Kuuropoka kwake kumemfanya Lisu ashinde Mungu atamlinda u huyo Mzee na hakuna anaependa ukweli kwenye Taasisi yoyote Magufuli mbona amekufa kisa ukweli mifisadi yote ilikoma na alisema mtanikumbuka kwa mema si kwa mabaya
Ila wewe mzee ulitukera sana maana ulikuwa cha wa Mkatoliki mwenzako, sasa uache vinasaba vya udini, kuwa kama hao wanaokusaidia iga tabia zao, hawana chembe za udini,
Mzee naye anaongea hovyo na kujisahau wakati wa magufuli wote waliufyata cha muhimu aye Samia ni Rais na amiri jeshi mkuu kauli wakati akimkosoa asivuke mipaka ndiyo kilichomponza
Huyo Mzee ajiheshimu na huo uzee wake Mbona alikula Kindazi wakati wa Magufuli alikimbia Chadema na kupewa Kindazi . Sasa anajifanya kunyanyua mdomo ,andazi zimeisha anataka zingine??
Wewe huoni kituo cha Magufuli kimekufa usimamizi hakuna magari yote yanapaki sehemu wanazotaka ni ya Wabunge na Mawaziri angekuwepo hayati magufuli ujinga kama huo ungefanyika nchi imekwisha kila mtu amakomba kivyake huoni Mpina msema ukweli wanavyomchukia wizi mtupu
Ila wewe mzee ulitukera sana maana ulikuwa cha wa Mkatoliki mwenzako, sasa uache vinasaba vya udini, kuwa kama hao wanaokusaidia iga tabia zao, hawana chembe za udini,
Bado Africa tunashida sana viongozi wetu hawapendi waambiwe ukweli ukisema ukweli matokeo yake ndo kama haya 😢
Kuuropoka kwake kumemfanya Lisu ashinde Mungu atamlinda u huyo Mzee na hakuna anaependa ukweli kwenye Taasisi yoyote Magufuli mbona amekufa kisa ukweli mifisadi yote ilikoma na alisema mtanikumbuka kwa mema si kwa mabaya
❤❤❤❤❤❤❤
Ndani Pamempenda doctor
Shida n mihimili inaongozwa kwa utashi binafsi.
Katiba mpya ndio suluhisho ili kila mhimili ujitegemee kiukweli ukweli
Jinsi vifungu vinavyosomwa tu kutokea kichwan na pita madereka mimi najiona nirud tu shule tena😢😢😢
😂😂😂
Hicho kichwa ni habar nyingne 🔥🔥
Mbaya zaid hakina nywele😅@@jamaldaud-e4d
@@jamaldaud-e4d niambie kesi kubwa aliowahi kushinda madeleka😂😂
Uyu jamaa madeleka ajawahi shinda shauri lolote mahakamani ili kamdomo anajuwaga kutumia tatizo akili amna😊
Free dr slaa .
Ila wewe mzee ulitukera sana maana ulikuwa cha wa Mkatoliki mwenzako, sasa uache vinasaba vya udini, kuwa kama hao wanaokusaidia iga tabia zao, hawana chembe za udini,
🇹🇿 Tanzania kama hatuna ya kufanya tuwapeleke Congo kuna kazi za wanaume kule,
Haki inaishi hao wanao kandamizawenzao munguyupo
Atutaki kuwa kama Kongo lisu tuhache tunalala vizulitu
Kwahiyo huo uzee ndo unamtumia atukane hivyo?? Humo ndani Kuna wenye miaka 90 . Kumbe na wewe lisu ni zuzuaaa
mpaka muda huu wiki mbili sasa atakuwa ameacha kuropoka huko mtandao X
Ujitambui wew unaweza kusemaja mutu muzima analopoka wakati anakuzidi umuli
Kuropoka ni kosa?? Wamfunge Sasa tuone
Mwamba p. Madaleke na mwamba lisuu kazi wanayo 😂😂😂😂
Mzee naye anaongea hovyo na kujisahau wakati wa magufuli wote waliufyata cha muhimu aye Samia ni Rais na amiri jeshi mkuu kauli wakati akimkosoa asivuke mipaka ndiyo kilichomponza
Wewe chawa tu.. kila mtu ana uhuru wa kuongea.. kusema kuropoka inaonyesha ni namna gan una ubongo wa mende.. sema katenda kosa Gani?.
Huyo Mzee ajiheshimu na huo uzee wake
Mbona alikula Kindazi wakati wa Magufuli alikimbia Chadema na kupewa Kindazi .
Sasa anajifanya kunyanyua mdomo ,andazi zimeisha anataka zingine??
Kabla hujaona vyombo havitendi haki unatakiwa kujiuliza je kafanya nini mpaka akamatwe
Maneno yake ni yakichochezi hayaendani na umri wake kama mzee angekuwa na busara
Fala wewe
Wamemchakaza mzee siku kadhaaa tuu🫣🫣
😢😢 huyu Mzee ana Sukari jamani....
Ikitokea amekata Roho Tutajisikiaje???
Sheria haina umri
Na wanawez kumpiga sindano ya sumu mzee wa watu akafa kisa et wasiambiwe ukweli kwan wao ni kina nani washenz hawa
Eti mzee. Kama ni hivyo angeacha kuongea mambo asiyoweza kuthibitisha.
Miaka 76 angeacha mdomo
Baby mdomo unamuwasha acha wamtengeneze.Na nyinyi mnaomtetea muelezeni ukweli ajifunze .Padri muzima kuongea kitu hana uhakika nacho na dhambi kubwa sana.
Ww bado hupo usingizini
Lisu ongera sana Kwa kumkumbuka mzee
Inasikitisha San kumweka Mzee kama hyu gerezani tukumbuke aliyoyafanya nyuma.Hii Dunia sis ni wanadam tuu tunapita
Mzee mnafiki huyo angeendelea tu kupumzika kabatini
Chizi
Chizi wewe
😳😳
Niko kimya milele
Bora kwanza apate adabu,mnafiki huyo mzee
AMZIDI MAMAAKO KWAUNAFKI
Kwani Hana mdhamana
Wewe huoni kituo cha Magufuli kimekufa usimamizi hakuna magari yote yanapaki sehemu wanazotaka ni ya Wabunge na Mawaziri angekuwepo hayati magufuli ujinga kama huo ungefanyika nchi imekwisha kila mtu amakomba kivyake huoni Mpina msema ukweli wanavyomchukia wizi mtupu
Silaa apewe zamana mambo mengi yann
Mimi nahisi mahaka haina kazi
Wangempa tena ubalozi
Mdogo wa makamu mwenyekiti wa ccm huyo
Wewe mwenyewe kuwa makini kumbuka ulikimbia kesi Hadi ukafutiwa kezi zako
NGUO YA MWANDISHI SIJAELEWA ELEWA😂😂
😁
Kamdomo kamdomo!😅😅
Hawa ndo watanzania , vichwani wamejaza vichekesho na comedy.
Dunia inaenda mwishonii kweli maana watoto wa enzi hizi TAYARI TAYARI
@sandejacob623 Tutaelewana tu!
Nchi kama haina democrasia hatuna nchi Bali ni mabavu na uonevu mtupu
Ila wewe mzee ulitukera sana maana ulikuwa cha wa Mkatoliki mwenzako, sasa uache vinasaba vya udini, kuwa kama hao wanaokusaidia iga tabia zao, hawana chembe za udini,