Kijana Masikini na Binti Tajiri Msimu wa 3 Part 1 (Madebe Lidai)
Вставка
- Опубліковано 9 тра 2024
- #Mapenzi Yasiyotarajiwa: Peter, kijana maskini, anampenda Alice, binti tajiri. Baba yake Alice anakataa uhusiano wao. Je, watapata furaha? Tazama video hii ya kusisimua! #mapenzi #kijanamaskini #bintitajiri #furaha #hadithi_ya_kusisimua
- Фільми й анімація
Like zenu tafadhli
Duuuh kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza hatariii
Tunakubali ubunifu wenu ...heko taswira media ❤❤❤❤.
Wao kazi safi sa msimu wa Michael na Edina twende nalo 🎉🎉🎉🎉hongereni taswira
Pamela kama Pamela umetisha sana my dear sister
Yes maike naweye waheko jikuli zako ukomali bueu da buaangare sadeved
Hii movie nimeipenda mno pokea maoni yenu🎉🎉🎉🎉
Vip chakula kiko kwenye sufuria ama ule mdude wenu wa sku zote 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
Mambo mazuri shangazi karudi
Jaman mbavuzangu😂😂eti mdude wenu wakilasiku😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂
Naomba mutupe hadi mwisho musibajishe kitu kule Azam please 😂
Shangazi kaludi tena🎉
Jamani mimi napenda mapacha na gutale
Yani hata tukifika msimu wa 100 Mimi na nyie t ❤
Eyeeeshanga zi anarudi hhhh deved nami. Nakupendaka sana ❤❤❤❤
Asante Sana 🙏
Waoooo jaman ad raaa nawapenda san jaman ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naenjoy San jaman
Yes muaikaa yijae watawamaliza kabisa
Waooo hamuna baya mambo tayari🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mumetisha San nimekubar jamn mnazingatia mda sana ❤❤❤❤
Jamani ninawapenda sana,mnanipa Raha sana ,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shangazi karudi😂😂😂😂😂 nimefurahi kumwona shangazi pamela
Yan ad rah shangaz karud pambe san mashaallah ❤❤❤❤❤
Nimejikuta nalia 😢😢na pamale
hongeren
Hongereni kazi nzuri
Gutale pokea heart love❤❤❤❤❤❤ from kenya
Hapo umesema maico ❤❤❤
Nakubali sana master movie nzuri sana 🎉🎉
Asante Sana
Mbona kama shangaz pamela kaja kuharibu mipango ya maiko kula tunda la Edna,, ngoja nisubiri nione kitakachotokea
😂😂😂basi watu watasema wao wa kwanza
Asanten sana kutufraish
David Toroka na Msichana uende kwa mama❤❤❤❤❤❤❤
Hiyo ndio kitu pia mm nafikiria
Edina usitoke nje baba yako mkatili sana mwezako atauliwa
Gutalee l vote for you in previous episode 47 season 2
Pole Pamela 😢😢😊🎉
ohoo shangazi mtukutu karudi😂
Wa kwanza
Very nice
Asante
Na Mimi Naomba like
jamani siku maiko na devd ukinuana na mcheti ndoo utakuwa umeisha
Jamani mimi nawapenda sana ni ngepenada munifungulie msimu wa 3 kwasababu naona ijafika msimu wa tatu kwanzia mwanzo nmeona hadi msimu wa pili iko subu sana just nifungulie tu
Pamela Karibu kwamara ingne tumekumiss
Natamani kupata yote kwa pamoja
Mbona Shangazi analeta funjo palipokua kimia.
Wa kwanza ina maana gani mbona nazionaga sana
Wow ❤❤❤❤❤❤
Butale❤
Mnatoka nje acha mkutwe
Nani amefurahia kumuona shangazi mkubwa
Shangazi amerud hataki kuchekewa
Wa kwanza msimu wa 3
Nimejikut naliy teya😭😭😭😭😭😭
❤❤❤🎉🎉🎉
gutare🤣
Waooo
❤❤❤❤
🙏
❤❤❤
Afadhali aunt amerudi
Nimefurahi sana kumuona aunt
Madebe upo vizr nakukubali
Shangazi kaludi tena🎉