie timu zetu za Tanzania simba na Yanga zifanye vzr mashindano ya kimataifa Amiin

    • @tawakalimankasim82
      @tawakalimankasim82 Рік тому

      Mungu azijaalie Timu zetu zote za Tanzania simba na Yanga zifanye vzr mashindano ya kimataifa Amiin

    • @kelvinwilfred-p2e
      @kelvinwilfred-p2e Рік тому

      YANGA HAKUNA VIZURI ATAKAO UFANYA NI KUFUNGWA IN AND OUT THEN BYEE@@tawakalimankasim82

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 Рік тому

      Na bado😂

  • @mbarakapandu101
    @mbarakapandu101 Рік тому

    Huyu muamuzi anastahili kufungia hapa offside pale

  • @JacklineManyama
    @JacklineManyama Рік тому

    Refa huyu mama sijawahi kumuamini

  • @hamisikiluwa
    @hamisikiluwa Рік тому +2

    Kamfunge mkeo

  • @Daudichetu-i7l
    @Daudichetu-i7l Рік тому +2

    Mpira burudani umerudi

  • @Emmanuellobelo
    @Emmanuellobelo Рік тому +1

    Ingekuwa ni Yanga ndio kabebwa hivi ingekuwaje c Refa hata angefukuzwa kazi ila mh

    • @kelvinwilfred-p2e
      @kelvinwilfred-p2e Рік тому +1

      NANI KABEBWA BOYA WEW HUJUI MPIRA

    • @salumkasongo7507
      @salumkasongo7507 Рік тому +1

      Hakuna timu ambayo hainufaiki na makosa ya marefa iwe tanzania au wapi ... Wakati wa timu yako kubebwa na marefa utafika na utakaa kimya

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 Рік тому +2

    Simba wame nyimwa penat

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Рік тому

      Afu hata haizungumziwi

    • @kuholakalani2472
      @kuholakalani2472 Рік тому

      Hayo hawayasemi na yule mchezaji alitakiwa kadi nyekundu

    • @JacklineManyama
      @JacklineManyama Рік тому

      @@kuholakalani2472mnapenda kadi nyekundu kwa wenzenu eh

  • @JelemiaVictor
    @JelemiaVictor Рік тому

    Mshamba tu uyooo😅😅😅😅😅saidoo tena

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 Рік тому

    Tumzifunga Tim mbili watani na madogo Yao Leo walisubiria Simba afungwe

  • @elizeusrwilanga7786
    @elizeusrwilanga7786 Рік тому +1

    Ukiangalia hii highlight utajua wazi aliyeiandaa ni mpenzi wa simba amejitahidi kutoweka camera zinazoonesha matukio yenye utata kwa uwazi na ameyafanya yasijulikane anadhani hatukuona mechi😂

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 Рік тому

    Mm sielewagi kwann Simba walimuuza beno

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Рік тому +1

    Tumewakosa za kutosha wallah

  • @ruphysambaya3288
    @ruphysambaya3288 Рік тому +4

    Sema makolo kwa mbeleko hamjambo

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Рік тому +1

    Kibu ni mashine

  • @edwinmtei5786
    @edwinmtei5786 Рік тому +1

    Ningefurahi sana kama ningepata mchambuzi anaefahau mpira vilivyo anieleweshe hiyo offside ya singida maana mpira una mambo mengi

    • @MarkSulle-yg5lt
      @MarkSulle-yg5lt Рік тому +1

      Hakuna offside apo mdg wangu

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Рік тому

      Penalty walionyimwa Simba usisahau

    • @HuseinLamadhan
      @HuseinLamadhan Рік тому

      Aina aja ya mchambuz angalia kabla mpila kumfikia gadier mfungaj alikuw wap utaerew

    • @HuseinLamadhan
      @HuseinLamadhan Рік тому

      ​@@MarkSulle-yg5ltacha kudangany watu wew mpil kabla ujafik kwa gadiel mfungaj alisha zid acha kukalili

    • @MarkSulle-yg5lt
      @MarkSulle-yg5lt Рік тому

      @@HuseinLamadhan ww tulia mpira unaojua labda niwa rede goli la wazi wamenyimwa singida refaree anapambania team yke ibaki kileleni only in bongo 😄 🤣

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 Рік тому

    Huo uwanja duuh

  • @denzafighter
    @denzafighter Рік тому

    😅😅😅

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 Рік тому +1

    Kakolanya uwe unapunguza kimbele mbele wewe utailetea team matatizo one day ndiyo uonevu nimkubwa ila kuwa na subira

    • @Emmanuellobelo
      @Emmanuellobelo Рік тому +1

      Kwa kweli ipo siku refa atapigwa sio kwa mpira huu unaochezeshwa kishamba hivi

    • @marthagabriel3417
      @marthagabriel3417 Рік тому +1

      @@Emmanuellobelo Simba washapoteza uelekeo badala warekebishe makosa wanayahalalisha subiri kimataifa tuone

  • @WahdaSalum
    @WahdaSalum Рік тому

    Kumbe uto munaumia

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt Рік тому

    Simba lost the match phiri goal was offside 😅 and the declined goal for Singida was a goal not offside 😮

    • @kuholakalani2472
      @kuholakalani2472 Рік тому

      Even though hujaona kuna maeneo tumeonewa?

    • @salummwakalinga4330
      @salummwakalinga4330 Рік тому

      BADO KICHINA SIO KINGEREZA TU

    • @gilbertmwanilwa8846
      @gilbertmwanilwa8846 Рік тому

      Sheria ya offside imeongezewa kipengele mtu aliyekua amezidi wakati mpira umepigwa Kwa mara ya kwnza halafu akavunja offside baada ya kuwa onside akanufaika na mpira ule hiyo ni clear offside

    • @shanimsuya1663
      @shanimsuya1663 Рік тому

      Bado hujasema,yaaaan mpk useme

    • @catherinethomas9527
      @catherinethomas9527 Рік тому

      Na bado utaongea hadi kimakonde

  • @maduhulusangija3715
    @maduhulusangija3715 Рік тому

    sf

  • @MuniriAlly-hr5ke
    @MuniriAlly-hr5ke Рік тому

    Ll