Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MUUAJI ASIYE NA HATIA/ KISASI ( INNOCENT KILLER/REVENGE)- 1/10 season 2 SIMULIZI ZA KIPELEZI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2023

КОМЕНТАРІ • 58

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 Рік тому +7

    Wakwanza jamani like zangu

  • @abdalladhadhokomora2268
    @abdalladhadhokomora2268 Рік тому +1

    Jamaaniiii mwatucheleweshea utamu

  • @phoebesifuna8534
    @phoebesifuna8534 Рік тому +1

    Nafurahi sana símulizi hii ina mafunzo mengi thanks sana kwa muendelezo wa innocent killer l love you simulizi mix family

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Рік тому +1

    Saluti sim mx🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-yy1oc3qy4m
    @user-yy1oc3qy4m 6 місяців тому +1

    Jamani namumiccc zonga sana nikisikia ❤❤❤

  • @msimhassan
    @msimhassan Рік тому +1

    👌

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec 3 дні тому

    Mkuuu wa majeshi itamgarimu kwa maamuzi yake

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 Рік тому +1

    Et sikujua kwamba kufa kwaja😂😂😂poleee

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    😂😂😂😂😂Wameaza kukiona cha moto

  • @user-tu6xc6mh6s
    @user-tu6xc6mh6s Рік тому +1

    😂😂😂😂et swali lako ni lahovyo sana nimecheka kama mjinga

  • @mwajumamany6402
    @mwajumamany6402 Рік тому +1

    Mbona moja jamani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому +2

    Wameaza ku coface 😂😂😂😂😂😂😂halafu huyo david na mkuu wamajeshi kunawanachokifuta na Mwanakulifind mwana kuligate watalipata tuuu

  • @janethmagema8062
    @janethmagema8062 Рік тому +1

    😁😁😁😁 j mku wamajeshi

  • @zubydazad7646
    @zubydazad7646 Рік тому +1

    Duh

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Рік тому +1

    ❤❤❤

  • @mwajumamany6402
    @mwajumamany6402 Рік тому +1

    Jamani huyu anae tubu anachekesha 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 Рік тому +1

    Amefanywa hamna🤣🤣🤣

  • @Ayshaomary-po2gd
    @Ayshaomary-po2gd Рік тому +2

    Wakwanza leo😍😍😍

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Рік тому +2

    ❤ simulizi mix 🎉🎉🎉mie leo jamani wamwisho😂😂😂

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Рік тому +1

      Tuko wengi dear km kuna zawadi zimapewa walio wahi basi tumekosa ila utamu ni ule ule 😅😅😅

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    Waoooo💃💃🙏🙏Asate sana simlizi mix d oen

  • @sikukuuathmansikukuu
    @sikukuuathmansikukuu Рік тому +1

    Nilikuwa naisubiri kwa hamu mbn❤️❤️❤️❤️❤️👌👌👌👌👌👌💪💪💪

  • @aminah9557
    @aminah9557 Рік тому +3

    Mm pia siwezi kuachwa nyuma bwana 😂😂😂

  • @saidhassan8080
    @saidhassan8080 Рік тому +5

    Waakwanzaa leo wadau naomba like zenu plz

  • @nereaheyinda
    @nereaheyinda Рік тому +2

    Mimi Leo wa kwanza!!!!🤣🤣🤣🤣🤣 Director OEN Mimi huyu hapa💞👋

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Рік тому +2

    Niliisubiri😛😛😛 asante D’oen kwa mwendelezo 🔥🔥🔥🔥🔥 Innocent Killer 🥰🥰🥰🥰

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Рік тому +2

    Thanks so much D, Oen wewe ni wetu we salute you 🙏🇰🇪

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 Рік тому +1

    Safi sna

  • @ismailmohd5025
    @ismailmohd5025 Рік тому +1

    Ya pili mpka lin naona mumetuwekea 1 tu

  • @petermgule4681
    @petermgule4681 Рік тому +1

    Ukichelewa sema

  • @zaytoona2215
    @zaytoona2215 Рік тому +1

    Ahsante dear 😊😊😊❤

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Рік тому +1

    🔥🔥🔥👌

  • @teddyemmanuelyemailteddyemmanu

    Jamn watu mnachungulia kila muda

  • @harunmanura7900
    @harunmanura7900 Рік тому +2

    Mpaka kieleweke

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 Рік тому +1

    Atlast. Thank a lot

  • @aishamukandanga6892
    @aishamukandanga6892 Рік тому +2

    Leo nimewahi

  • @harunmanura7900
    @harunmanura7900 Рік тому +2

    Jino kwa leo

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim Рік тому +1

    😊😊😊😊😊😊

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 Рік тому +1

    😅eti Wacha nicheke 😂😂

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Рік тому +1

    2nachinjaaaaaaaa kumekucha kumekucha 😂😂😂😂😂

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 Рік тому +2

    Shukran saaaanaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @juliananakwawi6863
    @juliananakwawi6863 Рік тому +1

    ❤❤❤😊

  • @mwajumamany6402
    @mwajumamany6402 Рік тому +1

    Jaman mpaka nilikuwa naumwa jamani simulizi ugonjwa wall

  • @user-pu2gu8rd7i
    @user-pu2gu8rd7i Рік тому

    😢

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Рік тому +1

    Eeeh wanawake kupenda na kumkabidhi mtu moyo wako bila hata kumtambua yy ni nani yaha sasa ndo madhara yake nairati alipenda sasa atulie Dawa imuingie vilivyo maana hakulazimishwa na mtu

    • @nkurunzizasandrine5091
      @nkurunzizasandrine5091 Рік тому +1

      Hhhhhh acha makasiliko mummy

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Рік тому +1

      @@nkurunzizasandrine5091 wala mie sina makasiriko huo ndo ukweli maana nairati ameanza kutapatapa kuhitaji kumjua Jayson na wkt aliambiwa achague anacho kitaka yy aliamua kumkabidhi moyo wake pasina kumjua yy ni nani

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 hiv kunaa mtu amerundia kama mm kwenye tarifa ya baba yake mdogo naira maaana nimejikutaa nimechekaa mpkaa nimepaliwaaa😂😂😂 et ulitaka aniue eeeh swali lako la honyo😂😂😂 kweli

    • @latifasuleiman597
      @latifasuleiman597 Рік тому +2

      😂😂Mm mwenzio tena nimecheka sanaaa na nimerudia haswaaa chezea Jason weweee wacha aeke watu sw

    • @salmazwallo5920
      @salmazwallo5920 Рік тому +1

      @@latifasuleiman597 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nikajuwaq mm mpaka nimerundia mara 2

    • @SimuliziMix
      @SimuliziMix  Рік тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @latifasuleiman597
      @latifasuleiman597 Рік тому +1

      @@salmazwallo5920 Mm zaid ya mara 2 maana niliipenda ile party nilihisi km naiona vile alivochoka na mateso🤣🤣🤣

    • @munirasaid5389
      @munirasaid5389 Рік тому +2

      Hii simuliz inaletwa siku gani

  • @wadahamis9290
    @wadahamis9290 Рік тому

    Hii simulizi ina maelezo meeeengi na mifano kibao kuliko hata simulizi yenyewe,,mwaandishi wetu tunakuomba tuu kwa simulizi zingine usifanye km hivi tafadhali 🤦‍♀️🤔ni maoni yangu tu wadau

  • @nereaheyinda
    @nereaheyinda Рік тому +2

    Kitale kenya tuko ndani ya safari

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 Рік тому +1

    ❤❤❤