RC CHALAMILA AWAVUNJA MBAVU WATU - AIMBA WIMBO wa SAIDA KAROLI -UTEUZI BAADA ya KUOMBEWA na MWAMPOSA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- RC CHALAMILA AWAVUNJA MBAVU WATU - AIMBA WIMBO wa SAIDA KAROLI -UTEUZI BAADA ya KUOMBEWA na MWAMPOSA
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Chalamila mkuu wa mkoa ni mwanafalsafa mzuri sana namkubali sana
Amina baba 🙏🙏
Kwa Mungu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa yeye ni Bwana
Ameeeen
Ameen Mkuu wa Mkoa
Mkuu wee unaona mbari Sana ubarikiwe
Mungu apewe sifa na utukufu!!
🎉🎉🎉ya baraka Kwa mkuu wa mkoa na mtume mwamposa,nibariki Mimi uchumi ukue ninunue gari,nifuge kuku wengi,niwe na biashara kubwa mzuri ya kipato kikubwa,nijenge nyumba mzuri Hadi washangar,
🎉🎉
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert chalamila ni muongo sana unasema mkoa upo salama wakati watu wanatekwa na hawapatikani paka leo
nan anateseka
Mwamposa nakusihi sana aposto wangu mwamposa acha kuwapa nafasi hawa watu waropokaji kama huyo charamila anaanza kuongelea siasa tena kwenye jukwaa la madhabahu.
Chizi kapewa maiki wewe na dili wapi na wapi mpuuzi usilete siasa kwenye neno la mungu
Chalamila....
Mara wewe mwislamu....mara wewe Mkristo.....
Sema neno Moja tu ....wewe ni mtafuta Mungu..
Iwe heri kwa nchi na watu Tz
Uyo ni kiongozi elewa neno uongozi na unaongoza watu wa dini tofauti lazima uwe nao wote
Nikweli
Dini na siasa. Siasa inatumia dini kwa maslahi. Na hii ni Mbaya kwa Taifa. Means siasa kuhubiri siasa na dinî kwa wananchi ni hatari kubwa sana sana.
Mwamba na NUSU chalamila
Wakati mwingine haya mambo ya imani ni vizuri tu kunyamaza. Wezi na wahuni wengi wameingia kwenye dini, na ilitabiriwa muheshimiwa soma matayo 24 Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu. Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi
Jaribu na wewe huo uhuni kama utafikisha hata watu 10
Hunaga Siri ww chalamila..nilijua TU utasema yote...ha ha ha ha
Siasa kanisani
Maneno ya hekma kutoka kwa mkuu wa mkoa uenda alikua mchungaji,mungu akutie nguvu in the name of Jesus
Mkuu wetu wa mkoa dar ,chanika tunaibiwa sana usiku wanavunja nyumba na inasemekana wanaweka dawa za usingiz waweze kuiba
Siasa na dini havitengani acheni kupotosha
Tutashinda tu
Chalamila uko mchungaji kabisa
Comment za waliofeli utaziona. Nyamaza muache mtumishi afanye kazi yako
❤