Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MAMA MZAZI WA DKT. SHOGO MLOZI SEDOYEKA AZUNGUMZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @joycelinekobero7724
    @joycelinekobero7724 Місяць тому +4

    Pole sana mama kwa kupoteza uzao wako wa kwanza..Mungu akufariji,kibinadamu ni ngumu mno..Mungu wa mbinguni akufariji

  • @user-vh8jh1mk4v
    @user-vh8jh1mk4v Місяць тому +2

    Pole sana sana mama kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na mwanao kipenzi, Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 Місяць тому +5

    Mama Queen Mlozi. MUNGU 🙏 AKUFARIJI Mwalimu wangu

  • @elizabertgille6020
    @elizabertgille6020 2 місяці тому +3

    Pole sana mama Quine Mlozi kwa kuondokewa na mwanao kipenzi. Mungu akutie nguvu sana my dear pamoja na familia yako yote❤

  • @rithamatiko4952
    @rithamatiko4952 Місяць тому +4

    Dada yangu Queen poleni sana na shem Prof. Mlozi jamani mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @marymassawe8655
    @marymassawe8655 Місяць тому +3

    Pole pole pole bila mwisho mama mungu akutie nguvu na roho mtakatifu akuatamie.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 місяці тому +2

    Pole sana, Mama Mlozi! Mungu akupe nguvu na uvumilivu katika msiba huu mkubwa wa binti yenu! Faraja ya Bwana iwe juu yenu.

  • @calvinmosha9377
    @calvinmosha9377 Місяць тому +1

    Pole sana Mama. Mungu akupe uvumilivu na subra kwa kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Binti yako mpenzi.

  • @rehemamwendamaka
    @rehemamwendamaka Місяць тому +1

    Pole sana Mpendwa. Sina cha kusema. Mungu akutie nguvu awe Mfariji wako.

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Місяць тому

    Daaaahhhh' pole sana Mama angu

  • @pamelasongstarimo205
    @pamelasongstarimo205 2 місяці тому +3

    Tunakupenda Ma Queen Wangu Uwa Ni Msaada Kwa Watu Wengine Mungu Akupe Nguvu Zaidi.

  • @aureliandamcho1304
    @aureliandamcho1304 Місяць тому

    Pole dada yangu. Mungu awape nguvu ya kulipokea hili. Mungu ampe pumziko la milele Mbinguni

  • @RehemaWeston
    @RehemaWeston Місяць тому +1

    Pole saana mama angu,Mungu akutie nguvu

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Місяць тому +3

    Mama ulizaa mtoto mwenye akili sana mungu akupe nguvu sana umepoteza mtu ambaye alikuwa hazina ya taifa

  • @mariammseleche755
    @mariammseleche755 Місяць тому +1

    Pole sana bosi wangu Mungu akutie nguvu.

  • @everlisamsyananah1867
    @everlisamsyananah1867 Місяць тому +1

    Pole sana mama yangu queen mlozi...Mungu akutie nguvu
    Tulikuwa wote ulipokuwa mkuu wa wilaya mwanza

  • @uswegetimothy2461
    @uswegetimothy2461 Місяць тому +2

    Pole sana Mama na Familia. Pumzika kwa Amani Dada Dr Shogo

  • @theantara8931
    @theantara8931 Місяць тому

    Pole sana sana Mwalimu Queen Mlozi ni uchungu mkali mno. Mwenyezi Mungu akutie nguvu.

  • @warehemachamshama2375
    @warehemachamshama2375 Місяць тому +2

    Pole sana mama Mwl Mlozi kwa msiba huu

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 Місяць тому +2

    Pole mama, nimeamini sio kila anaetabasamu ana furaha, pamoja na majonzi mama anatabasamu jamani. Pole sana mamayangu

  • @marystellamakene7820
    @marystellamakene7820 2 місяці тому +1

    Pole mwalimu wangu mungu akutie moyo .

  • @faridalamiay4247
    @faridalamiay4247 Місяць тому +1

    Pole sana mwalimu wangu mungu akutie nguvu

  • @ikaanaelmduma3394
    @ikaanaelmduma3394 Місяць тому

    Mungu ampe rehema na qpumzike kwa amani. Pia Mungu azidi kuwatia nguvu familia na watoto wao wake wakimpenda Mungu na wanadamu pia.
    Pole sana kwa familia kwa kumpoteza Dr, SHOLOM, Mungu amempenda zaidi.
    RIP DR. SHOGO

  • @theclambiki110
    @theclambiki110 Місяць тому

    Pole sana mwalimu wangu,namkumbuka Shogo hasa siku ambayo anaomba kura za ubunge wa Afrika Mashariki alijinadi vizuri,kwakweli watoto wako uliwalea kawaida km ambavyo mwalimu wangu ulivyokuwa

  • @pceodhc
    @pceodhc 2 місяці тому +1

    Mungu awape amani familia yake! Na ampumzike kwa Amani! Amen!🙏🏾

  • @user-oy9wr2zc6x
    @user-oy9wr2zc6x Місяць тому +1

    Pole sana mama, apumzike kwa amani

  • @rhodamwaitete5509
    @rhodamwaitete5509 Місяць тому +1

    Pole sana ndugu yangu

  • @gloriakilonzo4706
    @gloriakilonzo4706 Місяць тому +2

    Mzazi anauliza atakumbuka Nini kwa mtoto wake ambae ameishi nae 30 years+ . Ndio maana Kaisi uchungu

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 Місяць тому +3

    Wewe mwandishi umezidiwa point na mama huyo, una maswali ya kitoto mama huyo ni msomi

  • @germanasondoka9057
    @germanasondoka9057 2 місяці тому +1

    Pole sana Madam Queen, RIP Dr. Shogo

  • @biubwaally3744
    @biubwaally3744 Місяць тому

    Pole sana mama Mlozi msiba mkubwa sana kwako lakini Allah ndie muamuzi wa yote

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb Місяць тому

    😢😢😢😢😢 pole saaana mumy!!! MUNGU mwenyenzi akufariji wewe pamoja na familia Yako yote

  • @user-gf8vf8wp2w
    @user-gf8vf8wp2w Місяць тому

    Pole Sana mwlwangu Kwa kuindokewa na kipenzi chako

  • @paulinanahato4529
    @paulinanahato4529 Місяць тому

    Dr Shogo bado unaishi ktk maisha yetu. Umeishi maisha mafupi sana yenye thamani. Shogo umeishi maisha ya faida Shogo, umelala lakini bado maisha yako yanaongea

  • @givenmsomba9358
    @givenmsomba9358 Місяць тому +1

    Pole familia ya Pro Mlozi

  • @HareneKipande
    @HareneKipande Місяць тому +1

    Pole mama

  • @subirasimbeye5389
    @subirasimbeye5389 Місяць тому

    Pole Sana Mama mlozi kwa kupoteza mwanao

  • @juditholotu7249
    @juditholotu7249 Місяць тому

    Mama ana maumivu sana jamani hii sikia tu kwa mwenzio pole sana mama

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 Місяць тому

    Mungu akupe uvumilivu

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 місяці тому +2

    Pole mama yangu😢😢😢Mungu mwenyewe aingilie kati😢😢

  • @PiterSinyanya
    @PiterSinyanya Місяць тому +1

    Poleni

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Місяць тому

    Pole sana kwa familia ya Dr mlozi

  • @khamisissa5673
    @khamisissa5673 Місяць тому +4

    Shogo Mlozi ! Una mchango mkubwa kwenye Digirii yangu ya Utalii !!!!!! Nenda salama Dkt.

    • @tamigwemalambugi3647
      @tamigwemalambugi3647 Місяць тому

      Pole sana mwalimu wangu kwa msiba huu mkubwa.Mwalimu umechangia sana kwa hapa nilipofika.Mungu akutetee.Nakupenda sana.

    • @gracemariki4841
      @gracemariki4841 Місяць тому

      Pole sana mama kweli ni Mungu tuu akutie nguvu

  • @AK.-yreen
    @AK.-yreen 2 місяці тому +1

    May her Soul Rest in Peace❤🕊

  • @De_strong01
    @De_strong01 2 місяці тому +1

    Innalillah wainnah I layhi raj uun

  • @user-xg5wy8su1w
    @user-xg5wy8su1w Місяць тому

    Hawezi sema kabila siyo lake ulimsikia vibaya ni msafwa kwa baba na mama

  • @rerisamba
    @rerisamba Місяць тому +1

    Hapa duniani watu sio wazuri

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 Місяць тому +2

    Hapo hapana mwandishi wa habari maswali yakitoto mno

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 Місяць тому

      Kiasi haulizwa kuugua kwa binti hadi kifo hatujui

  • @user-dv9bx9eh8s
    @user-dv9bx9eh8s Місяць тому

    Nitakukumbuka Daima dadaangu, ulikuwa msaada mkubwa kwangu!!

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS Місяць тому

    Mzaziii pigooo😢😢

  • @festogangata7202
    @festogangata7202 Місяць тому

    😳

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 Місяць тому

    Mama pole sana
    Leo umesema wewe ni msafwa
    Uliwa kusema wewe ni mngoni kwenye mahojiano ya TBC