Mungu wangu tunusuru 😢😢😢😢😢ewe Mungu wangu uwiiiii itakuwa mdada wawatu kachukuliwa hukoo labda kufika wameshindwana cjui au mpenz wake jmni bina dam jmn tupunguze roho mbaya
duh... 😮😮😮 inamaana kuna serial killer yuko anazurura mtaani maana huyo mtu aliyefanya hivi mzoefu flani hivi n mkatili sana aisee. ifike mahali tutoe adhabu kali na za ukweli ukweli kama ni kunyongwa iwe kweli au sindano iwe kweli tupunguze haya mambo 😢😢
Wangebanwa hao wapangaji lazima watakuwa wanajua , cha muhimu ni kuufanyia uchunguzi hiyo mifupa ni ya muda gani na kama kuna uwezekano wa kupata DNA kupitia mifupa, na kutangaza nchi nzima kama kuna mwanamke amepotea, kwa Nini hao waarabu pori waliondoka bila kumpa taarifa mwenye nyumba ? Kama nyumba zina gates na wanaishi watu sio rahisi mtu kuja kutupa maiti. Tanzania kuna umuhimu wa kuwa Na hifadhi ya DNA za watu wanaopotea ili maiti au mifupa ikipatikana kuweza kulinganisha na kujua ni mifupa ya Nani , na ni muhimu mitaa kufungwa camera za CCTV cameras mitaani ni ajabu sana hamna cameras mitaani Samia usiendeshe nchi kienyeshi karne hii ya teknologia !
Inawezekana aliuawa akatumbukizwa kabla wapangaji hawajaingia kwenye nyumba hiyo. Huyo mwenye nyumba kajuaje km ni mwanafunzi!? Mwanafunzi gani anavaa wigi na kigodoro?!😮
Mwenyezi mungu utulindee jambo mungu atulinde tusife vifo vya ajabu kama ivi mwenyezi mungu tusaidie🙏
Kuna mtu anapenda kufa kifo kibaya binadamu Wabaya tuwe tunaomba Mungu atuepushe watu Wabaya
Dunia imefika pabaya sana, wapendwa usalama wetu ni kumshikilia Mungu wakati wote maana ibirisi yupo kazini
Hakika Dunia ipo mwishoni
Mmh! Dunia imeharibika jmn saiv bora wanyama kuliko binadamu mungu akusaidie
Mungu wangu tunusuru 😢😢😢😢😢ewe Mungu wangu uwiiiii itakuwa mdada wawatu kachukuliwa hukoo labda kufika wameshindwana cjui au mpenz wake jmni bina dam jmn tupunguze roho mbaya
Daz Babaaa,hupitwi jambo ndota
Duuuh jamani nyie dunia imekwisha Yani ni unyama unyama kwann lkn?eee mwenyezi mungu turehemu.
Wangewachunguza hao wageni na huyo alosafiri kwenda south africa.hao wanatia mashaka wasije kua wafanya biashara za madawa ya kulevya.
Kama utani lkn ndo kweli mwili umekutwa aisee daah Mungu nipe mwisho mwema😢😢
Ya ALLAH Tujaalie mwisho mwema🤲🤲🤲
Yaani mtu akikwambia nitakupoteza kumbe maana yake ndiyo hiyo du
Hao waliohama ndio watakua wanausika😢
daz bab nae nn tena au mpangaji😂😂
Nimetetemeka jaman mungu atusamehe jaman 😢
Ndio unaweza kupanga sehemu ukawa unaota vibaya kumbe kuna mtu analia huko kwenye mavi
😭😭😭💔
Kabisa
Jmn khaaa😢😢😢
Huyu dada kwakil yangu ameuwawa hapo ndan na inaonekana alikuja kwa mwanaume hapo
Kweli mana haiwezekani mtu wa mbali aingie kwenye nyumba ya mtu awake. Mwili
duh... 😮😮😮 inamaana kuna serial killer yuko anazurura mtaani maana huyo mtu aliyefanya hivi mzoefu flani hivi n mkatili sana aisee. ifike mahali tutoe adhabu kali na za ukweli ukweli kama ni kunyongwa iwe kweli au sindano iwe kweli tupunguze haya mambo 😢😢
Wangebanwa hao wapangaji lazima watakuwa wanajua , cha muhimu ni kuufanyia uchunguzi hiyo mifupa ni ya muda gani na kama kuna uwezekano wa kupata DNA kupitia mifupa, na kutangaza nchi nzima kama kuna mwanamke amepotea, kwa Nini hao waarabu pori waliondoka bila kumpa taarifa mwenye nyumba ? Kama nyumba zina gates na wanaishi watu sio rahisi mtu kuja kutupa maiti. Tanzania kuna umuhimu wa kuwa Na hifadhi ya DNA za watu wanaopotea ili maiti au mifupa ikipatikana kuweza kulinganisha na kujua ni mifupa ya Nani , na ni muhimu mitaa kufungwa camera za CCTV cameras mitaani ni ajabu sana hamna cameras mitaani Samia usiendeshe nchi kienyeshi karne hii ya teknologia !
Camera Muhimu Sana Kwasasa Ila Sasa Vibaka Si Wataziiba hizo Camera jamani Ni Kuimba M'Mungu Atunusuru YARRAB 🙏
Inawezekana aliuawa akatumbukizwa kabla wapangaji hawajaingia kwenye nyumba hiyo. Huyo mwenye nyumba kajuaje km ni mwanafunzi!? Mwanafunzi gani anavaa wigi na kigodoro?!😮
Kwani unaongea nini kwani wanafunzi hawavai mawigi?na vigodoro ndo wanaongoza
Inah Lilah wainah ilah rajughuu
❤❤❤❤❤❤
Muuaji alijipanga yaani mtu mapk anaoza na kuisha kabisa bila kutoa harufu 🙌sijui aliweka nini 😢😢eeh Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema 🙏
Labda dawa ya choo inazima harufu 😢
nimemuona daz baba
SubhanaAllah 😢
Huyo aliyeondoka bila kuaga huyo, tuanzie hapo
Hii ina siku nyingi kidogo maana mpaka imechakaa
@AshuuuBakari si Ndo hapo alipohama mpangaji bila kuaga labda
@@easternyerembe7271 na Aliesafiri
Damu ya mtu nzito aliweka madawa watu wasimuone bdo tumemuona
😢😢😢😢jmnii kafaaa kikatilii kafa kinaumivuuu yaniiii huyu muwajii alidhamiria hadi kumwekea dawa ili asitoe harufu khaa watu wanaujasiri
Yani binaadam wanatisha kuliko wanyama 😢
Subhannallah subhannallah daaaah
Mungu wangu mbona Kila siku ni shida nini iki jamani😭😭😭
Mwisho wa dunia 😢
Dunia imisha Eeh mungu tupe mwisho mwema😢
Duu😢😢😢
Km Kuna ambaye hajamuelewa mwenye nyumba km mimi njoo tujadiliane
maelezo yake yanakonakona
Pangine ni huyu mwenye Nyumba anababaika harafu haypo sawa kabisa
Huyo mwenye nyumba
wale ambao walimteka mtoto na kuwa tumbukiza mke na mume hao ndo waliyofanya hiv dah watu wamekosa utu sana
Duuh maisha😢
So sad 😢😢😢
Jamani huyu sio Daz Baba bana
Duh😢
Mmmmh
Jamani mwanafunzi atavaa vigodoro?!
Wa chuo wanavaaa
Duh
Duuuuh
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ni zaidi ya hatari
😭😭😭😭😭
Huyo msela aliyeanika jeans ndiye aliyefanya tukio
😂😂😂
💔
Huwenda serkali ilituhumiwa kuwa ametekwa kumbe duuuu!!.
Mwisho wa dunia
Sasa hapo dokea mwanzo namuona dazz baba kwani ye ni mwenyekiti au ni mjumbe wa mtaa😢
Kioo cha jamii
Police wa Tz wamenenepeana
Wawapi wamekonda tuambie 😏😏😏
hahahahaha majibu Mt analipata kabla hajauliza hahahahaha
Wajina. 😂 polc wakinenepa kwani ww unaumia nn
hahahahaha hahahahahahaha
😂😂😂😂
Duu
Toote nimesikitika nimecheka komenti ya mmemuona chazi baba
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙄🙄🙄🙄
Nimemuona daz baba
😢😢
😭😭😭😭
🥲🥲
😭😭😭😭