WAKRISTO WATOFAUTIANA VIBAYA KUMHUSU YESU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya Straight Path Dawah. ‪@StraightPathDawah‬ ni dawah popote wakati wowote.

КОМЕНТАРІ • 89

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 6 місяців тому +5

    Allah yawalipe yaliyo ya heri Kwa jitihada zenu katika DINI ya mungu

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 6 місяців тому +4

    Maa shaa Allah Omosh kapendeza na vazi la kanzu

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 6 місяців тому +5

    Maashallah Allah amjaalie nuru awe kama Abdullah tunafurahi sana one ❤ Abdullah woooow

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 4 місяці тому

    Wacrito wanaficha na wachungagi .👍👍👍👍🤲🤲🤲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲🤲🤲🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 6 місяців тому +7

    Kusema kweli Hao wakristo wssemao Essa ni Allah ..wengine wasema ni Essa ni mtoto wa Allah maudhika sana wamkufu Allah ..I,love Allah ❤❤

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 6 місяців тому +2

      Na wanachekesha hawajielewi walichanganyikiwa

    • @salmaminja7714
      @salmaminja7714 6 місяців тому

      Mashallah Allah akulipe dunian na kesho Akhera kwa kufikisha ukwl wa dini ya ukwl. Allahu mus'taan.

    • @LaaajoAlhamdilillah
      @LaaajoAlhamdilillah 6 місяців тому

      Nindiyoman allah ni RHAFUR RARHIM isingekuwa ivo agekuwa alisha wateketeza wote allah akbar alhamdilillah

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 6 місяців тому +2

    inshaAllah swt awaoe hidaya waione haki waifuate

  • @abdikhan6375
    @abdikhan6375 6 місяців тому +4

    Allah akuhifadhi maalim Ramadhan.... Lkn toa hiyo miwani hatujakuzoea hivo

  • @LuqmaniSwaleh
    @LuqmaniSwaleh 6 місяців тому +3

    Sahihi allahuma ammin

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 6 місяців тому +2

    Mashallaha mashallaha

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 6 місяців тому +3

    ماشاء الله تبارك الرحمن

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 6 місяців тому +2

    Mashallaha

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 3 місяці тому

    MashAllah kaka Ramma

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 6 місяців тому +2

    Mashaallah Tabaraka Rahman

  • @alialkindy6690
    @alialkindy6690 6 місяців тому +1

    Mashallah. Mungu akuzidishie ilmu

  • @kennedymanyonge6170
    @kennedymanyonge6170 6 місяців тому +1

    MashaAllah 🙏🙏

  • @raniahmamu2586
    @raniahmamu2586 6 місяців тому +2

    ❤❤❤ Masha'Allah

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 6 місяців тому +3

    Mashaallah Ustadhi Ramadan Allah akujalie kila la kheri

    • @hythamhashiem4458
      @hythamhashiem4458 6 місяців тому

      اللهم آمين يارب العالمين

  • @gakobwaadija7949
    @gakobwaadija7949 6 місяців тому +2

    Masha Allah

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 6 місяців тому +1

    Mashallah tabarakallah usthad allah akuzidishie umri uzidi kuwaelimisha

  • @salimmashjary8028
    @salimmashjary8028 6 місяців тому

    Sheikh ramadhan uko sawa .nimgependa sometimes uwape maneno tofauti kwenye bible na maneno ambayo siyo ya kweli na ambayo si ya mungu kwenye bible.

  • @BnBm-p1s
    @BnBm-p1s 6 місяців тому

    Alhamdhulillah,najivunia kuw muislam ambayo n fini y haki na ni dini ya mitume wao

  • @abdiabdullahi2937
    @abdiabdullahi2937 6 місяців тому +2

    Mashaallah

  • @PenjaminNyamweya-w6m
    @PenjaminNyamweya-w6m 6 місяців тому +1

    Yesu ni Mungu mnafaa mjue hvo waisilamu

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 6 місяців тому +1

    Masha Allah ❤

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 6 місяців тому

    Mashaalah omosh one hour

  • @hassadube225
    @hassadube225 6 місяців тому +2

    Mash Allah

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 6 місяців тому

    Mashaalah brother

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 6 місяців тому +2

    💖💖💖

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 6 місяців тому

    MashaAllah

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 6 місяців тому +4

    Kaka Noor rudi ktk dini ya uislam dini ya haki

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 6 місяців тому

    Safi

  • @mamawamuya
    @mamawamuya 6 місяців тому

    Ma sha Allah,

  • @NicholasSwali
    @NicholasSwali 6 місяців тому

    Ni sawa kusema Muhammed ni mungu

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 місяців тому +1

      Hapana Muhammad ni mtume wa mungu sio mungu

    • @bahsansheikh6042
      @bahsansheikh6042 6 місяців тому

      Hawa wakristo wanatusemea sisi waislamu kwamba Muhamad SAW ni Mungu. Hawajatusikia sisi tukisema hivo kabisa. Muhamad SAW ni Mtume wa MwenyeziMungu na mwisho wa mitume.

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 6 місяців тому

    Assalamu Alaykum now days busy busy

  • @DuncanJohn-bw4wn
    @DuncanJohn-bw4wn 6 місяців тому

    Yesu ndiye njia, kweli na uzima hakuna ajaye kwa Baba( Mungu) ila kwa yeye (Yesu) Amina.

    • @RashidAthumani-kt5pf
      @RashidAthumani-kt5pf 6 місяців тому

      Hiyo njia ya yesu ndo inaitwaje sasa

    • @DuncanJohn-bw4wn
      @DuncanJohn-bw4wn 6 місяців тому

      @@RashidAthumani-kt5pf hiyo njia ndiye Yesu mkombozi wa ulimwengu.

  • @thambiristar2802
    @thambiristar2802 5 місяців тому

    Mlishaa jibiwa na ndacha mnapata wenye hawajui bible sana

  • @NictorsNhonya
    @NictorsNhonya 6 місяців тому

    Mnawauliza watu wasiyojua kuhusu bible nakuujua Ukristo kwa elimu yenu bishaneni na akina ezekiel nganga ndo levo zenu.

  • @johnsonyohana9594
    @johnsonyohana9594 6 місяців тому

    Badala ya kufundisha majini ni waislamu mnafundisha yesu ni issa😅

  • @ianlukejr.4926
    @ianlukejr.4926 6 місяців тому

    Debate with Christian scholars or strong believers. Here are the answers to your question regarding Christians going to heaven:
    John 14:2-3 (NIV): "My Father’s house has many rooms; if that were not so, would I have told you that I am going there to prepare a place for you? And if I go and prepare a place for you, I will come back and take you to be with me that you also may be where I am."
    1 Thessalonians 4:17-18 (NIV): "After that, we who are still alive and are left will be caught up together with them in the clouds to meet the Lord in the air. And so we will be with the Lord forever. Therefore encourage one another with these words."

  • @dagitchboy3323
    @dagitchboy3323 6 місяців тому

    mimi waislamu nataka mnitolee andiko Yesu alislimu ......vile kuna andiko majini walislimu.....atleast nitajua ukweli tafadhali

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 6 місяців тому +2

      Sasa ulitaka yesu asilimu vipi while alizaliwa akiwa muislamu

    • @HusseinLimbe
      @HusseinLimbe 6 місяців тому +2

      @@badruseif1318😄

    • @dagitchboy3323
      @dagitchboy3323 6 місяців тому +1

      @@badruseif1318 ok....nimekuelewa

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 6 місяців тому +4

      Kwenye biblia yesu anasema "UZIMA WA MILELE NDIO HUU WAKUJUAYE WEWE MUNGU WA PEKEE NA YESU KRISTO ULIYEMTUMA" hio ndo shahada ya kusilimu katika ummah wake kabla ya kuja mtume MOHAMMAD
      baada ya kuja mtume MOHAMMAD shahada ni hii "HAPANA MUNGU ILA MWENYEZI MUNGU MMOJA TU NA MOHAMMAD NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU"

    • @HusseinLimbe
      @HusseinLimbe 6 місяців тому

      @@faudhiasaidi3669 faudhia Allah akulipe kheri umejua kufafanua

  • @NicholasSwali
    @NicholasSwali 6 місяців тому

    Yesu ni njia ya kwelekeza kwa mungu.ni sawa Islamic they don't pray to God directly

  • @MakrinaLuoga
    @MakrinaLuoga 6 місяців тому

    Bila yesu nijehanam mtu asikudanganya akakutoa mikononi mwa yesu ushuhuda wa yesu ni mkubwa duniani kote muhamadi Hana ushuhuda wowote kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake kuwasikiliza Hawa nikupotea. Yesu anaushuhuda mkubwa mno kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake na kufufuka kwake. Alitabiriwa na manabii kabla ya kuzaliwa kwake mmoja wa manabii ni miss torati 18:18. 19. Nabii isaya ezekieli habakuki. Yoeli yeremia. Zaburi methari. Nawengi manabii walio mtabiri. Yesu aliwaachia nitume 12. Waeneze duniani kote injili. Matayo. 24; 14. Kuifuta biblia duniani hiyo ni ndoto. Kuifuta ukristo. Hiyo ni ndoto. Anaemwacha yesu anauendea Moto wa jehanam

    • @ibnjalaaman3407
      @ibnjalaaman3407 5 місяців тому

      Muhammad utamjulia wap na hali dini umeletew na wazungu na shetan mwenyew hajafutwa na mungu tangu kumuasi kwake vp ukristo nao unataka ufutwe...?! hapo situtafunga misikiti na ushindani kati ya haki na batili vitakuw vimefikia tamati na kiama tayari , soma acha kukariri

    • @MakrinaLuoga
      @MakrinaLuoga 5 місяців тому

      @@ibnjalaaman3407 Kama ukristo umeletwa na wazungu inakuwaje Sasa biblia ikutwe kwenye kuruani inakuwaje? Kuruani Ina habari za Musa torati habari za yesu. Inakuwaje? Kuna Aya za kuruani zinaeleze. Nabii Isa Nini mariyam dalili ya kiyama mbona mnaamini ? Kunaaya nyingine inasema nabii Isa Nini Maryam ni njia iliyonyooka Wala msiitilie Shaka mbona nyinyi mnamashaka hamwamini hamkubali ni mwana wa mungu wala.hamwamini injili yake. Kunauadui mkubwa Kati yenu na ukristo. Nani aliyewadanganya kuwa ukristo uliletwa na wazungu somakitabu. Bila yesu ni jehanam

  • @molee2339
    @molee2339 6 місяців тому +1

    Maana ya Neno 'Christ', biblia itself ina eleza, ni:
    NABI. !!
    Kwa hivyo, how on Earth can Yesu be a 'MUNGU', or 'Mtoto wa Mungu,' ???
    How???
    Ustad Kuria, huyu Omosh ungem hook up, ili asomeshwe DIN na knowledg3 zaidi ya Islam, kwa sababu ata ulizwa QUESTIONS nyingi sana, zote za PROPAGANDA against Islam, na hawa WaKristo!
    Prepare him to take the 'Heat' from @aKristos!
    TabarakAllah Team.

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayo 6 місяців тому

    wacheni kuendea watu hawajui maandiko na uislamu ni uongo mtupu

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 6 місяців тому

    Yani muislam anauliza nani kapewa Bible? Kweli mnahitaji kufundishwa kujua nini maana ya Bible

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 6 місяців тому

      Ndio lazma aulize maana vitabu vyte vya M/Mungu wamepewa Mitume special,Zaburi kapewa Daudi,Taurat kaoewa Mussa,Injili kapewa Issa,Qur'an kapewa Muhammad Je!! Biblia kapewa Mtume gani ili kiwe kitabu cha Mungu?

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 6 місяців тому

      @@dulividuli5237 Nitakuuliza swali kutoka Kwa Qur'an kuhusu maelezo yako,kwamba Kuna Torati,Zaburi,na Injili.Swali langu kwako kutoka Kwa Qur'an.
      Watu wa kitab (alhul kitab) hiki kitab ni gani? Kwa sababu sio vitabu ni kitabu.Na wewe umenionyesha Torati, Zaburi na Injili.Hiki kitabu kimoja chenye Quran inaongea ni gani?

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 6 місяців тому

      @@dulividuli5237 safi kabisa,kwanza umenionyesha Torati, Zaburi na Injili.Hivi ni vitabu tatu.Swali langu kwako kutoka Kwa Qur'an.Hawa(Alhal kitab) watu WA kitabu sio vitabu,ni akina nani na hicho KITABU chenyewe ni gani?
      Kama hujui nikueleze Qur'an yako kisha nikufundishe kuanzia Mwanzo ndio uelewe ni nini maana ya Bible

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 6 місяців тому +1

      Torati, Zaburi na injili,hivi ni VITUBU vitatu.Quran Kuna watu wanaitwa "ALHUL KITAB "(watu wa kitabu).Hiki KITABU kinachotajwa Kwa Qur'an ni kimoja sio vitatu,je ni gani? Kitaje nijue kama hujui nikufundishe maana ya Bible

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 6 місяців тому

      @@NathanielNathan-m4o kumbe ndo mnavodanganyan uko makanisani....Biblia ni mkusanyiko wa vitabu Injili,Taurat na Zaburi vimekusanywa na Kuitwa Biblia ama Biblos it means ni mkusanyiko wa vitabu uliofanyika miaka ya hivi karbuni tu ambapo tayari Qur'an tyr imeshashushwa Ulimwenguni,hakuna kitabu cha Mungu kinachoitw Biblia tna hili neno Biblia utaliona kwnye Kava tu ya Biblia lakin ukiangalia ndani ya Kitabu chenyew cha Biblia kuanzia mwanzo hadi mwisho wake hakuna neno Biblia....watu wa kitabu waliokusudiwa tna vimetajwa mpk na vitabu vyao ndani ya Qur'an Watu wa Nabii Daud,Watu wa Nabii Mussa na Watu wa Nabii Issa,wapi Qur'an imetaja Biblia tna utambue kwamba Qur'an haitambui kitabu kinachoitw Biblia hichi ni Kitabu kilicho jaa Meno ya watu kina Paulo,Matayo na wengine waliokaa na kuandik yale wanayoytk wao.Mengine ya uongo mtupu.
      YEREMIA 8:8-Mwasemaje,Sisi tuna akili,na Torati ya BWANA tunayo pamoja nasi?lakini tizama Kalamu yenye uongo ya waandishi imefanya kuwa uongo.

  • @alanngabonziza
    @alanngabonziza 6 місяців тому

    Teach muslim about muhamed who had black slaves,possosses by demons who married aisha when she was 9 years that is crime byw,who did not read or write,who did not that the revelation was from,wachana na wachristo,uliza waislamu kama wanajua muhamed vizuri

    • @salimmohammedmwazecha4169
      @salimmohammedmwazecha4169 6 місяців тому

      Tunamjua mohammad (saw)very well na yeye mohammad (saw)kweli haku jua kusoma na baadaye akajua kusoma na ajawai kuingiwa na pepo alioa aisha akiwa amekomaa kuoleka alafu yeye muhammad (saw)ndiye aliye kuja ku stop slavery na Quran ili teremsha gradual kutoka juu kama wahyi na Hio Quran ndo imebeba maneno yote ya nyuma yaliopita na yatakayo kuja so bro soma injili utaelewa zaidi maana biblia imegeuzwa na wazungu maneno baadhi hamna kama yalivo kwa injil Islam is the true Religion

  • @ngugimundia6306
    @ngugimundia6306 6 місяців тому +1

    Nature ya yesu ni mungu but in personality ni mwana wa mungu....acheni kuchanganya watu wasiojua imani ya kristo just Christian by name...I told ramadhan kuria kuja loitokitok nitafute nikusaidie kuwatoa waislamu musikitini...

    • @savesadgeneration
      @savesadgeneration 6 місяців тому +3

      Fikra na Maoni Yako ulivyofunzwa na viongozi kanisani....mwapotezwa na wachungaji.....
      Hamna Andiko kuwa yesu ni Mungu au ana uungu

    • @Yussuf-y2l
      @Yussuf-y2l 6 місяців тому

      😅..... You are same to them

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 6 місяців тому +6

      Waislamu mskitini labda uwatoe kw vita lakin si maandiko huna maandiko ya kumshawishi Muislamu kuingia kwnye Ukafiri wenu.

    • @ngugimundia6306
      @ngugimundia6306 6 місяців тому +2

      Waislam hata maana ya kafiri hamuelewi?inalilahi wainalilahi rajun....nyinyi ndio makafiri sababu mlikuja nyuma ya manasarah yaani wakristo kisha mkaanza kuwapinga...

    • @yassinwafula692
      @yassinwafula692 6 місяців тому +1

      subhanallah eti yesu mwana wa mungu Kwa hivio mungu ni mzazi Imani potovu

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 6 місяців тому

    Masha Allah

  • @MahamudJamala
    @MahamudJamala 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @amanyali8724
    @amanyali8724 6 місяців тому

    MashaAllah

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 6 місяців тому

    Masha Allah.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 6 місяців тому

    Masha'allah