Simba SC 2-1 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 28/10/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ulipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Simba imetangulia kwa goli la Jean Baleke dakika ya 13 lakini Ihefu wakachomoa dakika ya 25 kupitia kwa Ismail Mgunda na 'super sub, Moses Phiri akatia kitu cha pili dakika ya 65.
    Tazama highlights.....
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 71

  • @RosemaryMaruba
    @RosemaryMaruba 11 місяців тому +16

    Simba timu yangu naomba mungu kama ilipangwa mtalichukua kombe namlichukue haijarishi kuwa eti hamko vizur ❤❤

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 11 місяців тому +3

    #simbanguvumoja. Phiri na miquissone 🔥

  • @Zainabkhamis-d2s
    @Zainabkhamis-d2s 11 місяців тому +4

    Ali Salim ni kipa mzuri, sana ila safu ya ulinzi ya Simba inamuangusha kwakweli 😮

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx 11 місяців тому

      Tatizo ni kipa we subiri Manula arudi utanielewa

  • @alidisessan
    @alidisessan 11 місяців тому

    Mungu ibariki simba

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 11 місяців тому

    safi sana chama langu simba❤

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 11 місяців тому +1

    Saidoo anajituma lakini tatizo lake Hana control ya mpira 😭😭 amekosa nafasi za wazi kabisa Kwa tatizo ilo inabidi amfate shabalala amuelekezeee

  • @NassibKhamis-k7r
    @NassibKhamis-k7r 11 місяців тому

    Tunahitaji saluti zaidi, photo aanze kila mechi

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 11 місяців тому +1

    Kocha wamakipa anakazi yakufanya anatema mipira mbele ya Adui🤔🤔

  • @patricennko3815
    @patricennko3815 11 місяців тому +1

    Chama Luis phiri wawe kwenye first eleven na chama kufanyiwa sab ni kuchemsha.

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 11 місяців тому +1

    Huyu mchezaji wa Simba beki Patrick Mwenda ambae hivi karibu hadi alijumlishwa kikosi cha timu ya taifa, kwanini hapewi hapewi nafasi hata mara mmoja angalau kulinda uwezo wake ambao ni mkubwa

  • @marlonstudios4408
    @marlonstudios4408 11 місяців тому +3

    Kocha awe ana mpa nafasi phiri

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 11 місяців тому +1

      Ndio hizo nafasi anazopewa Phiri na kocha au wewe ulitaka apewe nafasi gani??..ya kufundisha au.??😅

    • @marlonstudios4408
      @marlonstudios4408 11 місяців тому

      @@rockygappi1018 uyo striker ni level ya kua regular starter sio wa dakika 20 za mwisho… toa kibu au saido tia phiri

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 11 місяців тому

      @@marlonstudios4408 ...kwa level ipi ya u-kocha uliyonayo??
      Kama huna elimu yoyote ya mpira kaa kimya.. you've got no rights to decide who to play and who's not to play..
      Kibu alisemwa saana.. lakini leo hii ndio anaongoza kwa kushambulia,speed,nguvu,kukaba na kuwa na high level of spirit

  • @youseph-tz
    @youseph-tz 11 місяців тому

    🔥🔥🔥

  • @getaromatiko229
    @getaromatiko229 11 місяців тому +1

    Moses Phiri sio wa kukaa bench!!!!!

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 11 місяців тому

      Asikae benchi kwani yeye nani??baleke mwenyewe na hata Chama wanakaa benchi..labda we mwenzetu ni kocha zaidi ya Robertinho 🤔

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 11 місяців тому

    Hii game SAIDOO kayeyushaaa

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 11 місяців тому +1

    Beki ya simba mbovu

  • @bakarihassankassim413
    @bakarihassankassim413 11 місяців тому

    First touch za SAIDO ni terrible kabisa 😢

  • @bonifacelugo2941
    @bonifacelugo2941 11 місяців тому +1

    Mosesi siyo wakuanzia benchi

  • @OscarPatrice
    @OscarPatrice 11 місяців тому

    ❤vipi

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 11 місяців тому

    Wa ihefuu anajiamini anatojatoka golin bila hat mpnglio

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 11 місяців тому

    Aweeee phiri nlimis kuona akifunga asa kocha ajifunze tarehe 5 aanze nzee wa salut

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 11 місяців тому

    Beki line bado inatuangusha inaruhusu magoli ovyo

  • @EzranLikungamoto-zf2ln
    @EzranLikungamoto-zf2ln 11 місяців тому

    Wanachama wa Simba sport club wot tupange first 11 Ili wajue kama Nas tunawez PATA matokeo shid young kator kapombe husen chemarone inonga fabis mzamilu baleke chama kib Fili hapo cjui kama watatok

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 11 місяців тому

    Kwampira huu.Simba ajiandae kipigo akienda kwao.

  • @cfcforlife9118
    @cfcforlife9118 11 місяців тому +1

    Kenya tutawahi fika uku kweli

  • @gaudencehaule7398
    @gaudencehaule7398 11 місяців тому

    SAIDO KUNA MECHI NYINGI TU ANAPOTEZA SANA MIPIRA PIA ANAKOSA CLEAR CHANCES....LAKIN MAKOCHA HAWALIONI HILO...HUYO SAIDO PIA KACHANGIA SIMBA KUPATA TABU DHIDI YA POWER DYNAMOS

    • @ramsonramadhan4156
      @ramsonramadhan4156 11 місяців тому

      kama ww ni mtu wa mpira tafuta kazi yake Saido ndio utajuwa kwann hatolewi

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 11 місяців тому +1

    Simba bado tutasubiri sana kuupata ubigwa maana bado hutuna mshambuliaji wa maana

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 11 місяців тому

      Hacha ushoga wewe kunguni wa njano!roho inawauma bwana wenu amepapaswa

    • @brunokassim4599
      @brunokassim4599 11 місяців тому

      Wee zombi hujui Simba la masimba

    • @lvanyDaniel_pw7kk
      @lvanyDaniel_pw7kk 11 місяців тому

      Una tombwa

    • @DBIRobotics
      @DBIRobotics 11 місяців тому

      Acha vichekesho,baleke na phiri sio washambuliaji

  • @abdulmuminabdullah1296
    @abdulmuminabdullah1296 11 місяців тому +1

    Huyu kicha uzee unamchanganya, kinachomfanya amnyime nafasi Philri na kumuamini bocco hasa nini? Bora aondoke yeye phiri abaki

    • @gastojohn7293
      @gastojohn7293 11 місяців тому

      Eti hata mim mwenyew nashangaa kaka!! nina wasiwasi na huyu kocha!

    • @IssaAli-wz5jh
      @IssaAli-wz5jh 11 місяців тому

      Kabisa mkuu yaani mimi naamini ktk zile gemu na Al ahly laiti Moses angecheza alau kipindi kimoja basi angeweza kufanya kitu.

  • @paulgomba
    @paulgomba 11 місяців тому

    unyama niwingi 2:58
    p

  • @platner5
    @platner5 11 місяців тому

    Matoleo toeni sadaka😊😊 udambwiudambwi wa penja

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 11 місяців тому

    Huyu kipa masihara hayo Holi la kwanza

  • @real_unforgettablereallife4821
    @real_unforgettablereallife4821 11 місяців тому

    Azam mnatukosea sana...mechi ioneshwe azam sports highlights zije utv.... sasa ndo mnataka tusubscribe kila channel??... basi fanyeni na mechi za ligi kuu zioneshwe utv AU ndo hasira za kupigwa na Yanga...na kwa taarifa Yenu ubingwa sahauni sio mwaka huu mwakani au mwaka keshokutwa..hamuupati😂

  • @hajially4527
    @hajially4527 11 місяців тому

    Hahahahaa hime yakununua kabisa

  • @amaniJoas-bi7je
    @amaniJoas-bi7je 11 місяців тому

    Bravalllllllllllll🤪🤪🤪🤪🤪🤪😶😶😶😶

  • @HajiTwaha-ss2cx
    @HajiTwaha-ss2cx 11 місяців тому

    Sisi Simba ndo zeu kutoboa chupi la chuma

  • @jorento
    @jorento 11 місяців тому +1

    Pira Maokoto😂😂😂

  • @EzranLikungamoto-zf2ln
    @EzranLikungamoto-zf2ln 11 місяців тому

    Na lazm cmb ichukue ubngea

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 11 місяців тому +1

    Wamekosa meng simba

  • @hunter7746
    @hunter7746 11 місяців тому +1

    Alafu boko apumzike

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 11 місяців тому

    ihefu lazima washuke daraja wanajifanya wajuaji Kwa yanga

  • @elizabethmajaliwa5189
    @elizabethmajaliwa5189 11 місяців тому +2

    Huyu Salim anafungwa kwa uzembe tu

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 11 місяців тому

      Anafungwa kwa uzembe!??🙄Dada mpira hauuwezi bora ubaki kwenye marede!

    • @elizabethmajaliwa5189
      @elizabethmajaliwa5189 11 місяців тому

      @@adaboychibu1659 we kenge hebu fuata yako usinipangie ,we changia kivyako sio kuinipangia

    • @elizabethmajaliwa5189
      @elizabethmajaliwa5189 11 місяців тому

      @@adaboychibu1659 we toa maoni yako sio kunizuia mm kuongea umenichangia mb , Tena ukome

    • @elizabethmajaliwa5189
      @elizabethmajaliwa5189 11 місяців тому

      @@adaboychibu1659 eti marede fisi wewe, kazi kudandia ishu za watuu tu sijui unawashwa nini

    • @brunokassim4599
      @brunokassim4599 11 місяців тому

      Wee zombi

  • @hajially4527
    @hajially4527 11 місяців тому

    Maokoto fc😅

  • @FRIZENGEN
    @FRIZENGEN 11 місяців тому

    Unyama mwingi

  • @NassibKhamis-k7r
    @NassibKhamis-k7r 11 місяців тому

    Moses aanze kila mechi

  • @RosemaryMaruba
    @RosemaryMaruba 11 місяців тому +4

    Simba timu yangu naomba mungu kama ilipangwa mtalichukua kombe namlichukue haijarishi kuwa eti hamko vizur ❤❤

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 11 місяців тому

    Kwampira huu.Simba ajiandae kipigo akienda kwao.

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 11 місяців тому

      Hongera kwa unajimu wako..kwa nini usiweke tangazo kuwa wewe ni mtabiri na mnajimu??😆😆
      Usiwe na mawazo mgando.. kumbuka benchi la ufundi lilijua kuwa wana mechi na Yanga na hawakutaka kumpa picha kamili kocha wa upinzani na alikuwepo jukwaani