MPYA : MUUAJI ASIYE NA HATIA/ KISASI ( INNOCENT KILLER/REVENGE)- 1/10 season 1 SIMULIZI ZA KIPELEZI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 чер 2023
  • SIMULIZI MPYA KALI:MUUAJI AISYE NA HATIA /KISASI (INNOCENT KILLER/REVENGE)
    Picha linaanza na mauaji ya Raisi wa nchi.. Kisha yanafuata mauaji ya jaji mkuu wa nchi na familia yake yote baada ya kuhukumu kesi ya kunyongwa kwa mtu aliedhani kahusika na mauaji ya Raisi kumbe hakua na hatia.. Tatizo ndio lilianzia hapo anaporejea nchini JASON mdogo wa damu wa jaji mkuu alie uawa... Ukiachilia mbali kwamba Jason ni chuma binadamu yani ni muuaji hatari tena anae miliki kundi la wauaji wa 4 hatari kuliko hatari yenyewe.. Ukiacha hayo yote jamaa huyo ni kiongozi mwenye nyazifa kubwa sana Serikalini kwa siri sana ambacho ni watu wachache sana wanajua hilo.. Sasa huyo mtu ndio anaingia kuwasaka wote waliosababisha kifo cha raisi na familia ya kaka yake Jaji mkuu.. Huo moto wake haupimiki.. Hii ndio Simulizi bora ya msimu huu... sikiliza utaelewa kwa nini nakwambia hivyo... Sehemu ya pili itakua hewani saa sita kamili hii leo tarehe 8/6/2023... Enjoy na share..
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 41