NABII MWAMPOSA AMCHANA 'LIVE' RC CHALAMILA - "HUYU MTU ni MTU wa MUNGU - ATAFIKA MBALI"...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • MWAMPOSA AMCHANA CHALAMILA - ''HUYU MTU ni MTU wa MUNGU - ATAFIKA MBALI''...
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 17

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Місяць тому +1

    Hakuna Mungu mwingine zaid ya Yesu

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Місяць тому

    Yesu ni Mungu

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤❤ameen

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 Місяць тому

    Aminaaaa

  • @RehemaMlowe-k6t
    @RehemaMlowe-k6t Місяць тому +1

    Mtumishi huyu mungu akurinde uzidi kutuponya

  • @ZainabuMrisho-c1c
    @ZainabuMrisho-c1c Місяць тому

    Nahitaj maombi

  • @albertshao4834
    @albertshao4834 Місяць тому

    Wata watapigwa😂😂😂

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 Місяць тому

    Misifaa mingiii lkn amna kitu

  • @MbavuNene-c8r
    @MbavuNene-c8r Місяць тому

    Hilo lijamaa kama kibuyu Cha pombe

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 Місяць тому

    Nchi ngumuhii uchawa mpaka kanisani .

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Місяць тому

    Do!!! Akili matope kweli 😂😂😂

  • @samwelmasunga8293
    @samwelmasunga8293 Місяць тому

    Ww greyson unaongea nn et tupe maana nzuri ya neno Mungu au Yesu basi ili tujue make wengne Wageni huku kweny Bible make ww mjuaji sana 😂😂😂😂😂

  • @zuberimohamedi5761
    @zuberimohamedi5761 Місяць тому

    Kuna mtu wa panya,huo ni mchezo wa psychology

  • @DevidiCosmas
    @DevidiCosmas Місяць тому

    Acha wongo mwamposa unamsifia kiongozi mpenda sifa uyo. Hana lolote

  • @BabeNoera
    @BabeNoera Місяць тому

    Sasa ndo muandike kamchana,ila nyie