Nabarikiwa na mahubir yako pastor yananitia moyo katika kipindi hik kigumu ,Mungu fungua njia kwa piah katika masomo yangu,na imani umekwishaa tendaa bwana
Poster naomba uniombee Kwa riziki Na familia yetu kwasababu hakuna kuelewana Na majirani wetu Na niwatu Wa ukoo mmoja,hata Amani hakuna 😢 naomba uniombee tuwe Na Amani kwa familia
Pastor I need prayers each time I get a man we meet for the first time they go and never come again I want to get married and I can't get one to settle down with
Who will understand our God Elijah was praying to die but he was give food to live. Some of as we are praying to go away from our work but we are give another contract and salary increment
Muchungaji tunaomba utufungulie tu download, wengi wetu tunasikiza tukipumzika, na sioni kama Mchungaji wetu mzuri hivo ...kama ndio amefunga, mnisamehe Kwa kuwaza Hilo...
MUNGU WA MBINGUNI ATAWAPA HAJA YA MIOYO YENU ,,ENDELEA TU KUIOMBEA FAMILIA YAKO USICHOKE WALA USIKATE TAMAA MUNGU WETU NI MWENYE HURUMA NA REHEMA ATAWABARIK KWA WAKATI WAKE YEYE ....AMEENI
amina, nashukuru nimejifunza na kupata ajibu la swali langu la muda mrefu natamani kushea nanyi. Binafsi nilikua najiuliza hasa kwenye fungu la kumi kwamba tunatoa sehemu ya kumi kati ya chote au sehemu ya kumi kati ya faida? kwamfano nina laki moja nika fanyia biashara nikapata laki moja na elfu hamsini, je ninatoa sehemu ya laki moja na elfu hamsini au sehemu ya elfu hamsini... katika muda wa video wa 1:13:08 nimeelewa kwamba ni sehemu ya faida ambayo ni sehemu ya kumi ya elfu hamsini. NAOMBA KUKOSOLEWA KAMA NIMEELEWA VIBAYA. AHSANTE.
Mimi hapo tu nachanganyikiwa Hayo majitu yote wanefili yaliteketea na gharika kikabaki kizazi cha nuhu tu sasa huyo goriathi na hiyo familia ya wana wa anaki walitoka wapi tena baada ya ghalika mchungji nieleweshe hapa vizuri
Pastor SoMo lako nimelifatilia vizuli, Ila mm mungu alinishangaza Sana, Make nilifanya kwa kutoa sadaka ya malimbuko, mwezi wa kwanza nilipo pata kazi, Ile namalizia kutoa ile sadaka , kanisani siku hiyo, Nikaitwa nikafukuzwa na kazi siku hiyo hiyo ,, Na nilitoa kikamilifu kabisa, Au Kuna kitu nilikosea
Ila pia pastor, Kuna kitu kinasumbua roho yangu, roho mtakatifu ananisumbua kuchangia chakula Cha wachungaji waudumu katika kambi, la mwezi wa Saba, japo najaribu kupotezea Ila narudishwa ,, Nashindwa ntafanyaje na Ali yangu naona kabisa sio nzuli kiuchumi, Ila kwa SoMo la Leo, anitie nguvu roho yangu update amani, 🙏
Pastor Kwa hakika mtoto wangu Samuel haanguki tena kifafa.Mungu wangu shukran na utukufu ikurudie milele, AMEN.
M/Mungu,ahsante kwa ujumbe mzuri kupitia mtumishi
wako David.. Mbaga. Nimejifunza na kuelewa kwa sehemu. R/Mtakatifu niongoze nipate kuyatendea kazi.
Nabarikiwa na mahubir yako pastor yananitia moyo katika kipindi hik kigumu ,Mungu fungua njia kwa piah katika masomo yangu,na imani umekwishaa tendaa bwana
Qq😮😅
Amen
Asante sana Mungu akubariki Pr
Mi natamani kumjua vizuri nabii Elisha
Hili somo limenijenga sana
Ulinzi wa YESU uwe juu Yako milele
Poster naomba uniombee Kwa riziki Na familia yetu kwasababu hakuna kuelewana Na majirani wetu Na niwatu Wa ukoo mmoja,hata Amani hakuna 😢 naomba uniombee tuwe Na Amani kwa familia
Pastor I need prayers each time I get a man we meet for the first time they go and never come again I want to get married and I can't get one to settle down with
Pole sana! Am praying for you! Plan 3 days fasting for the issue,you will see a miracle
Nabarikiwa sana,nahitaji maombi Mungu aingilie kati,kuna hali ya ajabu naipitia
Mchungaji asante sana kwa fundisho hili, nitaziondoa nadhili zangu
Mungu atutangulie mbele wakati ya maamuzu ,Amen
Amen bwana akubariki pastor Kwa somo hili limenifungua hakika mungu akuzidishiee hekima Na kibali kikumbwa Maisha mwako
Amen Amen mjungaji tunapata elimu kubwa sana my GOD bless you and all growly to JESUS
Mchungaji mm naitwa anstazia David mashaka na nasumbuliwa na viti vinatembea na kusisimka
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen, Asante Yesu kwa Neema Yako na kwa SOMO hili MUNGU ATUKUZWE SANA na UMBARIKI MCHUNGAJI KWA MAFUNUO HAYA.
Eeeh mung nfungue nami katika mafunzo haya
Amen MUNGU azid kukupa afyaa pastor
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tafadhali ninahitaji maombi kwa ajili ya rafiki yangu ambaye ni mgonjwa sana.
Mwe
MChungajii naomba umuombee mume wangu anasumbuliwa na kichwa saana
Huyu mtumishi yuko vzr
Mch naomba uniombee biashara yangu ya chakula ipate wateja wengi sna Aminaa
Mungu akutendee
Pastor jaribu kumaliza pia uko na kipawa cha uimbaji..barikiwa
Mungu akubariki sana pasta,binafisi sikujua sli hii mungu na azidi kukufanya uwe baraka kwa ulimwengu
Amen sana nami naomba uniombee nipate ajira na mama ang mkubwa anaumwa sana amponye yeye na wagonjwa wote. Naamin Mungu ametenda ameni
Pr ahsante kwa somo zuri hua napenda sana kusave offline naweza kuyapata kama siku za nyuma
Mchungaji Mungu akubarik
Nimebarikiwe.
Asante baba kwa mafundisho haya mungu akubariki
balikiwa sana
Be blessed pastor
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
Alléluia 🙌ubarikiwe mtumishi wa bwana 🙏🙏
Amen Amen nimejifunza mengi🙏🙏Ubarikiwe mchungaji
Mchungaji niombee mungu anishindie na magonjwa
Amen pastor mungu akubaliki sana
Amen!❤❤❤❤❤❤❤
and me waching from canada montreal
Amen pasta
Mungu azidi kukutumia pasta nilijaribu kutuma ujumbe WhatsApp lakini haujafikiwa
Amina
Amen 🙏 🙏
Who will understand our God Elijah was praying to die but he was give food to live. Some of as we are praying to go away from our work but we are give another contract and salary increment
Mch niombee ninamashambulio kiafya na kiuchumi
Muchungaji tunaomba utufungulie tu download, wengi wetu tunasikiza tukipumzika, na sioni kama Mchungaji wetu mzuri hivo ...kama ndio amefunga, mnisamehe Kwa kuwaza Hilo...
Amen,Pr samahan huwa natuma ujumbe whtsap lakini hujawahi kukufikia plz naomba niwasiliane na ww if possible
Amen
Pastor naomba uniombee nipate mchumba na dada zangu pia wamepitisha ata miaka ya kuoleka ila wote wana watoto nyumbani bila mabwana
Jamani mungu akawakumbuke ktk ilo
MUNGU WA MBINGUNI ATAWAPA HAJA YA MIOYO YENU ,,ENDELEA TU KUIOMBEA FAMILIA YAKO USICHOKE WALA USIKATE TAMAA MUNGU WETU NI MWENYE HURUMA NA REHEMA ATAWABARIK KWA WAKATI WAKE YEYE ....AMEENI
Amennn❤
Nifanyeje nilistahili kutoa sadaka ya malimbuko miaka mingi iliyopita ila sikufahamu hili
Pastor mahumbiri yako imewafanya wengi kukusikirisa inatunjenga kiroho.
Huu mwimbo namba ngapi jamani umenigusa
Ameen
Mchungaji swalilangu niwamba.
Nakumbuka yakwamba nilitia naziri ila sikumbuki nilicho haidi kutoa
NIFANYEJE HAPO?
amina, nashukuru nimejifunza na kupata ajibu la swali langu la muda mrefu natamani kushea nanyi. Binafsi nilikua najiuliza hasa kwenye fungu la kumi kwamba tunatoa sehemu ya kumi kati ya chote au sehemu ya kumi kati ya faida? kwamfano nina laki moja nika fanyia biashara nikapata laki moja na elfu hamsini, je ninatoa sehemu ya laki moja na elfu hamsini au sehemu ya elfu hamsini... katika muda wa video wa 1:13:08 nimeelewa kwamba ni sehemu ya faida ambayo ni sehemu ya kumi ya elfu hamsini. NAOMBA KUKOSOLEWA KAMA NIMEELEWA VIBAYA. AHSANTE.
Umeelewa sawasawa
Swali Zurich sana ambalo twafaa kumakinika kwalo,barikiwa.
Mimi hapo tu nachanganyikiwa Hayo majitu yote wanefili yaliteketea na gharika kikabaki kizazi cha nuhu tu sasa huyo goriathi na hiyo familia ya wana wa anaki walitoka wapi tena baada ya ghalika mchungji nieleweshe hapa vizuri
Sadaka natoaje nikiwa huku muwe mnaweka namba ya M pesa
Na sasa kama sisi wafrika ndio tuliwachanua wazungu, what went wrong?
Pastor SoMo lako nimelifatilia vizuli,
Ila mm mungu alinishangaza Sana,
Make nilifanya kwa kutoa sadaka ya malimbuko, mwezi wa kwanza nilipo pata kazi,
Ile namalizia kutoa ile sadaka , kanisani siku hiyo,
Nikaitwa nikafukuzwa na kazi siku hiyo hiyo ,,
Na nilitoa kikamilifu kabisa,
Au Kuna kitu nilikosea
Ila pia pastor, Kuna kitu kinasumbua roho yangu, roho mtakatifu ananisumbua kuchangia chakula Cha wachungaji waudumu katika kambi, la mwezi wa Saba, japo najaribu kupotezea Ila narudishwa ,,
Nashindwa ntafanyaje na Ali yangu naona kabisa sio nzuli kiuchumi, Ila kwa SoMo la Leo, anitie nguvu roho yangu update amani, 🙏
Mchungaji napitia hali ngum sana kifamilia na sijui ni nn cha kufanya ukipata ujumbe huu tafadhali unipe msaada eidha wa maombi au mawazo
Ndugu.pole sana mungu aingilie kati
Mungu aingilie kati,akufanyie wepesi katika magumu unayopitia,mtumainie Mungu pekee ndio Tumaini letu.
Mwenyezi Mungu akurehemu. 1petro5:7
Unapaswa kuwa imara sana ktk imani,soma sana neno,omba Mungu akufunulie kwanini unapitia hiyo situation,je chanzo nini?,atakupa solution.
Nataka kutoa sadaka. Niko nje ta Tz nitatumia number gani?
Mch niombee ninamashambulio kiafya na kiuchumi
Amen 🙏
AMEN
Amen
Amen