😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁nimecheka kwa dharau ,,Thanks Mmakonde mwenzangu aiseee,,Chama,Boco,Fraga ,Wachezaj wote wa simba mmenipa rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃Tumewadonyoa Donyooooo👌👌😁😁😁
duuuh mmetufurahisha sisi mashabiki mana hao utopolo hatungewakoma mtaani yani iyo inanitwa kicapo cambwakoko 4G hao ndio ma champion wanchi bwana achana naivyo vyura.simba oyeeee simba juuu like twende wana simba
Tunao icheck mara kwa mara tujuane🔥🔥🔥🙌
Nipo hapa
Icheki na 1-5 basi
Asanteni sana kwa kazi nzuri mlioifanya leo kumlambisha mtu 4-1. THIS IS SIMBA. Simba sc Tanzania Nguvu moja.
Simba vs yanga ngao ya jamii 2022 na 2023
Like kwa James samweli Kama best second commententor gonga hapa
Anaerudia kama mm kila siku gonga like twende sawa
Saaaaan
Sanaaaa
Mm apaa
Hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣same here
leo nmefurai snaaa iiii tareee ya 12.7.2020 itabaki kat ya cku nzur kwangu NGUVU MOJA
Muunganiko wa Baraka na James Samuel nimeupenda
Wanafanya vizuli mnoo
Rahaaa
Alosikia Msikiti umeuzwa shekhe gonga like 😃😃
Msikiti umeuzawa shekh
Msikiti
Hahahaha mpenja bora sana ananogesha
Hiii ndyo simbaaaaaa. Wanangu wa simba piga keleeeeeeeeeeee
Safi sana simba tanzania mimi pia ni mcheza mpira toka Beni drc naomba nikatsezeye kule
Ukuye papa! Soki oyebi kobeta ball yaka nanu 🏃♂️👍😀
@@yusuframadhan4744 sina njo pesa ya kulipa safari
Tindelangayi numero nayo
@@yusuframadhan4744 +243972073371
This is SIMBA bwana,😍 Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Ataliiii
Watu wamepigwa 3 hapa msikiti umeuzwa, gonga like apa
Simba kama simba ,....🇲🇨🇲🇨🙏🙏🙏
WALE WANAOIRUDIA KUIANGALIA HII WAGONGE LIKE🔥🔥🔥🔥🔥
Almost kila siku😂
@@gloriaherman8895 wewe ulisikia wapi😁😁😁😁😁😁😁
Kama unamkubali Baraka Mpenja sauti ya radi gonga like twende sawaa
Nani hachoki kuiangalia Kama Mimi? Basi like
Siwezi choka kaka...🤣🤣🤣
Mama
a
Asanteni mungu awabariki San kwa kazi yenu nzur wanna Simba mumenifuraisha San leo
Km hilo goli la chama jr unaona linafanana na lile alilofunga dhidi ya AS VITA club gonga like twende sawa
Kabisa
Pass toka kwa yuleyule bocco
Uposahihi
Haswaaaa ndy ndug
@@jumakapilima5674 me nv🍏
Simba hii ni nyoko mamaeee 🔥🔥🔥🔥🔴 dar is red🔴
Tena nyokolooo kabisa mamaee
Tanzania is red
😆😆😆
Aliye sikia msikit umeuzwa xhehe gonga like
Umeuzwa asee September 18th bado haichoshi kutazamana.. haha
Hahahaha
. I.
Ahsante sana mabingwa wa nchi kwa kujua kutufurahisha
Asante Benchi la ufundi asante wachezaji na asante mashabiki kwa kuanikiza ushindi wa kishindo kwenye uchumi wa kati. Heshima imerejea
Kama umesikia Morrison ndevu za Quarantine gonga like hapa
I can’t wait to see my simba back in pich again🙏🏼❤️🥰
Daaaa gonga like kama Simba damu
Noma Sanaaa hii ndyo Simba sports club 👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪
Utajua haujui kama umeisikia like
Mnyama 🦁 watateseka sana aooooooo
Bado 7 years
Kama bado unaiangalia hii gonga like twende sawa
2021 april 15
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁nimecheka kwa dharau ,,Thanks Mmakonde mwenzangu aiseee,,Chama,Boco,Fraga ,Wachezaj wote wa simba mmenipa rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃Tumewadonyoa Donyooooo👌👌😁😁😁
😁😁😁 Agnes ww
Mbrazili anaidondosha sambalumba
@@minaside6717 😁😁😁😁
@@minaside6717 😁😁😁😁
@@rapahaelmasanja3749 Walimsema hajui sasa watajua kama hajui👌😀😀😀
Sichoki kuangalia hii highlight,kama na ww ni kama mm gonga like twende sawa👍
👍
👍
Ahsante wangu Ila ahsante Simba Sc Tanzania kwa kurejesha heshima
Kanumba jenifs
Penda sana simbaaaaa
kila siku lazima nipite hapa naomba like tujuaneeee
Hujambo wewe
Hujambo
Dah 😁😁 aise raha sana, yan i magoli ya leo ata sichoki kuangalia, napata raha sana
Simba FC vita
❤❤❤ daaaa kama ulikuwa unaikubali simba hii gonga like hapo
Yanga wanarudia kuangalia wanafikiri watarudisha😂😂🤣🤣
Hahaa yaan wakikudaka ww
😂😂😂😂😂
👌
😂😂😂😂😂😂😂
Mungu anakuona🤣🤣🤣🤣
Chama aongezewe mkataba na mshahara 🙏🏻
Na apewe mke
@@josephstima5434 MM najitolea kjmpa dada yangu Harusi Mahali juu yangu
Nakubal
Vip
Vip
Ni hatali ndo ivooo simbaaaaa waooooh
Like za baraka mbenja hapa
Bonge la mech
Bonge la mech
Nime Rudi tenah wana msimbazi like plz😚🙂😆
Hakika nna furaha sijawahi ona daaaah asante timu yangu simba nakupenda sana.....
Yalini hiii jamani
Hongereni sana siiiiiimbaaaaa yetu
Yanga kipingo na shilole kipingo 2
I love simba sc very much for this season will do better than before
Mi shabiki wa damu wa msimbazi simba... Kutoka Kenya...
Hii mech nikiangalia Hadi machoz yananitoka kwa furaha, nimerudia kuiangalia tena 2023
Mwanakuli find mwanakuli get 😁😁😁😁😁
benard morisson, ndevu za quarantine 😀😀😀
Hahaaaa
Hahahaha
Sasa hivi zimekuwa ndevu za suna😂😂😂😂
Am still watching this wonderful game🦁
Am re watching right now 🤭
@@ishaahmed9568 🥰🙊
Congrats Simba, what a game ! Salam from Oman
P
Welcome
Hii ni Barcelona au ni soka la kifrance au brazili succefully football
T
Sakala
Ww ulisikia wap,Ww ulisikia wap gonga like kama ulimuelew #baraka mpenja
6I
hivi kuna mtu anaangalia hii 2021 kama mimi?😊😊
nipo hapa naangalia leo tareh 13/4/2021
Mie pia
Mm leo hii
Tuko pamoja
Nipo
mtoto akilia nikumpa uji ilialale asnt sn SiMBA waooo
tumefkisha views million moja
Tujuane, wale tunqoendelea kuangalia kuelekea tarehe 3 like japo kumi tu
Hii kitu itajirejea safari hii in shaa allah vyura wa kijani mjipange simba ndo ile ile
This match! Unforgettable,
Mpenja
2023#SIMBA SC Nguvu 1🦁🦁🔥🔥🔥💪🏽💪🏽
kama upo hapa unapata rahaaa ya leo 22/07/2023 gonga likeeeee❤😂😂😂
tangia nchi iingie kwny uchumi wa kat shilole na yanga ndo wame pgw kipigo kitakatufu
Hahaha
@@hastatz noma sana
Hahahaha
Ndevu za karantin
Hatar
This is simba kama unaikubar gonga like apa👊
2021 like zenu hapa twende sawa 👹👹👹❤️❤️
Kuna siku SIMBA ITAIFUNGA yanga BAO KUMI. AMEN.
Nan kaskia benald morson ndevu za kalanti gonga like twense sawa
Kama hua unairudiaa kama mimi kila wakati gonna like Team July tujuanee Hapaaa!!
TAMBENI TAMBENI SIMBA HAINA MPINZANI 💥
Nitazidi kuiangalia sana
Simba nguvu moja 😍😍😍😍
duuuh mmetufurahisha sisi mashabiki mana hao utopolo hatungewakoma mtaani yani iyo inanitwa kicapo cambwakoko 4G hao ndio ma champion wanchi bwana achana naivyo vyura.simba oyeeee simba juuu like twende wana simba
This sweet football so nice
Mwana kulitaka mwana kulipata, Nguvu moja
Simba raaha saaana😘😘😘😘
Hii Simba Bwana .Simba nguvu moja
Duu mimi haiwezi pita wiki bila uiangalia hii maana kuna jamaa anaitwa fraga nimemmic Sana kama na wewe upo kama mimi naomba uni like
Anaeangalia hii mechi 2023 gonga like
Wachezaji wa simba sio wachoyo alicho kifanya John boco kwa chama ni upendo wa hali ya juu
Nimeipenda sana hakika kuangalia hata sichok
Ninacho shukuru magu kama magu mwanetu lkn anagundu kwenye uwanja akija kuwacheki mnyama bora aangalie akiwa nyumban tu
Kwa kwl😂😂😂😂
Hahaaaa
Madrid,bayn,JUVE,simba,ccm
Tanzania hakuna kama Baraka Mpenja 😂😂
Upo sahihi
Bbaraka
Kabisa yan
Thelatha bin sifuri ,msikiti umeuzwa shekhe 😂😂😂😂😂😂😂
Jamani 4G jana imetumaliza
Hiyo ndio Simba baba laooo🤣🤣🤣
Hatari sana😁😁
Wanamdomo sana na temewanyamazisha yaan rahasanaaaaa
Ahahaha ndevu za quarantine
hivi kweli mukoko ponombe anatinga mnyamb
Appreciate it 💯
Hiyo ndoo simbaaaaaaaa
Safari ya kurudisha heshima imetimilika Leo Namungo amehitimisha furaha ya Leo kwa kutwaa kombe letu LA Azam
Naipenda simba yanguuuu
Mseme tena tumebebwaaa this is simbaaaaaaaaaaa
Tofauti ya SHILOLE NA YANGA NI MGAHAWA TU ILA WOTE WAMEKULA VIPIGO😂😂😂
Kweri kabsa uko wapi
Yanga timu ya wanchi wewe
Na Leo tenaaaa
Hahahahahaaaaaaaaa,yanga haipendeki 😂😂😂😂😂😂😂
Naipenda simba
Mbwa koko ndo nimemuona leo 😁😁
Wananchi kenge wameula chuya
Nakubal sn cham la mnyam simb
Simba baba lao🦁
Feisal umecheza vizur hongera sana
Wakapata nini
New playlist
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏simbaaaaaaaaaaaa
Sidhan kama kuna mtu ameirudia zaid yangu... Huwez amini tokea SAA tano had saiz SAA nanee naangalia hii tyuu
😂😂😂
😂 we kweli mshabiki wa damu
😂😂😂
hata mm
CD hii lazima niitafute
Daaah kweli hi ni simba