MCHUNGAJI MWEMA-Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu-DUCE (Official Video-HD)_tp
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Dar es Salaam University College of Education (DUCE) - UDSM
Song: MCHUNGAJI MWEMA
Composer: Fortune Shimanyi
Organist: A.J.Myonga
Singers: Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu-DUCE
Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es salaam (DUCE)
AUDIO & VIDEO by Tanganyika Productions
Call us: +255 762380376
www.tanganyikap...
The problem with me is the language 😢 😢 😢 😢 but everything is perfect, all Catholic can we gather here and praise the Lord. Am so proud to be Catholic
Thanks 👍 and the main key massage.... Jesus is our shepherd to us.
Hongereni sana. Mmeweza kumtumikia Mungu katika siku za ujana wenu. Mungu awabariki.
Geoffrey mosocho :ujumbe mzuri mno.be blessed
Hakika Yesu ndiye mchungaji mwema kazi nzuri sanaaaaaaa, tp wapo na ubora wa asilia inapendeza sana
Kwasa
Kama wimbo ulivyomzur namaisha yenu yawe matakatifu... mbarikiwe!
Hongereni, vijana wimbo mzuri sana. Endeleeni na moyo huo huo kumwimbia Mungu. Sauti mmepewa bure mtukuzeni na kumsifu.
Typo pamoja Wana chuo kuendesha jahazi la mchungaji mwema commention from student of univercity of cucom mbeya
Hongereni sana kwa kuendelea kuhubiri injili kwa njia ya nyimbo, Bwana Yesu awabariki sana
Pongezi za dhati pokeeni. Naye Yesu mchungaji mwema avibariki vinywa vyenu mzidi kusambaza sifa zake kwa njia ya uimbaji.
Amina
Daah! Munqu awabarik kw nyimb zenu zuri awazidishie
Baraka❤💞👍
Yesu kweli ni mambo yote! Dj Wyma here
ayiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!ni Yesu mucungaji mweeeeeeeeema milele yote
Great song congratulations sana vijana from DUCE
Weeeeee something hot 🔥 on ground..good work.
Kwakweli hakuna kanisa Lililo imba vizuri😊
Vijanaa mungu awatangulieee katikaa utmee wenuuuuu mbarikiweee sanaaaa madamaaa wanguu mariethaaa na phauster hongeriniiii sanaaaa
Hongera sana my sister ubarikiwe sana Kwa kazi nzuri ya mungu 🎉🎉
Ubunifu mzur sana na nyimbo ni nzuuuuuriiii sana,,,,, asante sana
Najisikia faraja sn ninaposikiliza nyimbo hizi, Mungu awabariki sn
Jamani kwaya yangu enzi hizo,hongera mnaendelea kufanya kazi nzuri
Hakika nami nimepita pale vijana bado wanaitaji support yetu wahenga kwa kila hali
Kweli kwa mungu Kila kitu kinawezekana mana yeye ndiye ufunguo wa maisha yetu ,, mungu awabarik sana ❤❤❤❤❤
Mungu mucungaj mwem
Jesus Lord you,are coming, make me feel,positive
Hongera kwa wanakwaya wote mana mmeimba vzl
Mwenyezi Mungu anayebariki watu wake na awazidishie wingi wa neema na baraka zake
My favorite catholic song up to now..we love you from Kenya
Shimanyi FM hongera sana.... kwa Utunzi
Iko poa sanaaaa
Asante sana kaka
Ugandans gather 🥳🥳muntadde mu mwoyo
Wow hongera kwa wanakwayaaa*ntakujaa kujiungaa
Mungu awaongezee kipaw
Kweli yesu mchungaji mwema atulinda kila tuendapo tangu hatujazaliwa yy atulinda
Very nice colleagues 🤗,I can see Muyonga..hongereni sana
Ahsanteni sana kwa unjilishaji kwa njia ya nyimbo.Mungu awabariki sana!!
Yaani wimbo upo kiwango!!! Sichoki kuiangalia! Hongera sana vijana. Tujitahidi kumpa Mungu wetu muda. Ili kuimba vizuri, nilazima kujitoa na kushiriki mazoezi kikamilifu. Mbarikiwe sana. Pongezi waliwa kwaya yenu.
Nyimbo nzuri sana Yesu mchungaji mwema
Duuuuh mmedamsh mpaka raha hongereni nawarembo wamo
Mwenzenu ninapousikiliza wimbo huu najisikia kama niko dunia ingine sio hapa hasa Tanzania sijui niwasifie kivipi waimbaji hawa Mungu awabariki sana mkapate nguvu zaidi.Kucheza kwenu kunaniacha hoi, nikiwa sinafuraha nafunguwa YTB kuusikiliza wimbo huu nafrijika saaaana.Big up friends.!!!
I love it so much . Keep up my brothers and sisters
Asante sana mwalimu Fortune Shimanyi na waimbaji. Mungu awabariki.
Amina sana
Tanzania! Chakacha rhythms has take up the waves of the catholic gospel in East Africa
Nice song mchungaj mwema hakika mmetisha mno
Najisikia fahari kuona kinanda tulichokiacha sie. Hongereni sana mates
Mmpendeza sana asanteni mnasauti nzuri kweli
Mmependeza kweli........u look mwaaah....God bless you
Mamb
@@ericamathayo8111 mmmh!! Erica...........wew
Mungu awenanyi nyote daima
Kazi nzuri sana. Hongereni
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri
Jamani ongera sana kwa mwimbo mwenye ujumbe mzuri mungu azid kuwatia nguvu watumishi wak👏👏👏👏
Mubarikiwe San kwa muda wenu mulioutoa kwaajl y Mungu
Hakika , mbarikiwe sana wimbo mtamu hadi rahaaaaa
Mmefanya kweli na imefanyika kweli,,,,,,,,hongeren sana na MUNGU awabariki
Nabarikiwa Sana na kwaya hiyoooo haswaa nmekumbuka mbalii nmemuona wambulaa mbarikiweeee Sana kwa uinjilshaji wenu
Big up sana
Ila uyu Myonga huyu hahahahahahaha salute kwake
Napenda nyimbo zenu nabarikiwa nikiwa kenya❤❤❤❤🎉
Niceee,,Mungu azidi kuwabariki katika utume huu.
This is very beautiful....watu size moja...l love the song
Kazi nzuri sanaaaaa, video quality is the best..HONGERA SANA
Tanganyika mlibarikiwa sana.Wimbo mtamu na wenye mafunzo.
Kazi nzuri najiona haikuwa rahisi tulikimbizana na test
Bright job
Pale sekunde ya 47 hadi 49
Kaz nzur mung atawalipa
@@rozadinamwaluko8498 Amina
Hongera Sana mungu awabariki katika kueneza injili ya BWANA.
Waooooooo raha ilioje,mnapendeza sana nawimbo nimzuri
Blue and white na nyeusi kwa blue imetulia sanaa.. Ujumbe mzuri piaa
Mmependaza Ile mbaya alafu mtapata baraka Tele Bora mumwimbie mungu nae atafungua njia zenu ni kanisa la wapi hili
Barikiweni nyinyi wote.
When I listen this such songs it’s as if kenya Tanzania should be one country love this , God bless you guys , listening from Washington state USA
Vraiment j'aime la chanson,, je suis du Congo Kinshasa
Iko vizuri hiyo hongereni
Nawapenda Sana muhungu awabaliki
This song i 👍so much congratulations for the whole management.
Mbarikiwe kwa kazi nzuri na elekezeeni jitihada zaidi ktk huduma hii.Msiishie hapo.
Waoooooooh so nice Song. Hongereni sana Tanganyika Productions na Waimbaji wote kwa uimbaji mzuri uliotukuka
Asante Dada yetu.
WOW smart sana Mungu awabariki sana wapendwa.
Hongerani kwa kutumia natural voice..mbarikiwe na aliewapitia taranta hiyo.
Hongereni sana Mungu awatie nguvu msije mkakata tamaaa
MAMA MARIA, Hawa Wanamsifu Mwana wako, Na Robo Moja, Wabariki.
Organist + Voice tones + smartness Big Up@ J Muyonga!
Nyimbo zinatutia nguvu na afya ya kiroho na kimwili, hongereni Sana watumishi wa Mungu
Hongeren kwa utumishi uliotukuka
Jina la Yesu linatukuzwa
Mwalimu Fortune Umeutendea Haki Mkono hongereni sana
.
Hakika tuko ndani ya Mchungajii Mwema.
Amen your dressing code is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hongereni watu wa Mungu
Wow ! Asante Mungu kwa ajili ya hawa vijana,
Organist hujawahi leta kaz mbovu🔥🔥
Hongereni sana 💗nimeipenda kwaya hii mbarikiwe ktk masomo yenu daima mtumainieni yesu mchungaji mwema. Ndoto zenu
Zizae matunda mema nawapenda sana wadogo zengu nazidi kuombea ktk uinjilishaji wenu 👏👏👏
Wanaimba vzr sana, mwenyezi mungu awabariki mzidi kuimba zaidi ya hapa.
Waooooooh nzuri sanaa
hangereni sana
Amina,mbarikiwe kwa kazi nzuri
Mungu awabarki sn
Waooooh asante yesu I can see my self.... Ooh so exited
Ohoo hongeren sana Dada Yustina(from..MUHAS)
@@thaddeojude7511 thankyou so much be blessed
@@yustinadamiano2308 where can I get your work please
@@thaddeojude7511 only that song is out here in UA-cam channel but the DVD is not yet out.... When its out maybe we can help
@@yustinadamiano2308 oooh my God....Yustina...dont you have even audio in your phone please pls
Niwanaimba kwa iman tele wabark
iwe
Love 💕 choir,God bless you 🙏🙏🙏
Safii Sana mmependeza
Asante sana kwa wimbo mzuri nimebarikiwa sana nanyi mungu awape nguvu na marifa na mungu awabariki
Hongera sana kwa Mtunzi pamoja na sauti nyororo za waimbaji, wimbo unaburudisha sana (and very well dressed to the whole kwaya). Big up sana
Hongereni sana Sanaa swezi uchoka huu wimbo ,barikiwaaa
Safiiiii.... ! Safi sanaaaaa..!!🙏🙏
Namshukuru Mungu kwa sauti nzenu nzuri za kuimba,mungu awe nanyi milele.
Mnaimba vizuri sana na ujumbe tumeupata mbarikiwe sana
Asante ni sana kwa kwaya nzuri.Baraka za Mungu.
Hongereni kwaya ya Duce mlipofikia Mungu Ni mwema
Mungu anatupenda sote tukumbuke kumuomba kila ukuchao
hakika mmejitahidi kuwarudiaha hata walevi kanisani. hongereni.
Nashukuru Mungu Munaimba vizuri Watanzania Wasomi wa DUCE
Hongera ndg zangu.
There's just something about the chorus that makes you want to sing it again and again and again......
Najivunia kuwa mkatoliki, mbarikiwe kwa uimbaji mzuri
Hongereni Sana
Asante kaka...1Comments
Asante kwa kuwa wa kwanza kucomment
Asanteni walimu.. najua mtakuwa walimu wazur kwa wanafunzi wenu..