PART10:MWANAJESHI WA JWTZ ALIETOROKA NA SARE NA SILAHA KAMBINI NA KUAMUA KUWA JAMBAZI ALIETIKISA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 Рік тому +9

    Muulize Aliwahi Kurudi Uganda kumuona Mdhamini Wake... Na huyo Mdhamini Wake Aliishiaje..

  • @AmashaRajabu-ru6nq
    @AmashaRajabu-ru6nq Рік тому +5

    Story nzur Sana niko nayo mwanzo mwisho kweli huyu mtu alikua Mafia vibaya mno ashukuliwe mungu kumbadilisha

    • @ibnmoses979
      @ibnmoses979 10 місяців тому

      Usimuamini sana anaweza kukuibia

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Рік тому +3

    Ni kweli botswana hakuna trafic amefika kweli...

  • @IddyAlly-p5g
    @IddyAlly-p5g 9 місяців тому

    UyuMzee arikua anatumia stairi zakikomando kufanyia uarifu niwatu wachache wanaojua izostairi

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 Рік тому +1

    UYU BABA ANAONGEA UKWELI KABISA BOTSWANA AKUNA TRAFIC HADI NILISHANGAA KWA MARA YA KWANZA

  • @-TECHNICIAN
    @-TECHNICIAN Рік тому +2

    POWER MANGWANA NAKUMBUKA MIAKA YA 2005 ALIKUJA SHINYANGA ISA KUONYESHA MAONYESHO GALI IKIKANYAGA MKONO WAKE ALIKUWA AMESHIBA HATARI

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 Рік тому +1

      Lkn c mwaka huo..hapo ashakuwa.mchungj hapo mza babtist kona ya bwiru

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 Рік тому +1

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Рік тому +1

    Hakika nimebarikiwa sana sana na hii story

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 Рік тому +2

    Naomben like zangu

  • @samwelmwigicho3092
    @samwelmwigicho3092 Рік тому

    Davista Mata 🎉🎉🎉

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 Рік тому +2

    Davista naomba muulize katika kaz ya ujambaz ni wap alipata pesa kubwa sana

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 Рік тому +1

    MAFIA AFU ANA AKILI KAMA COMPUTER AFU MKONO UMELALA NGUVU USIPIME

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 11 місяців тому

    Kwanini watu wa aina hii ambao hivi sasa wanazidi kuongezeka kutoa maelezo na ushahidi wa "crimes" zao hawafunguliwi mashitaka na kuenda kutumikia Jela kutokana na " crimes" zao?

  • @Waziri77
    @Waziri77 Рік тому

    nyumba mnaingiaje? au mnavunja mlango?

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 Рік тому +1

    Botswana hakuna rushwa

  • @AnoldLyimo-h1e
    @AnoldLyimo-h1e Рік тому

    Kwenye saa mzee muongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому

    Waa mko hatari mpaka kwa meli mnaiba

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 Рік тому

    Anga zake😂😂😂😂

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому

    Yani huyu mama mwenye nyumba alipenda kujisifu na kujionyesha itakuaje mtu siku moja ashajua nyumba yako ilivyo

  • @isaiahjohnofficial
    @isaiahjohnofficial Рік тому +1

    😊😊😊

  • @robertmashauri7525
    @robertmashauri7525 Рік тому

    🎥🎥🎥🛌🔥🔥🔥

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 Рік тому

    Wakwanza na Leo

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 Рік тому

    Wakanza tena

  • @johnkipalile9679
    @johnkipalile9679 Рік тому

    Tunasubir upost episode inayofata kabla ya bando halijakata muda wake😂😂

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 Рік тому +1

    mwili bado jambazi style sasa kitambo ilikua vp jamani? ukikutana nae usiku mbioo🤣🤣

  • @Kingmove-j6w
    @Kingmove-j6w Рік тому +1

    ila watu mnawah kuna wanao comment kabla hata ya devistar hajapost😂😂😂

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому

    Hyu atakuwa wamayo part2😅

  • @debrightystartz4139
    @debrightystartz4139 Рік тому

    Sehemu ya 11 kimya

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 Рік тому

    Navunja sana sheria za barabarani, kama hizi hamsini (50) za nje ya mji😂 na pita na 120/140😅.

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 10 місяців тому

    Huyu sio wa kumuamini kabisa sababu hata uchungaji ni Wizi pia so hajapata kheri yeyote
    Kaachishwa na umri na sio sababu zingine #Usimuamini

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂