Viongozi ACT Wazalendo Waungana na Wananchi Kuzuia Hujuma, Polisi Waingilia Kati

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #MitaaYaWote #VijijiVyaWote #taifalawote #maslahiyawote #miezi10 #wanachamamilioni10 #actmedia #habarizauhakika #miezi10 #wanachamamilioni10 #actmedia #habari #habarileo

КОМЕНТАРІ • 32

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips Годину тому +4

    Hapa ndio nimeamini chadema na Act wanakubalika sana

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips Годину тому +5

    Inashangaza ssna ccm imeshikilia dola lakini hawajiamini hadi waibe hahaahahaha😂😂

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Годину тому +4

    Rwanda na Burundi mambo yalianza hivi hivi baadaye yakajakua mauaji ya kimbali

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 Годину тому +2

    CCM MUST GO ......

  • @melch3097
    @melch3097 Годину тому +1

    Welldone act, wapigeni ngumi

  • @JumaHamad-m6u
    @JumaHamad-m6u Годину тому +3

    Hamuwezi ccm kwenye zuluma hawo watu wa motoni tu

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 43 хвилини тому

    From 🇧🇮😂😂 tanzanian imekuwa uwanja wa vita😂😂kila sku matukio 😂😂kila sku😂😂

  • @MwafrikaHaircut
    @MwafrikaHaircut Годину тому +2

    Kwani CCM MNANINI ASAAA

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud Годину тому +2

    Lisemwalo lipo kwann walalamikiwe CCM kila kona ??

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 2 години тому +2

    Dah Tanzania ilipofikia Sasa SI sehem salama Bora kwenda kuishi congo

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi Годину тому +2

    Ubaya ubwela

  • @AzizMasenga
    @AzizMasenga Годину тому

    UBAYA Ubweraaaa,Intembo iyamaka .Nakuona mzeee!

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 28 хвилин тому

    Nimeamini wananchi hawataki ccm ,Sasa Ina force.

  • @BakaryOmally
    @BakaryOmally 20 хвилин тому

    Ukishaweka imani ya kuliwa daima utahisi unaliwa tu

  • @muhammadkhamis5798
    @muhammadkhamis5798 Годину тому +1

    Ubaya Ubwela

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 2 години тому +1

    Msikubali Wakiwapiga Wapigeni

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 17 хвилин тому

    Kabisaa ubaya ubwela tu CCM niwasenge

  • @HajiMgwami
    @HajiMgwami Годину тому

    Lkn kama hawmjui ni lazima wawakatae, kawaida mtu kiaminia kwenye mtaa lazima Akajitmbutishe kwa serikaliby mtaa, so kama hawamjui lazimabwawakatae

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 23 хвилини тому

    Ccm hawajawahi kupata kura za haki ndo maana matendo yao ya kishetani

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 56 хвилин тому

    Kama kujiandikisha ni hivi kwenye kupiga kura itakuaje mbona vurugu acheni vurugu uchaguzi uweze kwenda vzri

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 Годину тому

    Someni mwongozo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kuhusu taratibu za zote za uchaguzi, mbona upon na unafafanua mambo yote yanayohusu uchaguzi huu. Tunalalamika na kuanzisha migogoro ambayo majawabu yote yamo kwenye Mwongozo. Kufanya kinyume na mwongozo aka kanuni ni kosa.

  • @chande2k250
    @chande2k250 27 хвилин тому

    CCM wanakila hila ya wizi kama wanajiamini c waache wananchi wachague wnyw

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 45 хвилин тому

    Ukiona hivyo ujue muda ambao hauna siku ccm inasepa

  • @HawaOman
    @HawaOman Годину тому

    Wameanza sasa ndio zao

  • @HawaOman
    @HawaOman Годину тому

    Cc niwaizeee kabisa

  • @BeatrriceMuya
    @BeatrriceMuya 2 години тому

    Msitumike vibaya

    • @Re-Agrotec
      @Re-Agrotec Годину тому

      Wanatumikaje, tupe mfano na hoja

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Годину тому

    tuko pamoja mtu akikupiga Kofi na wewe unamurudishia hiyo ya kusubili eti uende kushitaki ni ujinga

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 Годину тому

    ..