Davista hongera kwa kazi kubwa sana ya kitume kabisa binafsi najifunza mambo mengi sana, lkn ktk hii story umekuwa mtu wa kuitikia kila sentensi na maswali ambayo wakati mwingne yanamtoa msimuliaji kwenye reli wakat ni maswali ya kawaida sana, pengine ungempa muda mwingi wa msimuliaji kueleza sabu msimuliaji ananyoosha kabisa story yake na inaeleweka sana, Asante sana na Mungu akubariki kwa hii kazi yake unayoifanya..stay blessed bro
@@bintalmasi2393 kule alisema alikuwa anataka kujiunga na yule mganga basi kama anaficha kumbe kaokoka nn??? au davista atusaidie kuuliza wakati wa ujambazi wake alishawahi kutumia nguvu za giza
Huyu jamaa muongo kichizi kipindi uslama uko wanaonekana wanauza madafu toka ikulu wenyeuwezo wahali ya juu bila ya kuforce umaalufu wew unaluka luka unajiona askar acha kudanganya wwtu
This man is a good narrator....I love this
Hii ni story bora ya mwaka 😂😂😂 ipwe tuzo ❤
Mtumishi unaelezea vizuri Sana mpka mimi nashinda nikicheka hapa😂😂😂 barikiwa sana
Davista hongera kwa kazi kubwa sana ya kitume kabisa binafsi najifunza mambo mengi sana, lkn ktk hii story umekuwa mtu wa kuitikia kila sentensi na maswali ambayo wakati mwingne yanamtoa msimuliaji kwenye reli wakat ni maswali ya kawaida sana, pengine ungempa muda mwingi wa msimuliaji kueleza sabu msimuliaji ananyoosha kabisa story yake na inaeleweka sana, Asante sana na Mungu akubariki kwa hii kazi yake unayoifanya..stay blessed bro
😊😊1pq
Qq😊l❤
P
duuuu! .mungu hakika ni wa ajabu.mko vizuri wazee
Barikiwa sana mtumishi halafu ningejua huyu jamaa ningepiganae hata picha pana wiki mbili alikuja kazn kwangu kulekebisha simu yake 😂😂😂
Asante sana davista Mata
Tumeamua Sasa kusimama 😅😅 tusikilize utamu wa story 😢
Yaani kwa Davista kuna vituko vipya daily, huyu mwamba energy yake ni kubwa hadi anasimulia huku amesimama na kueusha upper cut
Story tamu
😂😂😂😂Davis tar leo umecheka Sana kama mimi tunatolewa mfano ndo tuelewe😂
Hiyaaa
Da hii story ya mchungaji inafundisha Sana
Kamandaa Nakukubali Sana
Mbona hujamalizia issue ya Bank
nafuatilia story poa sana please upload them fast
Huyu bado comedian anaendeleza
Ila huyu mwamba alikuwa mjasiri sana kufanya ujambazi bila kutumia uchawi atakuwa anaakili nyingi sanaa
Hakuna jambazi asiyetumia uchawi, hajataka tu ku disclose that part, na kule alikoenda kulishwa kinyesi je?
@@bintalmasi2393 kule alisema alikuwa anataka kujiunga na yule mganga basi kama anaficha kumbe kaokoka nn??? au davista atusaidie kuuliza wakati wa ujambazi wake alishawahi kutumia nguvu za giza
Blackseptember
Shetani hana shukurani
Damu za watu zinamsumbua hawezi kuacha huyo atarudia tu
Tuliosema KIPIGO tujuane
Sema kipigooo
😅😅😅😅😅 kauzi sio poaa
Mdomo nyang'a nyang'a pua nyapi nyapi 😂😂😂😂
Mwambiye aendeley pale alipokuwa ndani ya benk mana aliishia hapo
Ndio😂
Shetani hana shukurani
Ebhanaeee meno yang nilikuwa nayapendaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii story itengenezewe filamu 😁
😂😂😂 movie Kali Sana hii
Kwa kweli Hili ni Bonge la Movie
Huyu jamaa muongo kichizi kipindi uslama uko wanaonekana wanauza madafu toka ikulu wenyeuwezo wahali ya juu bila ya kuforce umaalufu wew unaluka luka unajiona askar acha kudanganya wwtu
Aseee kunaa story nimesikia ety alikula mavi kiukweli kidogo nitapike asee
Hebu sema kipigo😊
Kipigoo
Eti kipigo cha paka muasherati.
Shetani hana shukurani
Ebana eeee
😂😂😂😂 dah
Wakwanza Leo
Shetani hana shukurani
Wewe pia ulikawia sana huko ndani ndio maana ukaachwa huko
Dk 2:30 zilikuwa bado
Nyie mnacheka aya mambo sio yakucheka
Muuliza meno yamapata masaibugen
Ebana weeee😂😂😂😂😂
kwel wanasema shetani akizeeka anakuwa malaika
Dah Mungu Ni mkubwa aabudiwe tu
hatar sana
Shetani hana shukurani
Htr
Amba kati niliwahi kupiga kwa kustukizwa chembe ya moyo ilipanda nilisikia maumivu wiki tatu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ulikosea nini,na kwanini usijifunze ngumi
Shetani hana shukurani
😂😂😂😂huyu jamaa anavyosema watu hawana huruma utadhani yeye alikuwa anafanya vizuri...!!
Nipen like zangu
Shetani hana shukurani
😅😅😅 Yesu ni Mzuri.
Kweli kabisa
sana
Kumbe wanawake hawana huruma😂
Shetani hana shukurani
Wanaume pia ni wakulaumiwa wao ndio hujipeleka bar na miguu yao wenyewe na akili zao timamu.
Jamani wanaũme walaumiwe kwanini lizzy ,mbona kila kona wanaũme walaumiwe?
@@UsafiMichael-mc8kt hao ndio wanajipeleka wenyewe Kwa bar kisha wanasema wanawake wabaya ilhali wote wanafaa kulaumiwa .
Wakwanza
Lakini wanasema bank nyingi zimezindikwa mpaka uwe mwangalifu
Duuuuu😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂🎉
Wewe ugekuwa nahurama ugeuwawatu 😂😂
Sasa hivi kaokoka ndio maana