Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 998

  • @Mutedingenuity95
    @Mutedingenuity95 4 роки тому +59

    Kila mtu ataamshwa nashidazake Kwa wakati wake...wenye roho ngumu kaeni Ivo Ivo kuumia na kuteseka kulia katika ufalme washetani ambayo moja yake ni dini ya ki islamu..Mimi nimtafuta ukweli sio kuzaliwa tu na kufata dunia...nilitafuta ukweli nikampata yesu..sababu yesu ni ukweli..Asante Yesu❤️

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 роки тому +17

    Yesu ni njia kweli na Uzima mtu haji kwa Mungu pasipo kumkubali yeye.Asante Yesu kwa kuniokoa nakupenda sana mwokozi wangu.

  • @janeobure3006
    @janeobure3006 7 років тому +20

    Yesu anaweza,damu ya yesu iliyomwagika msalabani ikufunike.

  • @ChristineMunezero-wv2yb
    @ChristineMunezero-wv2yb 9 місяців тому +2

    Ainuliwe juu bwana wamabwana Yesu chrito❤❤

  • @jeffyweffy6398
    @jeffyweffy6398 3 роки тому +5

    Yesu ni Mungu...Ngumu kuamini kwa watu fulani lakini kweli

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      Mungu anatahiriwa na kwenda msalani Mungu ana njaa zinduka ndugu

  • @AbisaiMwambene-fo9pt
    @AbisaiMwambene-fo9pt Рік тому +5

    Jesus is a name above all names

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 5 років тому +15

    Yesu ndiye njia ya kweli safi sana

  • @allymadjaliwa1374
    @allymadjaliwa1374 7 років тому +5

    whallahi naapa kwa yule alie tutanguliza hapa duniani hauta ondoka hapa duniani kabla hauja zalilika kwa uongo mkubwa ulio uzua zidi ya muumba wetu allah.

  • @barnabasanga7552
    @barnabasanga7552 3 роки тому +6

    Bwana Yesu ndiye Mungu na jemedali wa ulimwengu.ampingaye daima atapotea.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Mathayo 4
      10 Ndipo Yesu alipomwambia
      Nenda zako, Shetani; kwa maana
      imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu
      wako, umwabudu yeye peke yake.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Kama yesu mungu kwa nini asiseme tumuabudu yeye peke yake aseme tumsujudie mungu na yeye ni mungu

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 роки тому +1

    Mwisho wa hayo yote ni hesabu.uzushi mtupu. Urongo mtupu

  • @ibrahimmgimba6186
    @ibrahimmgimba6186 Рік тому +5

    I real appreciate your presentation

  • @IkramuKapemba-yr5pd
    @IkramuKapemba-yr5pd Рік тому +1

    Muislam mwenye kujitambua ya kuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu awezi kufanya vitu vya ajabu kama uyo anaetoa ushuuda wa uongo

  • @ajilimaria9290
    @ajilimaria9290 5 років тому +6

    Jina la yesu ni dawa siku zote kwenye maisha yetu ss wakristu.

  • @rebeccanghwasa7387
    @rebeccanghwasa7387 7 років тому +50

    BWANA YESU ana watu wengi sana. ukimkataa wewe haimaanishi kuwa atashindwa kupata watu. kila siku watu wanaokoka. kweli YESU NI MUNGU. jina lake ni kuu sana. nakupenda sana YESU. nisaidie kuwa mtakatifu Bwana Yesu.

    • @ismailngolloh4517
      @ismailngolloh4517 7 років тому +2

      Rebecca Nghwasa hata hao wanaomsikiliza wanajua wanadanganywa ....maana wakiristo wanasoma Quran lkn hawajawahi kuona aya hizo wala hawajawahi kusikia ...aibu ya wazi Kwa wakiristo

    • @rebeccanghwasa7387
      @rebeccanghwasa7387 7 років тому +6

      ipo siku utajua haya kwa dhahili na naomba kuwa usiwe umechelewa na kuingia motoni. BWANA YESU akuhurumie na wewe.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 7 років тому +2

      +Ismail Ngolloh,ebu angalia hiyo comment ya uyo ulie mjibu nae pia ni miongoni mwa wale walio potea,anakwambia,yesu ni Mungu,nakwambia huu msiba kweli

    • @answarkera1719
      @answarkera1719 7 років тому +2

      MUNGU ANASIFA NYINGI HATA BIBLIA IMEZITAJA MOJA WAPO MUNGU HALALI ILA YESU ALILALA,MUNGU HALI YESU ALIKULA,MUNGU HAFI KWA MUJIBU WAIMANI YAO MUNGU YESU KAFA, NA YOTE HAYA NINA VIFUNGU ANAETAKA KUJIFUNZA ATUMIE MUDA HUU KUULIZA NIMFUNZE NA AFATILIE,,,NARUDIA TENA IMANI YENU IMEMSURUBU YESU AKAPIGA KELELE MUNGU WANGU MUNGU WANGU SASA KAMA MUNGU NAE ANAMUNGU WEWE UNABUDU MUNGU A AU MUNGU B? BORA ANGESEMA MUNGU MWENZANGU MUNGU MWENZANGU Mat 27:46 kuendelea soma huko.PIA SOMA YOH 19:14 NA MARKO 15:25 KISHA TUJUZE YESU KASULUBIWA MUDA GANI NA AKAFA MUDA GANI NA ILIKUWA SIKU GANI ILI TUZITAFUTE SIKU 3 ZA YEYE KUFUFUKA ALFAJIR YA JUMA PILINA UKUMBUKE SIKU INA MCHANA 1 NA USIKU 1
      MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA YESU KAZALIWA NA MARYAM MAMAKE ALIINGIA HEDHI KAMA WEWE REBECCA NA ALIPOZAA ALIPATA UCHUNGU KAMA MAMAKO ALIVYOKUZAA PIA HOJA YAKUWA MWANA WAMUNGU HAJAITWA YEYE TU WENGI WAMEITWA HIVYO HATA WEWE PIA 2:10 MALAKI SOTE NI WANA WA MUNGU
      WAKRISTO MSIPIGIE KELELE UKE WENZA ALIEWAAMBIA MUOE MKE 1 NI NANI IKIWA IBRAHIM HAKUWA NA 1,YAKOBO HAKUWA NA TENA NDIO BABA WA MATAIFA 12 YA IZRAEL 1,MUSA HAKUWA NA 1UNAPOTAKA KULETA CHANGAMOTO NA DINI HAI UWE NA HOJA ZA MSINGI.

    • @answarkera1719
      @answarkera1719 7 років тому +2

      JAMANI UJINGA MALI WEWE UKAFANYE UZINZI WAKO HUKO ZAMBI ABEBE YESU? ALAFU MUNGU KATANGULIA KUFA NA KUMWACHA BINAADAM HAI ANADUNDA TU?MUNGU GANI HUYU ANASHINDWA UJANJA NA WANAADAM WANAPANGA KUMUUA NA WANAFANIKIWA NAE ANALALAMIKA MUNGU AJE AMSAIDIE YAANI MUNGU NAE ANAMUNGU MUKUBWA DUH?

  • @hagererakoroso3257
    @hagererakoroso3257 5 років тому +8

    Kila goti lita pigwa na kila ulimi uta kiri kwamba yesu ni bwana

  • @nelsonechesa2200
    @nelsonechesa2200 Рік тому +4

    Hakika mchungaji umenibariki sana be blessed 🙏🙏

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 5 років тому +8

    njoon kwa yesu kristo maana hakuna jambo gumu lolote asiloliweza
    Ameeeeeeennnn

  • @jacklinewahome2416
    @jacklinewahome2416 3 роки тому +8

    Glory to God, kumbe ata waislam, wamechoka na utumwa wa muhammed ,oh my God my Lord,you are wonderful glorious GOd. Waislam Wote karibuni kwa Jesus Christ son of God. The way the truth and life.

  • @rachaelmwinyi8416
    @rachaelmwinyi8416 6 років тому +7

    Njooni kwa Yesu waislam shtukeni hukumu ya Mungu inakujaa

  • @petershikuku2748
    @petershikuku2748 Рік тому +1

    Atukuzwe Mungu mkuu atendaye mambo makuu kupitia Kwa mwanae Yesu k

  • @emmakaneko2386
    @emmakaneko2386 7 років тому +17

    Yesu ndiye njia ya uzima

  • @Awatee
    @Awatee 2 роки тому

    Mnafiki hujawatafsiria vzr laana tuullah

  • @heavenlightswai5294
    @heavenlightswai5294 7 років тому +13

    Mungu wa eliya atajulikana tu

    • @dodoted5033
      @dodoted5033 4 роки тому +1

      Ashajulikana,ni Yesu njia ya uzima.

  • @brilliantt.ikenya7509
    @brilliantt.ikenya7509 Рік тому +2

    Yesu ndiye njia ya kwenda kwa Mungu ❤

  • @emmakaneko2386
    @emmakaneko2386 7 років тому +13

    Bwana yesu asifiwe

  • @calvinmchopa2222
    @calvinmchopa2222 3 роки тому +5

    Yesu ni njia kweli na uzima. Pinga ila ipo siku utamiumbuka Bwana Yesu

    • @Silay1034
      @Silay1034 3 роки тому

      Yaan we kafiri wafaa ukatwe miguu na kichwa kwa uongo nanjaa

    • @Silay1034
      @Silay1034 3 роки тому

      Hakika ukristo niukafiri wawazi naona mnatumia nguvu kubwa at mtafankikiwa kuwavuta wa2 waache uislam half waingie katka ukafiri

    • @Silay1034
      @Silay1034 3 роки тому

      Mungu gan hajui hata siku ya hukmu mnakhasara kubwa ninyi angalieni acheni ushabiki na mazoea 24:36

  • @abelmabula7094
    @abelmabula7094 7 років тому +7

    Mtumishi ubarikiwe nawashindwe kwa jina la yesu

  • @aaronswai6935
    @aaronswai6935 Рік тому +4

    Mungu akubariki Apostle Paul Hussein Mubarak kwa Injili ya WOKOVU!

  • @babaanisha2104
    @babaanisha2104 5 років тому +7

    Qur'an hii ndio naisikia leo namshukuru Allah kwa kuzaliwa muislam

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga Рік тому +1

    Hakika BWANA YESU anatenda mambo makuu. Aliokoa, anaokoa, na atazidi kuokoa vizazi hata vizazi mpaka utimilifu wa mambo yote. Mungu alikumbuke kanisa hili kwa kuwa madhabahu ya ushuhuda lakini pia kwa kumkaribisha mtumishi huyu ili kutoa ushuhuda utakaowaokoa wengi katika Jina la Yesu Kristo....

  • @isaacklaurian769
    @isaacklaurian769 7 років тому +20

    Wajanja wanakimbilia kwa yesu. . . pole sana Kama uamini

  • @bahatimutatwa8719
    @bahatimutatwa8719 5 років тому +2

    Pastor Paul all things work for those who believe yote ni mipango y’a Mungu Ona sasa leo unayo yaongea yanatuhimiza moyo hata sisi waaminidu. Usingesoma hayo hungetufafanuluya habari za koran na Habari Njema

    • @bahatimutatwa8719
      @bahatimutatwa8719 5 років тому +1

      Ubarikiwe sana Burundi 🇧🇮 karibu sana utufunze

  • @gilntihe462
    @gilntihe462 3 роки тому +4

    Wapende, wasipende,wakubali na wasikubali,Yesu ni Mungu,Mukombozi na ni Njiya,Uzima na Ukweli.

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 років тому +14

    Yesu ni njia ya kweli na uzima.
    Huwezi mwona Baba ila kwa yeye.
    Amwaminie yeye hahukumiwi asiemwamini amekwisha hukumiwa... Haina mjadala hiyo
    Mwamini uupate uzima kama unautaka.
    Mkatae upotee milele mbali na uzima.
    Nnnamjua nilie mwamini ni kweli na niuzima

    • @bashiryusuf9670
      @bashiryusuf9670 5 років тому

      Kweli akili ni mali ikiwa huendi kwa baba ila kwanjia yake yy yesu kisha wasema yy yesu ndie baba niujinga uliokithiri

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 3 роки тому +4

    Msumari umepenya wenye masiko na wasikie

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 Рік тому

    Mzee ukasome acha uwongo mungu iyogope sku ambayo utarejea kwa mungu utakwenda kujibu

  • @faithgitonga8314
    @faithgitonga8314 7 років тому +16

    Kwa waislamu wote... hata mpinge namna gani, ndani ya mioyo yenu mnajua uwazi kuwa hamna Jina lingine lililopewa nguvu ila jina takatifu la Yesu. Just surrender your lives to Jesus... lilieni nafsi zenu mpate uzima wa milele. Nyinyi ndio mliofungwa macho na masheikh wenu, Yesu anawapenda jinsi mlivyo tu

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 4 роки тому

      Tumechoka kutafuta pesa Kwa jasho Sasa tumeona tukatapeli wanao tapelika kanisaniiiiii

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 3 роки тому

      Uislamu unashika ulaya kwa watu wasimi wanaojua qur'an makristo wa Africa ni kuimbishwa tu siwachukue Quran wasome wenyewe jamaa anadai kakutana na jini live hongera yake

    • @aboulhaarith1481
      @aboulhaarith1481 2 роки тому

      Nyinyi wakristo ni wapumbavu,,chukueni quran msome

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 роки тому

      Sasa jina yesu litapewa nguvu kwa mfumo gani? Ni Jesus, ni jevoo, ni jesu? Hau ni jina gani maana kila kabila inamtaja yesu kwa jina lake na hata kwenye bibilia ya lugha ya yesu hakuna jina yesu?

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@crescentvscross1132 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 років тому +27

    Yesu ni Kamanda hata wakipinga bado ni Bwana

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      hta mm na mkubali n nabii wa mungu vle na wale wanamuita mtoto wa zinaa(Israel ) uko na ujumbe wa kuwaambi

    • @ismailngolloh4517
      @ismailngolloh4517 7 років тому

      Gideoni Mathew poleni sana Kwa kudanganywa...ametaja aya ya 44 al imrani haisemi hayo anayosema...

    • @janek9103
      @janek9103 7 років тому

      Gideoni Mathew very true brother

    • @user-il1bv6vs9q
      @user-il1bv6vs9q 6 років тому

      Gideoni Mathew Amen

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 4 роки тому

      @@ismailngolloh4517 naomba tufundishane Mimi na wewe je unaamini kuwa Yesu alikufa na akafufuka na akapaa kwenda mbinguni?

  • @saintj1982
    @saintj1982 Рік тому +3

    Thank you Jesus Christ, the way , truth , and life

  • @agathavike7072
    @agathavike7072 2 роки тому +5

    JESUS IS THE ONILY WAY TO THE FATHER. AMEN

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 2 роки тому +3

    Huyu ni baba 6years ago😂🇰🇪 Leo ni mbunge kesho kwa nehema yA mwenyezi mungu atakuwa Raisi wa kwanza mchungaji. Ambapo atakuwa a Natoka ikulu na kuenda kuhubiri injili yA yesu kwa wananchi💪💯

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu Рік тому +2

    We love you so much thunder of God

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 5 років тому +8

    Great is the name of Jesus Christ

  • @ashunashunabdallah3319
    @ashunashunabdallah3319 7 років тому +2

    ww umepewa pesa kutukanana uislam.n inshaall Allha Akulaaan kwakukikashifu. kitabu chake.

  • @janepaulo9619
    @janepaulo9619 4 роки тому +3

    Jamani Yesu ni mkuu sana pia namshukuru kwa kumokoa Paul

  • @davidmchenye542
    @davidmchenye542 2 роки тому +2

    Yesu Yuko mbinguni Ofisi take iko Duniani

  • @elizabethimo412
    @elizabethimo412 4 роки тому +4

    Ushuhuda huu umenifunguwa macho na masikio na akili nimemkubli Yesu. Nimejuwa kuwa kuwa Sawa katika Yesu ni kujuwa maandiko na kufuata maandiko Damu ya Yesu itulinde siku zote za maisha yetu🙏🙏🙏

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 3 роки тому

      Damu ya yesu?

    • @aboulhaarith1481
      @aboulhaarith1481 2 роки тому

      Ushahidi ni story ata me naweza tunga dogo

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      Sijui uyo yesu ana damu ya kilo ngap kila mtu amfunike 🤣🤣🤣

    • @mariambwilo6841
      @mariambwilo6841 Рік тому

      Damu ya YESU Ina nguvu sana

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee Рік тому

      ​@@Awateewewe ni kipofu ingawa una macho hujui mambo ya rohoni unajua mambo ya mwilini tu.

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 років тому +2

    Nabado watakuja Mashehe wote kuhubili injili nyie wanafunzi wa mashekhe masublinn njooeni kwa yesu kuna njia ya uzima asante shekhe

    • @princessh6073
      @princessh6073 5 років тому

      We nayeye pia hakiri zenu ziko sawa hamjielewi
      Hebu mwangalie vizuri huyo nguruwe pori ana fanana na shekhe gani licha ya kufanana na shekhe hawezi kufanana hata na mwislamu wa kawaida.
      We vp?hivi hawa ma pastar ster wenu mbona asihubirie wafuasi wake wanaozini na ma pastar tena ndani ya kanisa?watubie

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 3 роки тому

      Tuonyeshe katika bible kua ukristo dini na vitaje vitabu vya Mungu tuone kama bilia imo Vitabu ni Zaburi Taurat innjil na Qur-an

  • @DorcasMutanu-db2yo
    @DorcasMutanu-db2yo Рік тому +3

    God help us to worship you in truth and spirit Amen

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 років тому +2

    Punzika kwa yesu baba kunaamani tele tele sio huko kwa Majini ubalikiwe Mtumishi wa mungu

    • @sahera1125
      @sahera1125 5 років тому

      kuna majini wapi uko tuwaulize nyinyi mnaotoana mapepo kanisani

  • @jd-lo4xx
    @jd-lo4xx 6 років тому +9

    Yesu anaupendo sana amempenda paster husen anakupenda nawewe uliyeko kwenye Giza totoro kama arivyo kua paster husen njoo acha kusita ubadilishwe uokoke

  • @kephermwangura2199
    @kephermwangura2199 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe... Hakika Mungu ni mwaminifu ,nafanya kazi kwa familia ya waislamu ...wamekuwa wakinisihi sana ni slimu nikawaambia mpaka nisome Quran na hadiths za mtume Muhammadi ....Sasa nikagundua ndani ya Quran Yesu ni Mungu,(Sura 4:171) pia Yesu alisulubiwa msalabani......(3:50-55)
    Sasa nikawaambia ziezi slim hata wanipatie utajiri wao wote...wakashangaa sana na Sasa hawawezi niambia lolote...
    Mimi naomba kupata hicho kitabu...Cha Muhammadi Cha majini....( SURA TU AJINI)

  • @bentake7047
    @bentake7047 7 років тому +13

    Yesu anawapenda sana waislamu

    • @abubakarimwasumilwe7293
      @abubakarimwasumilwe7293 7 років тому

      Beni, nikweli Yesu anatupenda c waislam kwakua ht ye ni muislam

    • @ayunramadhan3104
      @ayunramadhan3104 5 років тому +1

      Anawapenda kwa sababy yy issa au yesu ni Muslim c kafiri kama nyie mnaoabudu sanam la bikira maria from dubai Abu Dhabi

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 4 роки тому +2

      @@abubakarimwasumilwe7293 nipe aya wapi Yesu ni Muislamu

    • @rechomethod8288
      @rechomethod8288 Рік тому

      Kabisa yesu ni mzuri jamani

  • @dallaxngaona1345
    @dallaxngaona1345 5 років тому +1

    Shetan hapat tabu na nyinyi kwa sababu anajua kashawapoteza tayar hakun mungu anayeitwa yesu abadan

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 6 років тому +10

    Glory be to GOD. Thank you brother for receiving Christ

  • @jennifermakere5139
    @jennifermakere5139 2 роки тому +2

    Nilikuwa nakaribia kua muislam lakini miaka 14 iliyopita alishuhudia kanisan moja njombe nikaokoka na nilipotoka chuoni Niko ufufuo na uzima mpaka Leo nasonga mbele Mungu amuinue sana

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Рік тому

      Hahaha 🤣 umeokoka njoo whatsapp nikulize masuali yangu km umeokoka

    • @V3Aministry40
      @V3Aministry40 Рік тому

      @@abduomar8438 hellow

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Рік тому

      @@V3Aministry40 habar yako

  • @enockndale8472
    @enockndale8472 3 роки тому +3

    ISLAM NI DINI YA MAJINI NA UTUMWA HAO WATU WAKO UNDER SLAVERY YA MOHAMMED NA WAARABU , OLE WAO WANGELIFANYA UAMUZI HARAKA IWEZEKANAVO KABLA MASIHI HAJARUDI KUHUKUMU ULIMWENGU.

  • @PeterChengo
    @PeterChengo 9 місяців тому

    May the load be blessed

  • @Turyatunga53
    @Turyatunga53 6 років тому +9

    YESU asifiwe sana.

  • @wenisariaswai3104
    @wenisariaswai3104 2 роки тому +1

    Mwenyenzi Mungu azidi kukuinua na kukutumia kila mahali mtumishi wa Mungu.

  • @janekchannel5074
    @janekchannel5074 4 роки тому +3

    Njooni kwa Yesu tuokolewe ili tukauridhi ufalme wa Mungu mbinguni

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 6 років тому +3

    Nampenda yesu ❤❤❤waislam njoeni uku uko mnapotea Mohammad ni shetani ndo mana anawatia chumvi muchukie kitu cha kweli jamani jamani nawaonea huruma sana 😥😥😥

    • @janekamau6189
      @janekamau6189 4 роки тому

      🤔🤔🤔🤔🤔☹☹☹

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      Weye ndie shetan pamoja na kanisa lak kushawahi kuona msikiti kuingia shetan 😏😏

  • @princessyvetteevedollyisma2586
    @princessyvetteevedollyisma2586 7 років тому +11

    yesu anaokowa watu,,,watu husema umuona yesu,,,,kwa hakika mimi yesu alinitokeya kwa ndoto baada ya kuona wafu wakinifata majini nikanza kukemeya katika jina la yesu mmoja akaniuliza yesu ni nani nikajibu ni baba yangu sekunde aikupita yesu akatokeya nikamkimbilia akanikumbatiya bada ya hapo wale wafu wakapoteya kwa hakika ukimwita yesu atakuja bora uwe na imani uwe muslim uwe cristian ukimuomba atakuitikiya,,,sidanganyi na hapa mbele ya mungu nimemuona

    • @vesitinalevocatus4886
      @vesitinalevocatus4886 6 років тому

      hakika ukomuita yeye kwaimani lazima aonekane watu watasema niuongo lakini namwamini hakika yupo

    • @innocentmido7016
      @innocentmido7016 2 роки тому

      @@fiiijengu7410 yule w kweny pich sio waiekti tu

  • @jennywakirori9971
    @jennywakirori9971 7 років тому +8

    Yesu tosha hakuna mwingine ila yeye tu

    • @111dudi
      @111dudi 3 роки тому

      Zaidi ya Yesu ni aliyemuumba yesu, nae ni Mungu

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 2 роки тому +3

    Asante sana baba kwa neno la maisha 🙏 🙏 🙏.

  • @issacklewis8654
    @issacklewis8654 4 роки тому +5

    Amen bwana yesu asifiwe

  • @janek9103
    @janek9103 7 років тому +21

    there is power in the blood of Jesus

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 роки тому +1

    Mtu anijibu tuu hi swali....Muislam anaomba Mungu mmoja na wakristo ama wao ni tofauti na sisi

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 3 роки тому

      Mungu tofauti. Mungu wa Waislamu ni Allah na hao ni Yesu

  • @swaloboyswaloswalo1221
    @swaloboyswaloswalo1221 3 роки тому +1

    Jamani eeh Allah atukinge na Shari zawalio dhulumu inapo fika stegeYesu ukamwita mungu subhanallah

  • @emmamwingizi4407
    @emmamwingizi4407 7 років тому +9

    Jina la bwana Yesu liinuliwe

  • @mafurushirima966
    @mafurushirima966 5 років тому +5

    Allah ni shetani

    • @asadomar1032
      @asadomar1032 4 роки тому

      Mungu akusamehe hujui usemalo

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@asadomar1032 Laana mbaya ndugu

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 років тому +8

    Kwer kabisa uisilamu ni majini na waganga wakienyeji

    • @i.dclassic116
      @i.dclassic116 3 роки тому

      Wew haujui uislamu ndoman ila nakwambia uyo hakuna msomi wala hajasoma kabisa

    • @i.dclassic116
      @i.dclassic116 3 роки тому

      Hakuna sura inayo itwa hivyo nahyo Maneno yko unawadanganya watu

    • @sukumaganga2613
      @sukumaganga2613 2 роки тому

      Huo ni owongo mkubwa sana Kwan ukisema kweli utapungukiwa na nn?

  • @zacharymaina2603
    @zacharymaina2603 5 років тому +1

    Mimi niko kenya hiyo ni kweli tupu yesu akudumishe milele

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 роки тому +7

    New subscriber Greetings from Santa Monica California American I subbed because of your beautiful testimony about Jesus Christ

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 6 місяців тому

    Nampokea Yesu amen

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 років тому +19

    inajulikana na iko wazi kua Yesu ndio njia kweli

    • @Kalaharidesertstorm
      @Kalaharidesertstorm 6 років тому

      Gideoni Mathew pumbavu wewe utajua haujui wapagani ndio walikuita wewe mkiristo maana wewe pumbavu

    • @winnieopondo3001
      @winnieopondo3001 6 років тому

      haaaaa naisi raha sana ndani ya roho ,waislam mtapondo ukristo mpaka lini,msimfananishe muhamad na yesu wetu,

    • @winnieopondo3001
      @winnieopondo3001 6 років тому

      bila nyinyi ukristo utaendelea nashkuru mungu kujipata mkirsto manake sijui ningelikua wpi bila yesu

    • @winnieopondo3001
      @winnieopondo3001 6 років тому

      malaika wanaimba uko binguni YESU ni bwana ukubali ukatae shauri yako YESU ni bwana

    • @winnieopondo3001
      @winnieopondo3001 6 років тому +1

      hakuna siku uwongo utabadilika ukweli, ati dini yakweli kwani watu wanaabudu dini ama mungu ndo manake mnaishi na majini kwa nyumba zenu mshindwa kwa jina LA YESU kristo mwana wa mungu alie hai

  • @NeussfetdXiu-bx9uq
    @NeussfetdXiu-bx9uq 3 місяці тому

    Ushuhuda wa nguvu na kukuza kweli...

  • @wilberchannel5346
    @wilberchannel5346 3 роки тому +4

    Haleluhya jesus is lord

  • @exaudinyachi1775
    @exaudinyachi1775 3 роки тому +2

    Amina mtumishi wa Mungu umeniokoa

  • @abelmabula7094
    @abelmabula7094 7 років тому +8

    Masheteni majini wanatoka kwa jina la yesu Ameee!!!!!¡

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 Рік тому +1

    Jesus Christ king

  • @pstjameskndokolani6321
    @pstjameskndokolani6321 2 роки тому +4

    Be blessed servernts of God

  • @jaredochieng4725
    @jaredochieng4725 2 роки тому +1

    Asate sana dungu Paul Hussein. Ushuuda wa nguvu. Lazima video hii ienehe. Mungu akubariki sana sana sana.

  • @beatricechiiko2619
    @beatricechiiko2619 6 років тому +7

    Jooni kwa kristo waislaam

  • @henryjonas5991
    @henryjonas5991 6 років тому +1

    Waislamu njooni kwa Yesu Kristo muokoke

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 6 років тому +9

    To God be the Glory

  • @sylvestermuthoka7038
    @sylvestermuthoka7038 Рік тому +1

    Jesus is the way and truth

  • @jackneymasamson8335
    @jackneymasamson8335 3 роки тому +7

    Glory be to God Hallelujah in the Mighty name of Jesus Christ May God bless you and Protect you and your family in Jesus Mighty name Amen and Amen Hallelujah 🙏

  • @sylviakazimily8760
    @sylviakazimily8760 2 роки тому +2

    Nakupata sana Mwalimu wangu upo vizur

  • @jennlafilin2251
    @jennlafilin2251 6 років тому +3

    Amen baba Mungu kakuchagua

  • @roseandersen6903
    @roseandersen6903 6 років тому +4

    Jina la Yesu ni la kuheshimwa sana,mana lina nguvu kabisa. Jina lake linuliwee. Amen

  • @abdisalammohamed2944
    @abdisalammohamed2944 3 роки тому +1

    Aty yesu ni mungu na alitahiriwa na viumbe vyake....inalilallah

    • @NetflixMovies1
      @NetflixMovies1 3 роки тому

      Njoo kwa yesu

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 Рік тому

      Ati Allah mungu Na Alitukanwa Na Kiumbe Dhaifu Aitwaye Afande Sele💉💉💉 Inalil-Yesu

  • @bentake7047
    @bentake7047 7 років тому +18

    waislamu wote njooo kwa jina LA Yesu Christo

    • @mr.bokobokofamily6730
      @mr.bokobokofamily6730 7 років тому +1

      Ben Take
      huyu jamaa muogo

    • @halimamohammed3580
      @halimamohammed3580 6 років тому +1

      Ben Take nyooo kaa huko na yesu sisi tunamjua nabii issa

    • @noratnoraty9904
      @noratnoraty9904 5 років тому

      Ajebabaako

    • @ajilimaria9290
      @ajilimaria9290 5 років тому

      Yani nyinyi weslam kila ushuuda ni wongo tu hacheni majini

    • @princeshaq3181
      @princeshaq3181 4 роки тому

      Ben Take Daah!! Amakweli wakrito nikondoo mliopotea kabisa. Yaan Jamaa Jamaa anawaongopea na nyie masikin ya mungu hamjui mnashangilia. Katoa aya Surat jini kiarabu anachongea hakitafsiriki, walahakielewek sisi tunaojua kiarabu tunacheka tena sana polen ndugu zangu

  • @benjaminhardwork9355
    @benjaminhardwork9355 8 місяців тому

    Huyu ndie anajuwa uu islam huwezi ukampoteza ili awe mu islam Ajili damunya yesu imemuokowa mengi ili atufunze nasisote tusiojuwa wokovu kamili ni nini?ubarikiwe sana pastor Hossein kutuelimisha ili tumujuwe YESU

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 4 роки тому +10

    Sisi tunamhubili yesu aliyesulubiwa msalaban, na mpaka Leo yuko mbinguni, mhamedi amekufa na uogo wake

  • @kiloritihaji1619
    @kiloritihaji1619 7 років тому +2

    ya rabbi nakuomba usimuache mpka afe huyu mtu ndo umuadhibu nakuomba umdhalilishe hapa hapa duniani ameen

  • @abelmabula7094
    @abelmabula7094 7 років тому +5

    Asante Yesu Ameen

  • @rashidathumani2250
    @rashidathumani2250 6 років тому +1

    Uisilamu hata ukihubiriiwa na mtu anayeuchukia sana bado ukweli wake utaonekana tu.Hiyo hadhira iko ktk mashaka sana.

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 8 місяців тому

      Wew ngangana tu na uislam wako ila ipo siku utajuta sana

  • @omarimiraji7343
    @omarimiraji7343 6 років тому +8

    YESU Kristo ni Mungu tu

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 7 років тому +1

    Yesu ni Jibu!!!! Hongera Sheikh kwa kuona ukweli.Songa mbele, wasomee ukweli utawaweka kweli.Ukweli ni ukweli tuu

    • @rehemaokomba7462
      @rehemaokomba7462 5 років тому

      Aki huyu mtu anadanganya sanaaa Aki kweeliii