chalamila nimekupata na msemo huyo - usipoteze - fokasi MUNGU akubariki sana kwa jina la yesu sitapoteza fokasi kumuamini YESU ni njia ya kweli na uzima
Oooh ! Usipoteze focus. The secret of purpose is the conistency of purpose! Usiyumbe, usiwe mlalamikaji, tumia fursa ktk MAPITO. Joshua na kaleb walivuka, wengi walikufa kabisa. Baba mchj kimaro ana kipawa kikali.
mkuu wa mkoa wa dsm tusaidie barabara ya gongolamboto imevamiwa na machinga je magali ya ikatan breck uongozi wa mtaa meza mojo unalipa 50000 hivi ndio tumefika kuuzwa viwanja barabarani
Kijana unamiliki simu ya laki8 afu asubuhi unagongea chai na wadogo zako alyoiandaa mamako huku babako akikutazma😂 nyie nyiee kuna maisha ni ya aibu sana aiseh!
Hapa hakuna siasa ni ukweli mtupu na miaka yote pastor Kimaro ametufundisha kupambania maisha bila kulalamikia mtu na Chalamila kwa nafasi yake hataki utani pia yupo brother Makonda kule~mimi ninawaelewa.
Good message mkuu wa mkoa na pastor . Tunakuelewa Dr.Eliona
Umesema kweli Mheshimiwa. Mch. Kimaro ni tunu ambayo haitujaitumia sawasawa
Asante sana mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, mheshimiwa Chalamila🤝👏🏻
Hongera sana mchungaji kimaro pamoja na mkuu wa mkoa Charamila mungu aendelee kuwabariki
Hapa hajafika kabisa siku akifika tutamuelewa vizuri. Hongera sana mh Chalamila.
Mungu awabariki nyotee❤
Tunabarikiwa Sana na mahubiri ya Rev. Kimario.
Mh. Chalamila namkubali sana ni kiongozi mzuri mwenye upendo
Mungu akubariki sana mh Chalamila
Barikiwa sana mkuu salamu kutoka Kilimanjaro
Asante mkuu wetu wa mkoa ❤👏🏼👏🏼👏🏼
Ukimsikiliza Vizuri Mkuu wa Mkoa anamaanisha ukitaka kuwa Tajiri Pambana Kujiajiri usitegemee kuajiriwa!!!!!😂😂😂😂😂
Duh Leo chalamila umeongea vizuri sana
Safi sana mkuu wa mkoa wetu.uko vinzur sana
Duh!
Kumbe mkuu wetu wa mkoa ni Jembee eeeh🥰
Mungu akubar Sana mchungaji P1 na mkuu wa mkoa
Big up sana mh. Mkuu wa mkoa dsm.
Oooh, Chalamila. Asante sana
😂😂😂achia dera❤😂😂,mabinti huu ujumbe unatuhusu,,tufanye kaziii
Leo mkuu wa Mkoa umeongea point kuliko siku zote ulizokaa kwenye mkoa wa dar es Salaam
Kaka una nondo sana sema mizaha sana unapokuwa kwenye majukwaa
Hii ndo comment nilikuwa naisubiri😂
unaweza kuwa mch kiongozi
Huyu jamaa ni nondo kwelikweli
chalamila nimekupata na msemo huyo - usipoteze - fokasi MUNGU akubariki sana kwa jina la yesu sitapoteza fokasi kumuamini YESU ni njia ya kweli na uzima
Aise Chalamila kumbe upogo vizuri ivi😂😂
Kumbe chalamira ni Chuma hivi
Mimi uwa namuelewa Sana chalamila.
Ni MOTO tu Baba 🔥🔥
This Man Dances Exemplinary Conduct tunes waaah.... !
Huyu Bwana ni Kiongozi Msomi na mwenye maono na chawa mzuri sana kiukweli anastahili kuwa kiongozi mbeba maono
Amen 🙏🙏
Umenigusa uliposema mwanaume ufikilie kwa ukubwa yani tusiuze uduvi😅
Oooh ! Usipoteze focus. The secret of purpose is the conistency of purpose! Usiyumbe, usiwe mlalamikaji, tumia fursa ktk MAPITO. Joshua na kaleb walivuka, wengi walikufa kabisa. Baba mchj kimaro ana kipawa kikali.
The secret of success is consistency of purpose ✨️
Naomba utuwekee mahubiri yako tujifunze nasi.
Amina sana
😂😂😂😂😂 Una mambo Sana 😂😂 nenda kwa Magembe kama tutapata nafasi kama hiyo utakaa kama mtu wa kawaida akuna cheo kanisani
Chalamila nimekubali ww n kichwa
Haki tena chakula cha shetani ni machozi sitalia tena kwakuwa kwa sasa nitaungalia msalaba pekee
Hakika nimejifunza sana sana kutoka kwa mkuu wa mkoa
Hii inapendeza sana kwaviongozi hawa
Wise words
mkuu wa mkoa wa dsm tusaidie barabara ya gongolamboto imevamiwa na machinga je magali ya ikatan breck uongozi wa mtaa meza mojo unalipa 50000 hivi ndio tumefika kuuzwa viwanja barabarani
Hasante kakangu mkuu wa mkoa umenigusa kuusu kutopoteza fokasi...asante
Wise man
AMINA 🙏
Barikiwa sana
Mungu akubariki sana mchungaji🙏🙏🙏
Barikiwa sana mkuu wa mkoa
Mungu nisaidie nijue ninako kwenda
Amen kweli kabisa
Kijana unamiliki simu ya laki8 afu asubuhi unagongea chai na wadogo zako alyoiandaa mamako huku babako akikutazma😂 nyie nyiee kuna maisha ni ya aibu sana aiseh!
Sawa kabisa
Hello fatafaka Turanbiweagasunzuguro kisegeti 😂😂😂😂😂😂 and I are 😂😂😂😂
wewe ni chuma upo vizuri
Vinzuri sana
Huyo mkuu wa mkoa amekuwa akimkashfu mungu sana sijui kama huwa mnamfuatilia!!!
Niwewe tu umekaza ubongo wala hana shida ndo Maana Mungu akampa hio nafasi
Kwaio tumhukumu au unamaanisha asingetakiwa kualikwa kanisani au vipi
Wee nae hebu acha kukaza fuvu.
Mbona anaongea vitu real kabisa
KWA KWELI.
Iyo elim unayo Wewe chalamila au Makonda, ,,, ??.
Uhakika tunabarikiwa wengi baba
Chalamil your more than❤
Wow kumbe huyu jamaa amesoma, siku zote nilikua namuona kama kilaza tu kwa matamko yake ya hovyo.
Poleee😂
😂
Amina
Huyu alikuwa lecture ndo maana ana philosophy za maisha halisi
MUNGU ASANTE KWA KUTUPA WATUMISHI WAKO, MIMI HUWA SIMWONI MTUMISHI FLANI, HUWA NAMWONA YESU AKISEMA NA WATU KUPITIA KINYWA CHA MTUMISHI HUYO!!!
😂😂😂😂😂😂 hutonielewa😅
Ameeni
Mara kwa mwamposa unasifia mara uku unasifia ila sisi wanadamu Mungu aendelee kuitwa Mungu
kwani wote si ni watumushi wa Mungu???,!! au kaenda kwa mganga!!!, hujiekewi wewe.
@GetruderMfinanga wewe kweli ni darasa la 7 sifuri
Yeye wawote hata ukimuita msikitini atakuja na atafuata maadiri ya kiislamu😮
Kwa hio,unataka awe kiongozi mbaguzi?
@@GetruderMfinanga
Unafiki ni dhambi, jua hilo.
Duh huyu ni kichwa tunamchukulia kirahisirahisi tu
Longe tupulike
Aminaaaaaaa
Out of education he posses, he is very intelligent
👏👏👏👏🔥
God bless you
Tumekusikiia mkuu wetu mkoa wa Daresalam kwa London zako zenye kulengakuonyesha mafanikio ya Marshall.
Sasa hapo hajaja, akija itakuaje
Nazani Tanzania nzima kuliko na walalamikaji ni dar es salaam Hawa watu wa dar es salaam wapewe tuzo ya ulalamikaji.
True
Siasa Kanisa ni!!!!!!!!
Hapa hakuna siasa ni ukweli mtupu na miaka yote pastor Kimaro ametufundisha kupambania maisha bila kulalamikia mtu na Chalamila kwa nafasi yake hataki utani pia yupo brother Makonda kule~mimi ninawaelewa.
ASANTE MKUU WA MKOA NIMEKUELEWA NA HUNA DENI NA WALALAMISHI.
Mh. Albert Chalamila kumbe anajua kua huwa anafanya uchale chale wakati mwingine!
Amen
Yaan ktk mkoani unaongoza watu kulalamika ni dar es Salam
wewe cheza na machinga huwajuwi
Mashujaa 25 !😅
Hakika Umenena Vema,Mkuu Wa Mkoa Mungu Akutunze sn,Ipo Cku Utakuwa Mchungaji 🙏🙏🔥
❤👏👏👏👏👏👏🌲🌲🌲
Barikiwa sana
Amina
Amen
Amina
Amina Amina