MRS ENERGY AFUNGUKA CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA NICE WA TIKTOK - "HISIA ZILILETA TATIZO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • MRS ENERGY AFUNGUKA CHANZO CHA UGOMVI WAKE NA NICE WA TIKTOK - "HISIA ZILILETA TATIZO"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 249

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 Рік тому +43

    Huyu dada ni mzuri Mashaallah hana kujichubua Mashaallah Mashaallah❤

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 Рік тому +113

    Huyu mwanamke kuna vitu anaongea ni kweli kabisa mimi siku zote nawambia watu hakuna ukaribu wa mwanamke na mwanaume kisha ukadumu kua ivo kuna hisia fulani lazima zitatokea tu ....imeisha iyo .

  • @amedeusmrema9853
    @amedeusmrema9853 Рік тому +43

    Ila huyu dada nampenda sana ningepata namba yake ningefurahi

  • @AmterfGlowing
    @AmterfGlowing 19 днів тому +1

    😂😂😂Dida ww hhhhh eti unasema ukweli weee mtoto

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 Рік тому +21

    Huyu dem ni muongo sanaaaaa yan kadanganya mnoo hpoo😂😂😂

  • @mercyakinyi5218
    @mercyakinyi5218 Рік тому +17

    Huyu dem ni mrembo sana ukweli black is beauty

  • @DaguenShadow
    @DaguenShadow 2 місяці тому +2

    Kiukweli kama kunawanawake wazuri uyu atakuwa number 4

  • @FaithWesonga-w6r
    @FaithWesonga-w6r Рік тому +16

    Ukweli huyu dada ndie aliye fanya nikajua wimbo wa API wa watu feki

  • @eliadastan57
    @eliadastan57 Рік тому +16

    dida bhna😂😂😂 ety wew mtoto wewe usituchanganye sisi watu wazima

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому +13

    Cute na intelligente ❤

  • @PeterMloha
    @PeterMloha Рік тому +18

    😂😂 nimecheka,
    Sema lisauti lake la kiuinjilisti
    Sema wote watoto tu wakikua and wataacha

  • @NoëllaZabibu-h3x
    @NoëllaZabibu-h3x 8 місяців тому +1

    Kama nibongo ama ni ❤❤❤❤❤❤ kweli niroho yako

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +7

    Naomba mniitie Hakika Ruben atuongeze kwa maombi🙈🤦

  • @kaluludecorations1166
    @kaluludecorations1166 Рік тому +3

    Always black 🖤 is better ❤

  • @farhiasuleiman388
    @farhiasuleiman388 Рік тому +9

    Mbona sauti ya mamlaka😂😂😂

  • @MaryamSuleiman-xs5ph
    @MaryamSuleiman-xs5ph Рік тому +4

    We dada sisi wanwake wenzio tushajua km unadanganya😂

  • @calveenykevoo5399
    @calveenykevoo5399 Рік тому +6

    Juma msenge kweli a😂😂😂😂😂 et jack chan

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 3 місяці тому

    Nakukubali dada

  • @ernestmbala3609
    @ernestmbala3609 Рік тому +3

    Village inn min supermarket mbezi Goig # New shamo towers #

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 Рік тому +15

    Nimuongo huyo dada 😂😂😂 reality ya mapenzi hiop hvoo. Lazma muwe mmekulana bn

  • @shaniacosimas9356
    @shaniacosimas9356 Рік тому +2

    Mungu akupi vyote ila sauti

  • @DirectorGabistar
    @DirectorGabistar Рік тому +9

    Huyu Dada Jamani Nmempenda Bure🤗

  • @yunusjohnson4170
    @yunusjohnson4170 Рік тому +5

    Hyu sister akasomee uchungajii...ana voice fulani.

  • @eliannko
    @eliannko Рік тому +6

    Tamaaa ziliwaponz mkachanganya mapenzi na pesa

  • @salaita2829
    @salaita2829 Рік тому +12

    Silaha ya malaya na mwizi zinafanana,ni uongo,hakuna malaya mkweli wala mwizi mkweli.

  • @simulizi2632
    @simulizi2632 Рік тому +7

    Huyu anacheza mechi mbili kwa wakati tofauti🙋🏾‍♂️

  • @Maryam나디
    @Maryam나디 Рік тому +3

    mbona Kama haeleweke ivi 😵🤔🤔

  • @khadijasaid4137
    @khadijasaid4137 Рік тому +7

    😂 eti Yokohama Dida unamambo

  • @IsihakaAmani-do7vj
    @IsihakaAmani-do7vj 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda dada

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 8 місяців тому +1

    Sauti yake inapendeza akiwa mama mchungaji,, 😂😂😂😂

  • @Lucasfabian-w9w
    @Lucasfabian-w9w Рік тому +10

    Ukweli upo machoni😂😂😂😂

  • @DortheaBukuru-oz6kf
    @DortheaBukuru-oz6kf Рік тому +2

    Mwambiyeni Nice bila kuhomba msaaa atobowiii😂😂😂
    Uko mrembo San black is beautiful ❤💞😍

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 Рік тому +11

    Narudia hyu dem muongoooo😂😂😂😂wat wa psychology tunaamgliag manen 3 ya mwanzo tunaelew hyu anadangny

  • @KimZai-o6o
    @KimZai-o6o Рік тому +1

    Sio kweli uyu anayo ongea

  • @KareenWilly
    @KareenWilly Рік тому +3

    Kwenye sauti ya mamlaka😂😂😂😂. Diddah bhana😂

  • @monicafelisian7347
    @monicafelisian7347 Рік тому +1

    Black beauty she is beautiful

  • @MwembeNungwi
    @MwembeNungwi Рік тому +13

    Huyu na alivyo mwekundu kma nyanya kanachochea😂😂

  • @josephmassae2117
    @josephmassae2117 Рік тому +9

    Jamani embu asimame kidogo nikague hiyo kazi!

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 Рік тому +8

    Uyo mwanamke ana sauti ya baba kama mm2😂😂😂 sauti ya kazi 😂😂😂

    • @jofumaster9808
      @jofumaster9808 Рік тому

      Wapenzi hao hadi mtaani tunawaona huku uswahilini ubungo😂😂😂

  • @JaylesGeorge
    @JaylesGeorge 9 місяців тому +1

    Febby actually we n mzuri pokea maua yako❤‍🩹❤‍🩹❤‍🩹❤‍🩹

  • @ElizamarijoseBaruani
    @ElizamarijoseBaruani 6 місяців тому

    We dada mbona ww muzuri sana

  • @nebatmbotwa7478
    @nebatmbotwa7478 6 місяців тому

    Napenda 2 langiyak

  • @EvaBaya-ym4ok
    @EvaBaya-ym4ok Рік тому +5

    Mpaka nyonyo zimeshuka lahaula 😂😂

  • @tinalucas6284
    @tinalucas6284 Рік тому +2

    Ni kwel ana saut y mamlaka yaan anfaa kuchukua sadaka🤣🤣

  • @hidayapaulo6752
    @hidayapaulo6752 Рік тому +9

    Hisia zinaponza 💔

  • @jacksonmtonyore9871
    @jacksonmtonyore9871 Рік тому +1

    Usidanganyike dadang baki ivoivo na cute ako

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Рік тому +1

    Ilaaa jamani nyieee basii tuu😅😅😅😅

  • @bouzartbc5641
    @bouzartbc5641 Рік тому +4

    Huyu dada ana sauti akiwa serious atapiga ela

  • @jacintabati6238
    @jacintabati6238 Рік тому +4

    HUYU DADA ALITAKA KUWADATE WOTE WAWILI

  • @anzaleo_africa
    @anzaleo_africa Рік тому

    Fib ulitoa? Ukusamehewa?

  • @loemasanzu7193
    @loemasanzu7193 8 місяців тому

    I love fibby's color

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Рік тому +2

    Kiufupiii ni wapenzii na walishaa nyanduana ❤❤❤😅

  • @frakkfrakk
    @frakkfrakk Рік тому +1

    Safi sana

  • @KesheMedia
    @KesheMedia Рік тому +2

    Basi sawa

  • @favourkenya
    @favourkenya Рік тому +9

    Huyu ni muinjilisti😂😂😂😂😂

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 Рік тому +2

    Mbona mnamlazimisha awajibu mnavyotaka!!!!ovyooo

  • @itNeza
    @itNeza Рік тому

    Dada mchungaji. 😎 : Una ujinga Mwingi na Lisauti lako kama la Wachungaji. 🤔

  • @NyamissJames
    @NyamissJames Рік тому

    Pia we ni darajaa mama acha wavuke waende mana unawatoa

  • @RaymondMshote
    @RaymondMshote 6 місяців тому

    Tatizo Wana arsts wengiii mnapenda kuhusisha mahusiano kwenye srz issue

  • @fadhilisaidi9769
    @fadhilisaidi9769 Рік тому +1

    Kwa ayaa maelezo mwamba amepigaaa aanha n uongo bhnaa mwambaa ameeepiiigaaaaaaaa

  • @chany9950
    @chany9950 Рік тому +6

    Uyu dada ana mashetani👹ndani yake nimemuona 🙄

  • @HawaJovin-oz5ji
    @HawaJovin-oz5ji Рік тому +4

    Naipenda sauti yako sana

  • @robertj.4484
    @robertj.4484 Рік тому

    Mbona ukimtaja nice chuchu zinasimama hizo? Hapa panatokota jambo..

  • @midaahlove4168
    @midaahlove4168 Рік тому +7

    Ila didaaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🤣😂🤣🤣😂

  • @officialAlAbdul
    @officialAlAbdul Рік тому +4

    Sasa izo si n pombe 😅😅

  • @fackhamad3891
    @fackhamad3891 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂 Nimechek ety nimebatizwaaa kweny kanisaaa l nn vile😂😂😂😂sa naneee dakik 58 wallah nimechek😂😂😂,,,,,ila nampenda huyu mdada karemboo

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 Рік тому +2

    uyu kunaukwel ameuficha kutengeneza alipo sasa
    kwasaba alichokiongea na anachokitilea ufafanuz wala aviendani

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 Рік тому +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂 kipaje chengine

  • @tatumalolela-qo7gz
    @tatumalolela-qo7gz Рік тому +1

    Wooooow I like you gr

  • @johnsonboniphace8437
    @johnsonboniphace8437 Рік тому +3

    Dida et yokohamaa😅😅

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 11 місяців тому

    Tule na katarabu kidogo 😂😂😂

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV

    I thought huyu dem n mkenya wee

  • @luchirimusa231
    @luchirimusa231 Рік тому +1

    wabongo kiswahiri chenu kibovu😢 sio kiswahiri ni kiswahili

  • @EuniceNgede
    @EuniceNgede Рік тому +6

    Dida bana et sauti ya mamlaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hassanrutabuka9119
    @hassanrutabuka9119 Рік тому +1

    Leo amejuta huyu hawa wazee wamemnata saan

  • @emmanuelgeorge5981
    @emmanuelgeorge5981 Рік тому +5

    Adi dk 😂😂😂😂 na sekundee

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 Рік тому +1

    Maombi gan haya mungu anajua anawatu wake hospital huko😂😂😂

  • @OmarsalimOmar-d7d
    @OmarsalimOmar-d7d 8 місяців тому

    Uyu ni mchungaji

  • @MaryamBwana
    @MaryamBwana Рік тому +3

    Ati hawa date nyie bana 😂😂😂

  • @Beatriceoleriya9896
    @Beatriceoleriya9896 Рік тому +1

    Wewe ni mwongo sana

  • @ernestmbala3609
    @ernestmbala3609 Рік тому +3

    Engine petrol station ,makonde dsm.

  • @abdulfatahkhamis1579
    @abdulfatahkhamis1579 Рік тому +3

    Mwambyn nice😂😂

  • @AngeroseDiantus-gi9bz
    @AngeroseDiantus-gi9bz Рік тому

    Sauti hyo Ina fanana na...?g

  • @slimmtani8236
    @slimmtani8236 Рік тому

    Hii kitu inanitokea me na demu mmoja hapa mturuki ndani ya istanbul 😂ila hatujafikia kugombana au kupishana kauli

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter Рік тому +1

    dogo ??? hilo neno dogo ndio sjapenda ... wanamme hatuitwi madogo na madem .... hiyo n dis respect'

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 Рік тому +2

    Wanawake wana niachaga hoi kwenye makucha wanayo bandikaga kwenye mikono yao yote miwili.😂

  • @Mudi-i8d
    @Mudi-i8d 11 місяців тому

    lkn kule katuonesha kinaniii frani uv😛

  • @cathy8483
    @cathy8483 Рік тому +3

    Hahaa😂 sauti ya mamlaka..;

  • @hamisissa1115
    @hamisissa1115 Рік тому +1

    Kwa kilio kile sababu sio hiyo ya kuomba msamaha uka kataliwa lipo jambo.

  • @NyamissJames
    @NyamissJames Рік тому +1

    WE NI STAR BHANAAAA

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Рік тому +8

    Just a stupid story by the way I like you girl ❤

  • @benedictshitindi8010
    @benedictshitindi8010 Рік тому +1

    Unasema kweli we mtoto hahhaha

  • @JudithFrad-nk1di
    @JudithFrad-nk1di 11 місяців тому +1

    Mimi hata sielewi

  • @TwahyrRamadhan-f1s
    @TwahyrRamadhan-f1s 6 місяців тому

    Ili demu bayaaa kinyama tuache kumpa sifa ya uzuri .m,bovu kishenz

  • @angelgeoffrey7173
    @angelgeoffrey7173 2 місяці тому

    Mi uwo wanja wa dida tu na haJali wala nini

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 Рік тому +4

    Huyu ni nan kwan jmn mbona simjui?

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому +3

    Hatoboooiiii 😂😂😂😂khaaa

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 Рік тому +3

    Pumbavu ongeni kilimo na biashara

  • @djfabricecigunda9593
    @djfabricecigunda9593 4 місяці тому

    Sauti ya wanamke ni moja tu

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s Рік тому

    Nyie mlipendana na bado unampenda nice kbsaa macho yanaonyesha