Imetokea tena wachungaji waikataa bibilia mbele ya waisilamu leo kumewaka moto Qur'an na bibilia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 66

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +11

    Jamani masheikh wetu wanapata tabu na vifaa, naona wanahangaika kutupatia sauti, tujitahidini kwa alonacho achangie ili tuelimike sisi na ndugu zetu hawa, ni kazi kubwa wanafanya naamini mimi na wewe tumeshindwa, je hatuwezi kuwa nao pamoja kwa kuchangia vifaa, Inshallah Mungu atuwezeshe waislamu na hata mkristo akijiskia kutoa hawa ndio wakuwapa sio wachungaji, nadhani mnaona elimu mnayopata na maswali mnavyouliza

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Yeah hii microphone yetu inamatatizo kindogo but inn shaa Allah tutajaribu tuone itakuwa aje

  • @kulemohamedmamo8035
    @kulemohamedmamo8035 Рік тому +2

    Mashalla sheikhs wetu mungu awalinde

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +3

    MashaAllah Tabarak Allah

  • @AliAbdinoor-i4o
    @AliAbdinoor-i4o Рік тому +3

    Quran surah Bakhara aya 111

  • @OmeyBuusi
    @OmeyBuusi Рік тому +4

    Saalim and hassan good work brothers I love you for the sake of ALLAH

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Рік тому +2

    Ezra atowe basi original language Aramaic inasema aje 😂😂😂 sheikh akija tena mwambie otowe

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Рік тому +3

    Hiyo kutawaza ilikuwa amri ya yesu imeondoka na amri mpya alopewa. Mtume Muhammad saw.

  • @umsultan3644
    @umsultan3644 Рік тому +2

    Ma shaa Allah brothers may Allah bless you for the good work.

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 Рік тому +1

    Leo nimechelewa lkini Alhamdulillah tupoooo🎉🎉

  • @MkambaSaleh-kr7pi
    @MkambaSaleh-kr7pi Рік тому +2

    Maana ya yesu kusema mimi ni mwalimu maanayake nakufundisheni halina ubishi hilo.

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Рік тому +2

    mashaallah ALLAH awazidishie

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk Рік тому +1

    Dua zetu tunawaombea ma sheikh wetu Allah akupeni afya za mwili na umr tawil na utajiri muendeleze dini ya kiislam na Allah azidi kukufungulieni Zaid muzidi kuingiza washirikina makundi kwa makundi ktk dini ya haki ya Allah

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Рік тому +1

    Wah..wallahi wakristo cjui kwann wanapenda maneno ya kuzua yaani ntasema wao ndio bidaa ni halali kwa dini yao maana hakuna ukweli uzushi tuu ati yesu alibakisha nywele kwa kaburi lake

  • @janieali5521
    @janieali5521 Рік тому +2

    MashaAllah Tabarak Allah. Mimi sikuzote nasema hakuna kazi iliobora duniani hivi sasa kama hii ya Daawah. Wakristo wengi sasa wanajua Mungu ni nani. Hivi karibu neema ya Mwenyezi Mungu itatufikia watu wengi wakisema " SUBHANALAH WALHAMDULILLAH WALAILAHA ILA ALAH WALAHAULA WALAKUWATI ILA BILAH".

  • @IssaAbubakar-u3l
    @IssaAbubakar-u3l Рік тому +1

    Allah awahifadhi yarab

  • @samirfatma4374
    @samirfatma4374 Рік тому +1

    daawa nzr maa shaa Allah

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 Рік тому +2

    Asalm walaikum warahmatullah wabarakat
    Shekh Salim Sauti inapotea sana kwa hii video

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mitambo yetu ndio iko na shinda but inn shaa Allah tutarekebisha

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +1

    Assallam aleikum mashekhe wetu Allah awahifadhi sana nafurahi sana kuwaona tena

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 Рік тому +1

    JazakAllah Kheir Sheikh zetu. Sheikh Salim, Kala Singh hawaabudu, Ngombe wanasema wanafata Mtume wao anaitwa Guru Nanak. Wahindi Baniani ndio wanaabudu Ngombe

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +2

    Masha Allah 🥰

  • @RajabwanyonyiJuma
    @RajabwanyonyiJuma 2 місяці тому +1

    Sauti ulipotelea at very sensitive point subhanallah

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 7 місяців тому +2

    Tatizo huyo jamaa ni Kiswahili kinapiga chenga. Ubishi mwingi huleta ujinga. Achana nae. Hajui maana ya Usafi.

  • @OmeyBuusi
    @OmeyBuusi Рік тому +2

    Shukran saana🙏🙏🙏🙏

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +1

    Sheikh salim huyo mzee ndio amenifurahisha sana kuhusu picha ya yesu

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 Рік тому +1

    AS'SALAAM ALAYKUM WARAHMATUALLAH SHEIKH HASSAN EKIWA HUYO ALISEMA ANATAWADHA SAWA KAMA ANATAWADHA UNAOHAJA YAKUMUETA MUONGO BALI ANAJIDANGANYA MWENYEWE NAFSI YAKE ANEZOWEA KUDANGANYA KAMA WAKOLONI WAKIJA HUKO NAKIDANGANYA NAKUFUNFISHA BIBILIA KIMNE LENGO LAO WAKOLONI ELIKUA WANAFUNZA BIBILIA NAKUWAVHIA NDIGU ZETU NAWAKOLONI KUCHUKUA MASHAMBA

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Рік тому +1

    Andante interpreter Salim juu ya yesu kufufuka.

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 Рік тому +1

    Mashaalah

  • @josemu870
    @josemu870 4 місяці тому +1

    MashAllah

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +1

    Asalamu alekumu mashala mungu amulidi kwakilajabo ❤❤

  • @alimohamud654
    @alimohamud654 Рік тому +2

    Too sad! could not follow the conversation as there was no sound. Pls sheikh do something. Some of us are addicted and religoiusly follow your clips evry day

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Inn shaa Allah but it's a small part where our microphone stop but we will rectify

  • @sadickkagoma5297
    @sadickkagoma5297 Рік тому +2

    Ukweli utazidi kubainika, Inshaa Allah

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb Рік тому +1

    Sauti mushkilat..... assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Рік тому +1

    Assallaam Alaykum Warhamatullah Wabarakatuh.Hapa kuanzoa kwenye manemo yaliyofungwa sauti imekata hatujasikia ufafanuzi wake

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh microphone yetu inamatatizo but inn shaa Allah tutarekebisha

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 Рік тому +1

    Sasa yesu si alionekana na wafuwasi wake na akaomba samaki n asali😂😂😂 mungu mzungu na anakabila ya kiyehudi.

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 Рік тому +1

    ALISOMA KIZUNGU SHULENI MBONA SASA UNAONGEA KISWAHILI SAWA NA FASA LAKINI YOTE NINI UZUNGU WAMEUVAA KUMBE WANADANGANYA WATU TU

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 Рік тому +1

    MMMMH AMETABIRIWA NAPIA KUPEWA JINA EMANUEL KWAHIO LEO TENA SIO YESO AU SIO JESUS KWAHIO YUPO NAMAJINA KADHA MMMMMH WAZUNGU JAMANI WAMELETA BALAA

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Рік тому +1

    ❤🎉😮😅😊

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 Рік тому +2

    Sijui ni kusudi ama ni gani kuji fanya wakumbavu😂

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 Рік тому +1

    SHEIKH HASSAN KARIOKI EKIWA ANATAWADHA SAWA BALI ANAJIDANGANYA MWENYEWE NAWAFUASI WAKE WA DINI YAO AU YAKE

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Рік тому +1

    Kweli mungu hi mmoja lakini hakuteremsha vitabu viwili ila aliteremsha one by one na Paulo akaja kufogi biblia juu yake kwa kuchukua vitabu 3 vilotangulia na kuchnganya na maneno yake.

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 Рік тому +1

    MMMMMMH ATA NYAMA YA NGOMBE AU NYAMA YA MNYAMA SIKU TATU HAHIWEZI KUACHIKA NAKUNAKIA MIFUPA DUU JAMAA NIWASHINDANI SANA NAKUEPAMBA BIBILIA KAMA WANAHIJUA KULIKO WALIOANDIKA

  • @fakijuma7549
    @fakijuma7549 Рік тому +1

    KIZUNGU KIZUNGU HIVI KWANI NUT MWEUSI ALIKUA NYANI KAMA WAZUNGU WANAVYOSEMA NA JEE SHITANI NI NTU MWEUSI AU WAZUNGU JAMANI WAMEPOTEZA WATU AU NDUGU ZETU

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Рік тому +1

    41:10 mafi sout.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      We will rectify inn shaa Allah our microphone just stopped

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 Рік тому +1

    Kwanza DNA haitoki kwa nywele bila mzizi na pia dna haitoki kwa mfupa imekauka
    DNA inatoka flesh and the fluids of the individual
    There was no dna technology then.

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +1

    🎤 inaleta tabu

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Рік тому

    Huyu mzee hajielewi

  • @michaelmike8216
    @michaelmike8216 Рік тому

    Jesus Washing his disciples was not in temple