MWANZO MWISHO JENGO LA TRA KARIAKOO LILIVYOTEKETEA “DOCUMENT ZIPO SALAMA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 36

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 8 годин тому +8

    WATU WASHAKULA VYAO HAPO..KILICHOBAKI NI KUHARIBU USHAIDI TUU😆

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 4 години тому

    Safi sana! kwa kudhibiti Moto..Tunaomba Serikali izidi kuongeza bajeti katika kikosi cha Zimamoto..Kadri watu wanavyojenga Maghorofa.

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 5 годин тому +1

    Ni mwendo wakuchoma moto tu kila kitu kama GOODLUCK😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NeemaBwomaBaraka
    @NeemaBwomaBaraka Годину тому

    Jamani mbona kariakoo matukio yamezidi

  • @gloryelimkatesh
    @gloryelimkatesh 5 годин тому

    Yaaan hii nch yetuuuu moto lisaaa lizim watu wa fire awajafika kama ingekua huk kwetu mikoan mbn tunakwisaaaaaa😂😂😂😂

  • @Dunia_Films
    @Dunia_Films Годину тому

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😢😢😢😢😢😢😢

  • @PeterBaton-x7b
    @PeterBaton-x7b 7 годин тому +1

    Washakura Vyao Naushaidi kuchomwa🤣🤣🤣

  • @rizikibakar3186
    @rizikibakar3186 6 годин тому

    Safi sana Zimamoto

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 4 години тому

    Hili tukio limekaaje hapo kuna
    1.TRA,
    2. Gari ngazi ya zimamoto,
    3. Floor ya mwisho ngazi inaweza kufika
    4. Zimamoto kufika kwa wakati
    5. Record hazikai floor ya juu

  • @JamesKirita
    @JamesKirita 6 годин тому

    Tangazo la Krein zimamoto🎉

  • @AdebeKabuka
    @AdebeKabuka 6 годин тому

    Kwanza mimi naomba huyu meneja kukamatwa sijarizika na hoja zake kuna kitu kinaendelea apa pili kama mzalendo naomba kujua chanzo cha moto na kujua watendaji wakatiuo walikuwa wapi make sijamuelewa meneja kabisa😢

  • @AdebeKabuka
    @AdebeKabuka 6 годин тому

    Mbona kama uko tushatoka zamani sana sizani kama kuna mtanzania atakaye babaishwa na hill jambo zaidi ya kujiharibia na kujipa sifa mbaya kwa tasisi

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 4 години тому

    Mchakato unaendelea.

  • @kulwankuba2785
    @kulwankuba2785 4 години тому

    Tushapigwa na kitu kizo, Golduck,upigaje hapo?

  • @diehansi
    @diehansi 8 годин тому +2

    Ila chadema😅😅, usimaind sijakutaja wewe

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 6 годин тому

    Nimeumia kuungua jengo,ila wangeungua hao kamatakamata mizigo yetu,wala nisingeumia kabisa,nawachukia sana walikamataga mzigo wangu ulikaa mwezi mzm kisa ilikosekana list ya kimzigo kimoja tena cha hela ndogo sana.Na matokeo yake walinipiga million tatu kwa kinyemelea tu,wakati mzigo wenyewe ulikuwa wa million tatu na nusu da!hao watu sitaki hata kuwasikia kabisa.

    • @ZaynabuCake
      @ZaynabuCake 5 годин тому

      Pole sana hii ndy tanzania

    • @DaheerK
      @DaheerK 4 години тому

      Bas wataungua tena😅😅😅😅

  • @ErasmusKatesi
    @ErasmusKatesi 8 годин тому +1

    Mungu mkubwa

  • @biancaqui1810
    @biancaqui1810 8 годин тому +1

    😢😢😢😢😢Yz

  • @PeterJoseph-j3r
    @PeterJoseph-j3r 7 годин тому

    Mama.mitano tena

  • @AdebeKabuka
    @AdebeKabuka 6 годин тому

    Mbona kama maigizo ya filamu wanatufanyia

  • @AdamMohamedi
    @AdamMohamedi 7 годин тому

    Wamezima haraka si kwa sababu taasisi zote ni familia acheni maigizo

  • @latifalayla9990
    @latifalayla9990 7 годин тому

    Baada ya kuongeza sifuri nyingi wameona wafute ushahidi. Si mchezo

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 6 годин тому

    Kodi msururuu,kodi mingi

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 4 години тому

    Ko nyaraka za walipa Kodi ziko salama???!😅

    • @hopepeter2773
      @hopepeter2773 4 години тому

      Hii comment muhim nmeshaipata🤔🤓

  • @modecreatives6
    @modecreatives6 8 годин тому +1

    Tanzania

  • @AdebeKabuka
    @AdebeKabuka 6 годин тому

    Alafu ni swala la kijinga sana mtu kukampeni katika maswala kama haya ni kama tunaipa kipaombele ujinga kuliko maharifa

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 8 годин тому +1

    Huyo askar mjinga sana kaishika bunduk km kuna vita au nilimbukeni wa bunduki

    • @HAMISICHACHA
      @HAMISICHACHA 8 годин тому +1

      Sifa 2 ndo askari wenu

    • @DaudMoche-rl4cg
      @DaudMoche-rl4cg 7 годин тому

      Hujui unacho kuongea,,,zaidi wewe ndo mjinga

    • @husseinmramba
      @husseinmramba 7 годин тому +1

      Bro yani vijana wa humu mtandaoni wapuuzi sana yani wana jifanya wajuaji afu hawajui lolote 🤦🏿‍♂️​@@DaudMoche-rl4cg

    • @HGvv-bh1ig
      @HGvv-bh1ig 6 годин тому

      Km hujptia mfunzo huwezi kuelewa kitu broo

    • @IbrahimHassan-db3qz
      @IbrahimHassan-db3qz 6 годин тому

      Bro ww ni mjinga sana basi polisi kwenye matukio wasikuwepo kwani ww hujui kazi ya police